HUKMU YA SWALA LA JAMII MBILI NDANI YA MSIKITI MMOJA: SHEIKH ABDULQADIR AL- AHDAL.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli sheikh, ubinafsi umetawala

  • @maryamkipinga3275
    @maryamkipinga3275 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana uyu shekh kilafatua anayo toa minaikubali ❤

    • @MAISHAYAKIIMANI
      @MAISHAYAKIIMANI  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah nawe Allah akupende

    • @maryamkipinga3275
      @maryamkipinga3275 ปีที่แล้ว

      @@MAISHAYAKIIMANI Amini

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 6 หลายเดือนก่อน

      Sufi anayejifanya mtu wa Sunnah??

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi?kwakuwa anajificha kwenye sunnah kutetea usufi kwa mas'lai yake

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 4 หลายเดือนก่อน

      Sio mpka ukubali wewe ....inategemea anachojibuu ni sawaaa!???

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

    Unapenda kwa kuwa fatuwa zake zinawatetea masufi sio

    • @allyally5156
      @allyally5156 5 หลายเดือนก่อน

      Wewenye Elimu ndo wanaotakiwa kueleza masuala la dini sio wengine mnafuata mikumbo ya kiitikadi kwakuwa umekeremishwa..jambo usilokuwa na Elimu yakutosha usiliongelee ,, utapata aibu wewe unaamini hivi na wenzako wanaelewa vipi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

      Ni shekhe wa kwenda na hawa za watu tuu ,unaongea kitu kiwafurahishe watu,hata kama ni batili huu so msimamo sawa na mwenendo wa mtume kuwanyamazia watu makosa yao au kutodhihilisha msimamo wa kweli kuogopa watu watakutukana hii mtume wetu akufundisha hivyo penye haki alisema hakki batwili aliwaambia watu hii ni batwili bila ya kuogopa matusi na kejeli, mtume hakujali hayo ndomana alitukanwa kutemewa mate,kurushiwa kinyesi cha wanyama aliitwa mufariku jamaa anatrnganisha watu taabu kubwa alipata lengo hakki isimame ila ukienda kwa matakwa ya watu hakki aitasimama na watu wataendelea kufanya ujinga kisa fulani kawatetea.

    • @allyally5156
      @allyally5156 5 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e kwahiyo mawahabi mfurahishwe ninyi? Mwenye Elimu achana naye,, labatili unalijua wewe kwa msimamo wako Kuna mengine ya kisheria kabisa kwani hapo shekh kakosea Nini ? Unataka amfokee nani Sasa au ndo nyinyi mliojipa pepo ...halafu hii Elimu nipana unaweza ukasoma hadithi kutokana na dhehebu lako unavyo taka ila WANASHERIA HAWAPO HIVYO TUSOME TU!

    • @allyally5156
      @allyally5156 5 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e au unataka aongee unavyotaka ..

    • @allyally5156
      @allyally5156 5 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e Kila Moja kwasisi wenye Elimu ndogo ,,tunaweza kung'ang'ania jambo kwa kuambiwa na bila kusoma Elimu ni pana ,hata kama unaona ni Sufi wewe mhabi mfuate ukaulize mswali ,,wahabi mlichojaaliwa ni chuki kwakweli 💯 % na kujiona firidaus niyakwenu acheni dini haiko hivyo kwani mtu akiwa na msimamo wake utamfanya Nini ? Ndo maana mnakurupuka na mambo msiyokuwa na Elimu ...wahivi ndo waumini wasio naelimi