Hawa viongozi wetu wanataka kuturudisha kwenye ukoloni hivi ingekuwa ni ndugu zake wanauwawa angeenda huko uarabuni wote wanaohusika mungu amalize kizazichao chote ili wajue maumivu yanavyo kuwa
Mwanadamu unakuwa naroho mbaya kiasi hicho hawa wamasai nindugu zetu moyo wangu unaniuma sana inamaana huyu mwaraabu anasaminika sana kuliko huyu masai
Loliondo si nchi ndani yanchi mnatangaza vita na serikali wakati kuna njia ya maongezi?unatukana viongozi ,wewe Nina I kwahiyo mmetengeneza kundi la uhasi!?
Hiii nchi imejaaa vijana wenye akili za mharo wa nguruwe ukifatilia comment utaona kuwa kila kijana mwenye chembe ya c.m ni kichwani mwake ni upepo , wenzenu wanatetea haki yao nyie mnaropoka ushuzi hamna hata uwezo wa kujenga hoja.!!
Serikali kumbukeni sisi wamasai 😂 ni damu moja popote pale walipo duniani kwaiyo mnapo mjeruhi masai moja wa ngorongoro mnawajeruhi wamasai dunia nzm tunalaani tukio hilo la kinyama
Loliondo sio nchi ndani ya nchi! Acheni kiburi chenu, mmnawezaje kuitisha SERIKALI NA MISHALE?? MNA AKILI KWELI?? KUNA HAJA YA KUKAA NA SERIKALI NA SIO KIBRI;!!!!!!!!
Iyo serikali imejiweka hapo? Mishahara inalipwa kwa Kodi za Nani? Unafikiri hao watu hawana akili? Kama umechaguliwa na watu iweje uwapelekeshe utakavyo? Acheni uonevu wa kishamba.
Acheni siasa ndogondogo za kifara. Hii nchi ni ya kifara sana. Kwani wamaasai ni special kiasi gani?? Watu wamehamishwa nchi hii miaka nenda rudi na hakuna mtu alipiga kelele kwa ajili ya kile kilichoitwa maendeleo? Ondokeni muende mlikopangiwa kwani nani alikwambia hapo utaishi milele?
akuna anaeweza shindana na selekali hasa ukiangalia ardhi ni mali ya selekali hvo wakuiitaji mda wowote wanachukua kwa masilahi ya nchi vle kwahiyo mnachotakiwa nikukaa nakuelewana zaidi hamuwez pambna na serekali zaidi mtapigwa ata HOA mnao wategemea awata sogea kabsa
Hizo beacon zinawekwa kwa manufaa ya umma wa Watanzania wote....hiyo sehemu ya kilomita za mraba 1500 ni muhimu kwa malisho, mazalia na vyanzo vya maji kwa sehemu yote hiyo na hifadhi ya Serengeti....sehemu nyingine kubwa ya kilomita za mraba zaidi ya 4000 mmeachiwa wananchi na vijiji vyenu.
Hakuna mtu amaeweza kushindana na serikali ndani ya nchi Wataondoka tu Mwaipaya unawaponza wenzio wewe utakuwa sehemu salama Wenzio watakuwa sehemu yenye Taabu
@@songamberetv2219 Hebu amua uiondoe hiyo serikali wewe mwenye akili ndefu unajidanganyaaaa bureeeeee huwezi ifanya chochote serikali ikiamua wewe na UPOYOYO TU
Ww nimavi hata ujui unakunya nn muarabu alieuziwa loliondo amekusaidia nn ww nawakati ndio waliowamaliza vifarau alafu nyie wanzanzibari mtakiona mwinyi aliuza loliondo samia Leo anauza ngorongoro haki mm nawaambia haya mnayotufanyia Hamta baki salama
@@frankmollel8510 hivi wewe unaona hiii nchi ni yako peke yako au unaona hiyo loliondo ni ya wamasai tu Wacheni upuuuzi huo watu wanawasaidia ninyi alafu mnaona watu ni wehu Sasa mtaondoka ardhi sio mali yenu Ardhi ni mali ya umma Sasa hivi wamasai wapo kila mkoa
kabla serikali haijakuwepo ma chifu na jamii yao walikuwepo.... watu ndiyo serikali, hakuna serikali bila watu. Haujuwi sheria ya ardhi, hakuna ardhi inamilikiwa na serikali, wananchi ndiyo wanamiliki serikali. Kabla ya kuja mzungu na kuleta serikali ma chifu walikuwepo na ndiyo wanaomiliki ardhi.
Hao wenzako wanakudanganya wanatamani Sana kurudi nyumbani" Tz ni LULU ndo maana wanatumia Watu Kama Nyie kuichafua Tena nyie ARUSHA huko ndo mnafaidika na Utalii kuliko mikoa yooote Yaani nakushangaa unachafua Nchi Wakati wa Hi-Season?????? What do you want?????
The ethnic nilo-hamitics want their own government in reserves for betterment of their flocks another issue which is time bomb is when these guys invites their fellows from neighbouring country to enjoy pastures in our reservesi disguising themselves as Tanzanians. We have to be very careful.
Yaan wewe masai wewe ndoo mpuuz pamoja na uyu anae kudai Arth nia mali ya uma kwakua ni mali ya uma tunamuujibu wa kuitinxa kwa maslai ya wengi atuwezi ruusu wahuni wachache kuaribu ilo na acheni kupotosha
Na hilo eneo nalo litafaidisha mwarabu na sio mtanzania mwisho wa siku hao wanyama watakuwa oman na si tanzania hvyo mtakosa watalii. Hii ngozi yetu iliumbwa kwaajili ya kutawaliwa na weupe kwakweli
Hahahaha waziri mkuu wa nchi unamuita mjinga na mpumbavu na bado unahitaji usimiminiwe bomu. Hizi story za kutengeneza bana sijui hata huwa mnafikiria nn nyie waandishi uchwara.
Ngorongoro imelelewa na Serikali kwa umakini mkubwa sana, unachokisema wewe ni kutoitii Serikali yako ambayo imekutunza kwa miaka yote hii, Acha kutukana Viongozi, Wewe ni nani hasa hadi utamke Matusi?? Tunaiomba Serikali iwe Macho na huyu Mchochezi , anahatarisha Amani iliyopo Nchini. Anavuruga Amani na utulivu wa Nchi..tusimvumilie kabisa.
Yaani wewe huoni mazuri yoyote SERIKALI inayofanya Mkataa kwao ni mtumwa Wazungu unaowasifia na kuwakimbilia wao wenyewe yamewashinda wanaitamani Tz Yaani wewe njoo ukae Ulaya ndo utaona Tz ni Lulu ambayo inatakiwa kutunzwa Kwa Gharama yoyote
Kama wewe si mpumbafu wewe unaoongea si nasikia nyie ndiyo wa kwanza kumpiga askar mshale nyie si ndiyo mmeanza kupiga Kama hamkupiga askar mshale yangetokea hayo? Tena nnatakiwa kupigwa Sana Maana nyie mmevamia maeneo yaliyotengwa na Mungu kwa wanyama wa mwituni?
Kaka wiliamu mwaipaya anatakiwa akamatwe wamasai wa tz hawana shida siida yote ni wamasai wa kenya kwanini waende kutibiwa kenya kama siwakenya? Kenya haina ardhi ya kuchungia mapoliyote ni matajiri
Jamani ili tuwe na amani hawa watu serikali iwaondoe wote katika hilo eneo libaki kuwa hifadhi tu. Kwa sababu hao wanaobaki wataendelea kuzaliana tu hali itabaki vilevile.LOLIONDO ni Tanzania hivyo wapelekwe sehemu yeyote palipo na nafasi ya mifugo yao na kilimo. Waache kuingiza mambo ya siasa.
Huyu kuma gani anamtukana waziri mkuu wetu,hata hichi chombo ilitakiwa kufungwa,unahoji watu km hawa vipi?ardhi ni mali ya serikali,hawa umbwa toa hapo,jeshi linakula tu waende wakafanye wanachotakiwa
Ana tofauti gani na wewe unayetukana?unatuma matusi mazito hivyo?yey katumia neno mpumbavu na mjinga..wew umeona uzito wa maneno yako yalivyo matusi mazito
@@bennymochiwa4800 mimi natoka kanda ya ziwa,madini na samaki za lake Victoria zinatumika kwa manufaa ya taifa lote,gesi imegundulika mtwara ni lazima itumike kwa manufaa ya wote hivyo hivyo kwa ngoro ngoro lazima kinachofanyika kiwe ni kwa manufaa mapana ya nchi,sasa masaai ni nani, wawe pia ni topic ya kitaifa kisa mipaka inawekwa?
Hao wanyama walienda kufuata nini huko kunakowekwa beacons? Si huwa wanasema wanawake wa kimasai hawamiliki archi? Sasa wanapigania mini kama hawamiliki ardhi
Hiyo ni ardhi ya Tanzania na siyo ardhi ya loliondo na ndiyo maana wamasai wametapakaa nchi mzima Sasa nyie hasa we unayeongea tunajua manashinikizwa na wamasai wa Kenya kwa sababu Wana maslahi hapo loliondo kumbuka hii ni Tanzania na Ina miongozo na taratibu zake Kama nchi
Kama ikitokea majira ya kiangaz, Inamaanisha uwepo wasenene wengi msim ujawo. Upande wa siasa tukio baya linakuja na ayibu kubwa kikundi au mtu maarufu
Nyie wamasai acheni upumbafu kwanini mnangangania maeneo yaliyotengwa na Mungu kwa ajili ya wanyama wa mwituni. Lazima mpigwe kwasababu nyie ndiyo mnapiga wanaoweka alama za mipaka Tena nnatakiwa kupigwa kabisa Tena kabisa Wapumbafuwawapumbafu kabisa nyie nyie rudini nyumbani ila msivunje sheria
Subhanaallah why we like to share feck news to the people whats we get to this shame on you guys all this becouse of 2025 poleni sana watazania kwanini hatupendani Hawa watu wanaowatia fitna hawako tanzania wanamitumia nyinyi tundu lisu na wenzake wanajifanya wa Namipenda wanaleta mazito inchini tanzania
Njoon kinyerez huku maeneo kibao tu ya waz... Kwann mtake kuish na wanyama.. mmezoea kula wanyama pori wa kitonga... Njoon huku mpambane na maisha.. sio kula nyama pori za bure.. kenge nyie
Hivi wewe unaikash ifu nchi Yako Umtambui Raisi na Unamtukana Waziri MKUU pole Sana acha kuchafua Nchi Acha Uongo Dunia ambayo unaisifia wao wenyewe Ulaya wanapigana Kila Leo
Poleni Wana ngorongoro serekali wasitumie nguvu kubwa Kwa wanainchi wawoo! 🙏🙏🙏
Hawa viongozi wetu wanataka kuturudisha kwenye ukoloni hivi ingekuwa ni ndugu zake wanauwawa angeenda huko uarabuni wote wanaohusika mungu amalize kizazichao chote ili wajue maumivu yanavyo kuwa
Mwanadamu unakuwa naroho mbaya kiasi hicho hawa wamasai nindugu zetu moyo wangu unaniuma sana inamaana huyu mwaraabu anasaminika sana kuliko huyu masai
dunia imeshangaa alichokisema waziri mkuu bungeni et akuna mtu alieumiswa ni aibu sana kwa nchi
Kiingozi mkuu wa serikali hawezi kutukanwa namna hii. Serikali ichukue hatua kali
Naomba na mimi niongee tupeni namba tupige kelele Wamasai ni ndugu zetu
Maasai are evicted everywhere, we are becoming landless in our own land. Am at Kimana Kenya
Yule mwarabuu Ni mjomba wa mama
Mama mamaake ni mweusi mwarabu atakuaje mjomba wake? Na hao wafanyabiashara 100 waliofatana na mama ni wajombazake?
Viongozi wetu wa Serikali wa wakati huu waangalie sana juu ya suala la Ngorongoro.Nchi haiwezi kuendelea pamoja na watu wake kwa hali ya JINSI HII!!
Hao wamasai wameyataka wenyewe. Si wanahama wenyewe wanakwenda zanzibar kulinda mahoteli na kucheza ngoma.kwahivyo wapiga Dili wanauza maeneo
Alafu kumbe mnashindana na Jeshi....
msikubali ndugu zangu hii selikali ya huyu mama niyakipumbavu wanataka mkakae wapi sasa poleni sana kwakuumizwa
Hatutakubali kabsa
Hii Ni nchi ya Watanzania siyo ya serikali unatumiaje risasi za Moto dhidi ya wananchi kwenye ardhi yao wenyewe
Mungu yupo pamoja na wana ngorongoro mungu ata waacha daima
Ukweli utaongea daima, naliona Giza katika nchi yetu 🙄
Giza nene sana sio kidogo ndugu yangu.
Siyo kidogo nchi ni Giza tupu
Iyo Tanzania sio sehemu salama bola ata South Africa 🇿🇦 wanajionyesha kama sio watu wazuri Tanzania kimyakimya wanauwa
ngolongolo ni mali yawamasai waacheni hao ni watu na wanyama
Mwaipaya Mungu anakuona Wewe
Mwaipaya nimchochezi
Mwaipaya anaweka ukweli wazi sio mchochezi bali mkweli
Duh, nimeipenda hiyo ya kwamba Magufuli yupo na anachapa kazi, hali kadhalika kafa!
Unamwitaje Waziri wako mwehuuu......alafu hamuwezi kushindana na serikali
Heeeeeee hivi ni vita vya Tanzania bara
Mutulie aridhi ishatwaliwa
Uchochezi sio mzuri
Hapa sasa sawa Zanzibar wameteseka sana na kufa
Jinga wewe kisasi siyo suluhisho
Loliondo si nchi ndani yanchi mnatangaza vita na serikali wakati kuna njia ya maongezi?unatukana viongozi ,wewe Nina I kwahiyo mmetengeneza kundi la uhasi!?
Kwani kati ya wanyama na hao masai nani alifuata mwenzake?? kama ni wanyama,wanyama waondolewe.kama ni masai masai waondolewe.Sikitu hiko tu???
Mmmh hatari
Tanzania mnataka ukombozi , hii ni upusi kuongozwa na chama moja tangia independence
na nyinyi mliongozwa na vyama vingine,mbona mnachinjana,au huo ndo ukombozi?
Kama hakuna chama kingine tufanyeje? Vyama viko idadi zaid ya 20 lakini niwaganga nja tu hakuna chama cha siasa cha upinzani ni maaduka yawatu tu
Hiii nchi imejaaa vijana wenye akili za mharo wa nguruwe ukifatilia comment utaona kuwa kila kijana mwenye chembe ya c.m ni kichwani mwake ni upepo , wenzenu wanatetea haki yao nyie mnaropoka ushuzi hamna hata uwezo wa kujenga hoja.!!
Umeongea ukwel kk
Nyie ndio meja upepo kichwani wenzenu wanapigahela mnaimbishwa pipo
wew ndoo umejaa upepo
@@ramadhanmohamedi9793 Tatizo aliki zako zinawaza khela tu hujui hata alie kufanya kuwa maskini ni nani , siku ukipata akili ndo utapata na hela.!!
@@kaguripenina63 Kosa sio lako dogo tatizo ni kwa sababu akili yako ni ndogo ndo maana upo kama ulivyo.
Mzee ruksa ndiye chanzo cha haya
Mkome kumsema Mzee Ruksa.hapa tutagawanyika !
Ngorongoro
Wapumbavu wakubwa na fitina zenu na chanel yenu. Mungu awalaani
KAZI IENDELEE
Hawa paswi kuweka Bicon Nchi hii ni Yetu siyo ya kikundi flani hivi cha Watu:
Serikali kumbukeni sisi wamasai 😂 ni damu moja popote pale walipo duniani kwaiyo mnapo mjeruhi masai moja wa ngorongoro mnawajeruhi wamasai dunia nzm tunalaani tukio hilo la kinyama
Wamasai mnajifanya kama nyie Tanzania ni yenu,Waziri mkuu leo mnamwita mjinga nyinyi ni wapuuzi sana mnahitaji mpewe chai
Mnafiki aliyeoza oza hana haya wala hajui vibaya Mungu atakuhukumu wakati bado uko hai na tutakushudia matendo yako.
Loliondo sio nchi ndani ya nchi! Acheni kiburi chenu, mmnawezaje kuitisha SERIKALI NA MISHALE?? MNA AKILI KWELI?? KUNA HAJA YA KUKAA NA SERIKALI NA SIO KIBRI;!!!!!!!!
Iyo serikali imejiweka hapo? Mishahara inalipwa kwa Kodi za Nani? Unafikiri hao watu hawana akili? Kama umechaguliwa na watu iweje uwapelekeshe utakavyo? Acheni uonevu wa kishamba.
Mshale nayo nisilaa
Ebu acheni kuchochea nyinyiwatu msiokuwa na heshima
Acheni siasa ndogondogo za kifara. Hii nchi ni ya kifara sana. Kwani wamaasai ni special kiasi gani?? Watu wamehamishwa nchi hii miaka nenda rudi na hakuna mtu alipiga kelele kwa ajili ya kile kilichoitwa maendeleo? Ondokeni muende mlikopangiwa kwani nani alikwambia hapo utaishi milele?
Ukiona mtu anachochea vurugu itokee huyo ni hatari kuliko ukoma,nyinyi ngedele endeleeni kufukutisha 🔥 ukiwaka mtauzima nyinyi pimbi nyinyi.
Wewe ndio una ukoma wa akili
akuna anaeweza shindana na selekali hasa ukiangalia ardhi ni mali ya selekali hvo wakuiitaji mda wowote wanachukua kwa masilahi ya nchi vle kwahiyo mnachotakiwa nikukaa nakuelewana zaidi hamuwez pambna na serekali zaidi mtapigwa ata HOA mnao wategemea awata sogea kabsa
Wew ni hewa tu umeongea pumba tu
Hizo beacon zinawekwa kwa manufaa ya umma wa Watanzania wote....hiyo sehemu ya kilomita za mraba 1500 ni muhimu kwa malisho, mazalia na vyanzo vya maji kwa sehemu yote hiyo na hifadhi ya Serengeti....sehemu nyingine kubwa ya kilomita za mraba zaidi ya 4000 mmeachiwa wananchi na vijiji vyenu.
ata kwenu mnapokaa palikua pori! so historia iliyo wafany wako pale! kuna sababu! ukijiuliza iyo sababu kwanza na kuitafta ndo utajua wanaonewa au la
Vijana wengi waliotahiriwa hospital hawata elewa hii
Ni kweli Kabs
Jason majaliwa unaferiwapi?umeshaungana na wasaliti?
Hakuna mtu amaeweza kushindana na serikali ndani ya nchi
Wataondoka tu
Mwaipaya unawaponza wenzio wewe utakuwa sehemu salama
Wenzio watakuwa sehemu yenye Taabu
Akili yako fupi kabisa serekali ni wananchi na wananchi wakiamuwa wanaweza kuondowa viongozi
@@songamberetv2219 Hebu amua uiondoe hiyo serikali wewe mwenye akili ndefu unajidanganyaaaa bureeeeee huwezi ifanya chochote serikali ikiamua wewe na UPOYOYO TU
@@adamlubawa1281 kumbe ata maana ya serikali hujui?
Ww nimavi hata ujui unakunya nn muarabu alieuziwa loliondo amekusaidia nn ww nawakati ndio waliowamaliza vifarau alafu nyie wanzanzibari mtakiona mwinyi aliuza loliondo samia Leo anauza ngorongoro haki mm nawaambia haya mnayotufanyia Hamta baki salama
@@frankmollel8510 hivi wewe unaona hiii nchi ni yako peke yako au unaona hiyo loliondo ni ya wamasai tu
Wacheni upuuuzi huo watu wanawasaidia ninyi alafu mnaona watu ni wehu
Sasa mtaondoka ardhi sio mali yenu
Ardhi ni mali ya umma
Sasa hivi wamasai wapo kila mkoa
Asee umekosea sana kumtusi waziri mkuu kwakweli umekosa sana busara ndugu.dah hii ni shida sana
Akikamatwa atasema anaonewa na atakamatwa tu na hakuna wakumtetea
Ccm inasamini warabu kwanza tuone
Sheria ya Ardhi ni kwamba ARDHI ni Mali ya Serikali kwahiyo wanauhuru wa kukunyang'anya wakati wowote. Acheni kiburi mtaumia kizembe
kabla serikali haijakuwepo ma chifu na jamii yao walikuwepo.... watu ndiyo serikali, hakuna serikali bila watu. Haujuwi sheria ya ardhi, hakuna ardhi inamilikiwa na serikali, wananchi ndiyo wanamiliki serikali. Kabla ya kuja mzungu na kuleta serikali ma chifu walikuwepo na ndiyo wanaomiliki ardhi.
Selikali ni msimsmizi wa ardhi Na si mmiliki wa ardhi
Serikali iko chini ya wananchi wananchi ndio wanaunda iyo serikali Kama si hivyo wanapitiaga Nini kuomba kura Tena kwa unyenyekevu?
Kwanza jiheshimu pumbavu wewe kumbuka Serekali kuu ni sisi wanachi
Ndo maana alitolewa lukuvi
Kumtukana Mheshimiwa waziri mkuu ni kutumia vibaya Uhuru wako. Hakika ni kosa kubwa kutoa matusi. Kwa upande wangu sijapenda.
Na waziri mkuu kusema uongo hasa ndani ya bunge ni vizuri na ni sawa
Venye anafanya ni vizur Wew Uliona???
Matezo haya... Suluhu toa Suluhisho.
Nyieniwaongo polis alieuwawa alipigwa nanani
so sad 😥
Kwanza poleni Sana sote tunajenga Tanzania 1 cikujui huko ila nikipata nauli ntakuja ,kibaya cina mwenyeji vp ntapata huko
Hao wenzako wanakudanganya wanatamani Sana kurudi nyumbani"
Tz ni LULU ndo maana wanatumia Watu Kama Nyie kuichafua
Tena nyie ARUSHA huko ndo mnafaidika na Utalii kuliko mikoa yooote Yaani nakushangaa unachafua Nchi Wakati wa Hi-Season??????
What do you want?????
Kwendraa huko
Akunashida nyie mnatuonea wivu na tuliobariki na Mungu ila Mungu atatuongoza kwenye unyanyasaji kama huu
Yaan huu utalii unaleta manyanyaso kwa wafugaji sana na wao hawafaidiki na huu utalii hata kidogo
DUNIA ukrein au Luliondo!
Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano ni mpumbavu kwa hiyo serikali mzima ni pumbavu
Ni kweli Kabs umeongea point
Rais samia unafurahisana wananchi wa roliondo wanavo pigwarisasi?au kwasababu siyo wanzazibar?
Waziri mkuu ajiuzuru
Kisa nini?
The ethnic nilo-hamitics want their own government in reserves for betterment of their flocks another issue which is time bomb is when these guys invites their fellows from neighbouring country to enjoy pastures in our reservesi disguising themselves as Tanzanians. We have to be very careful.
Yaan wewe masai wewe ndoo mpuuz pamoja na uyu anae kudai Arth nia mali ya uma kwakua ni mali ya uma tunamuujibu wa kuitinxa kwa maslai ya wengi atuwezi ruusu wahuni wachache kuaribu ilo na acheni kupotosha
Hao vijana wenu walioingia msituni na mishale mnaenda okota mizoga.. msije lia tu
Na hilo eneo nalo litafaidisha mwarabu na sio mtanzania mwisho wa siku hao wanyama watakuwa oman na si tanzania hvyo mtakosa watalii. Hii ngozi yetu iliumbwa kwaajili ya kutawaliwa na weupe kwakweli
Waache wajinga hao wanatangaza vita najeshi wanaliita vijana wasamia!!!
@@twahathomas3514 sio kwel.
Nyie chadema niwachonganishi mnachochea uovu
Kuwa na haki,,,,,,,kidogo
Msibishane na serikari
Shida ni kwamba na nyie wa Masai wabishi sn mmepewa Kila kitu mtoke hamtaki duuh
Acheni vitu hivyo jamani
Hahahaha waziri mkuu wa nchi unamuita mjinga na mpumbavu na bado unahitaji usimiminiwe bomu. Hizi story za kutengeneza bana sijui hata huwa mnafikiria nn nyie waandishi uchwara.
Watanzania wengi tuko nyuma yako Mh. Waziri Mkuu na Serikali yote inayoongozwa na Mh. Rais Samia kwa manufaa ya taifa.
Kwahiyo mnaona tunayotendewa nihalali ?
Bongosihami ebu tukumbushe na hile ya mtwara kuhusu gesi acha unafiki wa kuiangalia ngolongolo , rasilimali ya taifa ni ya watanzania wote
Wapumbavu sana nyinyi kazi kupinga serikali tu. Bongo sihami munamatatizo sana acheni chuki😎
Ngorongoro imelelewa na Serikali kwa umakini mkubwa sana, unachokisema wewe ni kutoitii Serikali yako ambayo imekutunza kwa miaka yote hii, Acha kutukana Viongozi, Wewe ni nani hasa hadi utamke Matusi??
Tunaiomba Serikali iwe Macho na huyu Mchochezi , anahatarisha Amani iliyopo Nchini. Anavuruga Amani na utulivu wa Nchi..tusimvumilie kabisa.
Ukrein
Mi nasema toeni hizi kazia huko
Yaani wewe huoni mazuri yoyote SERIKALI inayofanya
Mkataa kwao ni mtumwa
Wazungu unaowasifia na kuwakimbilia wao wenyewe yamewashinda wanaitamani Tz Yaani wewe njoo ukae Ulaya ndo utaona Tz ni Lulu ambayo inatakiwa kutunzwa Kwa Gharama yoyote
Haowalioko kwa wazungu kisha wanachochea wajinga miongoni mwa wa tanzania wanaobwabwaja toka ugaibuni wangine wamewekwa kinyumba na wanaume wenzao
nendeni huko wehu nyie
Duh wakati mgumu Sana kuweni makini 2025 hii ni hatari
Kama wewe si mpumbafu wewe unaoongea si nasikia nyie ndiyo wa kwanza kumpiga askar mshale nyie si ndiyo mmeanza kupiga Kama hamkupiga askar mshale yangetokea hayo? Tena nnatakiwa kupigwa Sana Maana nyie mmevamia maeneo yaliyotengwa na Mungu kwa wanyama wa mwituni?
Yalitengwa na MUNGU acha kumshirikisha MUNGU kwenye ujinga wako MUNGU hahusiki hizo ni mamlaka za kiserikal tu
Masai akijeruhiwa mayowe mengi polis ikiuwawa nisawa
Kaka wiliamu mwaipaya anatakiwa akamatwe wamasai wa tz hawana shida siida yote ni wamasai wa kenya kwanini waende kutibiwa kenya kama siwakenya? Kenya haina ardhi ya kuchungia mapoliyote ni matajiri
Wewe ni fala tu Unaongea pumba tu
Unapigwa mwingi
Tanzania tuna waziri mkuu wa Hovyo ,
Samia Yote yatakukuta endelea kumwaga damu
Ya wamasai Ngorongoro
Mkikataaa ya mipango ya serikali kweli mtakwisha
Mwambie mwaipaya aje akae hapo mbele ukiandamana
Jamani ili tuwe na amani hawa watu serikali iwaondoe wote katika hilo eneo libaki kuwa hifadhi tu. Kwa sababu hao wanaobaki wataendelea kuzaliana tu hali itabaki vilevile.LOLIONDO ni Tanzania hivyo wapelekwe sehemu yeyote palipo na nafasi ya mifugo yao na kilimo. Waache kuingiza mambo ya siasa.
@@adamlubawa1281 Wew ni hewa tu umeongea pumba
@@samwelilaizer661 kama mie pumba wewe ni MAKAPIIIIIII
Huyu kuma gani anamtukana waziri mkuu wetu,hata hichi chombo ilitakiwa kufungwa,unahoji watu km hawa vipi?ardhi ni mali ya serikali,hawa umbwa toa hapo,jeshi linakula tu waende wakafanye wanachotakiwa
Ngoja na ww yakukute!!
Anaakili kama za kwako
Ana tofauti gani na wewe unayetukana?unatuma matusi mazito hivyo?yey katumia neno mpumbavu na mjinga..wew umeona uzito wa maneno yako yalivyo matusi mazito
@@daddybenny imekuuma ya bata kuharusha, ila ya kuku kunya hukuona?
@@bennymochiwa4800 mimi natoka kanda ya ziwa,madini na samaki za lake Victoria zinatumika kwa manufaa ya taifa lote,gesi imegundulika mtwara ni lazima itumike kwa manufaa ya wote hivyo hivyo kwa ngoro ngoro lazima kinachofanyika kiwe ni kwa manufaa mapana ya nchi,sasa masaai ni nani, wawe pia ni topic ya kitaifa kisa mipaka inawekwa?
Hao wanyama walienda kufuata nini huko kunakowekwa beacons? Si huwa wanasema wanawake wa kimasai hawamiliki archi? Sasa wanapigania mini kama hawamiliki ardhi
Fake news hizo wacha kupotosha watu bhana muogoponi mungu wenu
Hiyo ni ardhi ya Tanzania na siyo ardhi ya loliondo na ndiyo maana wamasai wametapakaa nchi mzima Sasa nyie hasa we unayeongea tunajua manashinikizwa na wamasai wa Kenya kwa sababu Wana maslahi hapo loliondo kumbuka hii ni Tanzania na Ina miongozo na taratibu zake Kama nchi
Wapigwe tu
Nimeota ndoto,
Wanyama adimu duniani kama faru wanapanda ndege,
Kama kuna anaeweza kitafsili maana yake anisaidie.
Kama ikitokea majira ya kiangaz, Inamaanisha uwepo wasenene wengi msim ujawo. Upande wa siasa tukio baya linakuja na ayibu kubwa kikundi au mtu maarufu
@@nahumumgwama2280 🤣🤣🤣 ahsante sana
Du, kama ni kweli inauma sana
Munamtukana waziri mkuu wakati uraiya wenu utata
Nyie wamasai acheni upumbafu kwanini mnangangania maeneo yaliyotengwa na Mungu kwa ajili ya wanyama wa mwituni. Lazima mpigwe kwasababu nyie ndiyo mnapiga wanaoweka alama za mipaka Tena nnatakiwa kupigwa kabisa Tena kabisa Wapumbafuwawapumbafu kabisa nyie nyie rudini nyumbani ila msivunje sheria
Kavaeni nguo kwanza
Kwani uko uchi wew?
Waziri mku wewe ni kiongozi muongo huna lolote Unaongea pumba
Subhanaallah why we like to share feck news to the people whats we get to this shame on you guys all this becouse of 2025 poleni sana watazania kwanini hatupendani Hawa watu wanaowatia fitna hawako tanzania wanamitumia nyinyi tundu lisu na wenzake wanajifanya wa Namipenda wanaleta mazito inchini tanzania
Kama wamakonde waliachia gas itumike kwa manufaa ya umma,hata hiyo hifadhi wamasai mtaiachia kwa manufaa ya umma,
Serikali inamkono mref Wamasai watakaza lakn wataachia tu
wamasai wote waondolewe ngorongoro
Njoo ww
Wewe ni ng'ombe tu tena fala tu Unaongea pumba
Makenge wakubwa msiokua na dini nyie waongo wakubwa
Muungano uvunjike bana
Mebapari 😂😂😂
Hivi nyie mnaongea hatuoni ushuuda
Njoon kinyerez huku maeneo kibao tu ya waz... Kwann mtake kuish na wanyama.. mmezoea kula wanyama pori wa kitonga... Njoon huku mpambane na maisha.. sio kula nyama pori za bure.. kenge nyie
hujui unachokisema asee wamaasai kula wanyama pori si kwel mm niko umasain waswahili sisi ndo walanyamapori si wamasai
Hivi wewe unaikash ifu nchi Yako Umtambui Raisi na Unamtukana Waziri MKUU pole Sana acha kuchafua Nchi
Acha Uongo
Dunia ambayo unaisifia wao wenyewe Ulaya wanapigana Kila Leo
wamasai wote waondolewe loliondo
Wew ni hewa tu umeongea pumba
Vita vya nini
Ccm pumbavu kabisaa , zero thinking