Imeshafika kwa Ayo Tv imeisha hii.Nashauri kwa Upande wa jeshi la polisi kitengo sha Usalama Barabarani Wampatie Mafunzo na Wampangie hapo hapo kashakuwa Mzoefu Ni Elimu tu Apewe.In sha Allah Allah Awafanyie Wepesi In sha Allah.
Waoooo!Volunteer ni nzuri sanaaaaa inakupa experience ,exposer na pia ni mlango wa kupatia riziki nyingine maana unaonekana unajitolea unaweza kupata channel bila kujua imekujaje!Keep it up
Nakukubali sana huyu jamaa yupo vzuri anasaaidia sana watoto wa shule wazee na watu mbali mbali hii sehemu lazima awepo muongozaji maana huwezi kupita kiurahisi mjomba apewe elimu tu maana anafanya kazi sana ukiweka trafik wataacha kuongoza magari watakamata vyombo huyu jamaa Hilo eneo kaliweza kwa kweli kama mwenyeji wa unguja lazima umkubali huyu kijana
Somo nakupa big up haina ubishi juhudi yako ndani ya Zanzibar hii hakuna ambae hajaiona Allah akulipe kheri na serikali imuangalie kwa jicho la huruma mda ni mrefu sana kajitolea
Namkubali sana Masha Allah mungu atamlipa ujira wke amekua anatusaidia sana kuondoa folen Serikali imtambue uyo jamaa wampe jpo kijiajira aendeshe familia yke
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈💕💕💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
Wewe ni mtafutaji unatafuta wateja na kuna wengine watakuja ili kukuharibia tu hivyo naomba nikushauri kuwa unapoona comments zenye negativu usizijibu kwani wengi wanaangalia reaction zako
Huo ndiyo uzalendo ,na mtanzania halisi hujitolea kuisaidia nchi yake,piga kazi,dogo okoa maisha ya watu,ipo siku mungu atakupa,kinachotakiwa kuwa mwaminifu,usiombe rushwa,ukifanya kazi vizuri na jeshi la polisi ,hawa maafande wetu hawana shida,ila ukiharibu kazi yao ,kweli watakufuza,maana utakuwa umeharibu sifa ya jeshi la polisi,kwahiyo ndugu yangu naomba uzingatie haya maagizo.Piga kazi
Unataka kusema kwamba Serikali yetu ina short ya Askari wa usalama barabaran? Vizuri kwa kujitolea ila pia unahitaji Elimu ya Usalama Barabarani.. Vigezo havijakamilika, usije ukahalalishw Rushw ya wazi maaan mmmmh ..#big up
Hapana, mda mwengine askari huwepo hapo na ukishuka kidogo wapo askar masaa 12, ila kuna kibarabara kidogo cha ndani amacho wanakitumia sana , ila mda mwengin huwa hakuna askari na njia ya watoto wa shule wingi, one way or other wapo askar ila ndoivo.
Yeah anahuruma na ndugu zake wanagongwa na magari serikali itoe masaada kwa kujenga fly over za chuma kuokoa watu wanakufa wengine kuwa vilema mfano dar pale mbezi kuelekea ruguluni watu hugongwa kwenye zebra kila siku ile babara ya njia 8 serikali saidia katika hili.
Imeshafika kwa Ayo Tv imeisha hii.Nashauri kwa Upande wa jeshi la polisi kitengo sha Usalama Barabarani Wampatie Mafunzo na Wampangie hapo hapo kashakuwa Mzoefu Ni Elimu tu Apewe.In sha Allah Allah Awafanyie Wepesi In sha Allah.
Kitengo cha polis jamii ndo kimuunganishe na division ya trafiki
Weka like nyingi kwa huyu jamaa naamin Allah hutoa rizki kwa mtu kwa wakat wake sahihi #Tusubir Muda
Miaka11 mingi sana Wenda saiv Allah anataka akuinue
Yuko vizur huyu kijana Allah akuongoze. Viongozi mkubalieni maombi yake.
Miaka 11 unajitolea
Ingekua nchi nyingine wangeshakupa mafunzo na kazi na malipo lkn 🇹🇿
Mungu ibariki Tz uwabariki na viongozi wake
Big up sana namkubali anasaidia sana
Good job Khamis traffic wetu @nyumba mbili
Duh Ayo ni noma Hadi kwamshkaji jamaa anajitoa Sana
Kunawatu wapo ambao inawezekana watakupuuza but selikali ikuangalie na mungu pia akupiganie good job boy
Waoooo!Volunteer ni nzuri sanaaaaa inakupa experience ,exposer na pia ni mlango wa kupatia riziki nyingine maana unaonekana unajitolea unaweza kupata channel bila kujua imekujaje!Keep it up
Safi sana. Nchi za wenzetu angewekwa kwenye kitabu cha GUNESS.
Uyo bro alipwe na serikali ni mda sana ameanza hiyo kazi
Umeona eee wao wana sapoti
Kaka uko vizuri sana jitahidi sana
Naomba serikalii wamsupport kijana kwa namna yeyote ile🙏🏾
Jamaa inaonekana anapenda sana traffic
vijana ni bora kutumia kipaji ulichonacho kuweza kujiajiri jamaa ni mbunifu sana big up
Nakukubali sana huyu jamaa yupo vzuri anasaaidia sana watoto wa shule wazee na watu mbali mbali hii sehemu lazima awepo muongozaji maana huwezi kupita kiurahisi mjomba apewe elimu tu maana anafanya kazi sana ukiweka trafik wataacha kuongoza magari watakamata vyombo huyu jamaa Hilo eneo kaliweza kwa kweli kama mwenyeji wa unguja lazima umkubali huyu kijana
Very nice kipindi
Huku nilipo mm ukifanya hivyo ni kosa
Jeshi wMpe saport ikishafik kwa ayo tv ilo limeisha
Ushauri wangu! Mpeni ka short course huyu jamaa halafu mwalirini kama traffic!
Hakuna Jeshi la hivyo
yuko vizuri sana
Hongera Bro,mungu analipa
Hongera sana dogo nakukubali Sana unavyosaidia watu barabarani, inshallah one day yes
Umetishaaaa.. namkubal sana mwanangu wa damu
Namjua vizuri maana buwa namuona
Hongera kwa kujitolea kaka uko vizuri selikari tumuangalie kwa jicho la pili
Mungu akubariki broo tunasuport kwaunayo yafanya
mungu akusaidie broh usikata tamaa
yeah namkubali sana brother khamis usijali mungu na sisi tupo.pamoja ninakusapoti sana
KAMANDA SIRO NA RPC WA ZANZIBAR MWAJIRINI KIJANA HUYO ASAIDIE JAMII
Mungu msimamie kijana wetu huyuuuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
hii kona niliwahi kumgonga mwendesha vespa. Bora kuwe na traffic, ni eneo hatari sana
Serikali imuone huyu kijana
Huyo ni mwananguuu sanaa nikipita na gariii lazima nimtie buku and he appreciate sana milard nakubaliii
Big up nassor
Nakukubali kijanaaa hao wanao kusema kwa ubaya itakua wana bif na wewe tu
Bless mwanangu side na ankel
Safi sana nakumban naee sana uy
Safii Sana Khamisi kwachai , unapambana Sana unasaidia Kwenye kufanya utaratibu wa kuongoza magari
Sawa Apo pabaya sana
Inshaalaa M,mungu ,yupo utapata Tu rizki yako
Na utakuta alishawahi omba kazi ya upolisi na akakosa, na baadhi wasio na sifa walipata kwa connection🤔 huu ni wito
Jamaa namkubalisana akiwepo sigandi kwenye foleni jazakallah kheyr
Very very sound no fear zanzibar
Poa Allah akulipe sio selkali ukipata kazi utasau majukumu yako
Anajitolea sana Mungu amlipe yupo sana mda mchache t ndo humkuti ila anajitoa kwa moyo safi
Ila ajitahidi kuomba ili aingizwe kwenye mchakato wa kupata mafunzo rasmi Nitashangaa kama Ajira ambazo zimetolewa atakosa nafasi
God bless you
Nakukbl bro
Inshaalaa Utapata tu
Inshallah Allah atakufungulia
Rais Hussein mwinyi mchapa kazi akiiyona hii kazi utapata ww unaokoa maisha ya watoto na wazee
Ni kweli uyu kijana anasaidia sana yupo vizuri
Somo nakupa big up haina ubishi juhudi yako ndani ya Zanzibar hii hakuna ambae hajaiona Allah akulipe kheri na serikali imuangalie kwa jicho la huruma mda ni mrefu sana kajitolea
Kitu kizur sana
Uckate tamaaa
Nakukubal sana maana una tuseve san bro ilaa na wew tu na kuzingatia
pongezi kwako brother
Serikali mpeni dogo ajira hapo
Allah atakulipa inshaallah utapata hitaji la moyo wako hongera sana kaka hongera mno
namkubali san huyu jamaa kuliko ht hao askari mn wanazingua il mchiz anajitahidi
Safi sana
Asije tu akafanya Kama movie ya rush hour ya jack chain,akaongoza msafara sipo ikawa balaaa..
Namkubali sana Masha Allah mungu atamlipa ujira wke amekua anatusaidia sana kuondoa folen
Serikali imtambue uyo jamaa wampe jpo kijiajira aendeshe familia yke
Kma sija comment nitakua cjakutendea haki kamanda wangu peace sanaa tu nakukubali
Nani kakuambia Mungu anapanga ajali kijana 😁😁Ajali huwa ni uzembe Mungu hapangagi ajali
Uzembee yakheee 🤣🤣
Anafanya kaz kubwa sana mungu ampe umri mrefu
n ww jamaa ushakua reporter wa milard ayo jitahidi t ndugu
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈💕💕💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
Hauna akili na mwenye akili awezi kuja kweny accnt yko
Wewe ni mtafutaji unatafuta wateja na kuna wengine watakuja ili kukuharibia tu hivyo naomba nikushauri kuwa unapoona comments zenye negativu usizijibu kwani wengi wanaangalia reaction zako
@@martinemaganga5253 nimekuelewa kaka asante sana
Ikiwa waheshimiwa wanamuheshimu na kufuata muongozo wake ktk barabara kwa nn wengine wasiheshimu muongozo wake
Huo ndiyo uzalendo ,na mtanzania halisi hujitolea kuisaidia nchi yake,piga kazi,dogo okoa maisha ya watu,ipo siku mungu atakupa,kinachotakiwa kuwa mwaminifu,usiombe rushwa,ukifanya kazi vizuri na jeshi la polisi ,hawa maafande wetu hawana shida,ila ukiharibu kazi yao ,kweli watakufuza,maana utakuwa umeharibu sifa ya jeshi la polisi,kwahiyo ndugu yangu naomba uzingatie haya maagizo.Piga kazi
dr Ali Hussein Mwinyi 😆😀
Kwa kwel mung akulipe
Hamis kwachaiii😂😂😂 nimemtoa mwenywe pemba uyuuu😂😂😂😂
Hahahaha Yani wewe mdogo wangu kila Kona upo
Daah ilikua sijawah ona sura yake kila cku namuona na kitambaa tu
Kweli kk anafanya kaz sanaa jamaa serekali imuajiri jaman
Duuu kweli hates wapo bana ata habari kama hii mtu ana dislike .... pambana Ndugu inshaallah kila kitu kitakua sawa
Wachawi wengi kaka
Hakutaka tamaa yakuiba kikubwa wamfikirie hii ni moja ya upendo
Dahhh bi ari techa uyo alinisomesha zamani chumbuni
Mlikua wengi apo ila wenzio walikata tamaaa tangu maji yanajaa njia kubwa haipitiki mnasaidia kuvusha watu mungu ata kulipa kwa wema wako
Unataka kusema kwamba Serikali yetu ina short ya Askari wa usalama barabaran?
Vizuri kwa kujitolea ila pia unahitaji Elimu ya Usalama Barabarani..
Vigezo havijakamilika, usije ukahalalishw Rushw ya wazi maaan mmmmh ..#big up
Hapana, mda mwengine askari huwepo hapo na ukishuka kidogo wapo askar masaa 12, ila kuna kibarabara kidogo cha ndani amacho wanakitumia sana , ila mda mwengin huwa hakuna askari na njia ya watoto wa shule wingi, one way or other wapo askar ila ndoivo.
muhim ajira asichague kitengo wapi
Good boy
We jamaa soon matunda ya kazi yako utayaona
Kiukweli serakali umuone huyu bro anatusaidia Sana kiukweli
Namfaham sana uyu jamaa, anajituma sana, kama uwezekano upo apushiwe
Kiukweli anasaidia sn tn sm Ikiwezekana wampe mafunzo awe km trafic polisi jamaii
Bora huyu jamaa kuliko. Traffic wenyewe wanapenda rushwa sanaaa
Jamaa namkubali miaka tele nimuhimu kuliko hata haomatrafic trafic kazi yaomzur ni mibungo hiyo wanaifanya vizur
Yeah anahuruma na ndugu zake wanagongwa na magari serikali itoe masaada kwa kujenga fly over za chuma kuokoa watu wanakufa wengine kuwa vilema mfano dar pale mbezi kuelekea ruguluni watu hugongwa kwenye zebra kila siku ile babara ya njia 8 serikali saidia katika hili.
Inshaallah una jina la mdogo wng rizki anagawa mungu
Kabisa anajitolea sana Ridhik anatoa Allah atapata fungu lake
*Nimefrahi sana kuona hakuna comment za kumpuuza huyu jamaa inaonekana tunaelekea kwenye ustaarabu sasa*
ayo pongezi kwenu tz munatusha
Kama yupo na vigezo na umri unaruhusu apewe nafasi tu.
Allah akusimamie
Huyu jamaa mpeni ajira yakudumu kabixa jamani daa.
Kuliko kuiba safi sana
Kuna kirungu kinawaka kijani na nyekundu apewe kwa ajili ya usiku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpeni kazi huyo kijana siyo kumtumia tu alipwe.mshahara
Angeajiriwa tu anafaa !!
Nadhani serikali ipo haja ya kumpa ajira ya kudumu huyo kaka,anafanya kazi kubwa ya kujitolea nadhani apewe na nguvu ya hata kushika wanaomdharau.
💪👍🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏