UCHAMBUZI WA: YANGA vs VITA LO, AZAM vs APR, COASTAL VS BRAVO, SIMBA ATACHEZA NA NANI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @MohamedHarithi
    @MohamedHarithi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Crown ni super sport iliop nchin yang ni hayo wachambuz wote wazur na ukikuta nin wanachambua unaelewa nin maan ya michezo❤❤❤

  • @mbagochallange3882
    @mbagochallange3882 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mnakosea sana kumsema Juma Ayo. Yeye sio mchambuzi bali ni muongoza kipindi ndio maana humuoni akichambua bali muda wa kuuliza maswali huwa nanatoa maswali mazuri sana na mengi.

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kumuhalibia kaz juma ayo na atakaa sawa atafanya vzr tu bado mchanga tumtie moyo naatakuwa vzr soon

  • @JumaSango-yo8bj
    @JumaSango-yo8bj 3 หลายเดือนก่อน

    Crown 👑 👸 🤴

  • @emmanuelchristopher5463
    @emmanuelchristopher5463 3 หลายเดือนก่อน

    Mnajua sana

  • @samuelmlapwa7858
    @samuelmlapwa7858 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanetu Jemedari yupo wapi?

  • @nyatwalimpya925
    @nyatwalimpya925 3 หลายเดือนก่อน

    hansRafael ni mtu wa mpira,ni moja ya vijana wanaojua kuusemea mpira..asemavyo ndivyo ilivyo

  • @REHEMABAREGUYE
    @REHEMABAREGUYE 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman mm po nkai mkari wa dimba nampenda sana anavotangaz naomba anitumie Bamba yake privet nije nitumie zawad niufurahishe moyo Wang naitw Hussen Niko Kigoma unatangaz had nafrah

  • @peterminyenya6847
    @peterminyenya6847 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman mtoeni uyo sjui juma Ayo sijui nan atajua mwenyew ila hapa mmepigwa hajui kuchambua

  • @rashidkopa
    @rashidkopa 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa ni nyumbani

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 3 หลายเดือนก่อน

    Hata lugha anayotumia si ya kimpira mpira

  • @augustinomrope2617
    @augustinomrope2617 3 หลายเดือนก่อน

    Juma ayo ni muongeaji wa udaku tu

  • @peterminyenya6847
    @peterminyenya6847 3 หลายเดือนก่อน

    Mpeni kipind kingine hiki cha kuchambua mtoeni hajui kuchambua michezo kbsa

    • @PeterMuhina
      @PeterMuhina 3 หลายเดือนก่อน

      Nani ujamsema😂😂😂

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 3 หลายเดือนก่อน

    Juma ayo hajui kitu na hana haiba ya mpira