DAKIKA 8 ZA MAALIM SEIF: Atagombea Urais 2020? ataja anachotaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @alisalum766
    @alisalum766 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mung akupe maisha maref raic mtarajiwa

  • @tthomasmalima3027
    @tthomasmalima3027 7 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee ni muongo kweli. Eti yeye anaona atatangazwa kuwa rais wa Zanzibar. Pole sana mzee Basha

  • @jasjay4887
    @jasjay4887 7 ปีที่แล้ว +2

    fanyeni kazi...wanasiasa watawagawa mpigane mfe na ili wapate vyeo. Mwananchi msigawanywe kisiasa. pigeni kaz la sivyo mtajuta baadaye

  • @stimapatrick3578
    @stimapatrick3578 7 ปีที่แล้ว +6

    la maana tu hapo..maalimu umevaa vzr...umependeza sana hongera vingine ni pumba vina maana...

  • @yunusmtonga2257
    @yunusmtonga2257 5 ปีที่แล้ว +1

    Laana ya kumchongea mzee Jumbe kwa mwalimu jk ndio inakusumbua ulimsaliti mwalimu wako alio kuwezesha utahangaika sana katubu kwenye kabuli lake kwakua hutomuona tena.

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 5 ปีที่แล้ว +1

    Asalama aleykum, one day akiondoka Maalim tupo wengi wabaya kiutalamu wa siasa kuliko Maalim, na mtazamo wetu wa mbali, a hatutotaka ruhusa yeyote kufanya biashara ya kimataifa, b mwekezaji yeyote baada ya kusema Zanzibar yes mean yes, c kungana na nchi yeyote hatutotegemea ruhusa ya mtu yeyote. D Na wazanzibar watajulikanwa ki mataifa. E km Zanzibar ni nchi bc iwe na pasport yake.
    Hizo ndo fikira Za wazanzibar wote. Hamtomjuwa yupi utaona tu katokea.
    Je si Za haki.
    Think before you done

  • @suleimanmohammed5344
    @suleimanmohammed5344 7 ปีที่แล้ว +3

    Umeeleweka Maalim Seif.

  • @khayratsaid4364
    @khayratsaid4364 7 ปีที่แล้ว +6

    I lve u maalim mungu akupe umri mrefu

  • @binshaeeb4104
    @binshaeeb4104 6 ปีที่แล้ว +1

    Ufumbuz utapatikana lini mbna unakuwa msanii sana namna iyo tumekuchoka umetugeuza vifaranga kila siku nyonyo kesho

  • @ISSAMAKOMBE
    @ISSAMAKOMBE 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @petromwita7415
    @petromwita7415 7 ปีที่แล้ว +4

    ww ni the greatest Maalim, be strong 2po nyuma yako wazanzibar wote.

    • @eliamwameta6379
      @eliamwameta6379 6 ปีที่แล้ว

      Petro mwita Tatizo bara Wewe mshindi kila chaguzi

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 3 ปีที่แล้ว

    dah! aisee hili kwakweli lilikuwa gwiji la siasa.

  • @salehemayunga971
    @salehemayunga971 6 ปีที่แล้ว

    Magufuli muogope Seif anaugonjwa wa sukari ya.kupanda na ndugu zake wanasema aliwahi kupata kichaa mpaka mwalimu akamtia ndani huyu si mzima lakini anapenda sana uongo

    • @saidmuhammmed397
      @saidmuhammmed397 5 ปีที่แล้ว

      Unatamani kuongea kila kinacho toka katika kapu lako la mdomo izo jeuri zako na porojo lako litaisha tu kwani hao walio madarakani hawawezi kudumu,na Huyo seif hatakama hakuingia madarakani lakini ni jemedari na shujaa hao wengine ni majoga hatakama wanamadaraka,upuuzi unao uandika ww hauna mantiki.

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 ปีที่แล้ว +6

    maalim Self mashaalah TIdo mhando jua nafasi yako usihoji maswali ya kipuuz kwani we mungu wewe mwenyewe mzee achia ngazi basis hapo azamtv

    • @ernestsamson2761
      @ernestsamson2761 7 ปีที่แล้ว

      Shuweha Omar Tido mfuatilie usimpuuze jiulize kwa nin alifukuzwa TBC wapo wachache mno

    • @alimohd2244
      @alimohd2244 5 ปีที่แล้ว

      Shuweha Omar maalimusef

  • @athumanimashango3204
    @athumanimashango3204 7 ปีที่แล้ว +6

    kila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi MUNGU

    • @mrishosaidi53
      @mrishosaidi53 7 ปีที่แล้ว

      nikweli lakini nivigum sana kupewa uraisi malim anadhambi yausaliti

    • @mrishosaidi53
      @mrishosaidi53 7 ปีที่แล้ว

      hawezi kusema chamakinanguvu nguvuipowapi nguvu yaupande

    • @mrishosaidi53
      @mrishosaidi53 7 ปีที่แล้ว

      2me2mikishwa wabala matokeo yake 2nauzwa kwabeipoa

    • @zalhatmohammed7768
      @zalhatmohammed7768 6 ปีที่แล้ว +1

      kabisa subra huvuta heri

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 7 ปีที่แล้ว +4

    raisi ni amri ya mungu.
    so kila anaetaka

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 7 ปีที่แล้ว +1

    good Answer Maali Seif

  • @nassorothmanjuma4806
    @nassorothmanjuma4806 7 ปีที่แล้ว +5

    hongera maalim tunakupenda wazanzibar kwa hekma yko

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 4 ปีที่แล้ว

    maalim seif TUNAKUPENDA

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 ปีที่แล้ว +1

    ACHA TAMAA MARILIM MUDA WAKO UMEPITAAA

  • @nathanjaphet7625
    @nathanjaphet7625 7 ปีที่แล้ว

    Big up Millard Ayo kwa habari za uhakika

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mzee ameshafanya mastering kutambua uwezo wa wazanzibari ktk kuona mambo kwa jicho 3, na ndio maana anaongea vile anavyohisi yy kwamba ataendelea kuwapa matumaini bubu wazanzibari walio waliolala√

  • @menejameneja.1272
    @menejameneja.1272 6 ปีที่แล้ว +2

    Ata aibu huoni maalim

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 6 ปีที่แล้ว

    M/Mungu akulinde nao hao na njama zao maalim seif wetu😙😙

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 5 ปีที่แล้ว

    Hata akiwa na miaka mia mbili.Huna mpango masuala yasio na msingi

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 7 ปีที่แล้ว +1

    maalim safi sana. ccm Tido alikua amuulize Jecha au Dr Sheni masuali magumu kama haya anayouliza hapa. bahati mbaya Tido ni mmoja tu.

    • @husseinyusuf1810
      @husseinyusuf1810 7 ปีที่แล้ว +2

      Allah akupe nguvu na subra maalim ufikie malengo ya uongozi znz tunao usubiri mda mrefu

    • @kihanda2554
      @kihanda2554 7 ปีที่แล้ว

      Hussein Yusuf Malengo Gani mnayoyataka?

    • @alysaleh3930
      @alysaleh3930 5 ปีที่แล้ว

      Ikiwa sheni anasikilizwa mambieni atutole mashehe wetu

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 ปีที่แล้ว +8

    pambana mpk tupate hak yetu mm mwenyew siupend utawala wa shain

  • @salehemayunga971
    @salehemayunga971 6 ปีที่แล้ว

    Sasa we Sefu hata kwenye uchaguzi hukuingia sasa ulishinda vipi wakati kura zilipigwa na ccm halafu ushinde weye hebu kale urojo fala we

  • @azizalazri1283
    @azizalazri1283 5 ปีที่แล้ว

    Uraisii autaupataa ebuu kataa tamaa Babuu uzeee uo ikuluu tunawqtaka vijanaaaa ebuu tuliya ww

  • @seifyussuf6367
    @seifyussuf6367 6 ปีที่แล้ว

    hutuba za.maalum.seif pemba

  • @matheomihale4125
    @matheomihale4125 7 ปีที่แล้ว +4

    Huna kaz

  • @alsalhmohdsuleiman2851
    @alsalhmohdsuleiman2851 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana muym

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 7 ปีที่แล้ว +2

    Maongezi yako tu Maalim seif inatosha kua ww unafaaa kutuongoza wazanzibar kama raisi wetu. Allah akuhifadhi na maadui. amn

  • @dulakess8928
    @dulakess8928 5 ปีที่แล้ว +1

    agombee tunamtaka

  • @kasimulau2146
    @kasimulau2146 6 ปีที่แล้ว +2

    NDOTO YA MCHANA ANAOTA MAALIM

  • @Felix72282
    @Felix72282 7 ปีที่แล้ว +3

    Wewe uligoma kushiriki uchaguzi wa marudio, leo unataka power sharing?

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว

      etii Felix you are so stupid,you don't ever know what does mean politics,

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 5 ปีที่แล้ว

    Mara ya 80 mlimpa haki yake bustard's zungumza ukweli mnafiki

  • @menejameneja.1272
    @menejameneja.1272 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwani lazima ue raisi ? Eti mpaka nipate haki yangu anayo nani kwani

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 ปีที่แล้ว +6

    jmn nampenda sana huy mzee ww mtangazaj mbona kama umetumwa

  • @brisketkidari1623
    @brisketkidari1623 7 ปีที่แล้ว +3

    unafos maalim asigombee imetumwa nn hakuna mzanzibar mwenye ham na ccm.wakuja ndo wanokupeni afuweni

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 5 ปีที่แล้ว

      Ni wapemba tu hawaitaki ccm wanamtaka maalim seif na wala si cuf

    • @jokhasimbazoezinizuriilabi8
      @jokhasimbazoezinizuriilabi8 4 ปีที่แล้ว

      Mpenda haki

    • @jokhasimbazoezinizuriilabi8
      @jokhasimbazoezinizuriilabi8 4 ปีที่แล้ว

      Maalim ni mtu muaminifu hakuna ambaye anachukia kugombea urais wengi tunampenda na tutamchagua ili atuongoze.awe rais wetu wa zanzibar

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 ปีที่แล้ว

    Anashinda hapewi haki yake.

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 6 ปีที่แล้ว +2

    Kama Kenya tu, Kenyatta ndie rais na Zenji ni Shein.

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 7 ปีที่แล้ว +2

    kuuliza masuali ni Uhuru .ndio Tania ya waafrika demokrasia iwe upande a.lakini upande b.anahamaki .
    hamuezi demokras eti masuali magumu!

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 6 ปีที่แล้ว

    naam maalim haki zetu hazipotei uyo nae ana nn apo askusumbie 😏

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 ปีที่แล้ว +3

    Maallem Seif ww unastahili kua raisi wadunia so zanzibar pekeake

    • @ismailngolloh4517
      @ismailngolloh4517 7 ปีที่แล้ว

      Issa Suleiman ha ha ha mgombea wa kudumu wa urais kupitia cuf Zanzibar

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu hapo uongo mtupu unaofanana na Kweli ukipenda SEMA unafiki Tuuu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 5 ปีที่แล้ว

    Mnamnyima haki yake Seif chuki na ubaguzi

  • @mudynasry1717
    @mudynasry1717 7 ปีที่แล้ว +4

    uraisi baba usahau tangu enzi za mwalimu uliwekwa ndani kama mhaini walisha kugundua nia yako sinjema na muungano Wetu

  • @rahmaamiri3986
    @rahmaamiri3986 7 ปีที่แล้ว +2

    seif acha uongo hutopaga urais hapo.

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 ปีที่แล้ว

    Unamjua bustard weye?

  • @salehemayunga971
    @salehemayunga971 6 ปีที่แล้ว

    Wagonjwa si mpaka apelekwe mmnazi mmoja ila Seif ni Mgonjwa wa madaraka

    • @hamidmussa838
      @hamidmussa838 5 ปีที่แล้ว

      Ww seif hutapata urais mpk kiama ungepumzika tuuuu!

  • @bakaringwavaya6748
    @bakaringwavaya6748 6 ปีที่แล้ว +1

    Mm nampenda xn marim seifu nampenda xn

    • @suleimanjuma2712
      @suleimanjuma2712 5 ปีที่แล้ว

      Vyovyote vile mafanikio hamna

    • @mohdnassor148
      @mohdnassor148 4 ปีที่แล้ว

      Seif ni msomi usiulize masuali kiukereketwa uliza maswala usibaze upande fulani

  • @hassanalibabukubwaaa273
    @hassanalibabukubwaaa273 7 ปีที่แล้ว +1

    tido muhandoo kadaa huyuu wa chamaa fulani maswali yake anaonekanaa kabisa kmaa sio kabisaa

  • @saidyaly1340
    @saidyaly1340 5 ปีที่แล้ว

    katafte basha huko

  • @petetpaul2728
    @petetpaul2728 6 ปีที่แล้ว +1

    Uhalali wa maswali ni upi? Swali jepesi au swali gumu? Mm nafikiri anayeulizwa akiuliuzwa maswali magumu tunapata kujua IQ yaani uwezo wake kiujumla wa kujibu na kupambanua mambo Sasa nashangaa mtu anaposema maswali magumu,mtihani unakutana naona sio kuingia na maswali

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 5 ปีที่แล้ว

    Hujui kuuliza none sense

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Hivi haki ni wewe kuongeza?

  • @harubaharuba3951
    @harubaharuba3951 7 ปีที่แล้ว

    Saf sana maarim

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 ปีที่แล้ว +2

    uyo ndo rais halali wa zanzibar aliechaguliwa na wa zanzibar mungu akupe afya njema na umri mrefu maalim

  • @kassimumustafa8146
    @kassimumustafa8146 5 ปีที่แล้ว

    wapinzani wapo sawa ila wanaibiwa sana wajinga ndo wanawaona wapinzani waongo sawa

  • @abedsalum379
    @abedsalum379 6 ปีที่แล้ว +4

    wewe mpumbavu unajua fika kua nyia sahihi ya kumaliza mgogoro ni mazungumzo sasa kwanini hutaki kukaa na lipumba mkaymaliza?

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 ปีที่แล้ว

    Miaka 83 sio 74 huyo kijeba hafai kuwa Rais siasa za maji taka na uchochezi akalee vitukuu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      Siasa za Zanzibar wanaosababisha migogoro iendelee inasababishwa na watawala -ccm wengine wanasingiziwa tu ili iwe ni rahisi kufanyiwa uonevu.

  • @saidyaly1340
    @saidyaly1340 5 ปีที่แล้ว

    Maalim sijuw km hugonnjwi ww

  • @nassorothmanjuma4806
    @nassorothmanjuma4806 7 ปีที่แล้ว +5

    wwe ndio mmkombozi wetu wazanzibariii

  • @dulalagy2230
    @dulalagy2230 7 ปีที่แล้ว

    iko poa iyo maalim

  • @salehemayunga971
    @salehemayunga971 6 ปีที่แล้ว +1

    Maalim kama unaamini mazungumzo anza na lipumba kwanza kama hili hulitaki basi acha uroho wa madaraka

    • @arafataliomar7432
      @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว

      Wee bwege kweli lipumba ckachiwa nyazifa zote za chama na chama kagaiwa yeye

    • @arafataliomar7432
      @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว

      Watu wa cuf walio na akili wamehamia act na mass kubwa wanaujuwa ukweli na wameufuata

  • @moshykimario7601
    @moshykimario7601 6 ปีที่แล้ว

    Mzee pumzika tu mchango wako ushaonekana

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 ปีที่แล้ว

    mtangazaji katumwa

  • @111dudi
    @111dudi 6 ปีที่แล้ว

    Rais wa Zanzibar ni kama waziri au mkuu wa mkoa wa Tanzania. Hili linajulikana wazi.Maalim hawezi kulibadilisha

    • @hamidmussa838
      @hamidmussa838 5 ปีที่แล้ว

      Huyu kwisha habari yake anatakiwa atulie tuuuu asb.Hatima ya Alla h.

    • @hamidmussa838
      @hamidmussa838 5 ปีที่แล้ว

      Ww Muhuni akupe nani?

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 ปีที่แล้ว

    Ernest Samson nimekusoma

    • @awenaissah5052
      @awenaissah5052 7 ปีที่แล้ว

      Heri na baraka tu pia amani na salma iwepo yte mungu ndo anapnga subira huvuta heri wallah

    • @zalhatmohammed7768
      @zalhatmohammed7768 6 ปีที่แล้ว

      amin

  • @rashidairport753
    @rashidairport753 7 ปีที่แล้ว

    felix mrisho ziko timam kweli ?

  • @msabahtasha4055
    @msabahtasha4055 7 ปีที่แล้ว

    baba lataifa malim apoapo Allah atawapa adhabu mpaka watakukubali kua ww niraic

  • @yohanakishosha6542
    @yohanakishosha6542 7 ปีที่แล้ว

    tido unapo muhoj mtu acha kuonyesha itikad yako unamuoj mtu mkubwa huyo kwa chuk ya ki ccm

    • @petetpaul2728
      @petetpaul2728 6 ปีที่แล้ว +1

      Yohana Kishosha @ Sasa ndg ulitaka aulize nn swali gumu huonyesha ni namna gani mtu anauwezo wa kufikiri endapo anaulizwa swali nyie mnataka swali jepesi

    • @hajiomar6910
      @hajiomar6910 5 ปีที่แล้ว

      Kama hajapata haki yake hapa dunian allah atampa haki yke mung hazulumu mt ispokuw mtu ajizulum nafs yke miaka 55 uhuru tz kuna nn lamaana wanalolifanya znzbr hao wnye madaraka ni kudangnyw tu na tangnyika mungu atawapga fimbo huko madarakan mulko mpka kwa mung moto unawasbr

    • @hajiomar6910
      @hajiomar6910 5 ปีที่แล้ว

      Maalim chukua nchi 2020 tupate maendeleo mazr