tatizo kocha sub za haraka sana kuwatoa stricker wote zilitaka kutugharimu mana walipata nafasi za kujiachia na kuanza kutushambulia kujilinda vizuri ni pamoja na kuendelea kushambulia ili kuzuia wasipande saana
Hii clip itunzwe tafadhali watu wamemaliza maneno yote ila GB 64 daaah 🤣🤣🤣🤣🤣 sometimes unaongea kama a nin com pop 😂😂😂😂 october mbali basi tutajua mafuta na maji ni yepi
Mlie sema Simba bila chama mtuambie sahizi akikosa nani Simba hamna kitu😊😊😊😊😊😊😊😊 Mimi na Simba hata kiama haiwezi kunitenganisha
Simba nguv moja💪
Simba yetu hatar I love you Simba mnyama!!
Wana Simba One power 💪 waache waongee haooo matoporo maana ni maadui zetu siku zote Tuwaombee mabaya Utopolooooo
Sasa kulia kulia basi mwendo wa Furaha SIMBA ONE POWER 💪
Naipenda Simba yangu haooo machokoleti ya jangwani hayakosi la kusema
G.B64 japo anaongea kishabik lakin anautofaut mkubwa na kina mzaramo, pasi ulaya, anaujua mpira extraordinary
Uyu jamaa anajua mpira kabisaaa
Nakubari simba yetu
Mwaka huu watapgwa mpaka waombe poo kwa simba hii watatubu tu
tatizo kocha sub za haraka sana kuwatoa stricker wote zilitaka kutugharimu mana walipata nafasi za kujiachia na kuanza kutushambulia kujilinda vizuri ni pamoja na kuendelea kushambulia ili kuzuia wasipande saana
Kaniuzi sana ko
Pamoja kaka huwaga ukoseyagi simba nguvu moja
Ateba noma daaaaaaa❤
Ugoro na sonyo azijawai kumwacha mtu salama cheki jicho na mikakamasi😂😂😂😂😂
Leteni timu timu yenu tena sasa hivi tunawapiga chuma kumi huyo ateba wako akitembea Kwa job njoo nikupe M5 chiz ww hujui mpira
Acha bhangi mtani ❤❤❤ 😂😂😂
Unaongea ukweliii mtupuuu GB64
Hans alosema tutafungwa vipi naona kimya
Mimi nakupenda sanaaaaa❤❤ maanaunajua mpira sana💯🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍎🍎🍎🍎🍎🍎
simba nguvu moja
Simba nguvu moja 😂😂❤❤
Ushindi kama ushindi
Tajir anauza maji ya chumvi nimechekaaaaaa
Tutakutana vijana na wazee tutajua 😂😂😂 kipigo mara ya 4
Chizi huyo mnahoji vichaa
Uto wanaumia sanaaaaa ona ivo wavokoment
Hii clip itunzwe tafadhali watu wamemaliza maneno yote ila GB 64 daaah 🤣🤣🤣🤣🤣 sometimes unaongea kama a nin com pop 😂😂😂😂 october mbali basi tutajua mafuta na maji ni yepi
Unyama mwingi sana 😂😂😂
Fara simba kwa sasa ni tim
Ubaaaaayaaaaaaa ubweeeelaaaa
Cbe ndo timu gani...wakati nakushona 7 je wewe ni timu ganii
UKIONA MTU ANAISEMA VIBAYA SIMBA UJUE CY SIMBA ACHANA NA SIMBA YETU
Daaaah
Thank you god
UBAYA.UBWELA
Nguvu mojaaaaa
Umbela😂😂
GB 64 mzuka full yaan
Kibu D...Bulldozer
Ubaya ubwela
Wooyoooooo
😂😂😂😂😂 m chome shangingiiiii
Mkishinda tu kila mmoja anakuwa msemaji.
Kuwa na wewe msemaji Kwan umekatazwa😏
@@Tinamandi-xr9lr Sawa kolo
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐰𝐢𝐯𝐮@@Tinamandi-xr9lr
@@Tinamandi-xr9lr𝐢𝐦 𝐬𝐨 𝐬𝐨𝐫𝐲 𝐦𝐲 𝐛𝐫𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫
@@sosomacharles9920nyuma mwikoooo
Unaropoka sana mzee,,Huna jipy
Ubwela
Bangi fc
Hahaha hahaha hahaha makubw
Sfi kk
Haujawahi kufeli GB 64
𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐚𝐩𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐨𝐤𝐢 𝐦𝐮𝐭𝐮
Shangingi
😂😂😂😂hawa akili zao kama kifauongo
Ndo shida ya mashabiki wa sanda fc
Mbupu
@@susananjalika7056 Mama yako
Ulitaka tukishinda tuwe mnunio acha ushamba
@@nicholausmpepo4039 Mshamba mama yako
Simba kikosi chetu bado hakichezi vizuri kocha amefeli kwenye forward line hatutengenezi nafasi.
We ni Utopolo tu..kwendraaaa huko
Kwani unarazimisha upended pumbu wewe
Kufa tu
Huna Akili wewe
Na hizo goli 4 - 1 zime ingiaje kama hawatengenezi nafasi