Asalam alykum! Mimi ni shuhuda juu ya Swala ya Mtume. Niliifanya nanilipata nilichokihitaji Wallah nilimsikiliza huyu Sheikh Othman kisha mpaka leo nisipo soma swala ya mtume najisikia vibaya.
Maashaallah mungu akulipe kheri mwalimu umenfundisha swala ya mtume nilikuwa nataka kwenda kusoma na sikuwa na pesa lakin nimemswalia leo hii niko yemen nasoma bila ya kutgemea mimi mwenyewe, kwahyo mungu akulipe kheri nyingi sana
sheikh acha kuzama kwa dunia mitime A.s wakufanya daawa aina tatu ALIKHRAJ YAKIN MINAL MAKHLUK ILA KHAKIK MINAL ASHYAAI ILA AAMAL WAMINAL DUNIYA ILAL AKHIRA HYO NDIO DAWA YA MITUME SIO FANYA HV UTAPATA MALI
Waarabu huku wanachinja balaaaa yan huku oman kila kukicha wanachinja kondoo nyieee ndomaana ni matajiri sana mashallah
Asalam alykum! Mimi ni shuhuda juu ya Swala ya Mtume. Niliifanya nanilipata nilichokihitaji Wallah nilimsikiliza huyu Sheikh Othman kisha mpaka leo nisipo soma swala ya mtume najisikia vibaya.
Uliisoma vipi, hebu tuelekeze, na uliisoma mara ngapi ??
@@shabaniMsondeKweli kabisa atupe hiyo njia waislamu sisi sio wachoyo tumefunzwa Kuwa wema ebu arwambie nasi tufanye maana dah
@@zahraabdul9652ninavojua mm mswalie japo mara 1000 ,1500 na ukiweza zidisha
Mi Nina ushuhuda shekh othaman kwenye suala ya mtume🎉🎉🎉
Nambie na mimi kaka angu
😂
@@SaidMasoud-cs8kp
Mashallah tabarakaallah ulisomaje?
Swala ya mtume ukidumu nayo matat iz baibayyyyy hii ni silaha kubwa Sana tunatakiw tudumu nayo Allah amrahamu Mtume wetu
❤❤❤ mansharaa tabarakaa Allah Karim niombee Dua shehe othman Tanzania mimi Ally 🌟 bilali mandwanga nikiwa msumbiji niombee Dua
Maashaallah mungu akulipe kheri mwalimu umenfundisha swala ya mtume nilikuwa nataka kwenda kusoma na sikuwa na pesa lakin nimemswalia leo hii niko yemen nasoma bila ya kutgemea mimi mwenyewe, kwahyo mungu akulipe kheri nyingi sana
Mashaallah
@@AhmadRibaat Maashaallahu Tabaraka ALLAH. Nikweli kabisa kaka hii Swala ya Mtume Ina mambo makubwa mnoo Mimi mwenyewe ni shuhuda.
Mashallah Allah akupe maisha marefu shekhe
Mm kutoka kenya msa ....MashAllah MashAllah ♥ alhmdulillahh swalla za mtume Muhammad swallah Allah aleyhy wassalaam....alhmdulillahh
Inshallah shee
Wallah kwa swala la mtume nisahihi aisee Shekhe in sha Allha mikirud tanzania ntakuja kukuona
Kweli shekh mungu akulind
Shukran sana khehe
Ahsant. Jazaak Allah kheir
Shukran maalim Allah akuongezee 🙏
Masha Allah lecture, Barak Allah feekom sheikh 🙏🙏🙏
Mashalwah tuelekezeni bsi nasi hyo sala ya mtume ni ipi jamanii.
@@MbagaSaleh اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه وسلم ndio hiyo shekhe wangu fanya 3000 kwa kila siku m
Shukran
Mkuu hii Hali ipo Kila mahali hongera
Sheh ayo ndo tunataka
sheikh acha kuzama kwa dunia mitime A.s wakufanya daawa aina tatu
ALIKHRAJ YAKIN MINAL MAKHLUK ILA KHAKIK MINAL ASHYAAI ILA AAMAL WAMINAL DUNIYA ILAL AKHIRA
HYO NDIO DAWA YA MITUME SIO FANYA HV UTAPATA MALI
Acha ujinga
😂
@@FadhiliAlly-fy2tx mitume walikua watoa watu yakin ya mali na kulekeza kwa amal
Hatukuumbwa kuja kutafuta mali hapa duniani bali kumuabudu Allah kuwa na mali au ufukara ni qadari ya Allah
@abuubilal2646 mali haipi mtu maisha mazuri