Twende Mtaani 🇺🇸 tukatengeneze dollars na kazi ya food delivery 💴 wow siamini kiasi nilichotengenez😳

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wow Hongera Kwa Kuwa mtanzania Muwazi watanzania wengi wameshindwa kuoneshwa their salary Kama Hivi so big up bro..!!

  • @martinkiogora2002
    @martinkiogora2002 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mshana Kila tyme nimekushiklia saana,,top fun,,bro nashukuru saana kwa kazi unayofanya,,

  • @peacetrick12
    @peacetrick12 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤big up brother napenda video zako

  • @weraelymongo7208
    @weraelymongo7208 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unatuinspire sana bro... Keep it up💪💪

  • @charlesjohn9893
    @charlesjohn9893 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekupata ndgu yang..tena ulivyo taja tegeta umetisha san🤣

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 2 หลายเดือนก่อน +5

    Pia nmejifunza Sana Kwa Jeshi la Marekani, Jeshi la Marekani Sio utumwa kama majeshi ya Africa Ukishakuw mwanajeshi Government Ina ku hold Uhuru wako Kama kupe

    • @emanuelcholela8679
      @emanuelcholela8679 2 หลายเดือนก่อน

      Kupitia Hawa watu wachache mpka Sasa fikra zinafunguka mwanzo nilijua ukiwa na passport na work permit mambo yanakuwa sawa lakini ujio wa Hawa watu wachache wanatufungulia fikra chanya

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Keep working Bruda 🤞❤
    W
    On our side responsibles we only shares😅

  • @johnjplusfood2135
    @johnjplusfood2135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sana

  • @WTC492
    @WTC492 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Kaka Mshana.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah unanitamanisha sana bro

  • @kelvinanselimu1281
    @kelvinanselimu1281 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kazi sojaa 🔥

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka kwema ndugu yangu nimekumic mkuu nilienda uganda so sikuwa mtandaoni mkuuu from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @milkajackson9268
    @milkajackson9268 2 หลายเดือนก่อน

    Likambi kikubwa ivo duh

  • @suzanngowi5223
    @suzanngowi5223 2 หลายเดือนก่อน +1

    Best channel niya kwako broo 👊👊 sharautiiii sanaaa

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Wow🙏🏻😎 this means a lot to me🙏🏻

    • @WAKUONAFILMS
      @WAKUONAFILMS 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka mpango basi huko kaka

    • @WAKUONAFILMS
      @WAKUONAFILMS 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mshanatheblacksmithkaka tupeane mpango kaka huko si tutawekana sawa

  • @kelvinanselimu1281
    @kelvinanselimu1281 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sn bro

  • @davidbarazaomanyo8618
    @davidbarazaomanyo8618 2 หลายเดือนก่อน

    mshana the black plz help me get a chance over there for my son , very sharp fellow has done some short courses in Nairobi.

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 2 หลายเดือนก่อน

    Kamanda Mshana nakumbuka ulisema before kuingia Jeshi ulikuwa na mke so yupo waoi saiv wakati unasema uko mpweke pls

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 2 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu unayoitoa ni ishara tosha kuwa unaupendo na watu kutoka tz

  • @TheeWylder-j4n
    @TheeWylder-j4n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bro mtu aki taka kujoin jeshi inaitajika nini na nini

  • @Watema23
    @Watema23 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna App na build kama Door Dash nakuja kufanya mabaderiko kwenye restaurants za Dar

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusimamie kwa hlo Mkuu utatatua shida ya kazi Dar

    • @Watema23
      @Watema23 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@mshanatheblacksmith Ndiyo Mshana. Nikimaliza nitakuambia. Soon, nitakuja na class how to build App and Website kutumia AI na No Code . Nipo Atlanta, GA.

    • @emanuelcholela8679
      @emanuelcholela8679 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika tunategemea elimu itatufikia na milango kufunguka mkuu

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      @@Watema23 tunabidi tuongee mzee nitajie instagram page yako

    • @Watema23
      @Watema23 2 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith emmanuelwatema

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel 2 หลายเดือนก่อน

    Alafu kuna mtu yupo marekani kabahatika kufika anakumbuka bibi yake bongo anarudi zamia

  • @charlesjohn9893
    @charlesjohn9893 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wee jamaa unavitu kibao na unaroho saf san..mtu awez kupotez tym yake ajielezee na kutupa sisi darasa lakin wew auko ivyo ndgu yang..MUNGU AKUSIMAMIE KILA UNALOLIFANYA LIWE JEPESI KWAKO

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      @@charlesjohn9893 Amin🤲🏾nashukuru sana ndugu na ndomana nafanya hizi content kwajili ya watu kama nyiny

  • @EliaKiyaulilo-gg4cb
    @EliaKiyaulilo-gg4cb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaah! Fursa kama hizo za kufanya kazi Kwa masaa zingekuwa Tz watu wangefika mbali.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uchumi wetu hauruhusu hilo nchi ya mbunge anaruka sarakasi bungeni unategemea nini.

    • @EliaKiyaulilo-gg4cb
      @EliaKiyaulilo-gg4cb 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@ChoroTesla 😂

    • @ErickValency
      @ErickValency 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂​@@ChoroTesla

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@EliaKiyaulilo-gg4cb am telling kwa watu waliosmart huwez kuta izo mambo

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChoroTesla😂😂😂 natamani ningecheka kwa sauti😢😢

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu sijaelewa, kwanini mtu anawaza miles kuliko mafuta?
    Kuna limits za kutumia gari over miles kadhaa Brother?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 หลายเดือนก่อน

      Yawezekana

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      No kwasababu miles/kilometers zikisoma namba kubwa maana yake unaizeesha gari/kuichosha gari mapema. Mtu akitaka kununua gari anaangalia kilometers(miles) ngapi imetembea gari mpya(0 mile/kilometer)

  • @dastandeogratius
    @dastandeogratius 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mshana sorry kwenu Kagera eti??

    • @tinomasangia5511
      @tinomasangia5511 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mshana n wapare. Simjui ila kwa hilo jina n wapare

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 2 หลายเดือนก่อน

      Kwao kilimanjaro same huko

    • @abdallahnassor2945
      @abdallahnassor2945 2 หลายเดือนก่อน

      Marangu ​@@tinomasangia5511

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      Mm ni mpare ila nimekulia mjini siunajua tena wazee wetu walikujaga dar kutafta🙏🏻 ila I love my origin

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 2 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith pamoja sana kiongozi

  • @casillascicero7944
    @casillascicero7944 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na swala la kupanda rank kutoka E1 mpaka E8 huwa vigeo ama njia za kupanda rank ni gani kaka?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Njia zipo tofauti ila kikubwa kupiga kazi. Kuna video yangu nishaongelea hii topic 🙏🏻

    • @casillascicero7944
      @casillascicero7944 2 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith Sawa nitaicheki

  • @MukrimOmar-jr6lq
    @MukrimOmar-jr6lq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakushauri kaka kazi kama iyo kwa ajili ya wikieend ungenunua baiskel ingekuwa vzr pia ungepata mazoez na kuchangamsha mwili

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      Unatumia mda mwingi kupeleka order moja ukitumia gari unapiga pesa ndefu coz unakanyaga mafuta ufike harKa

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan mafuta sh ngp uko isijekuwa unafanyia kaz petrool tu

    • @Muddy_Muzungu
      @Muddy_Muzungu 2 หลายเดือนก่อน

      gas mzee

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Mafuta tunatumia petroli wamarekani wanaita gas/fuel ila ni hiyo hyo petroleum kama bongo price napojaza mm mafuta ni $2.59

  • @SuluhuKhamisgb
    @SuluhuKhamisgb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mshana tunakupenda zaidi ya sana kwa kuwa muwazi tunaomba tuwekee namba yako ya wasapp ya uko UAS