Jamaa mjinga sana hata mungu kamlani nyimbo hazitembei yote haya anafanya si kwa ridhaa ya family ya chuchu eti!Omary Mkali and Chuchu Sound!?laana ya mungu umekufa kimuziki kama ulivyoiua chuchu sound hakuna anayekujua leo hii na pamoja na yote umechoka hata kula yako tu inakushinda choko wee
Omary mkali njoo mashabiki zako tumekumis
NASKILIZA HATA MARA 10 HUU NI UBUNIFU SIKU HIZI HAKUNA BIG UP CHUCHU SOUND.. 2001
Vya kale dhahabu
Kali sana Omary ni mkali kweliii
Nilikuwa form 1
Omary mkali turudishe enzi za zamani tumemiss hivi vitu
Niwashe nizime
Daaah kitambo sanaaaaaa
Hawa walikua wanmuziki walioposasa hatavyombokuvitumia ningumukwao ndomaana hawaitwi wanamuziki wanaitwa wasanii
😂😂
omary we mkali kweli sasa badili swaga
Alishafariki kitambo
2001 🤣🤣🤣🤣 Nina miaka 12 bwana chuchu konda kantukana bc na we mtukane 🤣🤣likonda hiloooooooooooo
Jamaa mjinga sana hata mungu kamlani nyimbo hazitembei yote haya anafanya si kwa ridhaa ya family ya chuchu eti!Omary Mkali and Chuchu Sound!?laana ya mungu umekufa kimuziki kama ulivyoiua chuchu sound hakuna anayekujua leo hii na pamoja na yote umechoka hata kula yako tu inakushinda choko wee
Hakika zama adhimu sana hapa musiki ulikuwa muziki haswaa
Hizi za zamani haziishi raha hata miaka100
2001 nilikuwa std 7
Bwanchuchi