Ahsante mno Wewe kwa Msaada wa Yesu Kristo Umenibadilisha kupitia shuhuda zako hakika Jactani Mungu ipo siku atakuita kwake na akuteteee na Ulinzi wake uwe you yako Mtumishi Bwana Yesu Kristo...Barikiwa mno
Ubarikiwe sana kwa shuhuda nzuri nashauri kuwe kuna mfulurizo wa mara kwa mara yaan kila siku badala ya part2 kupita zaidi ya siku moja au mbili iwe ni kila siku ... Asante
Thank you Jacktan! I was looking for him for continuation of pastor Jonas from Congo!! Ooh my goodness, this is a Devine connection, thank you Jesus! Most of his videos and interviews are done in Spanish or in French and I really wanted to follow but I couldn’t!! So glory be to God cause now I’ll get the chance to finish his testimonies. The lord richly bless you brother Jacktan.
Ndio maana Adam Aston mbaya aliambiwa na Bwana Yesu kuwa ata watoto wadogo wapo jehanum mmmhmm kwakweli Yesu wetu utusaidie Baba, kaka jack me nabarikiwa sana na huduma yako Mungu akusaidie kulitimiza kusudi lilikuleta duniani jamani.
Bwana Aku Bariki Jacktan, Huyu pastor Jonas ana ushuhuda mzito sana, Nime wai kuhusikiliza hote mpaka mwisho, ushuhuda wa Jonas una Mambo mazito sana. Bwana Aku Bariki tena
Pole hapa sio Jonasi kutunga Uongo au Ukweli ...Wewe Jackson ndo unatakiwa ubadilike kukaa na Kristo njiani Mwake.... Na Ubishi kwa Mahala hapa nahisi sio Mahala husikaaa....Jackson Husiitetee dhambi kubali kuwa Kristo ndiye Mungu Muweza... Wewe hukuzaliwa na dhambi na kutetea Ukatolikii...
Una point.. Ntaifuatilia.. Nillisoma english version nikaona hadithi zake zinaingiliana kati ya msimuliaji mmoja hadi mwingine. Na analenga sana kuponda kanisa Katoliki..... Silitetei ila ushuhuda kama ni wauongo (labda anasema ukweli) dhidi ya mambo ya imani nyingine inaweza kuhamisha watu toka ukweli.
Kila mwanadamu ameletwa duniani kwa kusudi maalumu sema unakuta atujatambua kusudi lenyewe ndo maana hatutimizi hakika tangu nikusikie kwenye radio ya kwaneema fm mpaka sasa wewe unatimiza kusudi lako
Ahsante mno Wewe kwa Msaada wa Yesu Kristo Umenibadilisha kupitia shuhuda zako hakika Jactani Mungu ipo siku atakuita kwake na akuteteee na Ulinzi wake uwe you yako Mtumishi Bwana Yesu Kristo...Barikiwa mno
Amen barikiwa pia
Mungu tu ndiye njia ya uzima wa milele,barikiwa sana Mtumishi Jacktan
Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa shuhuda.
Ubarikiwe sana kwa shuhuda nzuri nashauri kuwe kuna mfulurizo wa mara kwa mara yaan kila siku badala ya part2 kupita zaidi ya siku moja au mbili iwe ni kila siku ... Asante
Asante kwa ushauri
Hallelujah Hallelujah Yesu Ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote
Thank you Jacktan! I was looking for him for continuation of pastor Jonas from Congo!! Ooh my goodness, this is a Devine connection, thank you Jesus! Most of his videos and interviews are done in Spanish or in French and I really wanted to follow but I couldn’t!! So glory be to God cause now I’ll get the chance to finish his testimonies. The lord richly bless you brother Jacktan.
Amen.Thanks
Mungu awabariki sana
Amen YESU ANAOKOA
Mungu akubariki saana Jack 🙏
Amen
barikiwa mtumishi kwa kutuketea shuhuda za kutufunza mambo ya dunia hii yalivo
Amen
Ndio maana Adam Aston mbaya aliambiwa na Bwana Yesu kuwa ata watoto wadogo wapo jehanum mmmhmm kwakweli Yesu wetu utusaidie Baba, kaka jack me nabarikiwa sana na huduma yako Mungu akusaidie kulitimiza kusudi lilikuleta duniani jamani.
Amina kaka
Bwana Aku Bariki Jacktan, Huyu pastor Jonas ana ushuhuda mzito sana, Nime wai kuhusikiliza hote mpaka mwisho, ushuhuda wa Jonas una Mambo mazito sana. Bwana Aku Bariki tena
Amen, ubarikiwe pia
Amina barikiwa sana
May the lord grant you grace to do more than this it's wonderful 🎊
Arise and shine
Ameen, Haleluyaaaa BWANA YESU KRISTO atukuzwe sana
Mungu akuzidishie mtumishi jacktan
Amen
Tone moja la Damu ya YESU KRISTO huharibu kazi za Lusifa za miaka elfu na kusambaratisha nguvu zake zote
Ameen
Amina
Yes anaokoa
Following
Mungu akubariki lakini mwenzelezo jamani
Shetani anarecruit mpaka watoto halafu wazazi tumekaa tuu hatuwafundishi kusali na kufunga ...
Mungu atusaaidie kweli
JESUS the name above all. Waiting for pt2🙏
MUNGU akubariki sana jacktan
Amen, barikiwa pia
Weiting for part 2
Stay tuned
Hio mwezi miwili ni alipo kua tumboni mwa mamaye, maana yake yeye ali hanza kumtumikia shetani akiwa tumboni mwa mamaye.
Amen
Part 2 please
Ushuhuda muzuri Sana ubarikiwe tunataka wa 2 please
Sawa
Mungu akubariki part2 inatoka lini
Amen, kesho
Du!tunaishi Ni kwaneema ya MUNGU barikiwa jactan ushuhuda umenifuza kitu
Amen
Namba 3 ipo wapi?
Huyo jonas ana ongea uongo mutupu ukimufwata sana.
Amejifanyia maneno isiyo na uhakika na maneno yaku badilika kila mara akiya ongea yeye mwenyewe.
Pole hapa sio Jonasi kutunga Uongo au Ukweli ...Wewe Jackson ndo unatakiwa ubadilike kukaa na Kristo njiani Mwake....
Na Ubishi kwa Mahala hapa nahisi sio Mahala husikaaa....Jackson Husiitetee dhambi kubali kuwa Kristo ndiye Mungu Muweza...
Wewe hukuzaliwa na dhambi na kutetea Ukatolikii...
Kwani ukweli ukoje?
Una point.. Ntaifuatilia.. Nillisoma english version nikaona hadithi zake zinaingiliana kati ya msimuliaji mmoja hadi mwingine. Na analenga sana kuponda kanisa Katoliki..... Silitetei ila ushuhuda kama ni wauongo (labda anasema ukweli) dhidi ya mambo ya imani nyingine inaweza kuhamisha watu toka ukweli.
Biblia inasema zijaribuni roho
Muendelezo kaka jactan please
Sawa,tunaleta
Kwanini uweke iyo picka ya musalaba wa wa freemasson.
Kila mwanadamu ameletwa duniani kwa kusudi maalumu sema unakuta atujatambua kusudi lenyewe ndo maana hatutimizi hakika tangu nikusikie kwenye radio ya kwaneema fm mpaka sasa wewe unatimiza kusudi lako
Amen,asante sana kwa kuendelea kunifatilia
MUNGU tusaidie tushinde vita ya kiroho
Nabii wa uomgo TU g
Amen