Magufuli baba pumzika kwa amani pamoja na kwamba hatutakuona tena ila tutaendelea kukupenda mana kazi zako tunaziona tanzania umengharisha na watanzania kutufugua macho bila wewe haya yote yasigekuwepo💔💔💔😭😭😭
Aisee. Nimeipenda sana Camera yenu ni ya kiwango cha juu kwa ubora... Tofauti na baadhi za media fulani... Wao na camera zao wanalichukua daraja utadhani limejengwa miaka kumi iliyopita.. Kuna umuhimu sana wa kuwa na kamera za kisasa.. Yaani daraja ni zuri kupindukia aisee.. Ukiangalia fasta fasta.. Huwezi kuamini kuwa daraja hili lipo Tanzania... Kitu saaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii
Tunaomba watanzania tulitunze hili faraja tusche tabia za hovyo kung'oang'oa vitu kuiba vitu sio sawa ahsante rais magufuli uliacha Alama na mama yetu amemalizia tinashukuru
Sns Jitahidini muongeze vifaa,, content ni taamu ila ingekua tamu zaidi kama tungepeta Top viewer ,, video za juu au muonekano na picha kwa upande huo,
SASA karibu MWAKA MMOJA TANGU UTUTOKE KIMWILI Lakini KIROHO Tunakukumbuka Sana Sana KWA Kazi zako bila kuchelewa wanyonge kuwatetea ata barabarani inakuwa Ofisi unawatatulia matakwa yao. Nimengi Sana umeyafanya.Na Kazi ulizoziachia njiani.Raisi SAMIA SURUHUU anazimalizia zingine kabla ya Mwaka wa kumbukumbu ya kumaliza kwako MWAKA MMOJA.
wazalendo na wadau wa maendereo na wanao ipenda nchi yao wapo wengi sana ila tu wana angushwa na kukaishwa tamaa na baadhi ya viongozi...akbar mpemba.. huyui mzee amekoshwa moyo wake
Daraja zuri lakini lingependeza kama lingekuwa njia 6 au 8 badala ya njia 4 kwa kuwa jiji linaendelea kukua na baada ya muda mfupi foleni itakuwa kwenye hilo daraja
Baba Magu alikua makin sana ...Rest In Paradise Babaa♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Magufuli baba pumzika kwa amani pamoja na kwamba hatutakuona tena ila tutaendelea kukupenda mana kazi zako tunaziona tanzania umengharisha na watanzania kutufugua macho bila wewe haya yote yasigekuwepo💔💔💔😭😭😭
Mutanikumbuka kwa mazuri R.I.P JPM
Jpm puumnzika kwa amani🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿
Safi sana mama samia kwa kuendeleza kazi RIP 🙏 🪦 JPM
MAGUFULI forever ungekuwepo cijui hii nchi ingekuwaje
Acha tu
Ingekuwa paradise
Hongera kwa watz wote 🇹🇿🇹🇿 kodi yetu ndo inafanya mambo hayo na hongera kwa viongozi kwa usimamizi sahihi wa kodi zetu #kaziiendeleee
Safi sana JPM tutakukumbuka kwa mazuri yake
Kazi ya JPM Mungu akupumzishe mahala pema peponi😭
Huyo ndio magu sio selekar ok
AF anatokea mshenz analalamika atakula nn eti serikali isijenge vitu kama hivi imlishe yeye... Asiyefanya kazi na asile
Tutakukumbuka daima kipezi chetu JPM pumzika kwaamani baba
Hautasahaulika jemedali dct John PM.R.I.P lengendary!!
President John pombe Magufuli did great job
Magufuli, the indespensible
RIP MAGUFULI 😢😢😢😢😭😭😭😭
Hapa ndpo tunaumia na kifo cha baba wa dunia mungu umpe kaul thabit ktk ufalum wako
Mshukuruni Magu sana.
R.i.p magufuli kazi yako
VIVA TANZANIA 🇹🇿♥️💚♥️🇹🇿💪♥️💪💎
jp m 🔥🔥🔥🔥🌏
Jpm forever
Kanzi nzuli sana rest and peas jpm ulale salama baba uko uliko
Magufuli alikua ni Jembe alikua ameamua kuifanya Tz iwe pepo ya wamaskini
MAGUFULI tutakukumbuka daimaaaaa, pumzika kwa amani.huku ulipotuacha kumeisha ozaaa na ss hv viongozi wanakula kwa ulefu wa kamba zao
😂😂😂wale kiasi
Iyo Bridge inafanana na Bridge ipo Montreal Quebec Canada jina ni ( Samuel De Champlain)bridge
Hongera Tanganyika
Rip jpm tuna kukumbuka
Bado Zanzibar dar es salaam
Magufulibaba
Magufuli baba pumzika kwa Amani tutakukumbuka sana hakuna kama ww
Hongera sisi wote tujenge nchi yetu
Kazi iendelee mama
Aisee. Nimeipenda sana Camera yenu ni ya kiwango cha juu kwa ubora... Tofauti na baadhi za media fulani... Wao na camera zao wanalichukua daraja utadhani limejengwa miaka kumi iliyopita.. Kuna umuhimu sana wa kuwa na kamera za kisasa..
Yaani daraja ni zuri kupindukia aisee.. Ukiangalia fasta fasta.. Huwezi kuamini kuwa daraja hili lipo Tanzania... Kitu saaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii
yess safi sana..na kazi iendelee💪💪
Mwendo was kuselereka tuu💥💥💥💥💥💥❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌎
Tunaomba watanzania tulitunze hili faraja tusche tabia za hovyo kung'oang'oa vitu kuiba vitu sio sawa ahsante rais magufuli uliacha Alama na mama yetu amemalizia tinashukuru
Daah JPM wetu
Cograt kuko kama london big ben
Jpm lala salama utakumbukwa daima.
Masha Allah
Esco umependeza Kakaangu 😘😘😘japo wanajifanya hawajakuona
Anayeujua huu mziki anijuze pleass unaitwaje
Sns Jitahidini muongeze vifaa,, content ni taamu ila ingekua tamu zaidi kama tungepeta Top viewer ,, video za juu au muonekano na picha kwa upande huo,
Lingependeza kama lingeenda mpaka kigamboni
Kumbe chini kuna maji mie hapo sipiti🤣🤣🤣
Wazir Ramadhani weeee mie hata zifungwi sipiti mara paa Gari iateleza 🤣🤣🤣🤣
Alazwe pema magu
Hio nikaa billion11- ya kenya
SASA karibu MWAKA MMOJA TANGU UTUTOKE KIMWILI Lakini KIROHO Tunakukumbuka Sana Sana KWA Kazi zako bila kuchelewa wanyonge kuwatetea ata barabarani inakuwa Ofisi unawatatulia matakwa yao. Nimengi Sana umeyafanya.Na Kazi ulizoziachia njiani.Raisi SAMIA SURUHUU anazimalizia zingine kabla ya Mwaka wa kumbukumbu ya kumaliza kwako MWAKA MMOJA.
🥰🤟
Kuliza sio ujingaaa
Escow leo umechomekea!!
😂 escrow donard 🙌🏽
Magu na mfugale ndio wamefanikisha hili na wote ni marehemu hivi sasa!
Huyo mzeee anasema anasonga anaenda wap 🤣🤣🤣ndio tushagandia hapo
Ndo anazindua😀😀😀
wazalendo na wadau wa maendereo na wanao ipenda nchi yao wapo wengi sana ila tu wana angushwa na kukaishwa tamaa na baadhi ya viongozi...akbar mpemba.. huyui mzee amekoshwa moyo wake
Jamani mama samiya amefanya kitu gani cha maana?
Yupo kazi yke kuzunguka tu na kukopa na birthday party 😂😂
Vyombo vinavyo pita hapo havilipii?
Ni bure
@@OmaryMkali Masha Allah !
Maguuu.
Hapakukobye muzuri
Daraja zuri lakini lingependeza kama lingekuwa njia 6 au 8 badala ya njia 4 kwa kuwa jiji linaendelea kukua na baada ya muda mfupi foleni itakuwa kwenye hilo daraja
Tunashukuru hats ilo tusingeliona hata njia moja
@@OmaryMkali ni kweli kabisa..tushukuru tu hata kama kidogo mana kama sio jpm hata hiki kidogo tusingekiona
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
lilipaswa kujengwa jangwani au kigamboni ... hapo lilipojengwa ni mis use of resources
How much that money in US dollars ? Swahili it's terrible to us who are not Tanzanians guys... Anyone can help me with the answer guys 😉
$107 million
@@malikkb6444 oh wow that a lot of money
The price includes the 1km bridge and 6kms of connecting dual road
@@malikkb6444 Ok thanks.