Habar jamni mm nmeingia yutubu e fm lakin nko moshi radio 93.9 haishiki jamnii mi mdau sana wasmulzi kma twin nyingine mosh mniambie maan 93.9 haishiki tena inakoloma tuu
Kweli yalinikuta Mimi Kuna mtoto wa mtu nampenda kumbe yy hanipend na ni WA ege yg kbs ila ss nashukur nimeshamuachilia ila Sasa na yy anateswa huko had akarud tena kwangu mfyuuu nikamtimua

Nice ❤
Mwenyezi Mungu azidi kukuweka my dear Vero
🥺🥺🥺🥺🥺
Da veronica ulikuwapo wapi kwenye dec
Moyo unatk pesa Umekataa madam Uwiii shida inanzia hapo😊😊
Iliwahi nikuta hiyo, mbaya sana.
Iyo inatokeaga san mtu anakupenda we umpend
Kabisa
Kweli yalinikuta Mimi Kuna mtoto wa mtu nampenda kumbe yy hanipend na ni WA ege yg kbs ila ss nashukur nimeshamuachilia ila Sasa na yy anateswa huko had akarud tena kwangu mfyuuu nikamtimua
😂😂😂@@aminamaulid9931
Huku Tanga hatuwapati kabisa shida Nini?