Ndiyo ufahamu kuwa master ni life time.... Umri wa mtu hadi mtu awe master Unaanza kuishi nayo kwa miaka 10yrs - hadi kufika miaka 30yrs ndiyo unaanza kuziona 1Million Dollar Cheque.... Take a lesson
Chill out! He is good but he's not the best of all time ahead of Eddie Murphy, Richard Pryor, Dave Chappelle, Katt Williams, Chris Rick, Kevin Hart, Bernie Mac, Martin Lawrence, Will Smith etc maybe in Tanzania not even East Africa but he up there.
Yani nime Shea ku Shea daaa unanisalimia Mara ya pili unawahwa hahaaaahaaa wapi makofi na like za wakenya kwa King of comedy
Unaniamkia mara ya pili unawashwa🤣🤣🤣🤣🙌joti
😂🤣😅
hukunitafut Maryam na ulisem utanitafut kwann jaman
@@ismailonline5496 weka namba yako bro
This guy been making me laugh tangu mdogo until now 🤣🙌🏾much respect to Joti👏🏽👏🏽
Ndiyo ufahamu kuwa master ni life time....
Umri wa mtu hadi mtu awe master
Unaanza kuishi nayo kwa miaka 10yrs - hadi kufika miaka 30yrs ndiyo unaanza kuziona 1Million Dollar Cheque....
Take a lesson
Q
Sopa jaman
Joti you are a gem 💎 in East African comedy!
Ukitaka kufaidi comed za Joti ziangalie mpaka mwisho 😂
Joti : mlewa
Mlewa : naam babu
Joti : hiyo umekata
Mlewa : eeh
Joti : funua
Mimi 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Joti unaniacha hoi sio mchezo💪💪💪💪 kina origino comedy watajitafuta sana
Mnooooo
Kabisa
Huyu dada nae talented sanaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daah,, JOTI Hufiki mbinguni Kwa Mungu 😭😭😭😂😂😂✍️✍️✍️
Acrobatic😝
th-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
Danger
th-cam.com/users/shorts9qeROo1tANU?feature=share
😁😄 funny
th-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
What are revenge
th-cam.com/users/shortsr8pw_3gRdrQ?feature=share
Kataa, Funuwaaaa 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣👌hiyo imenimaliza nakumbuka udogoni
Mwanangu @mlewa nakubali Sana
😂😂😂😂😂 babu huyu ndo character wa joti namkubali Sana nimecheka mpaka mbavu zinauma aise hatari
😂😂 walikuwa wanaoneshana CV na yeye akaleta CV yake, inakata na kufunua
Hii nimeipenda sana kweli joti we mbunifu sana.
Joti we mkali sana😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Big up 🤣🤣🤣🇹🇿.
😁😂😂🤣🤣joti is always my favorite ur crazy 💓💓😁
😂😂😂😂😂😂😂Ila Joti Ni Fala Sana
Nilicheka😂😂😂😂
Joti Genius
Joti ananipa raha sana mungu akupe maisha maref tufurahie dunia
Joti hyo umekataaa???haaaayaaaaa....em funuwaaaaaaa...hahaaa Joti wee bingwa wa east Africa nzimaaaa
Mtoto we fundii!!!! Ahaahaa!! Joti we Nyoko Sanaaa!!!
🤣🤣Eti unaamkia mara 2 unawashwa, ila joti🙌🏿🙌🏿
My best comedian of all time 🔥🔥🔥
Chill out! He is good but he's not the best of all time ahead of Eddie Murphy, Richard Pryor, Dave Chappelle, Katt Williams, Chris Rick, Kevin Hart, Bernie Mac, Martin Lawrence, Will Smith etc maybe in Tanzania not even East Africa but he up there.
@@Albert7_ jamaa anafanya vizur east Africa na ni moja ya black comedians ulimwenguni wanaofanya vzr amini hilo
Haha 😄, eti "Mlikolala ndiko nilikoamkia.!" Babu wa mwendokasi 🙌
😂😂😂😂😂Duh,, jotiiiiiii,, jamaaa ameshughulikiwa vilivyo😂😂😂😂
Wow that's awesome continue making us proud 👌
Amen
🤣🤣like za joti from USA 🇺🇲Jmn
Kweli jot mzee wa mikazo,awesome
Hahahaha Jotiii u made m dei so special 😆 anyway keep moving forward
Asante sana!!
Love from Burundi 🇧🇮💓
th-cam.com/video/kHdsr5Baci8/w-d-xo.html
Joti leo umetumia uonevu wa hali ya juu🤣🤣🤣🤣
Hahahahahah Mtupage muendelezo Sasa Iyo Funguo Ililudije😂😂😂😂😂😂😂
Joti noma sana. Very talented 👏🏾👏🏾
Joti the best ever 🤣🤣🤣🤣🙌
Kwakweli nizuli sana
Napenda jot akiwa babu😂😂😂
Khaaaaa eti nmekuona unatoa shingo,umeinyoosha Kama ngamia khaaaaa😂😂😂😂😂😂
😄😄😄 daah!! Mnamnyanyasa kanyinyi Wa watu..
Joti una namna yako tu..ishi sana😂😂😂
Daaaaa hii.kali sana 😀😀😀😀😀
Mi napenda joti anavoigiza mzee kama ivi mi naamini ipo siku atazeeka awe kama ivi ivi na muigizaji
Nice job
Jot jot jot. Nimecheka Sanaa tz tunajivunia ww
Siko serekalini jot we nomaaaaa hii kipaji sio wale wanaojilazisha
Hahahahah... Joti msenge hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Best part......
Joti:Mlewa hiyo umekata?
Mlewa:ee
Joti: funua
😂😂😂 walikuwa wanaoneshana CV na yeye akaleta CV yake inakata na kufunua🤣🤣🤣
😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣
Yaani😀😀
😃😃😃😃eti una toa ulimi kama kenge
Jotiiiiiii always firee.... from 250
Nakubar sana mwanangu joti na vijana wako,daah🤣🤣🤣
Ety unavyo nyoosha shingo kama ngamia🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Joti wewe 🔥🔥Wapenda biyachara karibuni na ongeleya gisi una weza anza kazi na mutaji mu dogo China 🇨🇳🇨🇩🇹🇿🇧🇮🇰🇪karibu nyinyi wote muji andikishe 🙏🏾🙏🏾
video iyi apa 👉🏽th-cam.com/video/kHdsr5Baci8/w-d-xo.html
Kiswahili cha wapi hichi😂
@@naturelle1097 weye nambiye 🤣🤣🤣
Mlewaaaa kata
Nifunue kataaa😁😁😁😂😂
Hahahah wa pumbavuu Wakubwa tunaangaika hapa mwaka wa 3😂😂😂😂👊ila jot atariii
😂😂😂 congratulation on ur funny,I won't stop watch ur video in anymeans
Jamani mke wa joti ana raha sana kwa kucheka😀😀😀
Jamani nimecheka mpka nime jikojolea jaman kanzu yanguuu😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂joti msenge sana wwwwwww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mlewa nimemuelewa snaaa😆😆😆😆😆anafwata magizo
Hhhhhhhhhhhh asante broo
Dah joti nini lakini www jamaa dah unajua kuchekesha😂🙌🙌
Noma sanaa
Eti shingo ndefu kama ngamia ...😅😅😅🤓
Real president of comedy east respect
Joti:mlewa
Mlewa: eeh
Joti:iyo umekata?
Mlewa:ndio
Joti:funua
MIMI HUKU SINA MBAVUUU
Next week tupe party two ya hii kaka ! Nomaa sanaa hii
Joti joti 😂😂😂we need more 4rom u
huy jamaaa hasaa kituko hhhh
😂😂😂 you make me funny
Aaah unatoa toa shingo kama ngamia,aaah kumbe ni fundi eee
We jamaa unajua sana 🤣🤣🤣
Mbona kipigo kiko personal 😂😂😂😂😂
🤣🤣Eti mtoto ww Fundi hadi nakuogopa 😆😆
joti namba Moja comedian
🤣🤣🤣🤣jamani joti eti unawashwa eeh 🤣🤣🤣
JOTI: FUNUAAAAA ....... 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Alikuwa ananipa Cv zake Niko wizara ya mambo ya ndani😂😂🤣🤣😅
Kata, funua!! 😅😅😅
Mimi wa kwanza
kaz kaz🔥
Jot wew mbaya sana nimecheka mpaka machozi yamenitoka nakufatilia nikiwa South Africa
Kuna mwanaume anateseka kwenye ndoa sababu tu alipenda tako!.
Hao wanaume ni wengi kweli
Mtoto wa dada 😅🔥
🤣🤣🤣
Babu umetamani nini sio kwa ukali huo Jot🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joti is multipurpose hahahahahhaha ety unatoa shingo Kama ngamia😁😂😂😂😂
🤣 🤣 Upo serekalini sio sawa mlewaaaaaaa😂😂😂kata funua😂😂
"Unaniamkia mara ya pili unawashwa!!!" 😅😅😅🙌🙌🙌
Hahahahahah Hiyo Safi kwanza ni dharau, yaani anaiba Hadi anajihalalisha., Kama Mimi ningemsachi 😂😂😂
Joti tafadhali Sana warudishe Sopa, kipande na Mama dame
😂😂😂😂😂kataaa......funua.... You guys are too funny 🙌🙌🙌
Kazi nzuri kaka
Mlewa! Umekata! Funua🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joti: hiyo Umekataeee?
Mlewa: ndiyo
Joti: Funua
😂😂😂 Mzee muhuni xana
Joti ata Shetani uwa unamchekesha 😀😀😀😀😂🤣😅
Mkate daaaaaaaaaa
Mfunuwe paaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣 dah eti mlela kata , funua
Eti hyo umekata sasa funua joti🤣🤣🤣
Let’s go utamu umenoga💪💪
Ninyi ni moto 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂
Haaaaaa ni atari joti
Hahaha ety hiyo umekataa funuaa 😅😅😅😅
mlewa ee hiyo umekata ndio funua 😆😆
Kimenuka😂
Kumbe mtoto we fundi eeh unatoa shingo kama ngamia😄😄😄
Joti big up saana USA we hear you bro much Love
KATA FUNUA🤣🤣🤣🤣🤣
Joti nimecheka sanaaaaaaa Yani wewe uishi miaka 100000000000