Nyimbo zenu ni nzuri ajabu nefanikiwa kuwarushia rafiki zangu wasio wasabato wamevutiwa Sana na Nyimbo zenu, Mungu wa mbinguni awape hekima na maono juu ya utunzi wa Nyimbo nzuri kama hizi. Mbarikiwe sana
Mubarikiwe Sana wapendwa MUNGU azd kuwainua. Napenda kujiunga nanyi.. ila zaidi ya yote tutaimba mbele ya kiti Cha enzi.. Naaamn mubarikiwe Sana MUNGU azd kuwapigania 🙏
Nimefiwa na mume wangu tarehe 14/02/2023 Ni zawadi pekee aliyonipatia siku ya valentine kupoteza uhai wake. Wimbo huu utabaki kuwa faraja yangu katika kipindi hiki cha majonzi kwangu
Nyimbo zenu ni nzuri ajabu nefanikiwa kuwarushia rafiki zangu wasio wasabato wamevutiwa Sana na Nyimbo zenu, Mungu wa mbinguni awape hekima na maono juu ya utunzi wa Nyimbo nzuri kama hizi. Mbarikiwe sana
Amen. Zidi kubarikiwa
Nakumbuka Wimbo huu ulipoimbwa kwa mara ya kwanza Sakina Kanisan mbarikiwe sana 🙏
Mnamsifu Mungu muumbaj wetu Kwa kiwango cha juu Mungu awabariki sana nafarijika sana kusikiliza wimbo wenye utukufu kiasi hik!
Hongereni sana bana awabariki sana. By, peter Kemba. Irugwa Ukerewe
Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri
Amina,mbarikiwe sana.wimbo una ujumbe mzr
Nzuri sana,mubarikiwe sana
Hongereni mliimba kwa utulivu mkubwa Sana na mungu awape nguvu
mungu atambua kazi ifanyayo kwa bidii ,akili na uaminifu
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki🙏🙏🙏
Mubarikiwe Sana wapendwa MUNGU azd kuwainua. Napenda kujiunga nanyi.. ila zaidi ya yote tutaimba mbele ya kiti Cha enzi.. Naaamn mubarikiwe Sana MUNGU azd kuwapigania 🙏
kazi nzuri Sana
Makin sana,,,barikiweni na Bwana
Mungu awabariki, huwa nipo karibu sana nanyi kwa nyimbo zenu zilizopanguliwa vyema. tuwaige Sakina. Amen
Zidi kubarikiwa na ujipatie dvd yako hii mpya....
Hakika ya Dunia Yatapita. Mungu atupe mwisho mwema. Barikiwen waimbaji
Sina neno kwa kweli zaidiii sakina Mungu awabariki tena narudia awabariki jaman
Amen
Mungu awabarik sanaaaaa
Tuandae maisha Yetu ya Baadae duniani tunapita tu, Yesu awe kimbilio letu
Hakika
Jann mubalikiwe sana
Nimefiwa na mume wangu tarehe 14/02/2023
Ni zawadi pekee aliyonipatia siku ya valentine kupoteza uhai wake.
Wimbo huu utabaki kuwa faraja yangu katika kipindi hiki cha majonzi kwangu
😭😭pole sana rafiki.
Faraja ya pekee yatoka kwa Mungu wetu,🙏
Polewsana Mungu awe faraja kwako ...!
Amen @@nyangetv8802
Amen@@nassonfredy980
Wimbo huu ukiusikiliza kwa makini nakuutafakari lazima machozi yakdondoke Yesu awendani yetu ili isiwe Bure kwetu Kumuabudu Mungu
Amen
Amen
Jamani Sakina SDA Mungu Bariki Wimbo unatukumbusha Kutenda MEMA
Hakika
Mubarkiwe sana kwa ujumbo wenu
Amen
Jamani wimbo mzur kwer mwili huu huu utarudi mavumbini
Amina wimbo wenye ujumbe makini
Naomba kupata mawasiliano ya mwalim wa njimbo
Nimependa ubunifu huu..! Nimeguswa sana...
Amen
Nimebarikiwa
MUNGU MUUMBAJI Awabariki waimbaji na kuwaongezea nguvu
Amen
God bless you all......because this song reminds many of us someone special to us....🙏🙏🙏🙏love u all
Thx kwa ujumbe mzr unatukumbusha kuandaa maisha ytu ya badae eee mungu naomba nisaidie
Barikiwa
Be blessed
Mungu awabariki
Such a powerful song
A nice song
Nsimire nshokano
So amaizing
Amen Amen
Let God give you strength...
Amen
q vezes lindas ótimo d ouvir
Aminaa
Kwa kweli ni mumgu pekee atuongoze
Anyone to translate for the massage in this song,please ?
Where are you find me in 0620786798
Linda ochina
Good 👌👍🎚️🙏
🙏🏻🙏🏻