Tanzania Kuna waimbaji alafu Kuna ambwene mwasongwe huyu jamaa Huwa haimbi yeye vile ukimsikiliza Kuna malaika Huwa anaimba ndani yake sio ambwene kabisa 🔥🔥🔥🔥
Ni Yesu tyu asiyewatupa tusiowajali,tunaowasema na kuwadharau,,,,ni Yesu tyu anayeletaga jibu la maswali Kwa wanaochoka ,wenye utata na waliokwama,,,,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazihii ni njema ni darasahuru,,,mwalimu ni Yesu mwenyewe!!!!!!!Barikiwasana ,,,,NI YESU TYU@Frank mganga
✓ kama mziki wa injili ungekuwa unawawakilishi bungeni basi ambweni mwasongwe angewakilisha vizuri sana waimbaji wa injili.kwanza nyimbo zake zina upako,halafu kila dini inaweza kusikiliza nyimbo zake.simama na Yesu milele ambwene
😭😭😭😭😭ombi langu kwa Mungu akulinde tu.unanfanya nikumbuke kuomba Mungu kla wakat.Mungu akuongeze zaid kwaajl ya watu wake waliotayar na wale ambao bado hawako tayar.Mungu akukumbuke daima.
Kama hujawahi kuwa mjane ama yatima huwezi kuelewa ila Mfano me ni mjane mwaka wa 10 huuu changamoto nilizopitia ni #YESU tuuu amenivusha,,,,,#YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Asante Ambwene kwa wimbo mzuri na MUNGU wa mbinguni akubariki
Picha ya pili ni wimbo ambao Roho mtakatifu anataka watu wajifunze na wagunduwe kwamba bado tuna nafasi yakujirekebisha , maana tunazani tunafanya kwaajili ya kusaidia watu ambao wana uwitaji, bali tunafanya kwaajili ya kuonesha ulimwengu kuwa tunawasaidia watu . Mungu akutumie na akupe miaka mingi ya kuishi Mtumishi wa Mungu ambwene mwasongwe
Tumeenda kwenye ulimwengu ambao furaha binafsi ni muhimu kuliko utu WA wenzetu, kicheko chetu ni Bora kuliko machozi ya wenzetu, japokua havituongezei chochote ila tumechagua hivyo bila kujali wengine wanaumia kiasi gani. Ni huzuni sana kua tumetoa pasipo kuiongeza hazina yetu mbinguni Bali tumeongeza uchungu mioyoni mwa wahitaji
Wimbo huu umenitoa machozi.... Yesu aturehemu kwa popote tulipomcheka yeyote kwa kujua au kutojua kutokana na udhaifu wake . Ahsante Yesu kwa msamaha. Tusimcheke tena yeyote au kumbeza kwa kasoro yake . Yesu bado anaweza kumuinua. Amina.
Kichaa kwa mwenzako anachekesha sana,akiwa kwako anauma,mlemavu kwa jirani anaburudisha,akiwa kwako anauma😥😥 YESU atusaidie,,Mungu amekuweka na azidi kukuweka hai kwa ajili yetu mtumishi AMBWENE MWASONGWE utuhudumie watu tuliovunjika moyo🧘♀️🧘♀️🧘♀️
Toka siku ya Kwanza nimeanza kumsikiliza Ambwene sijawah kuchoka wala kukinahi kumsikiliza,nilitambulishwa nyimbo zake na kijana mmoja tulikua tukiuza duka moja la nguo kinondoni studio miaka 13 iliyopita kwakweli nilibarikiwa sana na ninaendelea kubarikiwa sasa,Mungu amtunze na kuendelea kumbariki mtumishi wa Mungu Ambwene.
Halleluyah Halleluyah, lisifiwe jina la Bwana kwa ufunuo huu mpya... Ila machozi yametiririka moyoni🙇🙇 Ila ni Yesu tu ni Yesu anayeletaga jibu la maswali kwa walio choka...😥😥😥
Daaah! Jamaa ujumbe umeufiksha vzur sanaaaaa! Waimbaji wengine wajfunze kwako kwamba njia ya kufikisha ujumbe co mpaka ucheze adi nguo ya ndani iyonekane!! AMINAAA
Chochote tunachofanya kiwe kwa utukufu na kutangaza jina la Mungu na siyo kwaajili ya sisi kuonekana machoni pa watu. Mungu tusaidie sana kufanya yaliyo mapenzi yako.
daaaah kwa kweli mtumishi wa mungu ambwene mwasongwe, nyimbo zako zote huwa zinanifariji Sana , na huwa sichoki kuzisikiliza, mungu akubariki Sana na aendelee kukufunulia nyimbo nyingi zaid
Jamn usiombe ukawa yatima jman uyatima unauma mwee!ila ashkuliwe Mungu alie baba wa yatima anatufarij tusio na wazazi🙏!wimbo umenibarik san Mungu akubarik mtumishi na azidi kukuinua kwenye huduma yako
Ninaponywa kwa nyimbo za mtumishi Wa Mungu Ambwene nimepitia mengi mno yanayo uchosha moyo wangu ila kwakua ninae Mungu naendelea mbele mpaka pale atakaponiita japo kuna wakati nafikia kukata tamaa naona kifo ndio suluisho ila mtumishi Wa Mungu amenifanya nijirudi nakumtazamia Mungu wangu
Bro ambwene iko madhabua kubwa Sana ndani yako kuhusu huduma hii na unatugikia wengi Sana yani wimbo mzima Kila mtu anajimegea kipande chake na wengi wetu tumekuwa kiimani na kupata nguvu sababu ya huduma yako ,.....lipo kundi kubwa Sana nyuma yako kaka Mungu aendele kukutumia Kwa hesabu na majira yote ambayo ameyaamuru chini ya jua.
Niliwahi kujikuta nawaaminisha WATU kuwa ambwene ni msanii wa muziki wa injili ambaye anamvuto ktk kuimba kwake kozi ya voko pia stori sing kwa kumlinganisha na manguli kwenye bongo ladha baada ya kuzingatia wimbo wake wa Ninamkumbuka mama mm1...mbk sasa hali hiyo naiyona sasa chukua 🌹🌹🌹yako mapema sana tusidaiane
😢😢😢 huu wimbo umekua neno la faraja kwenye kipindi kigumu sana na jibu tosha sana kwenye maswali magumu tuliokua tunamuliza Mungu katika dhoruba tuliokua tunapita Mimi na familia yangu.
Kaka ambwene Mungu azidi kukutumia huu ujumbe ulioimba naùsikia kwa mara ya pili mara ya kwanza kwa mchungaji wangu mara ya pili ni kwako kwa njia hii ya uimbaji niseme tu Mungu awabariki nyote kuna somo kubwa nimepata kutoka kwenu kiukweli ah ee Mungu uturehemu 🥲
I do not understand the lyrics of this song, as a matter of fact I heard this song from my Tanzanian friend… but my spirit resonated with it. Indeed our spirit attest that we are children of God. Would a subtitle version of English for this song
Ukisikia mahubiri kwa nyimbo ndiyo haya, Mungu akuweke kaka kuna kipindi nilikpita sikujuanitatokaje lkn nilipokua nakusikiliza nilijikuta nafarijika nakujiona ni mtu mwenye thamani sana, kama ule Mungu aliniamini alijua hili naliweza nakweli nimeliweza na nimepita slm. Keep it up my brother na Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Kwa kwel huyu kaka Mungu amtunze Sana uwa anagusa Sana moyo wangu ,nilifiwa mm na mchumba wangu na nikawa Sina mwelekeo mwez wa pili msiba mwez huohuo akatoa nyimbo nimeachilia kiukwel ni Yesu tu
So touching song mnaotoa misaada na macamera muwe mnaangalia huyo mtu anataka hizo camera au anahitaji faraja Kuna muda Hana namna ..... Yesu awabadirishen Kwa dam yake ahsante kaka ambwene ni kweli Kuna muda unaona tabasam la mtu kumbe moyoni ana mengi anayapitia
Tanzania kuna waimbaji wengi sana ila kwangu mimi hakuna aliyewahi kukupita Ambwene. Wewe ndiyo chaguo langu la kwanza siku zote miaka 20+ kwa sasa. Uishi milele na Bwana Yesu aikuze Karama yako maana hujawahi badilika kutafuta pesa bali huisema kweli ambayo wengi imewashinda. Live long Mtumwa wa Yesu Kristo.
Kaka mafuta haya nilianza kuyaona tangu wakat wa majaribu ni mtaji, umekuwa wa pekee na mfano Kwa waimbaji wa gospel, Siri Yako naifahamu ni maombi na unyenyekevu barikiwa Sana.
Ninabarikiwa sana sana na wimbo huu halafu kuna siku ulikuwa singida kkkt wakati unaimba nilipata ishara maombi yangu kwa Mungu akutunze na akutendee shauku na kiu ya moyo wako
Asante Mungu kwa kumtumia ambwene mwasongwe kutufariji,kututia moyo,kutufundisha neno la mungu,kutufundisha namna ya utoaji wa sadaka .Mungu Asante kwa ajili yake .umenibariki na kunifuta machozi mara nyingi eeeeeeh Mungu asante
What a message . A problem is only funny when its on them😢😢. Its only Jesus that Will never forsake . Ubarikiwe sana Mtumishi , kando na nyimbo za kusifu na kuabudu , Wewe ni muimbaji mmoja nayempendaga sana kwa jumbe zako kupitia uimbaji wako❤
😢😢😢😢😢😢 ohhhhh kwa nini Roho Mtakatifu kakufunulia maisha yangu😢😢😢😢 Mbona kakupa picha ya maisha yangu😭😭😭 Ee Yesu uliye mwema kwetu nipe neno la Faraja🙏🙏🙏 Ambwene Mwasongwe Mungu akuinue viwango vya juu juu zaidi hakika umepewa kibali na hakuna atakaekufikia🎉🎉 Yesu naomba uniponye maumivu ya Moyo, hawajui size ya kiatu hiki namna kinavyobana😢hawajui kinavyomiza💔💔💔💔
WIMBO HUU UMEJAA NA MAFUNDISHO MAKUBWA SANA, MAN OF GOD AMBWENE MUNGU AMEKULETA DUNIANI KWA INJILI NA MOYO WAKO UNAJAA MAPENDO YA KIMUNGU KUPITIYA MANANO MAKALI YA UFUNUO AMBAYO UMEPEWA NA ROHO MTAKATIFU. MUNGU AKUONGEZE ZAIDI
Kaka ambwene Mungu aendelee kukutumia nilipousikiliza huu wimbo nikavuta taswira ya watu wanapitia hizi nyakati ngumu machozi yakanibubujika wimbo ulivyo na ujumbe mzito barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
asante sana kwako ndugu ambwene mwasongwe kwa nyimbo hizi,ila kumbuka ndugu yangu ulimwengu huu kwa sasa hunafikia kikomo,sasa hakikisha kipaji hikichako hiki ni mungu mwenyewe tu ndo anakuongoza,na husikichanganye na kavumu za ulimwengu huu,husijekua mwalimu na mwinjilisti kwa wengine alafu hukakosa kuhiingia kwenye mbingu mpya na yerusalemu mpya ambayo bwana wangu yesu kristo,anao wa wekea wale walioshindania ziki kuu,na waliofia imani ya mitume wa bwana wangu yesu kristo mungu aliehai,na mungu akubariki sana amina.
This song touches my feelings, may God bless you ambwene mwansongwe, I am also very happy to know you since I was young until today, I always appreciate your work to praise the Lord.
Kuna watu walishushwa tuu kwa kusudi maalumu kaka ambwene bhn sijui niseme nini ila barikiwa sana kwa huduma yako nzuri huwa natiwa moyo na nyimbo zako.
Kaka ambwene , kaka ambwene , kaka ambwene , huyu Mungu anaye kutumia ni mkuu sana , usimuache, unanishawishi na Mimi ni mtafute huyu Mungu mwenye mafunuo makubwa , ubarikiwe sana
Ee Mungu uijuaye huzuni yangu na maumivu ya moyo wangu. Nipe uvumilivu tena kupitia nyimbo hii. Kwaakili zangu nimechoka nimekaribia kukata tamaa 😭😭😭 maana hata nikilia haisaidii tena.
Pale akili zetu zinapoishia ndipo Mungu anapoanzia, kikubwa mwachie Mungu tu huzuni yako na taabu yako, kaza sana kumwangalia Mungu hata maumivu yangekuwa makali kiasi gani kazi sana kumwangalia Mungu no matter what
Ni Yesu tu!!! Tumeumizwa na wanadamu. Tuliofikiri tutapata msaada na faraja kwao. Mwisho walitusema kwa na kutuabisha!!! "NI YESU TU analeta faraja ya kweli" ubarikiwe
Ni Yesu anayeletaga Faraja iliyoyakweli.....Yaani huu Wimbo nikiusikiliza unanijaza Nguvu na machozi kutiririka nakujiona mimi nimependelewa sana.Amina
Tanzania Kuna waimbaji alafu Kuna ambwene mwasongwe huyu jamaa Huwa haimbi yeye vile ukimsikiliza Kuna malaika Huwa anaimba ndani yake sio ambwene kabisa 🔥🔥🔥🔥
Amen
Hakika uneusema ukweli mpe mtu sifa zake akiwa hai.
I really understand this Man of God.❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏻
Fantastic Mteule wa Mwakozi.
Ni Yesu tyu asiyewatupa tusiowajali,tunaowasema na kuwadharau,,,,ni Yesu tyu anayeletaga jibu la maswali Kwa wanaochoka ,wenye utata na waliokwama,,,,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazihii ni njema ni darasahuru,,,mwalimu ni Yesu mwenyewe!!!!!!!Barikiwasana ,,,,NI YESU TYU@Frank mganga
Hakika
✓ kama mziki wa injili ungekuwa unawawakilishi bungeni basi ambweni mwasongwe angewakilisha vizuri sana waimbaji wa injili.kwanza nyimbo zake zina upako,halafu kila dini inaweza kusikiliza nyimbo zake.simama na Yesu milele ambwene
😭😭😭😭😭ombi langu kwa Mungu akulinde tu.unanfanya nikumbuke kuomba Mungu kla wakat.Mungu akuongeze zaid kwaajl ya watu wake waliotayar na wale ambao bado hawako tayar.Mungu akukumbuke daima.
Kama hujawahi kuwa mjane ama yatima huwezi kuelewa ila Mfano me ni mjane mwaka wa 10 huuu changamoto nilizopitia ni #YESU tuuu amenivusha,,,,,#YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Asante Ambwene kwa wimbo mzuri na MUNGU wa mbinguni akubariki
Picha ya pili ni wimbo ambao Roho mtakatifu anataka watu wajifunze na wagunduwe kwamba bado tuna nafasi yakujirekebisha , maana tunazani tunafanya kwaajili ya kusaidia watu ambao wana uwitaji, bali tunafanya kwaajili ya kuonesha ulimwengu kuwa tunawasaidia watu .
Mungu akutumie na akupe miaka mingi ya kuishi Mtumishi wa Mungu ambwene mwasongwe
Ambwene mtu mzito
Kichaa wa mwenzako anachekesha akiwa kwako anauma sana
Tunaoishi maisha ya Ambwene tujuane 🎉
Tumeenda kwenye ulimwengu ambao furaha binafsi ni muhimu kuliko utu WA wenzetu, kicheko chetu ni Bora kuliko machozi ya wenzetu, japokua havituongezei chochote ila tumechagua hivyo bila kujali wengine wanaumia kiasi gani.
Ni huzuni sana kua tumetoa pasipo kuiongeza hazina yetu mbinguni Bali tumeongeza uchungu mioyoni mwa wahitaji
Wamemchoma moto na Picha ya Pili kwangu hizi si nyimbo ni Sauti ya Mungu kwa wanadamu. Abwene ni akiba ya Mungu kwa kizazi hiki.
Kabisa
Kusikiliza Huu wimbo Mmoja,Ni masomo Ambayo Mtu Angeweza Kuyapata Kwenye Vitabu 100 ❤
Wimbo huu umenitoa machozi....
Yesu aturehemu kwa popote tulipomcheka yeyote kwa kujua au kutojua kutokana na udhaifu wake .
Ahsante Yesu kwa msamaha.
Tusimcheke tena yeyote au kumbeza kwa kasoro yake . Yesu bado anaweza kumuinua.
Amina.
Naweza kusema wewe ambwene huimbi bali unahubili tena mahubili ya ambayo hata makanisani hatuyasikii God bless you man of God
Kichaa kwa mwenzako anachekesha sana,akiwa kwako anauma,mlemavu kwa jirani anaburudisha,akiwa kwako anauma😥😥 YESU atusaidie,,Mungu amekuweka na azidi kukuweka hai kwa ajili yetu mtumishi AMBWENE MWASONGWE utuhudumie watu tuliovunjika moyo🧘♀️🧘♀️🧘♀️
Hakika ni Yesu tu ndiye anaetoaga faraja ya moyo, barikiwa mtumishi.
Kuna gospel za akina rose mhando AF kuna gospel ya ambwene
Anahitaji watu wenye uelewa mkubwa Wa kimungu kumuelewa!
Barikiwa sana
🤝🤝🤝
😭😭 🙇🙇nafurahi na kuogopa Mungu anapozungumza.
😔😔😭
Toka siku ya Kwanza nimeanza kumsikiliza Ambwene sijawah kuchoka wala kukinahi kumsikiliza,nilitambulishwa nyimbo zake na kijana mmoja tulikua tukiuza duka moja la nguo kinondoni studio miaka 13 iliyopita kwakweli nilibarikiwa sana na ninaendelea kubarikiwa sasa,Mungu amtunze na kuendelea kumbariki mtumishi wa Mungu Ambwene.
Umeokoka?
mafuta.mafuta. kaka mkubwa wimbo ni mzuri mno🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Halleluyah Halleluyah, lisifiwe jina la Bwana kwa ufunuo huu mpya...
Ila machozi yametiririka moyoni🙇🙇
Ila ni Yesu tu ni Yesu anayeletaga jibu la maswali kwa walio choka...😥😥😥
Daaah! Jamaa ujumbe umeufiksha vzur sanaaaaa! Waimbaji wengine wajfunze kwako kwamba njia ya kufikisha ujumbe co mpaka ucheze adi nguo ya ndani iyonekane!! AMINAAA
Ambwene ubarikiwe sana.. huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako.. 🙏🙏🙏🙏
Chochote tunachofanya kiwe kwa utukufu na kutangaza jina la Mungu na siyo kwaajili ya sisi kuonekana machoni pa watu. Mungu tusaidie sana kufanya yaliyo mapenzi yako.
Amen and amen
Mungu akubaliki ambwene Mimi nikisikiliza nyimbo zako waga nakuona umebaki pekee mwimbaji unae baliki moyo wangu
MUNGU aendelee kukuinua kwa viwango vya juuu,tunaendelea kumtukuza Mungu kwa talanta yako
daaaah kwa kweli mtumishi wa mungu ambwene mwasongwe, nyimbo zako zote huwa zinanifariji Sana , na huwa sichoki kuzisikiliza, mungu akubariki Sana na aendelee kukufunulia nyimbo nyingi zaid
Jamn usiombe ukawa yatima jman uyatima unauma mwee!ila ashkuliwe Mungu alie baba wa yatima anatufarij tusio na wazazi🙏!wimbo umenibarik san Mungu akubarik mtumishi na azidi kukuinua kwenye huduma yako
I can feel your feeling, uyatima haufai
Ninaponywa kwa nyimbo za mtumishi Wa Mungu Ambwene nimepitia mengi mno yanayo uchosha moyo wangu ila kwakua ninae Mungu naendelea mbele mpaka pale atakaponiita japo kuna wakati nafikia kukata tamaa naona kifo ndio suluisho ila mtumishi Wa Mungu amenifanya nijirudi nakumtazamia Mungu wangu
Mungu akusaidie uwe jasiri katika yote unayopitia ndugu
Polee usife moyo tumaini la mwisho ni kristo
Endelea kumtumiania Yesu mauti ikuepuke kbla ya muda mpendwa
Jamaniii Mungu wa Mbinguni akutunze sanaaa,, wimbo mzuri sanaaa,,, nimebarikiwaaa,,, mwalimu wangu unastahili pongezi
Hakika Ni Yesu tu anayeletaga faraja ya moyo🙏🙏, watu wengi wanakusaidia kwa lengo la kuonekana Wala si mguso wa kweli Wana malengo yao
Bro ambwene iko madhabua kubwa Sana ndani yako kuhusu huduma hii na unatugikia wengi Sana yani wimbo mzima Kila mtu anajimegea kipande chake na wengi wetu tumekuwa kiimani na kupata nguvu sababu ya huduma yako ,.....lipo kundi kubwa Sana nyuma yako kaka Mungu aendele kukutumia Kwa hesabu na majira yote ambayo ameyaamuru chini ya jua.
Kuna Roho ndani ya huyu Bwana...Haimbi kwa akili yake ya kawaida yake na kipaji chake cha kawaida..
Nimeshasema nikienda mbinguni nisipokukuta…nitaandamana mpaka wakusamehe na ww uje mbinguni…unatubariki sana 😢😢😢
MUNGU akutunze daima kakaang,,azidi kukutumia kwenye izi nyakati za mwishisho ,,nmejfunza mengi kwenye nyimbo zako
Mungu turehemu tulijua tunafanya kwa ajili Yao,kumbe Ni kwa ajili yetu.. turehemu 😭😭🙇😭😭🙏
yaani nimesikiliza huu wimbo simalizi asante yesu usiyenichoka
Niliwahi kujikuta nawaaminisha WATU kuwa ambwene ni msanii wa muziki wa injili ambaye anamvuto ktk kuimba kwake kozi ya voko pia stori sing kwa kumlinganisha na manguli kwenye bongo ladha baada ya kuzingatia wimbo wake wa Ninamkumbuka mama mm1...mbk sasa hali hiyo naiyona sasa chukua 🌹🌹🌹yako mapema sana tusidaiane
Bwana Yesu atusaidie kwakweli,tupone katika hili 😭
😢😢😢 huu wimbo umekua neno la faraja kwenye kipindi kigumu sana na jibu tosha sana kwenye maswali magumu tuliokua tunamuliza Mungu katika dhoruba tuliokua tunapita Mimi na familia yangu.
Kaka ambwene Mungu azidi kukutumia huu ujumbe ulioimba naùsikia kwa mara ya pili mara ya kwanza kwa mchungaji wangu mara ya pili ni kwako kwa njia hii ya uimbaji niseme tu Mungu awabariki nyote kuna somo kubwa nimepata kutoka kwenu kiukweli ah ee Mungu uturehemu 🥲
Inatosha bwana, aksante Ambwene kwa ujumbe mzuri Mungu akuweke maisha marefu
Ambwe kaka
Mungu akubariki sana sana
Sieliwi ninalia nini baada kusikiza huu wimbo
Ambwene Ambwene Ambwene... Nimekuita mara tatu... Unaubariki Moyo Wangu
I do not understand the lyrics of this song, as a matter of fact I heard this song from my Tanzanian friend… but my spirit resonated with it. Indeed our spirit attest that we are children of God. Would a subtitle version of English for this song
Mungu Ameweka Neema kubwa sana Ndani Yako unafanyika baraka katika kizazi hiki Mungu Akutunze mtumishi Ili uendelee kufanyika Baraka 🙏🙏🙏
Ukisikia mahubiri kwa nyimbo ndiyo haya, Mungu akuweke kaka kuna kipindi nilikpita sikujuanitatokaje lkn nilipokua nakusikiliza nilijikuta nafarijika nakujiona ni mtu mwenye thamani sana, kama ule Mungu aliniamini alijua hili naliweza nakweli nimeliweza na nimepita slm. Keep it up my brother na Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Kwa kwel huyu kaka Mungu amtunze Sana uwa anagusa Sana moyo wangu ,nilifiwa mm na mchumba wangu na nikawa Sina mwelekeo mwez wa pili msiba mwez huohuo akatoa nyimbo nimeachilia kiukwel ni Yesu tu
So touching song mnaotoa misaada na macamera muwe mnaangalia huyo mtu anataka hizo camera au anahitaji faraja Kuna muda Hana namna ..... Yesu awabadirishen Kwa dam yake ahsante kaka ambwene ni kweli Kuna muda unaona tabasam la mtu kumbe moyoni ana mengi anayapitia
Huu wimbo umejaa message kubwa sana , kumbe kila unamuona kichekesho au hafai macho ya pili ni maumivu wanayapitia😢😢
Hakika Mungu anakupelekaga mbali kukupa jumbe zenye tafakari ya ndani sana, wimbo umeugusa moyo wangu sana😢😢
Mungu azid kuinua huduma yako mtumishi wa Mungu....unanibariki kwa kila wimbo
Tanzania kuna waimbaji wengi sana ila kwangu mimi hakuna aliyewahi kukupita Ambwene. Wewe ndiyo chaguo langu la kwanza siku zote miaka 20+ kwa sasa. Uishi milele na Bwana Yesu aikuze Karama yako maana hujawahi badilika kutafuta pesa bali huisema kweli ambayo wengi imewashinda. Live long Mtumwa wa Yesu Kristo.
Nakuunga mkono! Hakika upo sahihi Sana!
Kaka mafuta haya nilianza kuyaona tangu wakat wa majaribu ni mtaji, umekuwa wa pekee na mfano Kwa waimbaji wa gospel, Siri Yako naifahamu ni maombi na unyenyekevu barikiwa Sana.
Nyimbo zako zinaishi hiyo haina kupinga jaribu kufutilia albam ya kwanza Hadi ya mwisho hakuna nyimbo ya ovyo hata mmoja 🙌🙌🙌😭😭
Kaka ambwene mungu azidi kukutunza kwaajili yangu na watu wengine ambao wanaona ibada ambayo unaifanya kupitia uimbaji
Ninabarikiwa sana sana na wimbo huu halafu kuna siku ulikuwa singida kkkt wakati unaimba nilipata ishara maombi yangu kwa Mungu akutunze na akutendee shauku na kiu ya moyo wako
😭😭Kila nikisikia wimbo huu machozi yananitoka tuuu,, Mungu akutendee mema Ambwene
Mungu akubariki kaka ambwene.itakuwa nadra kweli kujipata kwenye upande wa haki kwenye hukumu hii .lakini twaweza kuungama na kusamehewa kwake yesu..
hakika ni Yesu tu anayetoaga neno la falaja ambalo halumizi Mungu akubaliki kwa wimbo wa falaja
Very powerful message. Mungu atusaidie tunajisahau sana kwenye mambo kama haya. Umebarikiwa Mtumishi wa Mungu na asante kwa ujumbe huu🙌🔥🔥🔥
Asante Mungu kwa kumtumia ambwene mwasongwe kutufariji,kututia moyo,kutufundisha neno la mungu,kutufundisha namna ya utoaji wa sadaka .Mungu Asante kwa ajili yake .umenibariki na kunifuta machozi mara nyingi eeeeeeh Mungu asante
Tumeumizwa sana Yesu tuhurumie.wewee ndio farajaa ya kwel😥😢😭
What a message . A problem is only funny when its on them😢😢. Its only Jesus that Will never forsake .
Ubarikiwe sana Mtumishi , kando na nyimbo za kusifu na kuabudu , Wewe ni muimbaji mmoja nayempendaga sana kwa jumbe zako kupitia uimbaji wako❤
Mremavu kwa jirani anachekesha Ila ikiwa kwako anauma...mungu tusaidie
😢😢😢😢😢😢 ohhhhh kwa nini Roho Mtakatifu kakufunulia maisha yangu😢😢😢😢 Mbona kakupa picha ya maisha yangu😭😭😭 Ee Yesu uliye mwema kwetu nipe neno la Faraja🙏🙏🙏 Ambwene Mwasongwe Mungu akuinue viwango vya juu juu zaidi hakika umepewa kibali na hakuna atakaekufikia🎉🎉 Yesu naomba uniponye maumivu ya Moyo, hawajui size ya kiatu hiki namna kinavyobana😢hawajui kinavyomiza💔💔💔💔
Yesu anakujua na anajua kesho yako songa mbele
@@HighzackMichael Amen barikiwa ndugu
@@theopisterjovent3483 Kuna darasa unapitia na mwisho utatoka Kama dhahabu
@@HighzackMichael Asante mpendwa hakika u rafiki mwema
@@theopisterjovent3483 hata siku moja usimzoee Mungu .Mungu anaweza kukufanyia mambo ya ajabu mpaka ukachanganyikiwa na ukashangaa mwenyewe
Wimbo umenitoa machozi,, Mungu tunaomba neema ya kufanya kwa ajili yao na si kwa kujionyesha
WIMBO HUU UMEJAA NA MAFUNDISHO MAKUBWA SANA, MAN OF GOD AMBWENE MUNGU AMEKULETA DUNIANI KWA INJILI NA MOYO WAKO UNAJAA MAPENDO YA KIMUNGU KUPITIYA MANANO MAKALI YA UFUNUO AMBAYO UMEPEWA NA ROHO MTAKATIFU. MUNGU AKUONGEZE ZAIDI
Mungu akubariki kaka Kwa huduma unayoitoa kwetu Amina na barikiwa sana na nyimbo zako
Kaka ambwene Mungu aendelee kukutumia nilipousikiliza huu wimbo nikavuta taswira ya watu wanapitia hizi nyakati ngumu machozi yakanibubujika wimbo ulivyo na ujumbe mzito barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Hii nyimbo kweli inaishi kwa watu
Amina. nimebalikiwa na wimbo huu kutoka nchini Burundi.
Ni YESU tu anaye toa faraja ya kweli😔😌😔😌☺️😊.. nampenda YESU wangu😊😚😘☺️🥰
Ukiusikiliza huu wimbo vizuri lazima machozi yakutoke, barikiwa Sana mtumishi A. Mwasongwe
asante sana kwako ndugu ambwene mwasongwe kwa nyimbo hizi,ila kumbuka ndugu yangu ulimwengu huu kwa sasa hunafikia kikomo,sasa hakikisha kipaji hikichako hiki ni mungu mwenyewe tu ndo anakuongoza,na husikichanganye na kavumu za ulimwengu huu,husijekua mwalimu na mwinjilisti kwa wengine alafu hukakosa kuhiingia kwenye mbingu mpya na yerusalemu mpya ambayo bwana wangu yesu kristo,anao wa wekea wale walioshindania ziki kuu,na waliofia imani ya mitume wa bwana wangu yesu kristo mungu aliehai,na mungu akubariki sana amina.
This song touches my feelings, may God bless you ambwene mwansongwe, I am also very happy to know you since I was young until today, I always appreciate your work to praise the Lord.
Kuna watu walishushwa tuu kwa kusudi maalumu kaka ambwene bhn sijui niseme nini ila barikiwa sana kwa huduma yako nzuri huwa natiwa moyo na nyimbo zako.
Ooooh my God. where did you came from with song. Its really life we had. oooh Mungu asante kwa ujumbe huu.
Wimbo unaujmbe mzuri San, ubarikiwe SANA
ubarikiwe kwa ufariji wako
Daaaaaaaaah ambweneee Ana akiliii mfulaniii hiviii ya kipekee nyimbo imejaa ujumbeee Sanaa ubarikiweeeee zaidiii na zaidiii sanaaaa
Ongoza hatua Zangu kuputia wimbo huu nimekuta machozi yananitoka
Mungu akupiganie sana ili mwendo wako uwe wa ushuhuda mzuri Kila siku uje ufike mbinguni.may your work never lost in vain
Mwimbo wa baraka sana hakika ni yesu tu
Kaka ambwene , kaka ambwene , kaka ambwene , huyu Mungu anaye kutumia ni mkuu sana , usimuache, unanishawishi na Mimi ni mtafute huyu Mungu mwenye mafunuo makubwa , ubarikiwe sana
Huyu ndiye Ambwene tunaemjua. Asante sana Mtumishi kwa wimbo mzuri unaogusa. Hakika tunachakujifunza. Salaam kutoka Denmark
witness Kwanza naomba namba yako. Nakuonaga tu TH-cam
@@afamatv4848 kaka na wewe skwizi hupokei cm Yangu, cjui kwanini yaani 😢😢 P4 hapa.
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU Abwene. kwaujumbe, uliobeba mambo, makubwa, yenye funzo ndaniyake.
Nmeusikilizaa huu kwa hisia na cjakuchoka🙏🙏🙏
Barikiwa rafiki yangu Ambwene Mwasongwe wewe ni mbarikiwa aisee..
Ee Mungu uijuaye huzuni yangu na maumivu ya moyo wangu. Nipe uvumilivu tena kupitia nyimbo hii. Kwaakili zangu nimechoka nimekaribia kukata tamaa 😭😭😭 maana hata nikilia haisaidii tena.
Na MUNGU aguse haja ya moyo wako! Ameen
Mungu akutie nguvu..nimwaminifu San Bwana
Pale akili zetu zinapoishia ndipo Mungu anapoanzia, kikubwa mwachie Mungu tu huzuni yako na taabu yako, kaza sana kumwangalia Mungu hata maumivu yangekuwa makali kiasi gani kazi sana kumwangalia Mungu no matter what
@@bahatihakimu8613 amen. Asante sana Mungu akubariki mnooo
@@leonardrobert2688 Amen barikiwa
Huu wimbo umekuwa kama mvua kwangu imenyesha nikajua panapovuja. Pia ni kilaka kwangu nguo yangu iliyotobola. Sasa ni salama.
Huyu jamaa anajua kuimba sana big up much lovefrom malawi songwe border
Songwe border moja ehn
Ni Yesu tu!!! Tumeumizwa na wanadamu. Tuliofikiri tutapata msaada na faraja kwao. Mwisho walitusema kwa na kutuabisha!!!
"NI YESU TU analeta faraja ya kweli" ubarikiwe
Jamani like zenu kama tuko pamoja kumbariki mtumishi huyu katika huduma ya uimbaji
Ni Yesu tu, anaye toa nano la faraja bila matangazo🤗🙌🙏💕❤
Anointing at work. Barikiwa Kwa kuimba wimbo hii umejaa nguvu ya ROHO MTAKATIFU. ❤
Mungu akubariki sana Ambwene,wimbo umeliza,lakin baadaye nikapata farakja kwamba yupo Yesu mtoa faraja.
Hata nikiwa n magumu gan nikisikiliza nymbo zako napata faraka mungu akuinue zaid 4:08
Ni Yesu anayeletaga Faraja iliyoyakweli.....Yaani huu Wimbo nikiusikiliza unanijaza Nguvu na machozi kutiririka nakujiona mimi nimependelewa sana.Amina
Amen ubarikiwe Sana kwa ujumbe huu kaka 🙏🙏😭😭😭
Barikiwa mtumishi kwa uimbaji mzuri wa kuganga mioyo. Mungu akuinue viwango kwa viwango, viwango viwango..... Amen
Mungu akuzishia ubunifu Saidi.
Hajawahi kosea kuimba tangu nianze kumfuatilia mungu azidi kukuongoza zaidi na zaidi
Hivi jamani mna hakika huyu Bwana Ambwene ni binadamu wa kawaida? Mbona nishaanza kupata mashaka! Huu uwezo sio wa kawaida kabisa!
😁😁😁
Naamini sikumoja nitakua kama Ambwene nitaimba na yeye wimbo mmoja 🙏🔥🔥🔥