BILA UOGA AFANDE SELE AONGEA MANENO HAYA MBELE YA RAISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @mlamtv4839
    @mlamtv4839 2 ปีที่แล้ว +4

    Mbengo Tv true you are the best

  • @kagitondullu1451
    @kagitondullu1451 2 ปีที่แล้ว +4

    Big up mwamba

  • @tizomsita2727
    @tizomsita2727 2 ปีที่แล้ว +3

    Ushauli mzuri sana wa king moro

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว +4

    Broo umeongea maneno mazuri sana

  • @mwandoimma123
    @mwandoimma123 2 ปีที่แล้ว +8

    Mawazo mazuri, ushauri uchukuliwe

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa brother maneno yako

  • @mlamtv4839
    @mlamtv4839 2 ปีที่แล้ว +6

    Afande sele smart katika u obora wako .

  • @hosannainternationaloutrea7491
    @hosannainternationaloutrea7491 2 ปีที่แล้ว +7

    MIMI NINGEKUWA NDIO MAMA ETU RAIS SAMIA KABISAA NINGEMUINGIZA KWENYE UBUNGE WA VITI MAALUMU ILI ALETE MASLAHI MAKUBWA KITAIFA KW WATANZANIA WOTE, MUNGU WA MBINGUN MSAIDIE MTUMISH WAKO AFANDE SELE

    • @kulwaisoda8575
      @kulwaisoda8575 2 ปีที่แล้ว +2

      Point zote nani ushauri mkubwa Sana huu!

  • @lilianjosephat9151
    @lilianjosephat9151 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa umeongea vzuri

  • @yusuphmiami392
    @yusuphmiami392 2 ปีที่แล้ว +3

    smart sana

  • @floridangailo3990
    @floridangailo3990 2 ปีที่แล้ว +5

    Uko vizur afande

  • @rashidmtengule6633
    @rashidmtengule6633 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Afande sele magu ametuachia majonzi yasiyosaulika

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 2 ปีที่แล้ว +3

    Mjomba sele salute

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 2 ปีที่แล้ว

    Miradi inaenda mdogo mdogo kisha danganywa

  • @nestor384
    @nestor384 2 ปีที่แล้ว

    Brother you are so genius
    Nimeelewa nini maana ya "mama" anayoimaanisha Afande Sele

  • @robsonyona4317
    @robsonyona4317 2 ปีที่แล้ว

    NAKUELEWA SANA BROTHER SELE SALUTE KWAKO

  • @jxcandle1451
    @jxcandle1451 2 ปีที่แล้ว +1

    Afande una akili sana brother

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    ama kweli kwaulio yaongea nakupa bigap kaka wee nizaidi kuliko

  • @khamiskhamis1090
    @khamiskhamis1090 2 ปีที่แล้ว +1

    Afande umeongea Maneno mingi mazuri ila kuhusu mama kuchaguliwa tena au kutochaguliwa apo Umebugi Afande mama Ana Ana Akili timamu Pia Ataweka watu wake maalum wakumpitisha

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 2 ปีที่แล้ว

      CCM ndio ina nguvu kuliko wote kama hujui na wao CCM ndio wanamuweka hapo wakikuchukia hao wazee wa CCM hutoboi hata mwezi mmoja

  • @rashidkambi4584
    @rashidkambi4584 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha uko vizur sana afande

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli aisee namie najiuliza kwanini akeuke wakati muula bado ni wa Magufuli ingawa uongozi ni wake...
    Maneno ya Magufuli ndio wosia hapaswi hata kufanya tofauti mpaka pale muhula wa jembe la afrika litakapo kwisha

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio hivyo halafu anataka kuanzisha mambo mapya wakati muda wake ni mchache sana aliingia madarakani ikiwa imebakia miaka 4 tu ya awamu hii.

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    ndugu watanzania mme msikiliza kaka etu msipotezwe na mambo ya mipira tukasahau maisha yanavo enda afande sale wee nizaidi ya ware wanao taka watu wakamatwe baada ya kutoa mawazo yao juu ya taifa la tanzania

  • @ramadhansaid6261
    @ramadhansaid6261 2 ปีที่แล้ว

    Safisanaa Nduguyangu Sasa Nakuelewa I laa Kwenye Kateba Apanaa

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    ndio maana akina membe wamerudi bira kujua hapo kuna kitu ingawa hawataonekana reo iratu sho yake.

  • @simonitolya8029
    @simonitolya8029 2 ปีที่แล้ว +1

    Conscious

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 2 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea ukweli huyu mama kawa msariti zaidi ya yuda

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea point mnooooo

  • @saidlwambo1995
    @saidlwambo1995 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli,daahh.

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi mkuu

  • @festoasanga5572
    @festoasanga5572 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmemuonea tu kikwete nchi hii imevurugwa tangu enzi za mwalim pia kaeni mkijua kuwa ccm wameiweka nchi kama ya kwao ndio maana hawataki kubadilisha katiba katiba nimuhim kwa wananchi wote wa kitanzani so msimseme tu kikwete walio ikamata nchi wapo kikwete alisha maliza kazi yake je mawazili wako wapi na wanafanya nini

  • @fistonmakasi3803
    @fistonmakasi3803 2 ปีที่แล้ว

    KKa ongeya yote nakukubali

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 ปีที่แล้ว

    Yuko vzr apewe u DC huyo

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    nikweli mama ume muamsha anaweza akaka katwa na chama chake na hili kira siku naliona mbere yangu

  • @munamuna2000
    @munamuna2000 2 ปีที่แล้ว

    Ajengewe sanamu

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 2 ปีที่แล้ว

    Afande Sele huyu kichwa wala siyo kilaza

  • @boniphaceantony4807
    @boniphaceantony4807 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyiii mbengo siwakubali hata robo cz waongoo Sana mnachokiandika na yaliopo ndani uwongo mtupuuuu

  • @ramadhankiloko9246
    @ramadhankiloko9246 2 ปีที่แล้ว

    Afande bigap

  • @daudpius130
    @daudpius130 2 ปีที่แล้ว

    Uwe unatuletea watu kama hawa

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว

    Zitto anasema Kama wewe Afande Sele unampenda Magufuli basi ukatafute eneo karibu na kaburi la Magufuli ukajizike!

    • @munamuna2000
      @munamuna2000 2 ปีที่แล้ว

      Hhhh toba

    • @iklamkilongoji5097
      @iklamkilongoji5097 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo zito ndio hafai hafaii kabisaaaa yani Kawa msariti mkubwa na nizaidi ya shetani... Eti kutoka kwenye ulais Hadi mkuu was mkoa..!!!? Duuh

  • @bonifansimatias6951
    @bonifansimatias6951 2 ปีที่แล้ว +3

    Afande sele mwambie tu nchi imemushunda hawezi huyu ni zao la kikwete ndiyo maana vitu vimepanda fisadi

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +2

    Nani kama mama-kwa kuzaliwa tuu

  • @laurentjoseph3143
    @laurentjoseph3143 2 ปีที่แล้ว

    King mfalme

  • @hamzaally8898
    @hamzaally8898 2 ปีที่แล้ว

    Ukovizuri

  • @yassinsalum1864
    @yassinsalum1864 2 ปีที่แล้ว

    Hakina ka

  • @lulungutambwe143
    @lulungutambwe143 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Samia mimi simuamini kabisa. Wazungu wanamshawishi na huo utakuwa mwanzo wa kushindwa kufuata nyayo za Magufuli

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      KWANI YEYE HANA NYAYO ATA AFATE ZA MTU ALIKUFA.

  • @gynae8407
    @gynae8407 2 ปีที่แล้ว +1

    Usimrembe rembe huyo bimkubwa alisha tusaliti watz

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 2 ปีที่แล้ว +1

      Amemzunguka kisiasa

    • @esauthimoteo6719
      @esauthimoteo6719 2 ปีที่แล้ว

      Mzee sele mpasue huyo mama apo bado hujamwambia