OCHIENG ODHIAMBO haki ya kwl vile! Mmetuachia soko wenyewe nyie majamaa kwenye hii idara na mwaonekana mme🙌🏿.,ingawa bora mtuachie maana nyingine zote mwaongoza nyie dooh 😉
OCHIENG ODHIAMBO haki ya kwl vile! Mmetuachia soko wenyewe nyie majamaa kwenye hii idara na mwaonekana mme🙌🏿.,ingawa bora mtuachie maana nyingine zote mwaongoza nyie dooh 😉
Great word play Song tittles kaziweka kwenye verse✌🏾✌🏾 pamba za “BLUE BLUE” ma sista du wakani “KISS KISS” ..shusha “TABASAMA” kma umenimiss miss...”TUKO PAMOJA” uswazi na “MBOGA SABA” usipoicheza “MAPOZI” ataicheza mama na baba..mkiwa club si mnalewa “TILA LILA” na role model wenu si ni babylon killer...
@@mnzavachris5423 Asante kwa offer yako lakini Heri ungesema Mtupe Hamisa Mobeto tuwape Akothee.. Hapo pa BASATA tumeketaa... Hata jina lenyewe BASATA Lamaaanisha Balaa Sana Tanzania.. Bakini na BASATA yenu tu..
Albert Muliro heeh we jamaa wewe.,ndo biashara gani hiyo atii! Bora ungesema hata Mobeto na Sidika ndo kidoogo tuanze mjadala.,ila huyo Akothee lbd na Hamonrapa.!
@@mnzavachris5423 hahaha. Tungewapa Sidika ila hatutaki kuchafua mazingira ya majirini zetu kwa bidhaa za plastiki.. Basi tutawapa Akothee kisha tuwaongezee Msupa S (Sijui kama wamjua) kama zawadi ya ujirani mwema... Mimi bado offer yangu ni kwa Mobeto Homanrap hataweza mazingara ya huku kwetu,, labda tuwape kaka zetu Waganda
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣 Bomu la Mwaka mzima...since 1999 you never disappointed me... I always look up to you and your the reason why I'm singing..... So much respect for you... You always know that ... Ahsante kwa hii zawadi ya mwaka... 🙏🙏🙏🙏
its a 'Boom "Bomboclat 💣 'Kazii nzuri sanaa Babylon Byser 'Dondosha vitu mzee kama meli ya durban 'Mpakaa lami itoe chechee 'if you got a real fan love to byser 'let me hear you say "Yeah....👊👊
Woooow Huyu kijana Mr Blue masema hivi ndio King wa Bongo flava wengine wote wanafuata. Na hili goma looooo ni Holywood standard mwanangu, sio mchezo. Woooooow. The Lion is back in the Jungle. From +44 Great London
Nataka nijue wangapi wanamkubali blue kuliko msanii yoyote bongo gonga like
Ki Do mimi hpa nmkubali sanaaaaaaa blue
th-cam.com/video/wEmsyvo04rU/w-d-xo.html
100%
Apo Kabisa 2 Sana
Cku zote huaga haukosei mzee baba pamoja xana
B.L.U.E......you are the man....tangu zama za kale.....Kenya tunakukubali
OCHIENG ODHIAMBO kipindi cha kina NONINI, juacali, mustafa colonel wapi hawa watu asee..
@@mnzavachris5423 ###missing them days
OCHIENG ODHIAMBO haki ya kwl vile!
Mmetuachia soko wenyewe nyie majamaa kwenye hii idara na mwaonekana mme🙌🏿.,ingawa bora mtuachie maana nyingine zote mwaongoza nyie dooh
😉
OCHIENG ODHIAMBO haki ya kwl vile!
Mmetuachia soko wenyewe nyie majamaa kwenye hii idara na mwaonekana mme🙌🏿.,ingawa bora mtuachie maana nyingine zote mwaongoza nyie dooh
😉
Bizz
"Game nilianza mtoto, leo nina watoto, mie ni mtoto niliwafanya watoto wajue soko" Blue wee bhna
Nass Stewart kachwa na hao watoto sasa
Hatari
It's all true na sema kweli ata kama wana lenga ni kweli Bluebyser ametoka mbali sahi kuna wajinga wajuzi hawana heshima wana jifanya wana jua sana
Mwanaume hashindani na sidiria in Mr Blue voice
Up to now 2024 listen this hit by Mr. Blue🔥🔥
Usiulze nnavokula raha ulza pia msoto, Ngoma kali sana Pita na like zote hapa
Blue umetoa funzo, sio lazima ngoma ueke walovaa bikini ndo nyimbo iwe nzuri, this is how we do bayser micharazo
mussa mwadin kabs
True
Ngoma kal kk
Mr blue kabaisa
Nice Song Guy's
Kiba na blue kupotea Kwenye game itakua vigumu maana kila ngoma ni hit song kama namkubali sana blue
Young mreno bishoo kabisaaa nyimbo za msimu lkn visu
labda game lipotee ila hawa jamaa ni wabish kinyamaaaa
Ha ha ha ha nikweli man
Bluu habali nyingine kbs
From sudan 🇸🇩 to support our son Mrblue tho I don’t understand what they are saying i still Love Swahili language we share similar words in Arabic too
Absolutely like lazima in arabic its لازم means must and so many words #🇰🇪
mwanaume ashindani na sidiria km umeskia unakubali gonga like
Domo ndie anashindana nasindilia😆😆😆
daaah shikamooo blue
Bucha tofauti
Nyama ile ile mwana.
Na huyu ndio Mr blue
Kama uliandikiwa utakula kwa MZIKI hakuna atakae zuia......BIG JOB,GOOD MUSIC BROO
Am from the Republic of Wakanda and i totally like this tune. Big tuuuune!!!!
Great word play
Song tittles kaziweka kwenye verse✌🏾✌🏾
pamba za “BLUE BLUE” ma sista du wakani “KISS KISS” ..shusha “TABASAMA” kma umenimiss miss...”TUKO PAMOJA” uswazi na “MBOGA SABA” usipoicheza “MAPOZI” ataicheza mama na baba..mkiwa club si mnalewa “TILA LILA” na role model wenu si ni babylon killer...
BLUE.....eazyyy eazyyy.. the song is DOPE... you’re super good bro..#usiniulize nnapokula RAHA uliza pia MSOTO ❤️👌
Nimeielewa hyo
Uspocheza mapozi ataicheza mama na Baba....SIMBAAAAAAAAAAA
MR.BLUE IS INDEED IN A LEGUE OF HIS OWN...HIP HOP WISE IN EAST AFRICA, HIS STYLE HIS FLOW HE HAS SOME WAY TO MAKE IT EASY.
BE BLESSED
blue u still strong in Tanzania Music Industry watching from Bujumbura Burundi if u agree with me gonga like hapa
Kali sanaaaaa Kudadadeeki.. ..... Kama Byser Hajakudisapointi Na hii Ngomaa.. Like hapaa tuonee..
Thats what we call talent by MR BLUE AND NANDY 254
Pure Talent. No question about it.
unanifata kuniuliza maswala ya changamoto' 254 feeling the vibes
Nobert Mulesi hivyo!
Jamani hee hii video isipofika views million moja tutaishangaza dunia hii ni ngoma Kali kuliko tetema
Safi sana
Nice song broh #SIMBA-MR.BLUE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu ndo Blue nayemfahamu mimi....Fireeeeeeeeeeee
Kama unamkumbali Mr blue pamoja na team kiba weka like
nakubali mzee wkz Mr blue
Hatar
Thank God for youtube for enabling us to see such a hit from our brother Mr. Blue jina kubwa from TZ. Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 .
Wakenya si mwajua vile sisi hufanya ngoma ikiwa tamu.. nipeni likes harakaharaka Kabla sijapatwa na BASATA
Albert Muliro hhh haliwapiti kitu nyinyi.,ss suala la kubadilishana wasimamizi wa tasnia hii vp.
Yaani muwachukuwe Basata, mtupatie na wa kwenu.
@@mnzavachris5423 Asante kwa offer yako lakini Heri ungesema Mtupe Hamisa Mobeto tuwape Akothee.. Hapo pa BASATA tumeketaa... Hata jina lenyewe BASATA Lamaaanisha Balaa Sana Tanzania.. Bakini na BASATA yenu tu..
Albert Muliro heeh we jamaa wewe.,ndo biashara gani hiyo atii!
Bora ungesema hata Mobeto na Sidika ndo kidoogo tuanze mjadala.,ila huyo Akothee lbd na Hamonrapa.!
@@mnzavachris5423 HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
@@mnzavachris5423 hahaha. Tungewapa Sidika ila hatutaki kuchafua mazingira ya majirini zetu kwa bidhaa za plastiki.. Basi tutawapa Akothee kisha tuwaongezee Msupa S (Sijui kama wamjua) kama zawadi ya ujirani mwema... Mimi bado offer yangu ni kwa Mobeto Homanrap hataweza mazingara ya huku kwetu,, labda tuwape kaka zetu Waganda
yaani huyu jamaa hata game ya music ibadilike vipi hatetereki,,, bonge la ngoma brother....Gonga like kama umeikubali hii nyimbo
Always dropping Super Hits..
Never a bad song from this Ninja..
254 Likes ziko wapi?
Zipooooo!
254!
Mnyamwezi uyoo nakubali blood
Noma sana bonge la ngoma blue Nakukubali sana ila mwezi 4 achia nyengine
Natafuna diamond karanga huku nashushia more fire huku na watch hii ngoma aaah blue ni blue
manguli kama we mpo wachache kwa gemu hili...LA music na hutaki tena kuluzi kweny gemu...
Ww ni msanii kweli kip it oup
Wakenya ubavu hamna sikia talented people from 255 jealous never win
Impressed with your wrapping skills,this guy is talented!
I am in love with the moves and everything about this song... Nandy makes it more fan
Mr blue is a legend ,we know it from kigali ,Rwanda.
Sijawah kupata like jamani wazenji wenzangu mpo wapi ahhhh
Tupo kabisa
Musipoicheck mapozi ataicheck Baba na Mama
dah! Pole sana Nandy Hapa ndio utajuwa kuwa wauni sio watu wazuri,Plz kama unamkubali Blue Like comment
Walioelewa kuwa vidume tusishindane na sidiria tukutane hapa
😃😃
Hahahah
Allee Nickieh Channel ndio maaake
Ww ni noma kila ngoma ni hiti
Allee Nickieh Channel heat
Sijui kwanini mr blue hatakagi kuimba,yani mfano atengeneze album moja tu ya kuimba..daaamn,itavunja records
Wakenya Tukusanyike hapa. halafu pia Mimi naimba
tuko hapa
Nmekupea subscribe Baraka. Utafika
Tuko ndani ya nyumba
Better than kaligraphs nonsense ya mazishi and nagusa matiti 😂😂😂😂
Poa sana
,
Mr Blue ni hatari .mimi namtabua sana kutoka enzi ya mapoz. Big up sana
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣 Bomu la Mwaka mzima...since 1999 you never disappointed me... I always look up to you and your the reason why I'm singing..... So much respect for you... You always know that ... Ahsante kwa hii zawadi ya mwaka... 🙏🙏🙏🙏
Safi sana Huyu ndio mr Blue tunaemtaka kumwona bana
Kenyan flag right there [2:55]. Mob love from kenya
Umetisha blue
Bizi babilon ahsante kwa zawadi mkuu🔥🔥🔥
Kama umekubalibhili dude la bizyyy gonga like apo
Kiukweliii namkubalii sana Mr blue sanaaaa yan miaka mia babiron killer
nacmama km nyerere nikifa huzibi pengo, blue n balaa bana...
Mamaaeee Byser uko juju, Mombasa in the House
Nataka tupige million moja kabla ya week kuisha
Hatari Sana...hakuna wakuziba pengo!
African princess well done, Chibonge safi well done Bro Blue
Duuuh hyu jamaa nyoko kinoma noma ananifanya mziki wake nauona kama c wa level hz,Salute kwako kijukuu wa mtume
*ata kama tunaplay 254 nimeclick fast sana been expecting such a collab0*
its a 'Boom "Bomboclat 💣 'Kazii nzuri sanaa Babylon Byser 'Dondosha vitu mzee kama meli ya durban 'Mpakaa lami itoe chechee 'if you got a real fan love to byser 'let me hear you say "Yeah....👊👊
international...ata wasioskia Kiswahili wanatii...mapozi na we 🔥🔥
One army huna cha team tangu mapozi hadi Leo Big up Mr blue
Kitambo saaaana na huna hata bifu na mtu, hawakufikiii kk
😍😍😍 nasikiliza mpaka kiuparidi kinapita kwenye mifupa
Kabysaaa toka enzi zileeee 🔥 🇰🇪
Mmmm!! Mr blue Umempelekesha sana Nandy. Kazoea kuimba na Watoto kama akina Aslay, Mko vzrur sana But Ngoma la ukwel hilo. BIG up Blue&Nandy.
Kutoka +257,Burundi kama umeipenda nipe like
😍😍😍
ebhna sipati mtoto wa kirundi kwa nyimbo hii? 😉
You the best since way back.... msomali cjui kiswahiili lakn hili Goma limenifanya nijue kiswahili kwa lazma dadadekiiiiiiiiiiiiii
Sasa mbona wimbo wenyewe umeisha mapema? Dah! The man himself in the building!
Muddyb Mwanaharakati yaani!
Unafic co dili, bablai umeumiza kichwa xana_ hongela bro nice song
Legend miaka 13 kwenye game firee
bzy babilon hubaatishi kaka eti unasema mwanaume hashindani na sidiria ngoma kali sana blue
Usiniulize ninavyo kula raha uliza pia msoto😂..blue 💙💙💙
Eeeeeh bwana eeeh ni bonge la ngoma.
Kwl ww n Byser Ngoma kali saaana gonga like kama naw umeielewa.
Mwanaume Hashindn n sindriaa Ebwnaa big up xna Chaliii Theybeyyyyyyclassic
Kama unaikubali hii ngoma like hapa aaaaaaaaaaaaaaa
FARAJA BURA assalaaaamu alaykum akhey .naomba uangalie video ya kaswida yangu th-cam.com/video/VEbezgrNzHw/w-d-xo.html
Blue UmeuwA NgomA Kali sana, IlA Nandy Ana sauti Nzureeeee sana.
kenya tushapiga salute big up bro you got it wakenya wapi likes
Ngoma kali vrt🔥🔥🔥 Blue ft Nandy
Usiniulize navyokula raha niulize na msoto......
🔥🔥🔥
big up babilon beezzzz!!! mwanaume hashindani na sidiria😁😁
U Always my favorite Tanzanian hip pop artist keep it bro👌🇨🇩🇹🇿
Nakukubali Sana Mr blue..wew n nomaaaa toka kitambo...
Bomba Sana vibe yente yente🎧🎤🔊
Mamaee wanaume hatushindan na sindiriaa,daah blue ni nyokoo
BIZZY umetishaaaa kwa hiii truck alafu mwanadada Nandy kakutendea haki ila swali tu BIZZY ulituahidi kuacha kuchana2broooo
Rang Almasi alisema atakua anafanya for fany
Aaah taxxy br000
Production moja matata sana afu kaua hapo wanamapo nami
Kama Likes zipo na hamutaki kunipa likes nitatulia Mwanaume Hashindani na Sidiria..wapi (Likes) zenu
Nakubali mwanaume hashindani na sidiria. Bonge moja ya ngoma.
huu wimbo unaongeza nguvu za kiume unaondoa halala chunusi vipele sugu
😂
Yahnin Abdalah ye baba
Hahahaha hahahaha
Mwande Hamadi duuuuu
Hahahaha
Bad Chun Bizzy babylon, Bless upo. Nimekusoma loud & Clear
Nani ana-watch uku anasoma comment
Mm apa
Daaah sarut for you bro
Mm
Me
hapa ndipo utawaona wanafik👉👉👉
King of hip hop, km unamkubali blue km m navokubali like km zote kwangu jmn
C.L.A.S.S.I.C ....Maaad tune....Nipewe likes za 254
Hili ni bonge la goma yani halichoshi kulisikiliza hongera sana Babylon beez na kasauti ka mtoto Nandy kwa mbaaaliii👏👏👏👏👏👏💪👊🔥🔥🔥
Living legend Mr blue 💯💯💪
Woooow Huyu kijana Mr Blue masema hivi ndio King wa Bongo flava wengine wote wanafuata. Na hili goma looooo ni Holywood standard mwanangu, sio mchezo. Woooooow. The Lion is back in the Jungle. From +44 Great London
THE TRUE DEFINITION OF THE WORD LEGEND
Sjawai kua na madhaka na kipaji chako, god bless
huo wimbo unaweza ukaombea mkopo Tala
Costantine Montanaa 😂😂😂😂😂
Costantine Montanaa mzee|e😬😬😬😬😬
@@fadhilimwakikome828 hahaha ukwl ndio huo
@@veronicabuba8312 Jaribu uone hahahaha lzma wakupe mkopo
Duh
Wazi wazi mr msudani.Mwanaume hashindani na sidiria.
Dem cyaan tek yuh down man..
Up up mi seh..bagga ting
#BlueJanuary #Blue2019
Love from Doha
+974
tangu enzi za mapozi blue habahatishi saluti sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Game nilianza mtoto leo niko na watoto 🤜👍👏
True kabaisa