OMARY MKALI & CHUCHU SOUND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah marafiki ... djoniko flower, mao santiago RIP, omar mkali, ababu mwana zanzibar, solo gitaa inapigwa na KING JOVAN copy ya djean pipina kwenye djodjo ngonda. Daaah zama zimepita

  • @shabaniissa5522
    @shabaniissa5522 5 ปีที่แล้ว +4

    Duu when I was standard III I remember those day's, maisha bana style yahuu mziki navionjo vyake walikuwa wanauwezo wao tu heshima kwao

  • @issabosco3531
    @issabosco3531 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapa ndipo nilipoanza kuupenda mziki wa dansi

  • @abuudingo3843
    @abuudingo3843 3 ปีที่แล้ว +2

    Acheni jamani hawa watu walikua hatari show zao ilikua ni shida mwaka 2000 uku mao,uku joniko,uku mkali ilikua ni burudani tosha.

  • @abuudingo3843
    @abuudingo3843 3 ปีที่แล้ว +1

    Kulikua na steji show mmoja anaitwa korando ni shida.

  • @Southafricapolitics
    @Southafricapolitics 5 ปีที่แล้ว +2

    Aisee Muziki unaongea hii inanikumbusha mbali sana

  • @immutown7481
    @immutown7481 5 ปีที่แล้ว +3

    2001 KITAMBO SANA MZIKI MTAMU KUMBUKUMBU TELEEE.. HONGERA CHUCHU SOUND RIP GABY KATANGA

    • @petermaro9852
      @petermaro9852 2 ปีที่แล้ว

      R.I.P RUKIA BRUNO
      R.I.P MAO SANTIAGO
      R.I.P WAZIRI SONYO

  • @yusuphabubakary2030
    @yusuphabubakary2030 6 ปีที่แล้ว +3

    2001 daaah,.. now 2018

  • @saidhussein1120
    @saidhussein1120 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekumbuka mbali sana

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 10 หลายเดือนก่อน

    Wenge BCBG ya Tanzania

  • @baangrichy3685
    @baangrichy3685 7 ปีที่แล้ว +2

    back when music was music

  • @jamesmwakyusa9772
    @jamesmwakyusa9772 ปีที่แล้ว

    Natamani kulia😢

  • @aminkumsha8689
    @aminkumsha8689 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah!! Tumetoka mbali kiukweli.. I miss Buguruni my Hood

  • @annaagulo8751
    @annaagulo8751 5 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P YUSSUPH ALEY

  • @Atb300
    @Atb300 ปีที่แล้ว

    Rip mao santiago 😢

  • @richardcharles4334
    @richardcharles4334 7 ปีที่แล้ว +2

    dah jamani mpka natamani kulia

  • @richardcharles4334
    @richardcharles4334 7 ปีที่แล้ว +1

    izi nyimbona ni noma kiukweli

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 7 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuu Kaka,Unanikumbusha Mbaali Enzi Hizo Maisha Yanaitwa Maisha

    • @annaagulo8751
      @annaagulo8751 5 ปีที่แล้ว

      enzi hizo wahenga

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 5 ปีที่แล้ว

      Enzi hizo kama hizi za Jiwe saafi

    • @allympumo4078
      @allympumo4078 4 ปีที่แล้ว +1

      1.Omary Mkal
      2.Mao Saitiago
      3.Joniko Frawa
      4.Waziri Sonyo
      5.Gabi Katanga
      6.King Jovan
      7Gabi Katanga
      8.abuu Mwanazanzibal

    • @ndekwamwangata1520
      @ndekwamwangata1520 4 ปีที่แล้ว

      Corandooooo! Dah! R.I.P chuchu Aley Yusuph,R.I.P Gabii Katanga mtoto ya Arusha

    • @ndekwamwangata1520
      @ndekwamwangata1520 4 ปีที่แล้ว

      Dah! Hii Albam ya kwanza Kusema Sema 2000
      Zima moto ndani ya Jiji
      Waziri sonyo ndani dah!

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 ปีที่แล้ว

    wapi mao santiago?

  • @shadysnewsandcomedy4116
    @shadysnewsandcomedy4116 4 ปีที่แล้ว +2

    Enzi hizo ingawa video quality is bad