Prof. Kabudi Asimulia Chuo cha Mwl. Nyerere Kilivyokua 'Law School'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #ijuesheria
    Nguli wa masuala ya sheria nchini Prof. Palamagamba Kabudi amesimulia namna wanafunzi wa sheria kwa vitendo walivyolazimika kusoma mwezi mmoja wa mwisho wa elimu ya sheria kwa vitendo katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kivukoni) masomo ya 'Siasa na Uzalendo', amesema hayo wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere tarehe 08 Aprili 2024 chuoni hapo.

ความคิดเห็น • 4