Nasaha Crew (Moyo) Sharif Koba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2021
  • Subscribe to Nasaha Crew TH-cam Channel / @nasahacrew2497
    Singer: Sharif Koba
    Composition (Lahn): Sharif Koba
    Music Arrangement: Sharif Koba
    Lyrics: Sharif Koba
    "MOYO"
    Moyo unanikondesha,
    Sababu ya Mustwafa,
    Mimi silali nakesha
    Kwa kumtamani shifa.
    Moyo tulizana,
    Hakika Tutamuona.
    Ili nije wewe lala,
    Nakuja fil Manami,
    Shetani hana mithala,
    Ukiniona ni mimi.
    Moyo tulizana,
    Hakika tushamuona.
    @Nasaha Crew

ความคิดเห็น • 55