#Laylatulhelwa2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @hijasumai6553
    @hijasumai6553 5 ปีที่แล้ว +1

    Doooh mwamba hii ajem iliniliza kwa kwel maashallah kila la kheir shariif koba

  • @aminaomar6275
    @aminaomar6275 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo angeimba Mohammad Muhiya sijui balaa lake ingekuwaje....🤔 الله الله الله!!!

  • @mwajabually2773
    @mwajabually2773 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah
    Wallah
    Ucku huu tuliburudika sana
    Ila nawashauri msiweke utangulizi mwingi mpk watazamaji tukachoka kama hii ya safari hii
    Kama kaswida ya Maryam ya wazazi ilikuwa nzuri sana ila aliimba wakati watu wamechoka sana
    Huo ndo ushauri wangu mwalim wangu Koba

    • @mrumbihassan6697
      @mrumbihassan6697 5 ปีที่แล้ว

      wallah usiku huu ungesimama usiku nakumuomba allah

  • @shekhekanduru4538
    @shekhekanduru4538 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallwah

  • @abdallahsera4532
    @abdallahsera4532 5 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillahi wainnaa ilayhi rajiuun.
    Hili ni janga kubwaa Allah atuhidi.

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mpezi wa qaswida ila qaswida za hivi hapana kwakweli ni janga

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว

    Assalamu ghalaykum. Mimi ni mpezi sana sana wa qaswida ila qaswida za hivi hapana kwakweli. wakati mwingine mawahabi wanakuwa sahihi khalafu tuna watukana bure

  • @reyctv6966
    @reyctv6966 5 ปีที่แล้ว +2

    Bingwa Koba wewe si wa hapa

  • @abdulamad4052
    @abdulamad4052 5 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @iddimazugo4332
    @iddimazugo4332 5 ปีที่แล้ว

    😭😭😭Ajamun jayyid👏👏

  • @ibrahimsjuma9227
    @ibrahimsjuma9227 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah koba

  • @saidmohamed7276
    @saidmohamed7276 5 ปีที่แล้ว

    الله الله یاااااااسلام

    • @abubakaromary2255
      @abubakaromary2255 5 ปีที่แล้ว

      Hawatokua radhi mayahud na manaswara mpaka mfuate mila zao innalillah wainnailayih raajiuun

  • @mrumbihassan6697
    @mrumbihassan6697 5 ปีที่แล้ว

    wallah mnaangalia maslah yenu sasa mm hapa najifunza nn sijasikia dawa hata moja iv nyie mlio imba hapa mngejitolea mkafundishe kuna sehemu dini hawaijui mmekaa 2 kupiga vinanda et ndo dini hiyo ni dini ya baba yenu.m2me hakukaa na masalaf wakaanza kiumba ila walikaa na kujiulza 2naifikishaje dini ya haki siku ya malipo mtaulizw

  • @abdallahsera4532
    @abdallahsera4532 5 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni sawa na mziki.

    • @abdulmunira8430
      @abdulmunira8430 4 ปีที่แล้ว +1

      Nawe ulikuwa unasikiliza mziki?

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mpezi wa qaswida ila qaswida za hivi hapana kwakweli huu ni mziki

  • @ibrahimsjuma9227
    @ibrahimsjuma9227 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah suleyman munt

  • @almashally8808
    @almashally8808 5 ปีที่แล้ว

    Yaa salaaaaam yaaaah salaaaaam Masha Allah alikua wapi muhiyyah

  • @suleomary5217
    @suleomary5217 5 ปีที่แล้ว +1

    Doooooh fundi mwili unaccmka

  • @nahedstationery3851
    @nahedstationery3851 5 ปีที่แล้ว +3

    Mnaleta mambo ya kishwaitani kwenye dini. Nani kasema kama huu ndio uislamu? Hizi sio kasida ni nyimbo tu kama nyimbo nyegine. Tumuogope Mungu jamani tuacheni upumbavu

    • @giovannithebarber4333
      @giovannithebarber4333 5 ปีที่แล้ว

      Utakuja kufa vibaya wewe ndugu yngu huwezi kuzuia sifa za mtume au kuto tajwa

    • @nahedstationery3851
      @nahedstationery3851 5 ปีที่แล้ว +1

      @@giovannithebarber4333 Tatizo sio kumtaja Mtume ni hiyo miziki yenu. Hivi kuna tofauti gani kati ya taarabu/bongo flavor na hizo zenu? Na je kwenye taarab wakimtaja mtume ndio zinakua kasida. Wacheni ujinga kupenda mambo ya haramu.

    • @giovannithebarber4333
      @giovannithebarber4333 5 ปีที่แล้ว +1

      Rudi ukasome tuu nakushauri hivo kama ndugu yangu

    • @nahedstationery3851
      @nahedstationery3851 5 ปีที่แล้ว +1

      @@giovannithebarber4333 Siwezi kwenda kusoma huu ujinga. Tumuogope Allah jamani

    • @mussasuley5657
      @mussasuley5657 5 ปีที่แล้ว

      @@nahedstationery3851 ujinga ni pale mtu anaposifia anacho kipenda alafu wewe unamkosoa

  • @allymisilo9043
    @allymisilo9043 5 ปีที่แล้ว

    Haitoishia hapo watakuja wachezaji punde tu

  • @binbarwan7401
    @binbarwan7401 5 ปีที่แล้ว +2

    tumepiga hatua nzur.ila tumefeli kwnye vipaza saut czmaneno hayaskilikan

    • @mrumbihassan6697
      @mrumbihassan6697 5 ปีที่แล้ว

      mmepga ha2a ya kuelekea motoni au

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 5 ปีที่แล้ว

      @@mrumbihassan6697 km anaetia watu motoni ni babu yako bc ndio

    • @mrumbihassan6697
      @mrumbihassan6697 5 ปีที่แล้ว

      @@binbarwan7401 anaezusha bidaa ni m2 wa wap?

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 5 ปีที่แล้ว

      @@mrumbihassan6697 bidaa ni nn kwn

    • @mrumbihassan6697
      @mrumbihassan6697 5 ปีที่แล้ว

      @@binbarwan7401 ومن عمل عملن ليس علية ءمرنا رد
      waman ghamila ghamalan laisa ghalayha amrunaaaa rad.hiyo ndio maana ya bid'aaa

  • @sheikhsaid4108
    @sheikhsaid4108 4 ปีที่แล้ว

    Assante

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 5 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢😢😢😧😧😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hii Naghma😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @saidikiwanja5247
      @saidikiwanja5247 5 ปีที่แล้ว

      Ajmi Lee mashallah sheikh wetu Allah akujaalie mwisho mwema b.y.samurai

    • @iddimazugo4332
      @iddimazugo4332 5 ปีที่แล้ว

      Ajamy ina utamu wake