Daaaaah,hivi watu wengine Mbona mnatafta madhambi kwa nguvu?!!Ebu kuweni na inswaf,mtakufa vibaya kwa hizo tabia na mambo ya hovyo...Kama mkeo kakushinda kumtawala msmamo huna,unaulizia msmamo kwa mtu aliyekuzidi sabini elfu Marat?Mwenzio hadi mkeo anamkubali,umebaki wewe tuuu😄😄😄hiyo inaonyesha ni jinsi Gani hufai kwa nafsi yako na kwa wengine pia hufai.Acheni husda,mtakufa Nazo hizo
Sijaona historia yyte ya kusoma hapa zaid tu alipokuw ana miaka 10 mwaka 83. Kisha akakaririshwa Nyimbo za kuimba Na Ametuimbia hapa. Duh!sas historia ipo wap ya Kusoma kwake.
@user-qe8xp6ii1u ww zako za ukweli ni zipi huyo si kassim mafuta wakutaka sifa ki historia ametuilimisha ww wataka kusema visa vya mtume s a w na maswahaba ni za urongo wacha chuki na uhasidi ww wahabi toa ww visa zako za ukweli siku yakiyama utajikuta mwenye hasara mungu akuongoze ww na sisi heshimu mashekhe utajuta na hao mashekhe zenu wanao wabandikiza chuki
@@أبوفيصل-د3شHAWAWEZI KUKUELEWA HAWA AKHY ISIPOKUWA MTU ALIYEKAA CHINI AKAISOMA DINI YAKE NA AKAIFAHAMU KAMA WALIVYOIFAHAMU MTUME WETU NA SWAHABA ZAKE. MWENYEZI MUNGU ATUTHIBITISHE SISI NA WAO KATIKA ELIMU SAHIHI YA "AMESEMA ALLAH NA AMESEMA MTUME, WAMESEMA MASWAHABA" NA HAPO NDIPO PALIPO NA ELIMU LAKINI WENGI KATIKA WATU HAWAFAHAMU HILO NA NDIYO MAANA UTAKUTA WANASIFIA HATA WENYE KUFUNZA VISA AMBAVYO HAVIJATHUBUTU.
Hahahaha vituko hivi,sasa Tarikh ya kusoma kwake iko wapi hapa?Yaani aliacha raudhwa Markaz Nur ama n vp?...jamani musiandike vichwa ili kuvutiya watu waview,mcheni Allwah.
@@mafiatv5479kaka huo ndo uisilamu kweli ? kama hulidhiki na hayo omba dalili ila sio matusi jamani tujifunze kuwaheshimu masheikh wetu hata kma wamekosea tuwakosoe kiheshima IshaAllah
Masha Allah sheikh wetu,nakupenda sana...Allah Akupe kheri......
Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri shekhe wetu Mola akupe elimu nyingi Zaid umri na afya ilituendeleekunufaika inshaallah.
Masha Allah mashekhe WETU ALLAH awlipe kheri inshallah
Mashaallah mashaallah mungu akupe kheri akupe umri twawili
Mashaallah mazazi ya mtumi swalla Allahu alayhi wasallam yapingwa ajabu na wanaojiita waislamu lakushangaza sana Jambo hilo
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher inshallah,, Nakupenda kwaajili ya Allah shekhe Othman Maalim 🙏
Allah awadumishe umoja wenu na elimu zenu zizidi kutunufaisha .
Wallaah shekh Othman nishekh wakuigwa
Allah akupe umr .kher na maghufira ukiigizo chema huhangaiki na ria Bali kuzindua
Wazungu kuaminika maka ni history inaetafsiri mapinduzi ya uislam kutolewa hijazi na kuingia tahidi tatu
Jazakallah khayran
JazakaLlahu kher
Mashallwha shekhe
Mashallah mashallah 🙏
Masha Allah
Maaashaalah
Mashallah kuna mazingatio makubwa hapa ila kwa watu wenye akili.
Mashaaallah ❤️❤️❤️
رضي الله عن اساتذتنا وشيوخنا
Mashaallah,,,,
Mashaallah
Mnajua masheikh kuna wakati mnajichanganya saana sasa sheikh othman wewe mbona haunaga msimano yaani wewe multipurpose mungu atuongoe jamaa do!!!
Hivo kuwa yeye hana msimamo .....hiyo level hiyo nadhan utakufa huifiki
Daaaaah,hivi watu wengine Mbona mnatafta madhambi kwa nguvu?!!Ebu kuweni na inswaf,mtakufa vibaya kwa hizo tabia na mambo ya hovyo...Kama mkeo kakushinda kumtawala msmamo huna,unaulizia msmamo kwa mtu aliyekuzidi sabini elfu Marat?Mwenzio hadi mkeo anamkubali,umebaki wewe tuuu😄😄😄hiyo inaonyesha ni jinsi Gani hufai kwa nafsi yako na kwa wengine pia hufai.Acheni husda,mtakufa Nazo hizo
Msimamo UPI?
Amiiiiiiin
Sijaona historia yyte ya kusoma hapa zaid tu alipokuw ana miaka 10 mwaka 83. Kisha akakaririshwa Nyimbo za kuimba Na Ametuimbia hapa.
Duh!sas historia ipo wap ya Kusoma kwake.
Ww ni hasidi mungu atakushinda ila ww usijifananishe na sheikh othman malim amelimisha wengi
@@saba-gv3mj ametuelimisha kwa Visa vya urongo.Hyo sio Elimu.
Haya niletee Darsa zake japo kitabu Bulughul maraam.mlango wa Twahara!????
@user-qe8xp6ii1u ww zako za ukweli ni zipi huyo si kassim mafuta wakutaka sifa ki historia ametuilimisha ww wataka kusema visa vya mtume s a w na maswahaba ni za urongo wacha chuki na uhasidi ww wahabi toa ww visa zako za ukweli siku yakiyama utajikuta mwenye hasara mungu akuongoze ww na sisi heshimu mashekhe utajuta na hao mashekhe zenu wanao wabandikiza chuki
@@أبوفيصل-د3شHAWAWEZI KUKUELEWA HAWA AKHY ISIPOKUWA MTU ALIYEKAA CHINI AKAISOMA DINI YAKE NA AKAIFAHAMU KAMA WALIVYOIFAHAMU MTUME WETU NA SWAHABA ZAKE.
MWENYEZI MUNGU ATUTHIBITISHE SISI NA WAO KATIKA ELIMU SAHIHI YA "AMESEMA ALLAH NA AMESEMA MTUME, WAMESEMA MASWAHABA" NA HAPO NDIPO PALIPO NA ELIMU LAKINI WENGI KATIKA WATU HAWAFAHAMU HILO NA NDIYO MAANA UTAKUTA WANASIFIA HATA WENYE KUFUNZA VISA AMBAVYO HAVIJATHUBUTU.
@@أبوفيصل-د3ش wew nikenge kwasababu hujui unachokisema unafuata mukumbo andika mawaidha ya Othman maalim utayapata yote
Hahahaha vituko hivi,sasa Tarikh ya kusoma kwake iko wapi hapa?Yaani aliacha raudhwa Markaz Nur ama n vp?...jamani musiandike vichwa ili kuvutiya watu waview,mcheni Allwah.
Maulid hayana shaka
Kwamba ni haramu
Vyenginevyo
Tupe dalili
Hatutaki maneno
Acha usenge mbwa wewe, haramu babako na mamako walokuzaa
Jaman achen matus huku
Leta Dalili toka kwenye Quran na Sunna
@imsimbe hana dalili aitoe wapi? kubwa ataleta kullu bidaatun dhwalala, na hy hadithi yenyewe hawajaielewa vzr
@@mafiatv5479kaka huo ndo uisilamu kweli ? kama hulidhiki na hayo omba dalili ila sio matusi jamani tujifunze kuwaheshimu masheikh wetu hata kma wamekosea tuwakosoe kiheshima IshaAllah
MaashaAllah
ماشاء الله