KIDUNDO NA SIFA ZA KIJINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2021

ความคิดเห็น • 66

  • @maidahmohammed3143
    @maidahmohammed3143 2 ปีที่แล้ว

    Allah awabariki mfike mbali katika kazi zenu ila msivuke maadili tu Insha Allah kidundo pia ni chumvi bila wewe mchuzi haunogi tunakupata from uk 🇬🇧 huku kila la kheri ❤️👍🏽👍🏽

  • @JokhaSalimKhalifa-ly4xv
    @JokhaSalimKhalifa-ly4xv ปีที่แล้ว

    Kidundo et anaishi nyuden jaman hhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯

  • @AsyaKombo-qi6yn
    @AsyaKombo-qi6yn หลายเดือนก่อน

    Said mjomba wamtoa kidundo shoo vibay Ka 😂😂😂😂

  • @abdullsaid671
    @abdullsaid671 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzur sana kidundo umetufurasha tulio wengi mungu akukuze kipaji choko kizidi kusonga mbele zaidi

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzuri Ila jitahid kurefusha Ili iweze kuleta ujumbe mzuri zaidi

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 ปีที่แล้ว

    Kidundo hi big up sana

  • @amkhazazula3591
    @amkhazazula3591 3 ปีที่แล้ว

    Kidundo......😂😂😅kanda laekwa mpeto!!!! 😄😄👌👌👌👌

  • @baisultantvonlan5193
    @baisultantvonlan5193 3 ปีที่แล้ว

    Nakubl

  • @kiparaused
    @kiparaused 2 ปีที่แล้ว

    Sijui kwann watu wanapenda kujisifia ukweni atakama hawanakitu

  • @engineerkhamis9275
    @engineerkhamis9275 3 ปีที่แล้ว

    Kidundo scene hii haijampendeza sana, Ila big up sana

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 ปีที่แล้ว

    Dah kidundo kumbe unaongea ki Town nakubali sana

  • @is-hakaali5757
    @is-hakaali5757 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣 kidundo jamaa kashakutia aibu

  • @salwarashid3921
    @salwarashid3921 3 ปีที่แล้ว +2

    Kidundo kunamshinda Ticha Mudi kwa ubosi

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha jamani hahahaha nimecheka duuu mtihani hahahaha

  • @harounkuchi9100
    @harounkuchi9100 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana bwana kidundo

  • @kombonassor9826
    @kombonassor9826 3 ปีที่แล้ว +1

    Kunpatikwa jamaa yangu

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 3 ปีที่แล้ว

    hhhhhhh kidundo wa leo zamu yakoo ndio ukomee

  • @ahmadysaid686
    @ahmadysaid686 3 ปีที่แล้ว

    Good looking

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 ปีที่แล้ว

    Mbavu zanguu jaman

  • @abdularteta500
    @abdularteta500 3 ปีที่แล้ว

    Wapemba sis kwa sifa😂😂😂🤣😀

  • @samiramohamed5925
    @samiramohamed5925 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @mudydady9899
    @mudydady9899 3 ปีที่แล้ว

    Ipo vzr

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 3 ปีที่แล้ว

    Hiii kali duh

  • @gagapiano9461
    @gagapiano9461 3 ปีที่แล้ว

    Kidundo 🔥🔥

  • @officialmidy_og
    @officialmidy_og 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimeuwa

  • @biubwaabdalla4293
    @biubwaabdalla4293 3 ปีที่แล้ว +1

    Kidundo ni khatari

  • @halimarashid5794
    @halimarashid5794 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna pembeni wala chengejuu😁😁😁

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀

  • @isshaqrasshid7496
    @isshaqrasshid7496 3 ปีที่แล้ว +1

    My first

  • @mulhazinzibar6912
    @mulhazinzibar6912 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kidundo

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna pembeni wala shengejuuu. Hahahaaa

  • @khalidtvoloenali1117
    @khalidtvoloenali1117 3 ปีที่แล้ว

    Kidundundo anajuwa

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa muazara kadam nasi

  • @abdillahaliy8018
    @abdillahaliy8018 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhh duh hili balaa

  • @mariyammariya3265
    @mariyammariya3265 3 ปีที่แล้ว

    Kidundo shkamoooooooooo

  • @saidmohammed6385
    @saidmohammed6385 3 ปีที่แล้ว

    Kidundo hii hapana rudi katika luha ya asili

  • @allyhaji3616
    @allyhaji3616 3 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 3 ปีที่แล้ว

    kidunde kumbe hata pesa ya kahawa hana halaf anataka kumtumia milion kumi . na laki mbili mbili za kujiendezea maisha 😀😁😁😁😁😁😁😀

  • @zainabali5815
    @zainabali5815 3 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha

  • @mamamuu8217
    @mamamuu8217 3 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄😄 funzo zuri.

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 3 ปีที่แล้ว

    😂🤣😅

  • @mariyammariya3265
    @mariyammariya3265 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhh. Asnty kw ujumbe

  • @jonsakara4196
    @jonsakara4196 3 ปีที่แล้ว

    Haha as a😀😀😀😀😀

  • @abdallahabibu8340
    @abdallahabibu8340 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna Pembeni wala Shengejuu

  • @kassimomar8176
    @kassimomar8176 3 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 3 ปีที่แล้ว

    chukua masikeli yako uwendevyo

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna pembeni wa shengejuu!

  • @mranzuann7950
    @mranzuann7950 3 ปีที่แล้ว

    hahaha

  • @yassirally7528
    @yassirally7528 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 3 ปีที่แล้ว

    Nimepata kucheka kidogo🤣🤣...ila siachi kuuliza...
    Kwa #scene ilivyo #Kidundo alikua na simu tatu...
    1) #simringtone❌
    ilishindikanaje kuweka #ringtone ambayo tunaweza kuisikia wakati wa sim kupigwa..?

    • @chalyyhappy3046
      @chalyyhappy3046 3 ปีที่แล้ว

      Sio lazima binafc hta mm sim ni nadra sana kueka ringtone

    • @newstarrecords-pemba
      @newstarrecords-pemba  3 ปีที่แล้ว

      Una wazo zuri, lakini hebu tumia muda zaidi kutafakari maoni yako. ...Hii ni sanaa ... Ni heri ya simu kutokuita kuliko kuitaa masuala mengine mengi yengeibuka ambayo yangekuwa vigumu kupata jawabu kuliko huko simu kutokuita....

    • @shafiikhamis2336
      @shafiikhamis2336 3 ปีที่แล้ว

      @@newstarrecords-pemba sahih kabisa, sanaa ni #imagination...maana yake ni kua kinachotokea kwenye sanaa kwa 100% hakiwi Cha kweli isipokua kwa baadhi ya matukio...sijajua Kama sim ingeitika kungekua na hoja ipi ambayo ingeibua masual magumu....
      Kichwa Cha habari "kidundo na sifa za kijinga"
      1) maana yake ni kua kidundo alitafuta sifa kwa baba mkwe
      2) kupitia sifa hizo alijibiisha aonekane tajiri, na hii ilidhihirika Baada ya kua na vishawishi Kama vile gari, headphones, na sim tatu za maana...
      Kupitia ujumbe wa kichwa Cha habari tulitegemea tusikie kwel "Sifa' kazipata Baada ya kupokea sim tofauti so #ringtone ingechota akili za wengi na kuhisi Kama kweli anapigiwa badala yake n kinyume

    • @khamisk1273
      @khamisk1273 3 ปีที่แล้ว

      Na pia ringi za gari tumeona 3 tu 1 hatujaiyona kwahio mue mnatuonyesha zote 4 🎸 na pia vikombe vyakahawa hamjatuwekea idadie tukaviona vyote 🎸 na jengine ukoalikoenda kuchukuwa cm hamkutuonesha pia nahitaj 🎸🎸🎸🤣🤣🤣

    • @ahmadysaid686
      @ahmadysaid686 3 ปีที่แล้ว

      Cm za mabosi mara nyingi huweka vibration hawapendi mikelele

  • @iddypandu4285
    @iddypandu4285 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂