Kingwendu,nakusalimia mzee, Ombi langu Kuna filamu MOJA uliigiza ukiwa na akina mkono,Kuna dada MMOJA Nina lake kwenye hiyo filamu ilikuwa unamuita KIENE, Uliigiza kama mjumbe na unawachonganisha wamama mtaani kwako,ilikuwa unamwaga matakataka, Kama sikosei Nina la filamu lilikuwa CHAUMBEA, NImeitafuta TH-cam lakini siipati,kama utaikumbuka iweke basi mzee maana nimeimiss sana Ile na mtaani siipati kabisa
Mimi wa kwaza kutoka keny❤❤❤❤
Pongezi sna baba yngu naona unayaelewa hyo snaaa❤❤🎉🎉
Majina yako kikoti 😂😂😂
Kingwendu twakutambua sana mzee wetu...from kenya
Namukubali saaanaaa baba yangu kingwendu
Hiii ndio ilinibamba kabisa 😂😂😂😂😂😂
Kenyan bracelet iko famous sana...big up mzee kingwendu we love you from kenya😂😂
Mzee kingwendu uwishiwi maneno
Kingi kingwendu nomaaa
😂wa kwanza leo
Pongezi sana kwa mzee ķingwendu
Chezea usia ww😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 munguwanguuuuuu
Npeni like zanguu hata kumi tuuu
Nitafute ngoma zangu ,,,Tamba b,,,msanii toka mbongo
Kenyans gather here 😂😂
Tumbo 😂😂😂
Kingwendulileeeee❤❤❤nakutambua sana mzeeyeeeee...from Kenya....
Kweli mungu akitaka kukuokoa kwa kifo kweli atakuponyesha
Hahahaaa
Zaki zaki unaniombea mabaya 😂😂ataka ufe arithi😂😢
Nakukubali mzee nmecheka mpakabac😂😂😂😂😂😂😂
Kenya tunakutambua kaka ngwendurure
Asante
Sumu alaaa alaaa alaaa sauti ya mzeee wetu Atwoli, Kenya 🇰🇪
Supercalifragilisticexpeliadocious talent. Much love from Kenya
Kingwendu VP Jina lako laawali nilipo ndg
Noma
nakkubali ngwendulile
Anhahah 🥰🥰🥰🥰
sumu ya panya alaa alaa alaa 😹😹😹
😂😂
King ❤❤❤ the best
aaah watakuua kwel hao
😂😂😂😂man
😂😂😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤Kengwendu nakutambua from kenya ,,,ila nataka huyo dada🎉
Hongera sana,mkuu.nakutazama nikiwa Kenya watamu
😂😂😂😂🎉🎉🎉😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nipee like yangu yani bwana joh
kigwendu baba🎉🎉 mkuuu
❤ we love u kigwendu ww ndio unajua Mambo
Wazaramo tujuane basi kwa like!!!
Pili
😂😂😂😂😂😂ona miangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Funzo kubwa sana ili nimejfunz sio siri
Wow I like it❤
😂😂😂❤
Zizizi kailongela kitoronto!!!imebamba sanaa aisee!!!
😂....Hivi hiyo kitu imebeba tone ngapi mzee mkubwa na sio huskii kuchoka kubeba😂😂😂....Good job!!!
Mmmh kikoti muuwaji Hugo nomasana
bhebhe nahooo 🎷
😂😂😂😂😂😂🎉🎉 good job 👍
😂😂😂😂😂😂
Kingwendu unanifurahisha tu
Wata kuuwa hao baraka from kenya
Kigwendu good job Gitiriba from Kenya
Bg up
Kingwendu,nakusalimia mzee,
Ombi langu Kuna filamu MOJA uliigiza ukiwa na akina mkono,Kuna dada MMOJA Nina lake kwenye hiyo filamu ilikuwa unamuita KIENE,
Uliigiza kama mjumbe na unawachonganisha wamama mtaani kwako,ilikuwa unamwaga matakataka,
Kama sikosei Nina la filamu lilikuwa CHAUMBEA,
NImeitafuta TH-cam lakini siipati,kama utaikumbuka iweke basi mzee maana nimeimiss sana Ile na mtaani siipati kabisa
Kingwendu 😂😂😂😂😂😂
Kingwendu ngwendulile hicho kitambi puto linakuhusu😅
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kikwendu kumekuja
🤣🤣🤣🤣👏🏿👏🏿👏🏿
Iko poa' hiyo video.
🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂