MJADALA WA KISUMU...KHITMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @khalidhemedabubakaralhasan8825
    @khalidhemedabubakaralhasan8825 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu mjadala mawahabi walifeli sana hawakua na dalili ya Katazo pili maswali walioulizwa ukiskiliza makini utajua kua hawakujibu bali maswali walioulizwa wenye kuunga mkono khitmah wallahy walijibu ki dalili mashallah allah awalipeni kheri pande zote mbili mimi kwanzia leo nitaanza kusoma khitmah

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu badru ni mpotoshaji tena wa khatari sana na hafai kusikilizwa wala kufuatwa kwa chochote

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah.Allah awahifadhi fadhilatu sheikh badru khamis

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 ปีที่แล้ว

    Mashaa allah shekhe ali bahero amesomesha watu nawakafahamu

  • @khalidhemedabubakaralhasan8825
    @khalidhemedabubakaralhasan8825 3 ปีที่แล้ว

    Wamwisho aliejibu swali la mwisho amechambua vizuri sana allah amlipe kheri in sha allah

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 2 ปีที่แล้ว +1

    YANI MAWAHABI HAWAJIELEWI KABISA

  • @omarkhamis9514
    @omarkhamis9514 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuna wakati mgumu aliopitia mtume wetu (S. A. W) kama mwaka aliouita “Aam Al Huzn” mbona hakutangaza Khitma na kwani na yeye hakuwapenda wazazi wake hata asiwaombee Dua kwa sauti au Mauldi asomewe na yeye na wanawe haada ya kifo chake? Au nao wanawe hawakumpenda baba yao? Ukweli ni mchungu, lakini Khitmah, Dua za Jahrah baada ya swalaat na Maulid, hayapo sawa.

  • @ramaalfan7612
    @ramaalfan7612 8 ปีที่แล้ว +1

    japokua wengine tulikua hatuna ushahidi %100 kua dua inafaa kumsomea marhemu Qur'an hapatushajawa na imani kua inafaa, endeleeni kutupa elmu hiyo mungu atamiwezesha inshaallah.

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 6 ปีที่แล้ว +7

    Hitma ni uzushi,si mtume kuwafanyia wanawe au jamaa zake, si masahaba,si imam,Hanafi maliki, shafi au Hambali,waliofanya jambo hili,hili jambo linashikiliwa zaidi,na Ahlul bidaa wenye kupenda milo na utukufu,haya ni matatizo ya jambo hili liliongizwa na mashia katika dini hii adhimu,ikiwa mtume hakuwafanyia jamaa zake,je Alikosea?,hakujua? .

    • @hamisimwalimu7333
      @hamisimwalimu7333 5 ปีที่แล้ว +1

      Sheikh tafuta vitabu usome

    • @swahibually6209
      @swahibually6209 3 ปีที่แล้ว +1

      S Abraham,wewe ni jaahili murakkabu, Mpumbavu usiekua na adabu,kumuombea Dua marehemu ni Jambo alilolifanya Mtume,toa Aya au Hadithi inayoharamisha kumuombea Dua marehemu,kama huna Aya au Hadithi nenda kwa wenzio Mawahabi.

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 3 ปีที่แล้ว +1

      @@swahibually6209 Allah anakutosha,kwa uliyoyasema,nakuacha kwenye mezani yake,aliyetujalia kwa kila jambo,yeye ndiye aliyetuelekeza kupitia muongozo wake Quran na mtume wake,Muhammad SAW,hapo ndipo uislamu ulipokamilika,na hapo ndipo penye ibada alizotuachia mtume,zaidi ya hapo,aundhu billahi minnasheitani rajim.

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 2 ปีที่แล้ว

      Ht ww umezuk ulikuw hupo wkt W mtum saw je ni bidaa suruqli simu unayotumia mtum saw katumia wach ujing usom

  • @umayyaali3848
    @umayyaali3848 8 ปีที่แล้ว +3

    tafadhalini tafsiri zote zasema ni mtoto wa mtu si mtu yeyote.tafadhalini makhurafi musipotoe maneno jamanini tusomeni ili tusiwe na mihadhara ovyo ovyo kama manasara walivyopofanya kuhusu utatu.mtume asema mantashabaha bi kaumin fahuwa minhum kwa hivyo tujichunge tusiwe kama manasara, tumewaita kwa sababu mumuleta khurafat katika dini soma kitabu cha alfarsi uone ubidaa ambao ni ukhurafi ulliyomo ndani yake

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 2 ปีที่แล้ว

    لا ينكر المختلف فيه بل ينكر المجمع عليه

  • @cassimshearer7916
    @cassimshearer7916 5 ปีที่แล้ว +2

    Uislam una mwalimu bingwa kabisa.tunachotakiwa tuchukue alichotuletea tu. Kama khitma ina faida zote hizo kwa nini mtume hakuwasomea wanawe?

  • @yesusimungu404
    @yesusimungu404 8 ปีที่แล้ว +1

    Mnabishana nyinyi kwa nyinyi Akuna maana yoyote

  • @fatamiqw1298
    @fatamiqw1298 8 ปีที่แล้ว

    fafuma mashaallah

  • @mohammedally2289
    @mohammedally2289 8 ปีที่แล้ว

    Aaaaah umayya we naona umebeba jina la wahenga na haha dini naona umechukua toka kwao nguvu nyingi ilmu zero Allah umma ja alna ilma warz qna fahma amin.

  • @Mjingacom
    @Mjingacom 8 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana akina Sheikh Badru na wenzako.Hawa mawahhabi wanakwepa kujibu maswali mengi kwa kujificha kwa neon kuwa mahadith mengi wanaotajiwa ni dhaifu.ndio maradhi walonao chochote ambacho hawakubali huidhaifisha

    • @umayyaali3848
      @umayyaali3848 8 ปีที่แล้ว +1

      kama hujasoma utaanza kuwa kashif watu hao mawahabi ndio hubainisha mambo makhurafi ndio ni vigumu kusema dhaif na sahih hao masheikh zenu huwapoteza katika baadhi ya masala kama maulid na khitma nk

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว

      Fear Allah and safe your akhira brother. Don't do things that are not part of the religion and regret in the hereafter

  • @umayyaali3848
    @umayyaali3848 8 ปีที่แล้ว +2

    tafadhalini makhurafi musipoteze watu mambo ya umar si bidaa bali kurudisha kitu katika asli yake. bidaa ni kitu kipya kilichozuiliwa, ambayo haina asli.addinu bil itba;a laisa bil ibtida;a musimsingizie umar. ibn taymiyya alisema ukweli ila nyinyi hamutaki kwenda mbele. hatukataikumsifu mtume lakini namna munavyomsifu na ushirikina hapo na ubidaa ndio sisi tuapinga. masheikh wakubwa wameipinga kama asa;abi ibn hajar nk.

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 ปีที่แล้ว

      Hadith dhwaif hiyo , toeni hoja kwa hadith swahih

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว

    Anasema tukifuata mtume s.a.w tutafaulu na la kushangaza yeye hufanya mambo ambayo haimo katika dini. Mawlid, khitma, Dua ya jumla baada ya swala etc

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 6 ปีที่แล้ว

    Cio dua kısımda maiti ,ishu kusoma kuranı ukimlennga maiti ,maana kwenye vitabu veya khitm kuna sıra na baadhi ya haya ktkt quran sasa hivyo vitabu na Aya hiz zmeandikwa na imamam Hani au mwanazuoni gani

  • @alisaid2525
    @alisaid2525 8 ปีที่แล้ว

    Umaya rudi uasome

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 6 ปีที่แล้ว

    Ila mwenye kiti ni mkubali anataka kuelimisha umma maçını ubish uciokuwa na maana ,swali lake Pande zote limekamata ,cio Kam hajui lengo no kuelimisha Uma

  • @muhammadialliy1237
    @muhammadialliy1237 5 ปีที่แล้ว

    hawana hoja hao wana fata matamanio na kutaka umaarufu

  • @husseinahmed5216
    @husseinahmed5216 4 ปีที่แล้ว

    Akasha hizi cd zenu ntazipataje ama zinauzwa wap? Niko dar es salaam

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  4 ปีที่แล้ว

      Njia rahisi ni ku-download....kama wataka kutumaniwa pia utatumaniwa garama za usafiri zitakuwa juu yako

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 4 ปีที่แล้ว

      @@AKASHA.P ooh ok nahis ku download itakua rahis lkn sijui na download wap?

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 4 ปีที่แล้ว

      Dar es salaam hamna maduka yenu?

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  4 ปีที่แล้ว

      +255 754 805 528 almas bakari

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  4 ปีที่แล้ว

      +255 713 471 090 saimu gwao

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 5 ปีที่แล้ว

    This Is Confusing ...

  • @kilimanjaroguidesporters5699
    @kilimanjaroguidesporters5699 8 ปีที่แล้ว +2

    Hakika wanaopinga kumuombea maiti wameshindwa na wanaonekana ni wabishi tu wamepotea na wanapoteza watu. hao ni maadui wa waislam na dunia

    • @hadijamwenye4617
      @hadijamwenye4617 8 ปีที่แล้ว

      kilimanjaroguides porters

    • @TheAmadoni
      @TheAmadoni 5 ปีที่แล้ว +2

      Hamna alie pinga KUMUOMBEA maiti, wamepinga KUMSOMEA Quran Sababu Mtume hakufanya

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 6 ปีที่แล้ว

    Achen ujanja ktkt dini ,huo ni ushia ,et khitm shekh amakuja anasına anakula wali wa bire tu ay pesa anatia mfukoni ,ahhhhha ndo dini kuwen malını nyinyi

    • @abubakarmtanje215
      @abubakarmtanje215 5 ปีที่แล้ว

      Kılıç Özgür mnaacha kudili na makafir mnajizuka na mambo yasiokuwa na faida kila siku maulid khtima tarskn weken mjadala mumjadil. Jins ya kumtoa kafir na katiba yake chafu yenye kuharamisha na kuhalalisha

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 ปีที่แล้ว +1

    Mm sina elimu yakutosha ela kumuombea maiti sioni kama ni makosa kama hii khitma naona nsawa

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan Dini ni maoni ya mtu? Kwamba mim naona hili yafaa,si Dini hiyo.
      Dini ni kunukuu,Na sio Kutumia Akili,Na wadhifa wa Akili ni kuifaham Dini Aya na hadith.
      Allah akuongoze.ujue kuwa huo ni Uzushi

  • @Mjingacom
    @Mjingacom 8 ปีที่แล้ว +1

    ni kawaida ya mawahhabi kila wanapobannwa basi huruka kesema hadith dhaif.Huyu mtetezi wao mkubwa daktari mohammed Omar anasifika na wao kama muhaddith mkubwa lakini ukweli ana mashahada ya kusema dhaif.Nyinyi mawahhabi mnajua ukweli ila hamtaku kukubali kwa sababu ya mvuto wa kisenti kutoka Saudia

  • @muhammadialliy1237
    @muhammadialliy1237 5 ปีที่แล้ว +1

    shekhe wape ilmu wahabi hao wanao simamia jambo bila ilmu wanakataza khitma at a kilugha na kisheria hawajui

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 ปีที่แล้ว +1

    Qur ani yote ni dawa uyo bakhero vp

  • @fatamiqw1298
    @fatamiqw1298 8 ปีที่แล้ว

    fafuma mashaallah

  • @fatamiqw1298
    @fatamiqw1298 8 ปีที่แล้ว

    fafuma mashaallah