WAZEE WA GAZA HABARI NYINGINE ISRAEL ANAOMBA MSAADA KUWAFUTILIA MBALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

ความคิดเห็น • 57

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 7 หลายเดือนก่อน +4

    Magharibi wanazalilika Sana maana walijiita superior na wanaungana kea matangazo kumpiga adui lakini adui anapata washirika kwa Siri mwisho adui mdogo anawashinda na inaoneka wanashindwa na MTU mdogo magaharibi wanaonekana ni dhaifu nguvu zao wanazojitapa nazo ni maneno tu

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 7 หลายเดือนก่อน +5

    ***Pamoja mdogo wangu songa mbele***

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 6 หลายเดือนก่อน +3

    Gaza 🎉

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 7 หลายเดือนก่อน +4

    Safi mwalimu 💚

  • @user-dk8dr4kt7r
    @user-dk8dr4kt7r 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kip it up bro.....

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nice

  • @KSFHerbal
    @KSFHerbal 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu akbaru

  • @user-jp7ix6fc6y
    @user-jp7ix6fc6y 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nipo hapa😊

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana wewe jamaa kwasababu umekataa kuwa mtumwa wa kifikra

  • @SaidiChitungu-td5wo
    @SaidiChitungu-td5wo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuriwe Mungu vita vishe wakati gaza wakiwa wamefanikiwa

  • @FaizaJeizan
    @FaizaJeizan 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ujumbe mzuri sanaaa❤

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 6 หลายเดือนก่อน +2

    M'MUNGU HAWEZI KUKUBALI NATANYAU NA WASHIRIKINA WENZAKE WAWAUWE VIUMBE VYAKE WATAPIGWA SANA NA DHULMA ZAO.

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 7 หลายเดือนก่อน +6

    Netanyahu na ujinga anao anaomba musada wa kuwua watoto n🇷🇼🇵🇸🇷🇺

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 6 หลายเดือนก่อน +1

    mm naomba hao wa Israel wafutiliwe mbali mm na omba msaada nawaomba kabisa maana sio watu wazuri kama binaadamu wengine

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga หลายเดือนก่อน

    Safi sana mkuu

  • @RamaFake
    @RamaFake 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ni wakristo wachache sana wenye kusoma na kueleza ukweli wakristo wengi wanaishi na propaganda za kidini hawasomi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 หลายเดือนก่อน +2

      Walokole hao ufahamu hawana

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 6 หลายเดือนก่อน +2

      Na hao waisrael wengi wao hawamiini kwenye christo

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 6 หลายเดือนก่อน +2

    NA BAADO HAWAJASEMA. YAANI MPAKA WASEEMEE. AU LABDA NI WANATUDANGANYATUMBINU ZA KIVITA .

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 6 หลายเดือนก่อน +2

    letanyahu kama ni paka hana adabu hana hata imani ni mtu ambae ana roho ya kinyama kuwa watu bure bila hatia

    • @user-wh8cy1bo5s
      @user-wh8cy1bo5s 6 หลายเดือนก่อน

      kweli kabisa maneno yako huyo ni sawa na mnyama

  • @jamalalnadhir4058
    @jamalalnadhir4058 6 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations

  • @SalmaAbanoor
    @SalmaAbanoor 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wa gaza walisalitiwa na waarabu na hawa waarabu wamechangia kuuliwa kwa wapalestine wengi sababu ya unafiki wao wao ndio wamefanya waislamu kudharauliwa kuonekana hawana umoja niwanafiki hata hao IRAN pia ni wanafiki wameangalua wapalestine wakiuliwa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli wamekuwa vibaraka vya wamagaribi inauma sana

  • @salihassan4655
    @salihassan4655 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wala hawajui kipigana zaidi ya kuangushia mabomu innocent people...lanat zi@nists

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalim nimesikia eti Netanyau anasem hamas wanamuomb muda kidg wapunzike ni kweliii maan sielew

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 หลายเดือนก่อน +1

      WANAMUOMBA WAPUMZIKE KIDOGO KWANI YEYE KAWA AJIRI KAZI??? MSENGE HUYO

  • @rjhsyurjhsyu249
    @rjhsyurjhsyu249 6 หลายเดือนก่อน

    MWALIM NIKO YUPO WAPI

  • @user-no5gn5ck4l
    @user-no5gn5ck4l 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sauti yako na jinsi uvyo hadisia uwa nabaki na Cheka.maana unatia mikogo mingi.

  • @user-ug7hq5cv1q
    @user-ug7hq5cv1q 6 หลายเดือนก่อน

    Ahadiyamungu nikweli uyo nimwanzo 9:4

  • @AccAvvvOptional
    @AccAvvvOptional 6 หลายเดือนก่อน

    Ashiru dikinga

  • @natual7572
    @natual7572 6 หลายเดือนก่อน

    Shida inabakia wanauwa watoto na wanawake na wazee au wanaua rai hawanalind sheria za kivita

  • @user-pt8wo4ss2p
    @user-pt8wo4ss2p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpago ulikua izilaeli apegane na ilani taiwani ipigane na china kiduku apigane kusini naputini zelesk ili kuwagawa hawa brisc uku malekani akigawa silaha wame mshutukia

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 6 หลายเดือนก่อน +1

      Fikra ndogo na awajuwi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 6 หลายเดือนก่อน

    We kunakitu unakitafuta,kama unavikiri karama za Mungu zina majuto subiri uone

  • @user-dc3bj8mv8s
    @user-dc3bj8mv8s 6 หลายเดือนก่อน

    Wapalestina kila siku kilio, nyinyi wazee wa gaza wazee wa gaza ivi gaza kuna nini gaza ni gereza kubwa duniani hawo hamasi kwa israel ni sawa na magenge ya wafungwa gerezani huu mwaka huishi hamtasema tena wazee wagaza, bali maiti za gaza.

  • @abdul-kadiraly9312
    @abdul-kadiraly9312 6 หลายเดือนก่อน +1

    💓Tusisahau kusabscribe katika chali hii pendwa ukweli💯

  • @dela78895
    @dela78895 6 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja na ukuu wa mu africa

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 6 หลายเดือนก่อน

    Nafurahi unavyo sisitiza, wewe ni mwalimu haswa

  • @aziza9093
    @aziza9093 6 หลายเดือนก่อน

    Wamezidi suloma mwnyesimungu anawalipiy

  • @dela78895
    @dela78895 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu mwakilembe chanel yenu inaitwa ukuu wa mu africa kwanini amuongelee migogoro mikubwa na yakutisha inayo endelea africa? Kila siku wazee wagaza tu? Embu anagalieni ndugu zetu wa congo wanavo pitia mambo ya ajabu ...nanyinyi muko kimia tu .. kila siku zelenski tu... mupunguze hiyo Hali. Ambieni watu mauwaji yanayo jiri congo drc

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 6 หลายเดือนก่อน

    Myahudi wa Israel anashindwa kama Zelensky. Tofauti ni kwamba Israel 🇮🇱 ana jeshi zuri sana. Ila hata Israel waliijiimisha sana na kuwachukulia adui zao kirahisi. Kama usemavyo kila mara kwamba MMAREKANI ni mnafki ni ndio hivyo hivyo. Kaanzisha vita UKRAINE 🇺🇦 sasa anawaachia Europe 🇪🇺 kumaliza mzozo aliouanzisha yeye. Biden ana shida Nyumbani kwake hajui jinsi ya kutatua, so anamwita kibaraka wake Scholz wa Ujerumani ili aongee na Bunge la Marekani kuendelea kutoa pesa kwa ajili ya UKRAINE 🇺🇦. THAT MEANS akishinda Trump ataachisha vita au atawaachia EUROPEAN 🇪🇺 union to clean the mess which they did together. 🙄

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 21 วันที่ผ่านมา

    Israeli hawawezi kuwafutilia mbali HAMAS/WAZEE WA GAZA
    Kwa nini?
    KWA SABABU WAZEE WA GAZA WANAENDELEA KUZALIWA, NA WATOTO WAO WANAWAPABARAKA TELE.

  • @waporimediatv5627
    @waporimediatv5627 6 หลายเดือนก่อน

    We jamaa sijui uniambie nini ili nikuelewe kwa maana uweleweki

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 6 หลายเดือนก่อน

    Kama Wameshinda vita Hamas sasa mnalialia Nini kuwa islael hataki kusimamisha vita si ndo mfulahi mala anaua watu wasio nahatia si mnanguvu kamzuieni si mnanguvu akili kichwani

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 7 หลายเดือนก่อน

    Subiri IDF wapange ni vipi wataondoa innocent civilians kwa maeneo hatari ndio Hamas wasijifiche baina yao.Halafu uone Hamas wakipewa dose ya mwisho ya dawa.Barua za Hamas zilikataliwa 😂

  • @RamaFake
    @RamaFake 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wakristo wachache sana wenye kusoma na kueleza ukweli wakristo wengi wanaishi na propaganda za kidini hawasomi

    • @user-wh8cy1bo5s
      @user-wh8cy1bo5s 6 หลายเดือนก่อน

      kweli kabisa maneno yako