KISA CHA SAID BIN MUSAYYIB //SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 80

  • @azizaidd6082
    @azizaidd6082 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shekhe osman

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa allah Sheikh Othman Maalim kisa kizuri sana chenye mafunzo

  • @rahoumkhatry3758
    @rahoumkhatry3758 2 หลายเดือนก่อน

    ماشاء الله ❤

  • @SwaleheTeacher
    @SwaleheTeacher 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe kila kheri

  • @feisalomarakayesu
    @feisalomarakayesu หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah tabark

  • @ShekheMsela
    @ShekheMsela 4 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kwa ukumbusho shekhe

  • @mussaathumani9814
    @mussaathumani9814 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe kisa kizuri sana
    Nanifunzo kubwa sana lakini inakua vip asaiv ukitaka kuowa mapesa kibao kama black people kuoa mwarabu ndio kipengere kabisa shida nini ikiwa dini yetu inaitaji uhadirifu

  • @AlikanAbdull-oh7nr
    @AlikanAbdull-oh7nr ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว

    Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤

  • @Mejusmapishini8573
    @Mejusmapishini8573 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah Sheikh🙏

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabaraqah

  • @mohamedabdallah3253
    @mohamedabdallah3253 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @indamajid865
    @indamajid865 ปีที่แล้ว

    Mashaallah duktur

  • @hamso254
    @hamso254 ปีที่แล้ว

    Jazzakah Allah kheir sheikh,kisa chenye mafundzo mazuri.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @Tabia-r1o
    @Tabia-r1o ปีที่แล้ว

    Alhamdullilah kisa kizuri mno

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 10 หลายเดือนก่อน +1

    Afu anatokea mtu anamtukana shkhe wetu aisee nimewamind mawahabi sina upendo nao ata chembe

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx ปีที่แล้ว

    msikate Kate vipamde banana tupate fanyd❤❤

    • @arkasonlinetv2370
      @arkasonlinetv2370  ปีที่แล้ว

      Hiki KISA kimeishia hapo huko mbele ni story nyengine
      Ahsante

  • @abdirahman7321
    @abdirahman7321 ปีที่แล้ว

    Nimekipenda kisa adhwim

  • @coyancodavao4004
    @coyancodavao4004 ปีที่แล้ว +1

    Kisa kizuri

  • @azizaidd6082
    @azizaidd6082 ปีที่แล้ว

    Kisa kizer san

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx ปีที่แล้ว

    mbona mnakata kata vikande sana

    • @HarunaShabani-hy8mx
      @HarunaShabani-hy8mx ปีที่แล้ว

      inshalla ss tupo bara ila shekhe odhuman maalim tunamuwelewa mno tunataman Visa vichukuwe saa2 hv tunufaike

  • @nadiaharoon9648
    @nadiaharoon9648 ปีที่แล้ว

    Kisa kizuri lakini hamujaanza Wala hamumalizi?

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش ปีที่แล้ว

    Mwandish Umeandik Sayyid Lakin Anaitwa Said bin Musayyib Ni Bwana Mkubwa wa Taabiina.
    Ila Huyu Ochumani Ni mtu wa visa Tu Na Mengne ya Urongo.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +4

      Hata mwenyezi mungu amemtolea hadithi mtume wake wa mambo yalopita kabla yake katika ushukaji wa Qur'an angeyajuwaje yalopita na alisoma ya mitume ilopita kwa hizo hadithi vipi shek Othman awe ajabu kutupatia hizo hadithi wacha chuki za kijinga

    • @arkasonlinetv2370
      @arkasonlinetv2370  ปีที่แล้ว

      Shukran

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 ปีที่แล้ว

      Acha Husda vya urongo visema tuvione

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش ปีที่แล้ว

      @@sabihaibrahim143 Hujaelewa Kuna Zama Ambazo Walizuka Watu wa BIDAA Ktk DINI, Kwa kuwasimulia Visa vingi Ambavyo Wanaongea Tuu Bila Kuwa Na Vtabu Ambavyo Vinathibitisha Hayo Yaliyosemwa Kwa Sanadi Safi.Watu Hao Ni Waongo ktk DINI wana Ngano Nyingi sana.Watu Hao Zama Walipozuka Waliitwa kwa jina la QASWAASUUNA.
      Hukmu yao Ni Kuwa Hawafai kusikilizwa kwa Mujibu Wa Ijmaai ya Wanachuoni wote.
      Na Watu Hao QASWASUUNA kama Ochumani Malengo yao ni kuwaburudisha Watu kwa Kuwachekesha,Kuamsha Hisia zao za Huzuni na Ama Kutoa Stress.Kama vle Mtu Anayeenda Banda za Sinema Kuangalia FILAMU.
      sasa Hayo yanayosimuliwa Hayawez kuwanufaisha UMMA Kielimu.kwan watu wake Hawawez Kukhofishwa na Shirki wala Bidaa Ktk Dini yao na wakaambiwa na kusisitizwa wafuate Tawhidi na Sunna.Wala hawawez Kusemwa Kwa yale Wanayoyafanya Ktk Bidaa mfano Bidaa za Mawlid,Khitma,Kunyoa Ndevu O,Kuvaa Isbali kwa wanaume. na n.k
      Na kuhusu Vile Visa Vya Mitume waliotangulia ambavyo Vimetajwa ndan ya Quraan
      1:kwanza Vile visa Vimethibit kweli bali Hata mtume Ameelezea Hali halisi ktk Hadithi zilizothibiti.
      2:Pili Visa vile sio Lengo mtu Aburudike Bali Ni YaPatkane Mazngatio Kwa mweny Kusikia ili na yeye Ajiepushe Au ajibidiishe ktk Amali.Na vile Visa Vilikuja Kwa Lengo La Kuuthibitisha Utume wa Mohammad kuwa ni Mtume kwel Anayepokea wahyi.
      Lakin lengo kubwa Ni Watu waijue Tawhidi.Sas Unapomtaja Mtu kama Saiid Bin Musayyib Hakuwa Mtu Wa Mawlid,Wala Khitma,Wala Sufi,Alikuwa Msomi Mkubwa Ambaye Alikuwa Akifundsha Sunna na kukataz Bidaa.
      Kwa nn. Asingesimulia Kisa Ambacho Kimethibit Kutoka kwake kwa sanad Ktk kitab. cha Al Imaam Albayhaqiyy kuwa Alimkataza Mtu Asiswali Sunna Nyingne Baada ya Alfajir!Kuwa Huyo Bwana Akatoa hujja kuwa"Hiv Allah ataniadhibu mim kwa Kuswali!? Akajibiwa"Hapana Lakin Atakuadhib kwa sabab ya Kuacha Sunna ukaenda kinyume Na Sunna.
      Na ukimuona Mtu Mpenda visa Basi Huwapenda Masheikh wasimulia Visa kama Ochumani.Kiukwel huyu Mtu Ni Muongo balaa Na anawatukana Manabii na Mataabiina.Kama ambavyo apo alipomtia sifa ya Ukhawaarij Huyo Said bin Musayyib kwa Anaitwa na Mtawala kisha Agome.Hilo hawez Kufany kwa ni Ktk Bidaa.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش ปีที่แล้ว

      @@idrissamohamed1100 Sikiliza Hapa uongo wake
      th-cam.com/video/aQMKOIIkojQ/w-d-xo.html

  • @bauchatv-yd4ug
    @bauchatv-yd4ug ปีที่แล้ว

    Mashallah