Heko mzee Said kumbe ukweli unaujua na una ustadi mkubwa wa kuuzungumza. SMZ hasa chini ya Hussein Mwinyi wametuulia zao letu la karafuu na sio karafuu tu bali maadili yetu, dini yetu na kutuingizia uchafu wa utalii. Shame on them
Kwani mzee wangu hukumsikia Mbunge wa Morogoro babuTale akipongeza kua sasa hivi wanapanda mikarafuu Tanganyika kwa nguvu kuihamisha zanzibar na tayari weshafanikiwa kupa mikarafuu isiyopungua laki 4 so far na bado wanaendelea kupeleka watu zanzibar kuhakikisha wanafanya vizuri. Na hayo majani ni mbolea inapelekwa Tanganyika ili mikarafuu yao izidi kunawiri. Na hili la kuiuwa halikyanza leo wala jana before hiyo dieback Nyerere aliagiza matende yapasuliwe kisha yakauzwe ili yaokotwe yote chini ya mikarafuu isipate kuota mengine ikapandikizwa. Mzee zanziba ujue iko mikononi mwa Tanganyika watafanya wanavotaka wao sio mnavotaka nyinyi. Hamuna mamlaka ya Zanzibar. Mila, utamaduni, dini ,desturi na dira ya maendeleo vyote vinebadilishwa na vinaendelea kubadilishwa na kukandamizwa. Hapo lililobakia ni kufanya kama palastina Tanganyika wakachukua kisiwa shuhuli ikamaliza. Tofauti ni kua Palastina wamekuli kufa kiofisa na tai shingoni. Wazanzibar ni woga na isitoshe kuna na wanaoshirikiana na hao Tanganyika kwa maslahi yao na familia zao hawajali ubinaadamu, dini, wala hawani imani ya Allah TAMAA MBELE MAUTI NYUMA.
Wewe mzee kiasi umsifu dk SheIn , coz utawala huu wa dk mwinyi hujaonja chavu. Lakini kiuhalisia hapajawa na utafauti kabisa Bora saivi karafuu Iko juu zaidi ukilingsnisha na utawala wa dk shein
Baba hongera hawa ndio wenye uchungu na wanyonge uhakika baba
Heko mzee Said kumbe ukweli unaujua na una ustadi mkubwa wa kuuzungumza. SMZ hasa chini ya Hussein Mwinyi wametuulia zao letu la karafuu na sio karafuu tu bali maadili yetu, dini yetu na kutuingizia uchafu wa utalii. Shame on them
Muungu akuongoze kesho n keshokutwa tu usije ukabadilika kwasbb ya pesa
Kwani huyo rais Hana macho huna mpya .kalale
Huo ndo ukweli.
Kwani mzee wangu hukumsikia Mbunge wa Morogoro babuTale akipongeza kua sasa hivi wanapanda mikarafuu Tanganyika kwa nguvu kuihamisha zanzibar na tayari weshafanikiwa kupa mikarafuu isiyopungua laki 4 so far na bado wanaendelea kupeleka watu zanzibar kuhakikisha wanafanya vizuri. Na hayo majani ni mbolea inapelekwa Tanganyika ili mikarafuu yao izidi kunawiri. Na hili la kuiuwa halikyanza leo wala jana before hiyo dieback Nyerere aliagiza matende yapasuliwe kisha yakauzwe ili yaokotwe yote chini ya mikarafuu isipate kuota mengine ikapandikizwa.
Mzee zanziba ujue iko mikononi mwa Tanganyika watafanya wanavotaka wao sio mnavotaka nyinyi.
Hamuna mamlaka ya Zanzibar. Mila, utamaduni, dini ,desturi na dira ya maendeleo vyote vinebadilishwa na vinaendelea kubadilishwa na kukandamizwa. Hapo lililobakia ni kufanya kama palastina Tanganyika wakachukua kisiwa shuhuli ikamaliza. Tofauti ni kua Palastina wamekuli kufa kiofisa na tai shingoni. Wazanzibar ni woga na isitoshe kuna na wanaoshirikiana na hao Tanganyika kwa maslahi yao na familia zao hawajali ubinaadamu, dini, wala hawani imani ya Allah TAMAA MBELE MAUTI NYUMA.
TUSHIKE LIPI
Serekaki ifanye uchunguzu kwa wasiona na radhi wasiongee watuni
Ina maana wewe sie mzanzibari?
Jamaa yangu kama ni hivo tupe maelezo kuhusu pessa hizo kwasasa ziko wapi ?
Wanata mukate mikarafu wauze karufu zao Tanzania bara
Zanzibar ilikua tajiri kuliko Kenya na Zanzibar.
Hizo za kenya si nyinyi ndo mna magendo yenu
MIKARAFUU TUMEIUWA WENYEWE WALA TUSIMSINGIZIE MTU. TUMEIUWA, HATUNA MIPANGO MIJI, NCHI HAINA STATEGY. MIWANDA IPO KUSINI KIBAO KWA NINI TUSIWAPE WAWEKEZAJI HUKO WAWEKE VIWANDA TUNAWAPA PRODUCTIVE AREA WAZIDI KUHASIDI.
Pumbavu wewe kaeni na ukereketwa wenu ukweli mnajua halafu mnadanganywa na vyeo is over about karafuu nyinyi mumeipiga tanu yote
CCM oyeeee 😂😂😂 mpka washike adabu zao
Wewe mzee kiasi umsifu dk SheIn , coz utawala huu wa dk mwinyi hujaonja chavu. Lakini kiuhalisia hapajawa na utafauti kabisa Bora saivi karafuu Iko juu zaidi ukilingsnisha na utawala wa dk shein
Bara huko wanazalusha karafuu.
Sasa nyie kaeni tu.