Viongozi wa kidini mjini Mombasa wameelezea wasiwasi wao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2020
  • Viongozi wa kidini mjini Mombasa wameelezea wasiwasi wao kwa serikali kuendelea kuruhusu raia kutoka uchina kuingia humu nchini wakati wakenya wanaoishi nchini humo hawajaruhusiwa kurejea nyumbani. Wanadai hatua hiyo huenda ikawaweka wakenya katika hatari ya maambukizi ya virusi vya corona ikizingatiwa kuwa mataifa yaliyostawi yamesitisha safari za kwenda na kutoka uchina.

ความคิดเห็น • 461

  • @mawia9004
    @mawia9004 4 ปีที่แล้ว +69

    Nakubaliana kabisa. Wote waende nyumbani including Uhuru. We need sober leaders.

    • @albertmangera2269
      @albertmangera2269 4 ปีที่แล้ว +4

      If all Kenyan tungechagua kiongozi wa maadhili kaa huyo sheikh msemaji afueni sisi wote umati Adam .

    • @zabronmicheni1154
      @zabronmicheni1154 4 ปีที่แล้ว +6

      I surport you pia uhuru aende hatutaki ujinga sass

    • @elnorahmjomba1311
      @elnorahmjomba1311 4 ปีที่แล้ว +2

      Hapo mmeongea vizuri sana wakenya wenzangu wakwende kabisaa hatuwataki tena

    • @maryjohn8785
      @maryjohn8785 4 ปีที่แล้ว +3

      Mawia jamani wakwende shda tulijiletea kuwachagua hawana akili!!!

    • @susankariuki449
      @susankariuki449 4 ปีที่แล้ว

      @@albertmangera2269 yeah!

  • @michaelibrahimibrahim665
    @michaelibrahimibrahim665 4 ปีที่แล้ว +66

    Nimependa sana vile umeongea , maana ni ukweli,

    • @albertmangera2269
      @albertmangera2269 4 ปีที่แล้ว +6

      Uislamu tuaongea ukwli tu ju ni agizo. Kutoka kwa Allah.

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisa mlivyoongea

  • @elnorahmjomba1311
    @elnorahmjomba1311 4 ปีที่แล้ว +20

    Tumekataa ndege ya uchina hapo umeongea hongera

  • @charokakio91
    @charokakio91 4 ปีที่แล้ว +37

    This is the right time for all Kenyans to standup and take this Corrupt Government home without fear.

  • @pinvii8679
    @pinvii8679 4 ปีที่แล้ว +23

    We are behind you...lets do this💪

  • @esiebabs4487
    @esiebabs4487 4 ปีที่แล้ว +30

    Waislamu na wakristo it's time to pray 💔

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +3

      Ino ndio comment muhimu nimeona kutoka Corona ianze, mda wakurudi kwa maombi mungu mwenyewe atatupigania corona

    • @esiebabs4487
      @esiebabs4487 4 ปีที่แล้ว

      @@babyhamisi5331 AMEN, tumuite mungu wa shadrak meshak and abedinego ,hakika hii moto ya corona haitatuchoma

    • @naturalist9517
      @naturalist9517 4 ปีที่แล้ว

      waislamu na wakristo ya nn kwan wengine walijiumba

  • @nicholaskiamah1719
    @nicholaskiamah1719 4 ปีที่แล้ว +16

    The chair man has spoken very clearly and given proper facts these are the religious leaders that Kenya need , the chair man has the peoples best interest at heart

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH awahifadhi hao mashekh nawoooote mfano waooo.

  • @johnkariuki4789
    @johnkariuki4789 4 ปีที่แล้ว +36

    Vitanda kumi na moja walale wenyewe na wake zaoo.......

  • @luizngugivlogs5600
    @luizngugivlogs5600 4 ปีที่แล้ว +36

    Kenyans we are tired with this government ...tukiamua kuandamana kila mtu ana hasira tunaumia sote

    • @pendoonyango6676
      @pendoonyango6676 4 ปีที่แล้ว

      I support you

    • @cytkl
      @cytkl 4 ปีที่แล้ว

      The govt of goons destroying the Future of everyone

  • @moseskanyiri6090
    @moseskanyiri6090 4 ปีที่แล้ว +50

    Tuanze sasa hivi maadamano

    • @mumblessed001
      @mumblessed001 4 ปีที่แล้ว +1

      Pia mm nilikua naonelea hivo

    • @oyay2821
      @oyay2821 4 ปีที่แล้ว

      Webe ni ureure

    • @mscantraah8210
      @mscantraah8210 4 ปีที่แล้ว

      Yes 🤒🤒

    • @user-pm4ue4bb2q
      @user-pm4ue4bb2q 4 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana, na maneno, yenu, kwanza maandamano, yaanze, leo

  • @jamesnjoroge6440
    @jamesnjoroge6440 4 ปีที่แล้ว +24

    Akili zao zimepotozwa na bbi hawajali chochote ila wajitafutie viti pamoja na jamii zao uhuru na raila Mungu yuko na amesoma fikira zenu jehanamu yawangonja.

  • @abdullwahab39
    @abdullwahab39 4 ปีที่แล้ว +19

    Kweli kabisa kwanza waziri wa usalama matiangi afutwe kazi kwa sababu ameshinda kufanya kazi yake

  • @Temboz
    @Temboz 4 ปีที่แล้ว +10

    I support the first dude...he has valid points Kenyans are very ill equipped to handle a global epidemic like corona virus.

    • @b.truthful
      @b.truthful 4 ปีที่แล้ว

      You are the Big Dude

  • @mercykangangi4623
    @mercykangangi4623 4 ปีที่แล้ว +41

    Ushanena aki kama nzige zimetushida... Je,corona tutaweza kweli???

  • @langatchepkoech717
    @langatchepkoech717 4 ปีที่แล้ว +29

    This is the same mistake china did when they arrested the Whistleblower.. now look whats happening there. TUMECHOKAAAA!

    • @mscantraah8210
      @mscantraah8210 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa 🙉🙉🙉😭😭😭

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 ปีที่แล้ว

      Na alijifiya maskini doctari!

  • @user-pw1ix4fl9g
    @user-pw1ix4fl9g 4 ปีที่แล้ว +3

    imagine hata huku warabuni wamestopisha watu kusafiri , hii si mchezo viongozi wa kiismamu mumefanya vizuri kuingilia kati coz wenzenu viongozi wakikristo wamelala tu wangoja kufanyiwa michango na na harambee wapelekewe mapesa washibishe familia zao , Mungu awabariki na kuwapa ujasiri ndugu zetu .

  • @marylynkenya3121
    @marylynkenya3121 4 ปีที่แล้ว +17

    I support you

    • @xa9xn437
      @xa9xn437 4 ปีที่แล้ว

      Marylyn Kenya kabisa tumechoka

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 4 ปีที่แล้ว +5

    SubhanaAllah Mtihani Wallay 😭😭😭Kilichobakia Ni Kufa Tukijiona 😭😭😭Allah Tunusuru Waja Wako

  • @samuelmakona6214
    @samuelmakona6214 4 ปีที่แล้ว +12

    This president has failed completely

  • @amaliajifaith4645
    @amaliajifaith4645 4 ปีที่แล้ว +8

    Umeongea vizuri Sana huu ukweli kabisaa

  • @mwalimupatrick4323
    @mwalimupatrick4323 4 ปีที่แล้ว +9

    hii Kenya tumechoka bana!! tunafaa kuaanza maadamano sasa hivi😣😣

  • @omarjeylani9144
    @omarjeylani9144 4 ปีที่แล้ว +1

    Faida ya BBI hiyo, kenya imekufa kitambo sana, kenya Kuna shida ya drugs, health sector, barabara mbovu, uchavu mitaani na barabarani, port ya mombasa inaomboleza, uwizi na hali ya usalma imezorota kutoka lamu garissa mandera mombasa marsabit na kwenginneko, may God get rid of all corrupt leaders and their allies. I will be very happy if this virus clean those corrupt leaders.

  • @josephatmoracha5755
    @josephatmoracha5755 4 ปีที่แล้ว +7

    I like the way you speak becouse it's now time to go back to the streets and demonstrate coz hatuna lingine plz Kenyans we have to do something plz.

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 4 ปีที่แล้ว +13

    Mombasa mumeogea point nawependa bure tuombeni Mungu atuepushie na ili janga.. Government yatamini pesa sio binadam

  • @estherwawera2147
    @estherwawera2147 4 ปีที่แล้ว +1

    Nahasira sana,najutia kuzaliwa nchi yetu hii ya kenya,ukoloni upo bado,watunyanyase na kesho tukapange foleni kuwapigia kura,Yangu hawapati inshallah nisipo sobwa na corona,watataniona paa,

  • @sassiejane1299
    @sassiejane1299 4 ปีที่แล้ว +14

    Hapo kweli kabisa

  • @lydiamuthoni7166
    @lydiamuthoni7166 4 ปีที่แล้ว +12

    Let’s all protest Kenyans wake up wake up🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️👏👏👏

  • @blockbusters377
    @blockbusters377 4 ปีที่แล้ว +9

    I love this, praise God for you mr chairman.

  • @sageforce9306
    @sageforce9306 4 ปีที่แล้ว +3

    I like this sheikh. He brings out our wrath and frustration with a dash of flavour. Tell this Chupili kafament wasikize

  • @mwamengi2409
    @mwamengi2409 4 ปีที่แล้ว

    Waziiiii umeongea kama watu million 10 Kenya hongera sanaaaa

  • @helenwangechi7746
    @helenwangechi7746 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera baba umeongea ukweli mutupu tuandamane jameni uhuru atatua

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa Viongozi wanafaa kuombewa washikwe nawazimu. Kwa ulafi wao natamaa Bila kujali binadamu wengne katika taifa hili... Laana zAMungu zawashukie kwa dhulma zao na uharibifu katika ardhi ya Mungu. Amen!

    • @estherwawera2147
      @estherwawera2147 4 ปีที่แล้ว

      Wasishikwe nawazimu,wafe wao kwa hizo mikutano zasiasa na corona, waoze kwa Siku moja

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 4 ปีที่แล้ว

    Yes🤔we sung the song" wageni karibu Kenya,Kenya nchi nzuri hakuna matata😎😎may God open the spritual eyes and ears of our leaders,😘😘😘😘

  • @Unclesam00001
    @Unclesam00001 4 ปีที่แล้ว +13

    Ufisadi tunaeza vumilia lakini Corona itatumaliza Ni Corona solution no bbi

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sheikh may you live long inshaallah

  • @manfredgungah4246
    @manfredgungah4246 4 ปีที่แล้ว +10

    Woi jamen hii italeta shida kabsaaa huku

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 4 ปีที่แล้ว +15

    Tunaumizwa na chikungunya leo mwenda tuletea CORONAVIRUS nchini ugonjwa uloshindwa na tiba kwa nchi za kitajiri Khah!!!!

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 4 ปีที่แล้ว +13

    Hata wakimfuta kazi mitandao ipo tutawamulika tu washenzi

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 4 ปีที่แล้ว

    Napenda kuona wananchi wenye kueleza kitu kwa weledi pia kujiamini kabisa nice kikubwa kuomba duwa mungu atunusulu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +1

    True Kabsaaaa Sheikh Juma ngao,Viongozi au Serikali Ya Kenya haitaki Ukweli.

  • @carol-morasta
    @carol-morasta 4 ปีที่แล้ว +2

    wasee tu andamane mpaka state house juu hii kitu ni sisi itamaliza wao wako na pesa wataka kwa ma mansion zao,na mmoja wao aki patwo nayo ata providiwa na the best doctors,so it's up to us,tunaweza enda mpaka iyo airport na tuifuruge,wao hawana shunguli na sisi wanafikiria kuhusu BBI

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 4 ปีที่แล้ว +3

    Yes tuko nyuma yenyu munyoki nyumbani kenya yetu hatari kweli. Uhuru na raila bbi tu

  • @wattsleilah
    @wattsleilah 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli kabisa sheikh,,,

  • @dicksonkileta2608
    @dicksonkileta2608 4 ปีที่แล้ว +1

    Umesema kweli sheik hii serikali yetu haifikirii kabisa ni mwenyezi mungu to Ndo atatuokoa

  • @lydiathogori6246
    @lydiathogori6246 4 ปีที่แล้ว

    💪hongera sheikh umeongea ukweli kanisa.God bless you

  • @zaudebodaboru181
    @zaudebodaboru181 4 ปีที่แล้ว

    Jambo hili linakaa kaa tu kawaida kusikia wakati wote kwa wakenya.lakini endapo mtu mmoja kudhibitishwa kuwa na virusi ndio watajua hii ni jangaa .kwa sababu kutoka mwaka tuliopiga kura hadi waleo sisi tunachojua ni siasa tu. Kenyans should stand with ALI GERE ...a Hero and a patriot. Si jambo la kushinikiza tu.

  • @saadiamaalimhyhg3690
    @saadiamaalimhyhg3690 4 ปีที่แล้ว +1

    Our president and deputy really really really what else do you want us to do so that you listen to our voices.

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 ปีที่แล้ว

    Mm Sina usemi thanks Allah awape nguvu mtutetee cc wanyonge

  • @mwanakombosuleiman6161
    @mwanakombosuleiman6161 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakenya serikali mwamfuta kazi mtu kwa sababu amesema ukweli mbona mwakubali ndege za china zije kenya .ingekuwa mm pia ningeipika picha nikasambaza tumechoma jamani njaa ipo uchumu umepanda tena mwataka kutuletea maradhi .

  • @kevinwamalwa9525
    @kevinwamalwa9525 4 ปีที่แล้ว

    Tafathali ...hao viongizi wa kidini .. Tuongozeni...kwa kila namna ...mwazo....mm sioni faida ya wachina ....kwa sababu tangu 2 wajenge reli maisha yamekua nagumu sana ... ....just imgn hii kitu ikiingia. ....ushagooo ..

  • @samiramohamed3994
    @samiramohamed3994 4 ปีที่แล้ว

    MM MTAZANIA NAOMBA MSAMAHA KWA NDUGU ZANGU, ALLAH HAKUSEMA KISIMA KILE PALE JIDUBUKIZE MM NITAKUOKOA KASEMA JIOKOE NA MM NITAKUOKOA NA BINADAM SOTE TUNAHAKI BILA YA KUBAGUANA NA SERKALI INA WAJIBU WAKE NA PIA SERKALI ATIZAME ROHO ZA WANANCHI WAKE HATA KAMA KENYA INA DENI YA MCHINA ITAFIKA WAKATI ITAISHA INSHA-ALLAH NITAIOMBA KENYA SERKALI NA WANANCHI WAKE WASHIKAMANE NDIYO UMOJA NA NGUVU ✊💪 WAKUOGOPEWA NI MOJA TU ALLAH SIYO MCHINA TIZAMENI WAZEE NDUGU WATOTO TUWAHIFAZI HIZO NDIZO DUA NDIZO ZITALETA MAENDELEO YA NCHI BILA KUJUA NDUGU ZANGU WOTE 👍

  • @Ed-vi6bs
    @Ed-vi6bs 4 ปีที่แล้ว +6

    Ukweli

  • @zakayowanjala7818
    @zakayowanjala7818 4 ปีที่แล้ว +3

    Aki huyu shiekh ameongea ukweli kabisaa tho amefanya nicheke kidogo pale pa vitanda walela wenyewe na bibi zao twaumia sisi wanyonge

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

    Laiti kama the first one ungekua president hakungekua Na udhalimu Na ufisadi mwingi manake umeongea ukwel mtupu👌🙏

  • @respectall4551
    @respectall4551 4 ปีที่แล้ว

    We need to understand just only one thing. No one surpass the power of the Almighty God. Oppressed kenyans, all religious affiliation we need to stand together join our hands and pray against all the people involved in this drama, the people who wants to harm the life's of poor civilians. May Almighty God accepts your prayers and punish them all. May the Almighty God protect the people of kenya and its neighbors. Love from another side of the world.

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 4 ปีที่แล้ว +3

    tamaaa ni mbaya sana.

  • @bettyowiti397
    @bettyowiti397 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo Sasa...

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sheikh

  • @catenjiiri7435
    @catenjiiri7435 4 ปีที่แล้ว +2

    True take precautions

  • @YasminYasmin-kj4ep
    @YasminYasmin-kj4ep 4 ปีที่แล้ว

    Umeongea point sana sheikh

  • @alicewagula4079
    @alicewagula4079 4 ปีที่แล้ว

    I support you ..president alipe deni ys china warudi huko nkt

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa kenya tuiskie tuu ni kenya bt utaratibu hakuna kabisa mwasema nzinge tu je matakataka umezisahau zilivyo tapaka Mombasa hata hutamani kuka mombasa je Corona ikija tutarishe makaburi hakuna usaidizi mwengine ufisadi umepita mizizi nanyi mwasema corona mutapambananayo matokeo na mutajua hapo? Ikifika ni kuomba mungutu

  • @adamsaga6700
    @adamsaga6700 4 ปีที่แล้ว

    Swadaqta umenigusa Sana ustadhi

  • @maimunahassan8928
    @maimunahassan8928 4 ปีที่แล้ว

    Umesama kweli shekh👌santaa

  • @alexmuvua1312
    @alexmuvua1312 4 ปีที่แล้ว +1

    These guys dropped some hard barz..."Locust wametushinda.Hatuna lab.Tunatuma specimen South Africa kupimwa.Tutapambanaje na Corona?Hatuna capacity ya Nzige....Corona tutapambanaje nayo???". 😤😤😤

  • @marvinkigame2838
    @marvinkigame2838 4 ปีที่แล้ว +2

    Tumechoka kama wakenya... We are ready to go to the streets.👊

  • @godfreymutuku3193
    @godfreymutuku3193 4 ปีที่แล้ว

    true brother,i support you too

  • @amandaantonio5893
    @amandaantonio5893 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu ndiyo atatunusuru Sisi walala hoi

  • @justinemachuma6954
    @justinemachuma6954 4 ปีที่แล้ว

    Allah help us ,,tuko nyuma yako Mwalimu ,,Tumechokaa sana

  • @victorjoywambui4399
    @victorjoywambui4399 4 ปีที่แล้ว

    Salute u. I support u. Kenya they loves money than people life's 😢😢that's so sad, kaa all countries umefukiwa, bona Kenya, mnakubali? ?? . Nimechokaa mm, kuitwa Mkenya

    • @LolaBugzy85
      @LolaBugzy85 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa. Yani Kenyans we value monew more than life itself.

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli asemayo shekh ndege zistopishwe kwende china mpaka huu ugonjwa uishee jamani Kenya inamajanga tele Al-shabab tuu wanatuendesha mbio

  • @timaahamdi5621
    @timaahamdi5621 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki Kenya ni nchi ambayo ingekuwa juu kimaeneleo.Lakini ndio nchi ambayo imezoroteka kiuchumi Africa kwa sababu ya UFISADI Na UBINAFSI

  • @timaahamdi5621
    @timaahamdi5621 4 ปีที่แล้ว +1

    Kilioooo!cha haki.Aiibu hiyooo ya vichwa vya kenya wanajuwa tu kuiba mali ya uma na kujaza matrilion kwa Bank zao.

  • @williamjulius5981
    @williamjulius5981 4 ปีที่แล้ว

    True sheikh wambie ukweli Kenya hatuna uwezo wa kupambana na Corona viruses

  • @alicejohn4745
    @alicejohn4745 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kweli

  • @janewambui1523
    @janewambui1523 4 ปีที่แล้ว +1

    Mumenena bravo

  • @kallenskagwiria5069
    @kallenskagwiria5069 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭

  • @maryanadhan3739
    @maryanadhan3739 4 ปีที่แล้ว +1

    Oh Allah bless Kenya 🙏🤲🤲😭😭

  • @vivamusandojenevive4635
    @vivamusandojenevive4635 4 ปีที่แล้ว +2

    I salut you bro corruption ya goverment

  • @mohahatu5312
    @mohahatu5312 4 ปีที่แล้ว +1

    Very trueeeeeeeee

  • @tsantanadk234
    @tsantanadk234 4 ปีที่แล้ว

    Devolution..

  • @Future88746
    @Future88746 4 ปีที่แล้ว

    This coastal leaders make so much sense, wote wafutwe, halafu kuna hawa wafanyakazi wote kila mtu aulizwe pesa ambazo zimetengwa kuprocure vyombo wamezitumiaje, waulizwe hadharani.

  • @raiyanmohd918
    @raiyanmohd918 4 ปีที่แล้ว

    Ni kawaida nchi zetu za Afrika na viongozi wetu wanajali pesa zaidi kuliko wananchi

  • @grantler1726
    @grantler1726 4 ปีที่แล้ว +3

    " Wameshindwa na funza, wataweza covid 19!!!

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi namuomba MUNGU hiyo CORONA impate Uhuru tena afe ndio wengine watakaojiweka madarakani wawe na adabu

  • @euniceowidi6523
    @euniceowidi6523 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaa, hivyo vitanda walale was na watoto wao

  • @marykalei8139
    @marykalei8139 4 ปีที่แล้ว

    Kweli imeshindwa kupeana dawa za ukimwi, mungu mungu serikari yetu inatuua mungu shuka kwakweli hatuna aki wanyonge 😢😢mungu tupee wakumbwa wanatujali 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @shamitaali8007
    @shamitaali8007 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabisaaa we will refuse this greeed by the government hatutaki BBI mpaka wachina wazuiwe kuingia humu nchini

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 ปีที่แล้ว

    Sahihi kabisaa sheikh

  • @bamariz
    @bamariz 4 ปีที่แล้ว +2

    kwa mara ya kwanza juma ngao amesema ya maana.siku zote anabonga zero

  • @estherwawera2147
    @estherwawera2147 4 ปีที่แล้ว +1

    Atakae wafuta kazi nani,kama raisi wetu wa Kenya alijua kuna ndege imeingia Kenya kutoka china,hakuchukua hatua yeyote,hapo kuna njama Fulani inaendelea,wanataka kuitisha misaada Kenya watie pesa mifukoni,huku twaendelea kufa,pasipo kujua pia wao wamo hatarini,nashangazwa sana na serikari yetu ya Kenya,pesa mbele

  • @evelynmumbi1659
    @evelynmumbi1659 4 ปีที่แล้ว +3

    This is a world war item....BT why is the President not speaking no planes to be allowed until tukue tayari ata mask na sanitizer zitatosha kweli

  • @abdirizakahmed299
    @abdirizakahmed299 4 ปีที่แล้ว

    Masheikh wetu we are with you in every steps you are taken

    • @kipyegonalphonce1965
      @kipyegonalphonce1965 4 ปีที่แล้ว

      whoever is behind this,,that's arrival of Chinese in Kenya,,,go to hell,,a Satan without horns

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 4 ปีที่แล้ว

    Serekali wangefunga usafiri wa kutoka inje ya nchi.. ingekuwa Bora zaidi

  • @mariamkitekha9233
    @mariamkitekha9233 4 ปีที่แล้ว

    Kabisaa, tuko ready like yesterday kuandamana, hii serikali itatumaliza bila sisi kujua

  • @jeremyclyde3006
    @jeremyclyde3006 4 ปีที่แล้ว

    hahaha This guy is funny and he doesn't even realize it!

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 ปีที่แล้ว

    Kuweni macho wakenya wangu

  • @mav2zmajamboz624
    @mav2zmajamboz624 4 ปีที่แล้ว

    Samahani kwa wote ... Lakini hakuna hatua Serikali itachukua...munadaiwa maBilioni...lazima mukubali matokeo yaishe...

  • @judyjudy1052
    @judyjudy1052 4 ปีที่แล้ว

    Kabisa hapo tuko pamoja sana warudi kwao kwanza for surely Kenya hatutaki hao watu