Watu sita wa familia moja wauawa kikatili kwa mapanga Kigoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @diogocaitanochahare4907
    @diogocaitanochahare4907 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dunia sion mpaya sis wanatamo wabaya!munku muenhewe.🇲🇿🇲🇿

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 ปีที่แล้ว +4

    Poleni Sana Kwani shida iko wapy hii SASA imezidi mwezi hauwezi Isha maafaa tu serekali u have to be serious

  • @ulaweboy3479
    @ulaweboy3479 2 ปีที่แล้ว +2

    Inauma Sana Tena sanaa 😭😭😭😭😭

  • @yohanafanuely6679
    @yohanafanuely6679 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mungu atusaidie

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama hawawezi kumtunza mtoto wanipe mimi ntamlea awwww

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 2 ปีที่แล้ว

    Jaman

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 2 ปีที่แล้ว +2

    Dodoma pia ikitokea hivi nafikiri mwishon mwa mwaka jana, tukio km hili hili nauliza wale watu walikamatwa wauaji walikamatwa???

  • @ipyanakayange4737
    @ipyanakayange4737 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamaan kweri watu wa familia moja mmmmmm yani mungu watapatikana lakin wa tusaidiane

  • @selestinmdugu8483
    @selestinmdugu8483 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awape pumziko la Milele nahao waliofanya hayo mauaji, Mungu akasimame nao

  • @hosealebric
    @hosealebric หลายเดือนก่อน

    Mmmhii jmn poln xaan mung awatangulxe mbel ya hak

  • @sapeelthabt3657
    @sapeelthabt3657 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wana kigoma wezetu yani niunyama mkubwa walio fanyiwa wezetu wana kigoma

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani duniya yaenda kubaya mungu tusaidiye

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh tatizo ni nini

  • @isayagervas9610
    @isayagervas9610 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @rizikimbembela5026
    @rizikimbembela5026 2 ปีที่แล้ว

    Jaman hii tanzania hi? Duuh!

  • @zuberahamadi9861
    @zuberahamadi9861 2 ปีที่แล้ว

    Du!!! Polen san , kwa msiba mzito uliowapata, naiman serikal itawafutilia wahusika wa tukio hilo .

  • @nascomtz1189
    @nascomtz1189 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanakigoma tusiruhusu watu wa nchi jirani kuingia nchini kwetu kwani wao niwahanga wa vita na visasi vyakila siku.. hivyo ningeomba pia selikari kudhibiti njia zote za panya na mipaka ya nnchi hasa magharibi(kigoma)..

  • @khadijaalmasi9686
    @khadijaalmasi9686 2 ปีที่แล้ว

    Sehemu gani

  • @sephaniaeliyah7987
    @sephaniaeliyah7987 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Dunia hii

  • @jehidahamisi2404
    @jehidahamisi2404 2 ปีที่แล้ว

    Ilo libanya mulenge litakua mana hao wengine walikosa nini mpaka akawauwa

  • @bakarially253
    @bakarially253 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani kuna ulazima gani wakutaja Kabila Lao kwenye taarifa yao? Kwani kuna nini kinaendelea mko wa kigoma?

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 2 ปีที่แล้ว +1

    Alafu haya mambo kigoma tumechoka kwani hapo hamna mwenyekiti wa ulinzi na usalama akawajibika kwa haya mamb maake imekuwa ni mue ndelezo sasa na viongozi wapo tu. Mbona hatusikii familia zao zikifanyiwa haya.? Wao kwann walee usenge kama huu kwann watu walioua wawe hawajulikani? Alafu kingine kinachokera zaidi mtoto mdogo majeruhi walishindwa nn kumsafirisha kwa ndege akawahi kupatiwa matibabu ili kuokoa maisha yake hizo hela ni za nani ..nakuuliza ww kiongozi unaye riport hii taarifa.? Hivi umeshajitathimini vizuri kweli? Hadi polisi kutoka dar na dodoma waje kwako kusaidia uchunguzi wewe hapo huna jeshi? We si ndo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wilayn kwako hapo? Mi naona kazi imekushinda upangiwe kazi nyingine tu maake kama jeshi likiwa serious haya mamb mbona tulisha yasahau tukisema kwamba JPM alikuwa the best mnamaindi sasa hiki nn mnafanya..? Mnaharibu taswira ya raisi wetu buure kwa kuwa na watendaji wabovu wasiotekeleza wajibu wao kwa weledi. Nimemaliza mngekuwa na huruma huyu mtoto aliyefia njian morogoro asingekufa..na damu yake mtailipa nyie viongozi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว +1

    Madhali wanaouwa mnawapeleka wanakula kodi zetu magerezani mtarajie zaidi ya haya lakini kama wanaouwa na wao wakikamatwa wanauwawa basi tutaheshimiana na wale mbwa waki za binaadamu ndio wanaopenda hivo kuwatunza wauwaji wakishauwa wakalebata magerezani

  • @samsondazit9227
    @samsondazit9227 2 ปีที่แล้ว

    oooh dear lord 🙏 jmni inauma

  • @frenkifrenki4775
    @frenkifrenki4775 2 ปีที่แล้ว

    Walundi awo

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 2 ปีที่แล้ว

    Mapenzi aya yanatupeleka wapi jomon

  • @ibnually1512
    @ibnually1512 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubinadamu umepotea ndani ya nyoyo za wengi siku hizi

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial 2 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu😭

  • @leilahasani3118
    @leilahasani3118 2 ปีที่แล้ว

    Inna lilahi wa Inna ilaihi rwaajiun
    Apo ingekuwa movie ya kihindi huyo Mtoto angekuwa Sterling

  • @lilianimahinyasoko4109
    @lilianimahinyasoko4109 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mkbwa

  • @frankhassan2346
    @frankhassan2346 2 ปีที่แล้ว

    No

  • @mwajabumsami6388
    @mwajabumsami6388 2 ปีที่แล้ว

    Msimpelekekituoni nipeni utaratibu na nimfate jaman na mtaka

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 2 ปีที่แล้ว

    Lusifa ni hatari! anapandikiza chuki kwenye na hatimaye watu wanaamua kuwaua binadamu wenzao

  • @vurilyrics3004
    @vurilyrics3004 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee! MUNGU simamisha dunia nishuke

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว

      sema amtoe shetan katka inchi yenu nasio dunia kusimama corona ilisimamisha dunia mbona mliogopa kufa mkawa mnafanya nyungu kuogopa kushuka katka hi dunia usuombe kabsa dunia kusimama yaani ilijaribu kutaka kusimama kidogo wakat wa corona mliogopa

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 2 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnaileihy rajiuun

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 2 ปีที่แล้ว +2

    hakuna na tena hakuna na haiwezekani kwamba eti tukio kama hili limefanywa na wageni au mtu wa nje.fikiria upya.Ni Ndugu,jamaa,na marafiki ndio huhusika mara nyingi.msipotoshe umma nyie viongoz

    • @abdurazaqiamisi1463
      @abdurazaqiamisi1463 2 ปีที่แล้ว

      Yani watu wa kigoma na tanzania kwa jumla sio malaika ni binadamu kama wa nchii jilani

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

    subhanallah subhanallah 😭😭😭😭

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Tanganyika Tanganyika

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 2 ปีที่แล้ว

    Iki ni kitu gani Yesu turehemu wanadamu uwii

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuu

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 ปีที่แล้ว

    Jmn tuwe na Hofu ya MUNGU

  • @zulfaabdula2752
    @zulfaabdula2752 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭

  • @DianaAbdalah-d8z
    @DianaAbdalah-d8z 8 หลายเดือนก่อน

    Pouryour years😮

  • @BraisonIssack
    @BraisonIssack 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jonhmaheng6076
    @jonhmaheng6076 2 ปีที่แล้ว

    Amonaiz vido

  • @mansuriharuna6805
    @mansuriharuna6805 2 ปีที่แล้ว

    Innah lilah wainna ilahi rajuni Allah waondolee athabu za kaburi marehem awo

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 2 ปีที่แล้ว

      Polisi wetu nimahili nawaamini watatiwa mioononi kids simlefu

  • @emimmamhegusa4460
    @emimmamhegusa4460 2 ปีที่แล้ว

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 ปีที่แล้ว

    Mambo ni magumu mungu awape pumziko la milele ila damu za watu aziendi bure

  • @absm8084
    @absm8084 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 2 ปีที่แล้ว

    Inamaana haowote wameuwawa hakunajilani aliesikia kelele hata mmoja wote wamekufa myakimya jeshirapolosi ongezeni nguvukubwa katika iuchunguzibona wakati wa magufuli ujingahuu ili Isha kabisa hatapanyarodi wali Isha Leo kilasehem unadikia mauwajitu

  • @dicksondick717
    @dicksondick717 2 ปีที่แล้ว

    Watu tumeshakengeuka tumekua km wanyama

  • @hikimama7094
    @hikimama7094 2 ปีที่แล้ว

    May Allah rest in peace all accident combined ,,

  • @abdallahmvula2233
    @abdallahmvula2233 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana

  • @omarhome2260
    @omarhome2260 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 2 ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @PaschalNombo
    @PaschalNombo หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭