nawakubali manzeni kwa kanzi yenye we kbs nyinyi lazima mumurudiriye kanumba wakati mulikuwa munacheza nilikuwa nikikumbaka kazizake za kanumba pigapu sana manze
Natamani sana nitazeme shilingi Episode 2. Alice,Peter, Michael, David, Gutale, Barkush na wengine wote. Nawapenda sana. Nimejifunza mengi kwa kipindi yenu na filamu. Ina mafunzo mengi sana. Naomba tafadhali Episode 2 ikuje. Sijui kama Sajo atakuja kumuoa Wema au Davidi na Michael watapata baba wao mzazi. Na je! Michael alipona baada ya kuvyutuliwa risasi? Mimi ni mKenya.
Shilingi imefana kweli ila kma mm mwana tamthilia umefeli kitu kimoja raha ya tamthilia hsa iwe na mwanzo na mwisho ujulikane ila apa haukujulikana kwa nn madam Alice
Kwani final ya film hii ya shiringi nihipi! Hebu sihelewi kwani msimu wa 4 partie 60 tayari kwisha na sijahona mwendeleo,nipeni mambo nisiyoyahona, by DRC MAÉSÉ
Mlitunyima shilingi sehemu ya mwisho🇰🇪
madam alice hongera sana kwa kazi nzuri shilingi umeirembesha wacha tu nakukubali endelea hivo hivo utafika mbali uko vizuri ❤
Mimi nipo msumbiji Asante kwa ishilinge nimependa kazinjema devid
Nayapenda Sana Namungu hawabaliki Sana kwakazi mlizo zifanya asante hila tunaomba muendelezo🙏🙏🙏🙏🙏😎💕
Wow.....dada alice nakupenda bure bure, kazi yako ninjema
Sisi sote tumefurahia movie hii .lakini nimpenda madam Alice
Yaani baba david weee uli mpenda sana alice
❤❤madam alice move ndo ina anza nanyi ndo mna mailiza kwel mme tukosea wapenz wenu jamn❤❤❤
Tokea 🇨🇩 DRC 🫶Like zote kwaajili ya Shilling weka hapa🥰🥰🥰
Mama Michael na david hongera sana umeitendea haki hii movie
Kali sana shilingi sema mnaichelewesha
Maua kwako Alice🎉🎉🎉🎉 hongera sana
Mimi apa Congo Drc ville ya Goma nafanta 5/5
Madem Alice nampenda sana mawna huwa mambo yake ni serious ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Madam mwali
Shilingi
Mungu awabariki nakipanji cenu
🙏🙏🙏
Ulikua Kwa kwelii kaz Ni nzurii sana
nawakubali manzeni kwa kanzi yenye we kbs nyinyi lazima mumurudiriye kanumba wakati mulikuwa munacheza nilikuwa nikikumbaka kazizake za kanumba pigapu sana manze
Mimi nawapenda mno ila mmenuchanganya sielewi natazama episode ya ngapi hapa
Alice nampenda anavoshika nafasi yaumama ipasavyo❤❤❤
Natamani sana nitazeme shilingi Episode 2.
Alice,Peter, Michael, David, Gutale, Barkush na wengine wote. Nawapenda sana. Nimejifunza mengi kwa kipindi yenu na filamu. Ina mafunzo mengi sana.
Naomba tafadhali Episode 2 ikuje.
Sijui kama Sajo atakuja kumuoa Wema au Davidi na Michael watapata baba wao mzazi.
Na je! Michael alipona baada ya kuvyutuliwa risasi?
Mimi ni mKenya.
Alive safi kwa kuwa siriasi na nafasi ulioche uko siriasi. 🙏🙏
Ata mimi nimependa sana zenu❤❤❤🇧🇮😂😂😂😂😂
Good upo vinzuri dada
surely i am following this series untill further notice. am happy enjoying manager Alice na watoto wake ambae wamepotea. waiting for the NEXT series.
Ww mwanamke uko mzuri sana
Kama hujaolewa alice plz naomba nikuowe mimi tupate watoto naona unaeza kuwa mama mzuri
Hongera Madam alice kwa kujielez vzr na umeeleweka
Madam umetukerasa na hiendelee Asante
Basi mwambie mie namtaka madam alice ntamuowa ntampa penzi lisilo na kifani
Following from Beirut Lebanon ❤
Alice nakupenda bure❤
yani madame Alice nimekupenda kweli.
Madam Alice nakupenda yaan umejua kunifuraisha kwenye shilingi.....ila mmetuudhi xs kwa kuikatisha shiling
Naipenda sana shilingi
Mwendelz jmn ni nzur San ❤❤❤❤
Fantastic 🎉
Dada nakupenda
Aina mwendelezo apo ilipo ishia madebe unazingua mkwaju ujamaliza
Mungu awabariki🙏❤️❤️💕
Chunga sana ngulu asije kuwa nguruwe. Nabii mswahili.
Mungu awatie nguvu nimependa❤❤❤❤
Dada nimekubali shilingi ulivyo igiza
Wapi shillingi aki
Jamani shilingi tunaiomba nimeipenda hatari
Anajua sana
Nakupenda sana madam ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Vip na final ao muendelezo
Nguru asije kuwa nguruwe 😂
Mbna shilingi muendelezo wake akuna teyna
Mi nimeipenda sana shilling leteni episode 2 bas
Mbona atuon mwendezo wa 61
jamani mbn haina muendelezo😢😢😢😢
Basi Alice naomba namba zako
Thanks for your Job
Mpo vzr
😢tuna subiri EP 4 shilingi book2
Shilingi imefana kweli ila kma mm mwana tamthilia umefeli kitu kimoja raha ya tamthilia hsa iwe na mwanzo na mwisho ujulikane ila apa haukujulikana kwa nn madam Alice
Tunaoma shilingi iendelee jamani tunaumia kwa kumis
Rakini niwaurize kwanini sas mmeikatisha 😢😢😢😢 wakati me apa nirikua nimenogewa sijapenda😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮
@bhotosord wew umeangalia mpa ngap et
Naomba ikaendelee
Jama huyo devid apongezwe na kila mtu
Naipenda sana hii move
alice nawatoto wako gutale narafiki yake ant pamela mmefunika hongera
Tunaomba tuleteeni msim wa tatu episod 27 mwendelezo
Jamani mbonashilingi kimya
Alice wajina wangu umelitendea haki jina langu mana wakina alice wapole sana napenda sana ulivo mpole tumefubili kwa ham sana mwendelezo jamani
Alice mdada mpole had raha mashaallah
Mbona nasubiri msimu wa tatu part 6,7,8sijaona
Keto mnyama mzee wa man u 😂😂😂
Shilingi irejeshwe jamaniiiiiii
Jamani mbona shilingi imeisha 77 iendelee basi hadi mwisho
NAWAKUBALI KTK SHILINGI ASANTE MTUZI NA WASHILIKI
Hey mbona hatuoni shillingi book 2
Done
Leteni musimu3 kipande Cha 14 mbona mumeanza kutu changanya
Kwann mwenderezo hakuna jaman
Ketukayi 😁😁
𝒌𝒘𝒍 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒘𝒂𝒔𝒊𝒌𝒊𝒓𝒊𝒛𝒂 🇧🇮🙏
Tunazubiri shilling kwa ham
Samahani hii episode inaishia ngapi
Mbona mmeikatisha tena
Mbona shilingi mmeiondoa kwa TH-cam hata zile videos nilizokuwa nimezidownload pia mmeziondoa
Hata mimi hapa nashindwa Bona wakaondoa😢
jamani mimi na ishi hapo mulipo
Dada Alice unaitendea vyema shilingi
Hii ndo shilingi
❤❤❤❤❤
Shida kubwa tuona zimoja ziko na ma munite 41 kupanda zingine 13mnt basi
Vipi iyo ndiyo mwisho ep 83?
Tunasubiri 74
🎉❤❤❤❤❤
Kwa hiyo mbona mmekatisha kuna nini au shilingi kata mfukon
🌹🌹🌹🌹🌹🌹💝
Kwani final ya film hii ya shiringi nihipi! Hebu sihelewi kwani msimu wa 4 partie 60 tayari kwisha na sijahona mwendeleo,nipeni mambo nisiyoyahona, by DRC MAÉSÉ
naomba namba za madam Alice
Mbona haieleweki in a episode ngapi? Au ndio imeisha? Eposode zingine hazipo
Ninamubali sana made be
Mbona namba 88 shijaiyon
Tunaomb tamthilia ya shilingi jamn ndo nni kutufanyia hivo
❤❤❤❤❤😂
Tunaitak jamn shilingi