MUONEKANO wa DARAJA la JIPYA la SALENDA (TANZANITE), SIKU YA KWANZA BAADA YA KUFUNGULIWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- MUONEKANO wa DARAJA la JIPYA la SALENDA (TANZANITE), SIKU YA KWANZA BAADA YA KUFUNGULIWA
Daraja la Salender au TANZANITE, limefunguliwa rasmi siku ya leo 1 Feb 2022, na kuanza kutumika. Global Tv imefika hadi kwenye daraja hilo na kujionea hali ilivyo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Kiswahili yangu sio mzuri sana lakini Hongera Tz, upendo kutoka kwa jirani yako Uganda🇺🇬❤🇹🇿
Good job Tz, long life to Mama Suluhu. Love from Kisumu Kenya🇰🇪
Nakumbuka kulkua na folen njia iyo ad keroo sema Alhmdulillah Mungu kamjalia mzee wetu Magu kua na mawazo ya vtu vizuri vingi na wngne wanamalizia In shaa Allah Tanzania ipendeze zaid 😍💞💕
R.I.P. JPM. Ulikuwa na maono mazuri kwa Tanzania. Pia R.I.P.Mfugale kwa kusanifu daraja hili.
Mpaka machozi yamenitoka angekuwepo mwenyewe alotamani kuiona sijui angefurahi vipi😭
Heshima kwa marehemu Dr Magufuli hongera Tanzania
Mungu ibariki Tanzania.yetyuuu
R.I P. JPM asingekuwa yeye akuna Rais angesubutu kufanya haya mambo ngoja miradi yote aliyoanzisha JPM iishe. alafu tuone kama itaanzishwa mingine Like zenu kwa Jembe MAGUFLI
@Shabani Korongk Huo mradi ni wa JK!
@@hazaaahmadhazaa2770 miradi mingi haikua ya magufuli ila ilikua haiendelei sababu watu walikua wanakula zaidi ya urefu wa kamba. miradi ilikua haifanyiki japo ilipangwa. tokea kipindi cha nyerere. ila kuna awamu ambayo ilikua 50 50 walau alifanikisha haya mambo. ila ali supress sana upinzani kiasi kwamba uchafu wote ulikua haufunuliwi.. tukae kwa kutulia tu. na tushukuru tunachokipata.
@@hazaaahmadhazaa2770 umesema kweli japo wengi hawajui maana wameyasikia tu hawajui mwanzo wake
Naona mnabadili misemo taratibu Mara hataimaliza oooh Mara tuoneakimaliza kama ataazisha Yake subirini Na tuombeane uzima maana miradi iliachwa ikiwa haina hela Na Sasa inasubiri serikali kukabidhiwa kwahiyo kama ameweza hayo hashindwi kuanzisha miradi yoyote cha msingi uzima tuombeane
Asingekuwa yeye?
La Rufiji Mkapa
La kigamboni Kikwete
Mbona mnajitia kusahau kwa makusudi?
Na SAMIA anakuja na la JANGWANI kaeni mkao wa kula.
Heshima kwa mungu na kwa king doctor JPM ulikuwa mkombozi wa kweli
RIP magufali mungu akupe pumziko la milele .hakika uliitakia mema Tanzania
Viva Mfugale Viva upumzike Kwa amani Engineer
Salenda daraja la kutisha 🙌🙌
Congratulations Tanzanians,,,, Hiyo maendelo sio sifa ya mtu moja ,,,,, we can’t thank a president for a road jamani let’s change mindsets people are temporary!!!! Development is not a favor from a head of state it’s progress
Hatukuwahi kuyaona haya kabla lazima tumpongeze the frist figure...tushow us is possible..kwetu is like a favour maan kunawalotuzulumu nahatuna chakuwafanya wacha watanzania wamuombee uyo mzee dua njema😪
😭😭😭😭pumzika kwa amani uncle Magu
Kazi ya jpm rip. Hapa kazi
Kazi inaendelea...
Salute zote kwa Magufuli wanao hongera xana mzee wangu
Viva Magufuli Viva upumzike Kwa amani baba Daima tutakukumbuka Kwa mengi uliyotuachia
Ajenge la kwake kama anauwezo kazi nikuapisha tu kila wakati
Acha wivu wakijinga
Acha wivu wakijinga
Si mlisema atashindwa hii miradi Sasa wivu wanini
Ajenge la kwake, unamtetea nini ili hali tozo za madarasa hazifanyi kazi watoto Morogoro tumewaona shule zao zi hoi
@@tanzaniakwanza1699 KWANI MAGUFULI LAKE??? NI PESA ZA MKOPO FALA WEWE DARAJA NI LA SERIKALI SIO LA MAGIFULI PIMBI WEWE.
Jembe jpm forever
Natamani jina la hii daraja liwe jina la yule mwamba aitwaye Magufuli, yaani daraja la Magufuli. Isingekuwa Magufuli, hii daraja na reli ya kisasa na bwawa la Yerere na vingine vikubwa visingekuwepo.
Jina Tanzanite linatosha... Rip JPM...
Jpm for life
R.I.P Magufuli
Tunamuombea mama Samia maisha marefu kuijenga nchi ya Tanzania anauwezo mkubwa San mama Samia
KWELI BRO 🤝🤝🤝
Anzishe miradi take kwanza ndo tujue anaweza kwasasa hiii ni ya magufuli wafikiri mchezo ajaribu
Kuna watu wameumia sana hii miradi kuendelea walitamani mama ashindwe wapate cha kuongea Sasa wamekwama wamebaki kusifia asiyepo basi poleni maana mama anaupiga mwingi tena kisomi
Maa Shaa Allah
Mipango ya watu ya magufuri aliliacha likiwa lina asilimi80 msifuni mtu hata hayupo?
MAGU HAYUPO.
@@salimmalaka256 Tutasifu kaburi lake...
Nenda Jpm nenda. Mtangazaji acha kujipendekeza. Kaitafute miradi Ssh aliyoianzisha tuletee hapa.
FALA WEWE HUNA UJUWALO
Hongera Mama wa Taifa kwa kutimiza ahadi yako. Ulisema 'hakuna kitakachoharibika'... Na kwa kweli, hakuna kilichoharibika... Miradi inaendelea, na mingine imekamilika... Wananchi wako tunakushukuru kwa kazi nzuri unazozifanya... Nani kama Mama!
@@j.c.maxima816 WELL SPOKESMAN .... Maana wengine siasa tu wameweka mbele na chuki....
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenya bado Twasija
Hii nchi ingekuwa km ulaya kama wasingemuua magufuli maana watanzania wangemtaka aendelee yy kuwa rais
Kifo kipo... Tumetoka mavumbini, na mavumbini tutarudi... Mapenzi ya Mungu yatimizwe...
Kazi iendelee, Mungu akupe umri mrefu Mama Samia
Je, ujrzi wa daraja jipya la mto wami linafika wapi?
Lala salama jpm utakumbukwa daima
R.I.P JPM,R.I.P mfugale.
Ww mtangazaji hiyoo ni juhudii za Magufulii acha kusifiaa uhongo Magu ndio kila kituuuuu
JPM hakika tunakukumbuka kwa maono.
Hakika jpm wachache wakumsahau
Kwa mm tanzania ya jpm had now
Acha ujinga wewe hiyo ni kazi ya Magufuli acha kutufanya tuchukie watu
Kazi gani magufuli Ali jenga tu ache ushamba hayo maendelo Sija skia trump ana pata shukrani ku jenga bara bara let’s change our mindsets we can’t be thankful for one person it’s a countries development people are temporary!!!!!
Hongera kwa wote waliohusika
Hicho kichagga ovyo sana kwani daraja lilijengwa na samia acha kujipendekeza sura ka maxi ya asubuhi.....JPM baba lao na hamta kaa kuona vipya tena...
Leo Leo nitafika kujionea maajabu. Vipi picha inaruhusiwa kupiga?
Magufuliii jamani Magufuli
Magufuli aliwaza vitu vya msingi sana
Acha uwongo...vyote vya magufuli ivo...afu awamu ni bado ya tano!...awamu hua miaka kumi!...
R.I.P JPM
Jana jion niltaka niwe wa kwanza kukatiza pale nikaishia njian maana taa za ukitokea Coco beach znakuongoza kule na pale mataa waltoa kizuizi kumbe kwa kule darajan wamefunga😅😅🙌🙌
muandishii changamka utumii bando la baba akoo unatangaza km umekula mrenda
Upumzike kwa amani Magufuli ungeendelea kuishi nchi ingekua km ulaya
Mnavyompamba kwn yeye ndokalijenga
MNAATAKA KULETA ENZI ZA FIRAUNI KUMUABUDU YEYE FIRAUNI BAADA YA MUNGU UJINGA HUWO.
KAMA SI M'MUNGU LISINGEJENGWA MAMA PIGA KAZI WANAOKUFURU WACHA WAKUFURU ( ATI KAMA SI FULANI 🤣🤣🤣🤣 WATU WANAUWANA KAMA MBWA WANAJIULIZA KWA NINI TUNAUWANA HAMNA HESHIMA NA M'MUNGU HAMNA KHOFU NA YEYE.
R.I.P JPM