UNDUGU WA MAJINI NA WAISLAMU MWALIMU CHIKAWE VS USTADHI MATHAYO NA IBRAHIM BAKOZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah Ustaz.Hao wachungaji hamna kitu.Porojo nyingi.

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 4 วันที่ผ่านมา

    MaashaAllah Masheikh kwa kufikisha elimu na kuelimisha jamii

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 วันที่ผ่านมา +3

    Majini ni viumbe waloumbwa na M.Mungu ili wamuabudu kabla ya Adam. Wengi waliasi ndipo Adam akaumbwa..Wapo Majini Wakristo, Waislamu na Hindu.King Solomon alitumia Majini kufanya kazi zake za ujenzi na kuwatuma mbali..Yesu alizungumza na Majini.Kwa hivyo ni viumbe vya Mungu na Kuna wema na wabaya.Ingine ni porojo.

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 วันที่ผ่านมา

    Allah Barik Ustadh kwa kumpa ukweli

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Good sana pastor Chikawe

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา

    TAQBIR ALLAHU AKBAR
    UISLAMU RAHA SANA MASHAALLAH.

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 4 วันที่ผ่านมา

    Bakozi ww nihatari sana umefikisha kama vile ulivo takiwa ufikishe hakika mungu yupamoja naww ubarikiwe saaaaana mashaallah.

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b 4 วันที่ผ่านมา +2

    plz wewe unae mtusi mtume uache haraka sana tena sana tafadhali sana tena,iwe ni mwanzo na mwisho kumtudi mtume wetu muhammad s,a,w pl, and plz and plz,kama una comenty kuwa na adabu na waislamu tafadhalo sana,coment ukitumia lugha nzuri , hasa kumtukana mtume wetu umetukosea sana,iwe mwanzo na mwisho hii.

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unatetea dini ambayo Huna asili nayo, dini za wageni hizi, uislam na ukristo umeletwa na wageni. Tafuta historia ya mababu zako waliabudu nini ndio uifate dini ya mababu zako ili uiche kushabikia imani na mila za waarabu.

  • @teresiakwambo9018
    @teresiakwambo9018 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mohamed ni marehemu. ..

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi 4 วันที่ผ่านมา

      Ndio marehem kumbuka mm na ww tutakuwa marehem pia Sasa cjui utamfata Muhammad au utamkimbia mfate Sasa usio mfata Sasa nae uko alipo tukienda atakukataa pia

  • @JamalGermanus
    @JamalGermanus 2 วันที่ผ่านมา

    Kuna majini ambao ni wakristo na majini wengine ni waislamu,

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา +1

    Majini ni viumbe wanaosadikika kuishi katika mazingira ya kila aina; pia baadhi ya watu wanaamini majini ni viumbe wenye uwezo mkubwa wa kufanya vitu tofautitofauti, pia wenye uwezo wa kujibadilisha kuwa katika hali waipendayo. Asili ya imani hiyo haijajulikana vizuri, lakini ilikuwepo Uarabuni kabla ya Mtume Muhammad SAW.
    Kwa asilimia kubwa wenye imani ya uwepo wa majini (Ktk Uislam) tunasema na tunaimi Majini ni viumbe wasioweza kuonekana, hivyo ni vigumu kupata uthibitisho wa moja kwa moja kuhusiana na viumbe hao. Kadiri ya imani hiyo majini waliumbwa na Mungu kwa kutumia moto na wakiwa wa jinsia mbili; walikuwepo tangu Adamu kuumbwa, hata enzi za Suleiman Bin Daudi na Zama za Yesu (Issa Bin Maryam) majini walikuwepo, mpaka alipokuja mtume Muhammad SAW.
    Uislamu huamini kuna majini wazuri na majini wabaya kwa maana ya madhara yao katika maisha ya mwanadamu na badhi ya Waislamu (pengine wasiofuata misingi sahihi ya Uislamu) hufuga majini hao katika nyumba zao au miili yao na kuwafanya viumbe hao kama wasaidizi au walinzi wa maisha yao kwa wale ambao huamini ni majini wazuri. Lakini wengine hutumia pia majini waitwao wabaya kuharibu na kutesa maisha ya watu wengine kwa kuwatuma kuwaingia miilini na kuleta magonjwa, kuharibu kazi au biashara ya mtu na hata familia.
    Hata wasio na dini na baadhi ya Wakristo hutumia majini kuponya wagonjwa na vilema na kufanya miujiza mbalimbali kama kwa mazingaombwe. Pia wapo Wakristo ambao huwatumia majini hao katika mambo yao kama vile kutafuta mali, watoto n.k.
    Kwa ujumla wake, Mungu Mmoja aliye mfalme wa siku ya malipo, anaweza kukuepusha na kila jambo baya hapa duniani pasipo kuangalia wewe ni wa dini gani. Viumbe vyote ni vya Mungu
    “Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti unaotokana na matope yaliyotiwa sura. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto” (Alhijra 26-27)
    Kazi yao wote ni kumuabudu Mungu: “Na sikuwaumba majini na watu ila waniabudu mimi” (Adh-dhaariyaat, 51 au 56).
    Tofauti ni kwamba:
    wao wameumbwa kwa moto
    wanasafiri haraka kuliko chombo chochote
    wana uwezo wa kutuona wakati sisi hatuwezi kumuona ila mwenyewe akipenda kujionyesha
    wanaweza kujibadilisha maumbile ya viumbe mbalimbali
    wanaweza kuingia mwilini mwa mtu kwa njia ya hewa na kuathiri kiungo chochote hata kukaa katika ubongo na kumpandikiza fikra mbovu
    wanaweza kuzini na mtu bila huyo kujitambua au kumzini bila huyo kuweza kujihami
    wanaishi muda mrefu kuliko sisi, lakini wanaugua na kufa
    baadhi wanajenga urafiki au uadui na watu ili wawapoteze wasipofuata sheria za Mwenyezi Mungu.
    Ingawa wapo wanaoamini uwezekano wa majini kutengenezwa na watu, imani inaukanusha. “Sema: Mwenyezi Mungu ndiye muumba wa kila kitu na yeye ni mmoja mwenye kushinda” (Raad 16).
    Wakristo somemi Mjuwe Asili ya Maumbile yajini jinsi walivyombwa, Tabia zao, Koo/Nasaba na Kabila zao nk yawahusuyoajini.
    Wacheni Porojo. 🙌

  • @zionlinkmedia940
    @zionlinkmedia940 2 วันที่ผ่านมา

    JAMANI maandiko Yako wazii majini ni mashetani unajiunga aje na shetani . Wawili waweza kutembea pamoja isipokuwa wamepatana. Majini ni adui wa Mungu Wala hatuna shaka kwa hilo

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 2 วันที่ผ่านมา

      Majini waloumbwa na Mungu ili wamuabudu.Wengine walikubali, wengine walikataa.Wako kanisani.msikitini na Hindu temple.King Solomon alitumia Majini kufanya kazi zake za ujenzi na kuwatuma mbali.

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza hapo mw. Chikaweunajigonga mwenyewe umesema MUNGU hajawahi kuumba
    Viumbe wabaya ulipo anza mada aliumba vyema kisha wakaasi wakatupwa halafu una daiety muislam asikuambie kuwa kuna jini wazuri ikiwa jini nisifa nawe umesema nimalaika walio asi na walikuwa wazury sasa wakitubia wakawa wema ww hutaki ww ndo MUNGU acah unafiq chikawe chunguza maneno yako kabla huja sema kwani ADAM ALIFANYA DHAMBI WAPI NA ALITUBIA WAPI.?

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา

      Anajichanganya Kwa Kupiga Porojo awatpeli Sadaqa Wajinga/Wakristo! 🙌
      Eti Majini Kiongozi waouhammad watki hata Enzi za Suleiman Bin Daudi walikuwepo Majini na hata Baba wetu Adam amewakita Majini weumbwa kabla yake Adam..
      Hata Yesu eihubiri Injili kkwa Majini (Yesu amewalingiaajimi wapate Kumcha MwenyeziMungu/waache Uovu)

  • @sambajohn5015
    @sambajohn5015 4 วันที่ผ่านมา

    Duh mpka meno yamedondoka

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 3 วันที่ผ่านมา

    Ukristo ni ushetani Tena usanii mwingi sana nandiyo maana hata mim nataka niwe muislam

    • @malifedhaanyasio811
      @malifedhaanyasio811 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Allah akuongoze kk uijue haki na batili

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hata nyinyi ni ndugu si sote tumeumbwa na mungu mmoja au majini wameumbwa na mungu yupi na ndio mana shetani alikuwa ni mmoja wa wanafunzi wa yesu katika wanafunzi 12 mmoja wao shetani na makao yake ni pale mazabauni kanisani😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา

      🙌😂😂😂

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 4 วันที่ผ่านมา

      Hahaha

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 4 วันที่ผ่านมา

      Shetani hapendi kujulikana kama mbaya ndo mana amewapamba wafuasi wake majini hata hivyo naye anapenda kuitwa Mungu...Yesu alikufa kwa ajili yako acha kupoteza muda wako na roho yako maandiko yamewakataa..

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 4 วันที่ผ่านมา

      Kuwa makini na unayemwita mungu wako asiwe ibilisi..

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 4 วันที่ผ่านมา

      Ni mandugu zenu katika Imani, yaani majini ni Maislam menzenu 😂

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 3 วันที่ผ่านมา

    Hvi majini kwa lugha ya biblia ni nini?Je Kanisani wamo...wale huwa wakristo wanatolewa kila siku za ibada ni majini ama mashetani naomba mnijibu na kwa nini hayanaisha tangia muanze kuyatoa?

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wafuasi wa marehemu Muhammad ni balaa. Kuifwata dini ya marehemu, ya majini na ya shetani ni inalilahi kabisa. Kwanini bado mnaweka vitabu ndani ya maktaba kisha mnazikataa? Kuutetea uislamu ni kama kupigana na nyuki. Hauwezi kujua ushikilie wapi

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 4 วันที่ผ่านมา

      Kafiri anatowa povu

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 4 วันที่ผ่านมา

      Hebu tuelezee bibilia yko mbn ikafutwa vitabu mara 88 mara 82 mara 72 mara 66 nani anae amua kipi kitabu sahihi na kipi sio?

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา +1

      We unamkataa Mtume Muhammad S.A.W eti ni marehemu apo apo unamuabudia Mungu aliesulubiwa na kuuliwa na viumbe vyake.

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 4 วันที่ผ่านมา

      Kwanini kukwepa mada? Kwanini matusi? Kwani nikosa gani kumuita Muhammad marehemu sababu hayuko hai? Inalilahi kabisa

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@qwerqasd8597Ndugu yangu, kama kafiri anasema amemtambua kafiri mwenziye, mimi nitampinga kwanini?

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 4 วันที่ผ่านมา

    Mpaka hapo sasa tunakubaliana kwamba dini ya kiislam,imenazishwa na mtume mwehu Muhammad...inamana hao majini hawakusikia Kitabu Cha Suleiman yakasilim?😂😂😂

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา

      Na kwaakili zenu basi semeni nabii Suleiman hakuwa nabii wa Mlmungu maana alikuwa anawatumikisha majini anavopenda yeye

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 4 วันที่ผ่านมา +1

      Hebu tuelezeeni nyie watalaam bibilia inavitabu vingapi? 88, 82 ,72 au 66 na ni nani mwenye mamlaka ya kuamua kukubali na kukataa na kupunguza na kuongeza ? Laiti utatumia nguvu na umakini utagundua dini yako ni mipango mipango mingi na propaganda nyingi

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 3 วันที่ผ่านมา

      Kafiri kumtukana Mtume ni kawaida

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi nadhani imefika muda wakristo tuache kubishana na hawa waislam. Mana uislam na Mtume Muhammad mbakaji alieoa binti wa miaka 9, alieamrisha auawe muislam yoyote ataebadili dini, mtume alietaka kuoa mke wa mwanae. Na bado waislam wanamuamini itoshe kujua waislam ni vipofu na watumwa wa waarabu mpaka kesho

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา

      Ukimaliza kujiharia kachukuwe karatasi ujipanguse,maana huko ulipo huruhusiwi kutumia maji

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuni ila wanawake wa kiislamu, mabaibui makubwaa, wanafunika mpaka macho kujistiri. Ila cha ajabu marinda hawana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
      Lugha uliotumia tu inaonyesha imekuingia mpaka kwenye gololi.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      Kwaio ndio kusema umewamaliza wanawake wakiislamu ndio umeenda kupeleka moto upande wapili,uwe makini huko mara unawahiwa wewe,na ndoa unafungishwa kanisani

    • @SirikwaMollel-y3k
      @SirikwaMollel-y3k 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuniok ndo maan mikono yako inanuka mavi Na ukitaka nusa

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      Kati ya anaejisafisha kwa maji na anaejipangusa kwa karatasi nani ananuka,ndio maana mnaenda kanisani mnakaa kwa bench,mnaimba basi,hamuezi kumsujudia mlmungu mnakinyesi