Pichuna Kichuna siyo wakenya tu ndugu ni ulimbukeni wa kiafrika! Kwenye mikutano yote ya Umoja wa mataifa, wote viongozi wa afrika lazima waongee lugha za kigeni! Sijawai kujua ni kwa nini hivyo???
Kuongea kingereza kwa wa kenya kina mkera sana huyu mtanzania,inafa ajuwe kwamba taifa la Kenya apo awali wali chukuwa jukumu yaku jenga taifa kwa uchumi na lugha mbili kiswahilli na kingereza.
Ko huyu mzungu nae ni slave wakiswahili, lugha ni lugha tu, bora irahisishe mawasiliano kwa watumiaj, kuna muda nikiwa Na watu wakabila langu, kiluga chetu ni muim kW muda uo kuliko lugha yoyote dunian,
INGEKUWA NI MWAFRICA ANAONGEA KIZUNGU DAH WATU WANGE TAPIKA DAMU ILA WAZUNGU WAKIONGEA KISWAHILI 👏👏👏👏👏 TUJIFUNZE KU SUPPORT WA FRICA WANAPO ONGEA KIZUNGU SI KUWAPONDA
She is doing field work,,dont be proud of this people ,they always look forward to introduce their culture every where, dont wondee if u see some days maasai fight their own blessed culture
Umeamua kuolewa na muafrica zaa kiafrica sio kizungu juu tuna mashindano ya population na China na India sitaki tena sitaki kuskie eti Miaka 5 una watoto 2 wakowapi wengine 3
Wabongo kweli hatuna macho, hawa watu wana ramani wanazisomaaa, siku akimaliza kazi iliyomleta ndipo tutabaki midomo waziii, walianza kuleta dini, sasa hivi wanajileta wenyewe!!! Hatare sana
Ibrahim Nyalusi Ibrahim Nyalusi umeonaa eeh ,hawa sio was kuaminiwa.Ukute ni FBI au CIA wanajitiaga kuja hata miaka 10 afrika kujichanganya kumbe mwenzio yupo kazini . Na sie tunavowanyenyekea ndo kabisaaa 😩😏
Europeans wazungu sijui ni gani ya Binadamu coz anatumia 5 litres ya maji kuflash kusukuma mavi alio kunya lakini anashindwa kutumia lita 1 ya maji kusafisha mkundu wake eti anatumia toilet tissue kufuta huo mkunduwe duh! Tena watalii wa kizungu hawapendi tour guide mtanashati kuwaongoza utaona tour guide mwenye Rasta ndio wanao wapenda!! Alafu huyo mdada ni spy yuko kazini hapo kuchunguza kitu
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
Hawa wengi wao wanakuwa shushushu...na wamwaga sumu katika jamii lililo nje za Mikoa mikubwa na nchi unashangaa hayo maandamano yametokea mashambani vipi kumbe mabinti kama hawa wamesha mwaga sumu miaka zilizopita na watu wamesha komaa......
Mtu huyu kutoka ng’ambo pamoja na ukweli kuwa lipo aliloficha zaidi ya kuupenda utamaduni wa kimasai lakini lililo dhahiri tayari ni kupata breed ya kimasai itakayoenda kukuzwa na kuchunguzwa ng’ambo then itajatumika kuilaghai Tanzania kama sio Africa siku moja.
SEHEMU YOYOTE MMAREKANI LAZIMA ATENGENEZE ALLIE(eitheir kwa kuzaliana na wenyeji au kupandikiza) 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤔hapo wame fanikisha mpango tayari tuna mtoto AMERICAN-TANZANIAN MASAI
Huyo mzungu ana yake yuko kiserekali ana mshahara wasiri kutoka ...... serekini kwao yupo kwenye mission tu hakuna mapenzi wala nini. Wanapandikiza network yao hapo
Good for you choosing Maasai man to be husband you not happy with German man .You to live hard life no electricity no running no internet no telephone to contact your family in Germany , Stephanie like to live isolating. Take good care of Maasai animals okay.
No, don't be like that. Humans have heart. Let her live what she love. You love their dollars when they tours, but you hate their love when love. But, What matters is you're not the one loved!
manu bei kabisa bado tunajishusha wa tz sana huyo kapenda hakuna cha mission wala nini this world is global now unaweza kumpenda na kumpenda na mtu yoyote
Sio njaa ila amependa kwani huyo mzungu amekosea kuumpenda mu African mungu ndiye aliwaunganisha Ss wa African tunajizarau wenyewe kwani unatofautiana nini na Mzungu sini nywele na rangi ngozi moja alafu alivyo zaliwa yy na ndivyo ilivyo zaliwa ww tunabidi tuwe na Akili nonsense
Hawa watu ni sawa na wapelelezi tu hakuna kitu happy wanachotaka hapo ni kuondoa kabisa Mila na desturi za hai wamasai na inawezekana wanataka kumiliki hiyo ardhi yao mimi hai siwaamini hata kidogo maana naona wanafanya research juu ya wamasai eti ukarimu, undugu na Hawa watu mhhh hakuna kitu hapo
sasa CIA anafata kitu gani tanzania nyie mnafkil CIA anatumwa kama anaenda kununua nyaya wabongo bwana.mwingine eti anafanya mision zake sasa bongo watakuibia nn sasa ikiwa baba zako walishaiba na kufilisi nch toka enz izo.sasa yupo mtetezi JPM kuwa naaman.TZ nchi nzuri sasa kama uamin utakuwa na matatizo ya akili.
Am sooo proud of you madam wakenya mwafata kizungu muzugu afata Kiswahili wakenya bado nimaslave wa wazugu that’s why I love Tanzania culture
Pichuna Kichuna siyo wakenya tu ndugu ni ulimbukeni wa kiafrika! Kwenye mikutano yote ya Umoja wa mataifa, wote viongozi wa afrika lazima waongee lugha za kigeni! Sijawai kujua ni kwa nini hivyo???
Kuongea kingereza kwa wa kenya kina mkera sana huyu mtanzania,inafa ajuwe kwamba taifa la Kenya apo awali wali chukuwa jukumu yaku jenga taifa kwa uchumi na lugha mbili kiswahilli na kingereza.
noel wasonga mmm sidhani kama kweli amekereka kwa sababu gani lakini pia hajaonyesha hisia ya kukerwa! Mtazamo wangu tu!
Mbona mimi nipo vizuri tu kiswahili na ni mkenya? Tuseme tu ni nia ya mtu.
Ko huyu mzungu nae ni slave wakiswahili, lugha ni lugha tu, bora irahisishe mawasiliano kwa watumiaj, kuna muda nikiwa Na watu wakabila langu, kiluga chetu ni muim kW muda uo kuliko lugha yoyote dunian,
INGEKUWA NI MWAFRICA ANAONGEA KIZUNGU DAH WATU WANGE TAPIKA DAMU ILA WAZUNGU WAKIONGEA KISWAHILI 👏👏👏👏👏 TUJIFUNZE KU SUPPORT WA FRICA WANAPO ONGEA KIZUNGU SI KUWAPONDA
Lakini anaongea kiswahili fasaha kuliko wabongo wengi, hasa wale wanaojiita mastaa
She is doing field work,,dont be proud of this people ,they always look forward to introduce their culture every where, dont wondee if u see some days maasai fight their own blessed culture
wanamalengo ya mbali sana hawa wenzetu, kuna kitu kinapandikizwa hapo siyo bure
@@kevinjohn4507 U read my mind
Just beautiful true love l guess
Umeamua kuolewa na muafrica zaa kiafrica sio kizungu juu tuna mashindano ya population na China na India sitaki tena sitaki kuskie eti Miaka 5 una watoto 2 wakowapi wengine 3
Hahahaaa hahahaaa
Hii kali ati wako wapi 3 hakuna kupunguza lazma idadi ikamilike😁😁
Asante sana kwa kutuelimisha baadhi ya Watanzania wengine, wamesahau mila zao na kupiga marufuku mila haya ni Malisa makubwa sana.
Wabongo kweli hatuna macho, hawa watu wana ramani wanazisomaaa, siku akimaliza kazi iliyomleta ndipo tutabaki midomo waziii, walianza kuleta dini, sasa hivi wanajileta wenyewe!!! Hatare sana
Stephanie a friend of mine, shes amazing
Nice .
She has something unique to do, that thing is behind her and whoever sent her
Labda biashara haramu ya uuzaji wa pembe za ndovu na vifaru
Very Good
Ela fala Suely que ternura
Naona hawa ni wapelelezi
Ibrahim Nyalusi wanapeleleza nini?
ha ha ha watapeleleza nini?
Ibrahim Nyalusi Ibrahim Nyalusi umeonaa eeh ,hawa sio was kuaminiwa.Ukute ni FBI au CIA wanajitiaga kuja hata miaka 10 afrika kujichanganya kumbe mwenzio yupo kazini .
Na sie tunavowanyenyekea ndo kabisaaa 😩😏
Kabisa
She love nature
Aisee
Kkk alafu kapewa sim🤣🤣😂😂anatouch tu haaaa wajinyonge 🤣🤣
Yes !virtue is the best
Europeans wazungu sijui ni gani ya Binadamu coz anatumia 5 litres ya maji kuflash kusukuma mavi alio kunya lakini anashindwa kutumia lita 1 ya maji kusafisha mkundu wake eti anatumia toilet tissue kufuta huo mkunduwe duh! Tena watalii wa kizungu hawapendi tour guide mtanashati kuwaongoza utaona tour guide mwenye Rasta ndio wanao wapenda!! Alafu huyo mdada ni spy yuko kazini hapo kuchunguza kitu
Safiiii sanaaaaaa mdhungu
Anatwanga kiswahili 😛😝
safi sana
Kaswida
Jamaaa analinda chombo hatar
Kweli mazingira and kila KTU.
mmm hapo kuna kitu wana Tafiti mbwa hao mzungu ana akili Sana. ipo siku hato onekana washa maliza yao
Kabisaa sikupingi
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
Mimi mzungu na mswahili nikipishana basi lazima nimchunguze sana mzungu hata kama ameshapita, anaweza kupiga la kichwa kwa nyuma...
Sas mzungu anaongea kiswahili misenge mingine inacoment kingreza unashindwa kwelewa mzungu na manamba niyapi
Hahahaaa hahaa
huyo nyuma hapo ndo anamiliki huu mzigo nn maana kakaba hajakupa hata muda uombe contact
😂😂😂😂
Vizuri
Weeee Masai kwa hela hapo nakataa wanapenda mnoo
Aanyorr oleng enkanashe ang
Mzungu, wewe ni balaa. Unaongeya Swahili vizuri kabisa. Una roho ya upenda. Ninakusifu Kweli Kweli.
Hawa wengi wao wanakuwa shushushu...na wamwaga sumu katika jamii lililo nje za Mikoa mikubwa na nchi unashangaa hayo maandamano yametokea mashambani vipi kumbe mabinti kama hawa wamesha mwaga sumu miaka zilizopita na watu wamesha komaa......
Mtu huyu kutoka ng’ambo pamoja na ukweli kuwa lipo aliloficha zaidi ya kuupenda utamaduni wa kimasai lakini lililo dhahiri tayari ni kupata breed ya kimasai itakayoenda kukuzwa na kuchunguzwa ng’ambo then itajatumika kuilaghai Tanzania kama sio Africa siku moja.
Think the same things
sooo dark your mind is...
David Kossy Poor you...
Wanafanya service poa
Hawa wazungu kuna vitu wanafnya utafiti sio bure na hawana urafiki wa bure hao watu
ila muhind anayekunyonya kila siku akupi ata shiling na anakubagua ndani ya nchi yako yeye anafaida kwako.wabongo pumbavu
tembea dunia nzima kama utaona mwalab au muhind kaowa mmasai.na ndio watu wakubwa wanao wabagua nchin kwenu na kuwadhalau.
Tatizo bado tunadanganyika sana kupitia ukoloni mambo leo!
SEHEMU YOYOTE MMAREKANI LAZIMA ATENGENEZE ALLIE(eitheir kwa kuzaliana na wenyeji au kupandikiza) 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤔hapo wame fanikisha mpango tayari tuna mtoto AMERICAN-TANZANIAN MASAI
Mnawapenda au mwawatumia kuingiza pesa
Wazungu wana roho nzuri, mama hebu chungulia historia ya wazungu hadi leo....
Kuna wazungu wenye roho nzuri na kuna wenye roho ya shetani
Huyo mzungu ana yake yuko kiserekali ana mshahara wasiri kutoka ...... serekini kwao yupo kwenye mission tu hakuna mapenzi wala nini. Wanapandikiza network yao hapo
I suggest, don't trust any visitor🇹🇿🇹🇿
Nikwelii Peter upo sahihii
True dear
Hadi umeanza kuongea kama wao
Pumbavi mmoja wewe nani kakwambia km wazungu wana roho nzuri makatili sana hao kila siku wanchinja ndugu zetu falastina
Wakoloni🤣🤣🤣🤣
Ndugu yako yupi kachinjwa Palestina,mbona Alshabab na Boko haram wanaua Waafrika wenzao Kila siku huoni Hilo au ndo nyani haoni kundule
@@mathiaszakaria7052
We kafiri nyamaza nyie ndio wauwaji wakubwa boko haramu ni vikundi vya kizungu hebu zinduka wewe
@@zuheorsalim7759 huna akili kichwani kumejaa tope
@@mathiaszakaria7052 we kichwa chako kimejaa najsi ya mbwa
Umempenda Masai kwasababu ukituma taarfa za kiuchunguz na uiz wa rasmal hutagundulika jasus
Majasusi
Huyu ni mzungu ama shwahili
Good for you choosing Maasai man to be husband you not happy with German man .You to live hard life no electricity no running no internet no telephone to contact your family in Germany , Stephanie like to live isolating. Take good care of Maasai animals okay.
If dont make dollar dont make sense hiyo ndio kauli yao hao wazungu hayupo hapo km alivyosema anamakubwa sana anayafanya hapo trust me,
Uko sahihi na akimaliza mission yake anasepa!
No, don't be like that. Humans have heart. Let her live what she love.
You love their dollars when they tours, but you hate their love when love.
But, What matters is you're not the one loved!
manu bei kabisa bado tunajishusha wa tz sana huyo kapenda hakuna cha mission wala nini this world is global now unaweza kumpenda na kumpenda na mtu yoyote
Saidi Kikoko that is true br
Uamuzi wa jambo, ni wa mwenye jambo. Nisawa, kipenda roho dawa
nyie wazungu kwenu njaa kali ndomana mkipata sehem ya kula mnajichomeka
Sio njaa ila amependa kwani huyo mzungu amekosea kuumpenda mu African mungu ndiye aliwaunganisha Ss wa African tunajizarau wenyewe kwani unatofautiana nini na Mzungu sini nywele na rangi ngozi moja alafu alivyo zaliwa yy na ndivyo ilivyo zaliwa ww tunabidi tuwe na Akili nonsense
Pia mimi na penda masaai naroho yangu yote
Adi amekua na lafuz ya kimasai
Hahaa
Ukoloni mambo leo , rudi kwenu
Uyu kapenda dudu
Jamani muzungu anawongea kishwahili kazuli hadilaha😘❤💕
Hawa watu ni sawa na wapelelezi tu hakuna kitu happy wanachotaka hapo ni kuondoa kabisa Mila na desturi za hai wamasai na inawezekana wanataka kumiliki hiyo ardhi yao mimi hai siwaamini hata kidogo maana naona wanafanya research juu ya wamasai eti ukarimu, undugu na Hawa watu mhhh hakuna kitu hapo
Wazungu machoko tu
Asije akawa CIA
sasa CIA anafata kitu gani tanzania nyie mnafkil CIA anatumwa kama anaenda kununua nyaya wabongo bwana.mwingine eti anafanya mision zake sasa bongo watakuibia nn sasa ikiwa baba zako walishaiba na kufilisi nch toka enz izo.sasa yupo mtetezi JPM kuwa naaman.TZ nchi nzuri sasa kama uamin utakuwa na matatizo ya akili.
Rafu Chief Yaelekea hauijui Tanzania vyema wewe!
Huyu so albino kwel mbn kiswahili imenyooka ivo
Nimechekaaaaaaa
Safi
unawapenda wamasai ndio mana wamekuoa una mana unaolewa una achwa au unaishi nao?
huyo mswahili tu mbona ? sema tu amekula vidonge amekua kama dada zetu
Hata mimi masaai ya zaman, nawapaje mzungu
Huyo anafanya utafiti,mission yake ikishatimia anaondoka
Very correct!
Kabisa
Mosses Lazaro yap kama yule alie olewa na mzee mwenye bushaaa tena mke wa tatu😂😂alitak kujua why do they praise busha 😂😂
I'm really, don't believe this people!!!!
Yemane Dirar I do too
Ni kweli nApenda wamaasai coz wako na cassava kubwa Tena wanajua kuitumia, very sweet..
Hahahaaa asante
What s?
Why do the maasai fall for this. I thought their culture was deep and well out of bounds for any foreigners.
Its very easy to mingle with masais they are lovely loving people
Panzi haichagui kabila
Hi muzungu napenda masaai sabab inawaburuza kw kila wanalolitaka that all
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ayo matumiz mabaya yamzungu
😂😂😂
She is doing for a purpose .,....hii no upelelezi msifurahie mtakuja kuona baadae mtanikumbuka Mimi KONKI
Mpelelezi huyu
amechoka na stress za ulaya