Pemba inaonekana kama vile kumesahaulika, ona barabara zake nyembamba, bado usafiri ni chai maharage wakati serikali ingeweza kabisa kununua Coaster au hata Hiace Kwa usafiri wa umma! Sioni kama viongozi wanawajibika ipasavyo katika kuijenga Pemba kihuduma za kijamii!
Haiwezekani mpaka Leo usafiri wa umma uendelee kuwa chai maharage wakati kuna Hiace, coaster, serikali ilikuwa inaweza kabisa kununua coaster zake kama vile UDA na abiria wakasafiri,,,,bado nawaona viongozi hawawajibiki ipasavyo Kwa wananchi!!
Pamoja na suala la wapemba kujenga kwao, lakini inaonekana Pemba ni kama Sehemu iliyotelekezwa na serikali kwasababu ebu angalia hizo barabara ni ndogo nyembamba mno, Kwa ujumla hili la kuleta maendeleo ni suala la serikali sio. Suala la mtu mmoja mmoja!! Rai yangu ni kwamba serikali ipeleke maendeleo Pemba halafu uone kama watu watakataa kujenga kwao!! Vinginevyo Pemba ipewe Uhuru wake ijiendeshe yenyewe
Allahumma ghufirlahu warhamhu waskanhu filjanah maalim seif
tunakuomba Allah(sw)mzidishie afyailiyoborazaidi maalim seifu
Maskin màalim seif tunakuombea dua inshaallah itarudi haki yetu❤
Wata toa tuu
jaman naombeni ile nyimbo chereko chereko cuf tupo furahani
maalim seif ni chaguo la wazanzibari na wapenda maandeleo
kwema
safi sana ww ni kiboko wa wajinga
Subutu kwa hapa mmefeli 😂😂😂😂😂😂sefu atabaki kua sefu tu mpija kalenda.
Usichanganye atu ambao hampo imani moja huko atabaki kua chaguo lako weye tu. 😭
Yaa Allah tujaaliee wajaa wako
😪😪😪😪😪😪😪😭😭😭😭😭😭😭
Daah kitambo sanaa
Naomba jina la muimbaji huu jamaniiiii amenikosha roho amepatia kiukweli maalim seif jujujujuuuuuu
Black Nature azv l
Hamed AL-Dhanki asante Sana
Kiongozi anaependwa ZAIDI UNGUJA NA PEMBA .
si kweli hata kidogo... than tunataka mgombea kutoka Unguja kwenye chama chenu example Juma Duni hajj sawa
Pemba inaonekana kama vile kumesahaulika, ona barabara zake nyembamba, bado usafiri ni chai maharage wakati serikali ingeweza kabisa kununua Coaster au hata Hiace Kwa usafiri wa umma! Sioni kama viongozi wanawajibika ipasavyo katika kuijenga Pemba kihuduma za kijamii!
I love you maalim seifu
Haiwezekani mpaka Leo usafiri wa umma uendelee kuwa chai maharage wakati kuna Hiace, coaster, serikali ilikuwa inaweza kabisa kununua coaster zake kama vile UDA na abiria wakasafiri,,,,bado nawaona viongozi hawawajibiki ipasavyo Kwa wananchi!!
Duh hi siku nilikuwepo chake hapo
Wapemba kweli mmechelewa kazi kujenga kwenye miji yawenzenu tu kwenu kupo shamba mpaka leo.nyambafu
Pamoja na suala la wapemba kujenga kwao, lakini inaonekana Pemba ni kama Sehemu iliyotelekezwa na serikali kwasababu ebu angalia hizo barabara ni ndogo nyembamba mno, Kwa ujumla hili la kuleta maendeleo ni suala la serikali sio. Suala la mtu mmoja mmoja!! Rai yangu ni kwamba serikali ipeleke maendeleo Pemba halafu uone kama watu watakataa kujenga kwao!! Vinginevyo Pemba ipewe Uhuru wake ijiendeshe yenyewe
kuna CUF,, A na B,,,,
Mmmmmhhhhhh
Vyote hivi akipendwa Pemba mungu amlaze mahalipema
Tunakuombea kwa Allah maalim Seif Allah atujalie tuingie ikulu