🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  22 วันที่ผ่านมา +36

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @GgFff-nb2wb
      @GgFff-nb2wb 21 วันที่ผ่านมา +1

      Niunge

    • @NasraSaid-m8r
      @NasraSaid-m8r 21 วันที่ผ่านมา +3

      Niunge

    • @nirfatyabdallah8951
      @nirfatyabdallah8951 21 วันที่ผ่านมา

      Niunge

    • @HafidhHafidh96
      @HafidhHafidh96 21 วันที่ผ่านมา +2

      Tuna ishi tu ila tuna pitia mingi😢😢 poleni sana watazania wezetu😢😢

    • @MAPETEE
      @MAPETEE 21 วันที่ผ่านมา +1

      Ni unge na mm

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 22 วันที่ผ่านมา +95

    Oman hakuna ujirani kila mtu anaishi kivyake hata ukiuliwa hakuna mtu atajua maisha ya uarabuni magumu mungu akuweke mahali pema😢🤲

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 22 วันที่ผ่านมา +4

      Nchi ngumu hii nanzito sana kimaisha yawafanyakanzi

    • @FayzaSultan
      @FayzaSultan 22 วันที่ผ่านมา

      Mm nashangaa snaa bora pasingekua na ubaloz hamna faida hata robo mateso yapo vilevile unyanyasaji upo roho inauma unaona mwenzako anabofanyiwa na kumsaidia huwez daah hakuna uislaam waullah 😢​@@aaminaasljbgbvf745

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wana sema wote ni wamoja

    • @KuruthumBilali
      @KuruthumBilali 22 วันที่ผ่านมา +1

      Innalillah wainna ilàih rajiuna

    • @NEEMAKAMBA
      @NEEMAKAMBA 22 วันที่ผ่านมา

      Naam

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 22 วันที่ผ่านมา +57

    Innalilah wainnailah rajuuni poleni sawa wafiwa tuliobaki mungu atulinde ktk upambanaji tukutane tena na familia zetu

  • @lailati6980
    @lailati6980 22 วันที่ผ่านมา +35

    Allah Msamehe makosa yake mungu tuludishe salama na tupe mwisho mwema 😢😢😢😭😭😭😭😭

  • @PiliRashidi-j2l
    @PiliRashidi-j2l 22 วันที่ผ่านมา +29

    Mungu tulinde yarabi tuweze kurud salama Nchini kwetu salama

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s 22 วันที่ผ่านมา +69

    Allha atupe mwisho mwema atuludishe makwetu Salama nampambanaji mwenzetu mungu ampe kauli thabity

    • @GdFf-ik2eo
      @GdFf-ik2eo 22 วันที่ผ่านมา +3

      Yaa rabb tujaalue mwisho mwema

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 22 วันที่ผ่านมา +1

      Amiiin

    • @samiadominick
      @samiadominick 22 วันที่ผ่านมา +1

      Amiin 🤲

    • @HalimaHalimaomary
      @HalimaHalimaomary 22 วันที่ผ่านมา

      Alaahum Amiiyn 🤲

    • @SikudhaniAdamu
      @SikudhaniAdamu 22 วันที่ผ่านมา +3

      Allah atuludishe Salam nyumbani kwetu amen Inshallah 🤲🤲

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 22 วันที่ผ่านมา +16

    Huko Oman hakufai naona mabinti wengi wanapoteza maisha.Poleni sana familia

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 22 วันที่ผ่านมา

      Nina miaki 9 nipo omn huo Ni mtihan tu kwn yule mfanyakazi wa ndani alipigwa na boss akafa nini

    • @khadijahhussan182
      @khadijahhussan182 22 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@Niget-us1np😢Duuh miaka9 kweli unachokitaka bado ujapata tu miaka yote iyo unafanya kazi tu

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 22 วันที่ผ่านมา

      Miaka 9 yote unafanya nini wewe dada huna watoto Ama kweli kuna watu wana nyota ya ushagala​@@Niget-us1np

    • @NeemaJanga
      @NeemaJanga 21 วันที่ผ่านมา

      Ishakuwa saudi oman tulikuwa tunasikia haya matukio mengi yakitokea saudia

    • @mwanaimaabdallah7825
      @mwanaimaabdallah7825 21 วันที่ผ่านมา

      Naingia mwaka wa 14 sasa ila Allah akishaandika kifo hakina njia kabisaa ya kuzuia

  • @TsunnahJacob
    @TsunnahJacob 21 วันที่ผ่านมา +18

    Poleni sana dada zangu wapambanaji mlioamua kujipambania maisha yenu na familia zenu bila kujali mazingira.Nyie ni mashujaa wa kweli na mnastahili pongezi.Mungu awalinde popote mlipo na hatimaye mpate kurudi nyumbani salama in shaa llah.Pole kwa familia iliyompoteza binti yao,Mungu ampe kauli thabiti

    • @AishaOman-qz7tn
      @AishaOman-qz7tn 21 วันที่ผ่านมา +1

      👏👏

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@AishaOman-qz7tnAmeen🤲🧎

    • @AishaOman-qz7tn
      @AishaOman-qz7tn 21 วันที่ผ่านมา

      @@MonicaMkombwe yani mpaka unaogopa mtu na haya mambo mungu atulinde sie

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 21 วันที่ผ่านมา

      @@AishaOman-qz7tn unajua Oman hapana matukio kabisa kipenzi ila nisisi wenyewe tabia za tz tunaleta uarabuni mwarabu bhna hapendi mazoea na wanaume zao na watoto wawo wakiume asa unakuta mtu unashoboka mpk unapiliza matokeo yake ndiyo haya ila hili watu hawalioni kazi kulaumu waarabu

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl 21 วันที่ผ่านมา

      Shukran tunamuomba Allah atulnde turudi salama tuungane na familia zetu.

  • @TaybaNassoro
    @TaybaNassoro 22 วันที่ผ่านมา +15

    Mungu atusaidie wapambanaji wote tuuliyopo nnchi za nnje ewe allah hatuna njia zaidi yako

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 22 วันที่ผ่านมา +8

    Poleni sana wafiwa ndg jamaa mungu awatie nguvu hakika tumeumia mungu aturinde sote tuliobakia turud makwetu salama

  • @SsSa-r2r
    @SsSa-r2r 22 วันที่ผ่านมา +40

    Imeniuma sana jaman Allah atatoa ufumbuzi wakifo cha mpambanaji mwenzetu Allah tusaidie turudi makwetu salama

    • @MrsDariya-y1j
      @MrsDariya-y1j 22 วันที่ผ่านมา +1

      Ameen

    • @KH-on8pp
      @KH-on8pp 22 วันที่ผ่านมา +2

      Ameandikiwa siku zake mola kamuita tumuombee mola amsamehe dhambi zake na zetu

    • @NEEMAKAMBA
      @NEEMAKAMBA 22 วันที่ผ่านมา

      Aamiin 🤲

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 22 วันที่ผ่านมา +12

    Inasikitisha Sana,yaani serekali bila kusimamia haki zetu, tutaendelea kuumia nakupoteza maisha kila kukicha,turudishe salama nyumbani salama

    • @ElizabethNyabu-q1x
      @ElizabethNyabu-q1x 22 วันที่ผ่านมา

      Hzi nchi Dah n noooma mm nikimalza contract wallah ctorud Yan n mateso2

  • @OmanOman-v2g
    @OmanOman-v2g 22 วันที่ผ่านมา +6

    Safi sana dada zari nakupenda nakusikiliza vizur mungu akupe nguvu

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 22 วันที่ผ่านมา +9

    Pole sana baba aisee inauma sana yallab mpe makaazi mema mwenzetu mpambanaji, hapo Kuna kitu tu sio bure duh inauma sana,

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 22 วันที่ผ่านมา +15

    uyo kaka sele nae nikipele kilichoiva amna mtu apo🙌🙌🙌🙌🙌

    • @tedibakary5895
      @tedibakary5895 22 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli 😢

    • @ZainabLol-wx7xf
      @ZainabLol-wx7xf 22 วันที่ผ่านมา

      Stupid

    • @Mohammed-v3i1u
      @Mohammed-v3i1u 21 วันที่ผ่านมา

      Ni ajent awezi tetea mfanyakazi atapata wapi maboss

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 21 วันที่ผ่านมา +1

      Ila binaadamu mnakazi kweli hivi Kuna mtu anamsaada huku Oman kama seleman ? Ninani mwingine kama siyo sele ? Muulize tuliopata matatizo na sele akasimamia na tukarudi salama tz na tumerejea tena Oman acheni kuongea vitu msivyo kuwa na uhakika navyo

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 20 วันที่ผ่านมา

      @MonicaMkombwe kama umefanyiwa ivyo si wewe unatulazisha kusifia tusichopata?kilamtu anaongelea yaliyomkuta comment yakwako nasiokukosoa yawenzako we vp

  • @faudhiaayubu2463
    @faudhiaayubu2463 22 วันที่ผ่านมา +15

    Allah atufanyie wepes turud nyumban Salama 😢

  • @NadyaShadrack
    @NadyaShadrack 22 วันที่ผ่านมา +20

    Mtangaxaji umeongea point lzma ubalozi uwakilishe.kabisa wanatukosea sana ubalozi wa oman😊

    • @salhaidowa7433
      @salhaidowa7433 22 วันที่ผ่านมา +4

      Ubalozi wanapenda rushwa ndo maana waarabu wanatuuwa

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 22 วันที่ผ่านมา +2

      kwanza ukishachukuliwa namabos wako ukiwa nashida hata hawakujibu ata ukisalimia hawajibu

    • @sygtamks1643
      @sygtamks1643 22 วันที่ผ่านมา

      Sahihi​@@salhaidowa7433

    • @Mohammedyasia
      @Mohammedyasia 22 วันที่ผ่านมา +1

      Yaan ubaloz watakiwa washughulikie apimwe tujue ukwel yaan Mm inaniuma jmn nchi hz ni ngumu sn yatakiwa kuvumilia kbsa kwasababu hawa watu hawana huruma kbsa na wafanyakazi ni unafiq tu yaan tuishi nao kinafqi
      Innalillahi wainna ilaihi rajiuun

    • @salhaidowa7433
      @salhaidowa7433 22 วันที่ผ่านมา +2

      @@aishaibrahim5607 hahahhaha in short sisi na mungu wetu tu huo ubalozi na waarabu lao moja maana naona hata uyo suleymani ana tetea waarabu

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 22 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu akuzidishie umri na afya njema watumishi w global

  • @MaryamM-t5n
    @MaryamM-t5n 21 วันที่ผ่านมา +7

    Kifo cha shujaa mwenzetu kinatatanisha😢😢mungu tusaidie tumalize mikataba yetu salama😭😭😭😭😭kinauma sanaaa mungu tutetee sisi😭😭😭😭

    • @DevotaSamsohn
      @DevotaSamsohn 19 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli 😭 tumepta pigo haki amungu inauma Sana mungu atusaidie jmniiiii 😭😭 uchunguzi ufanyike kwakweli sio haki

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 22 วันที่ผ่านมา +12

    Serikali yao inawapendelea hakuna kitakacho onekana hapo mungu awaumbue kama kuna ubaya walofanya🤲

    • @Fahema1013Alsenaid
      @Fahema1013Alsenaid 22 วันที่ผ่านมา +1

      Allahuma Amiin

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 13 วันที่ผ่านมา

      Amen 😢😢

    • @FatrishaAyoub
      @FatrishaAyoub 12 วันที่ผ่านมา

      Hawa huwa wanapewa hongo huko wanatetea tu😏😏😏

  • @HadijaOman
    @HadijaOman 22 วันที่ผ่านมา +5

    Inauma sana Mungu msamehe mazambi yake Mungu atujalie kheri tuliokuja kupambana aturudishe salama kwetu

  • @Oman-s7f8u
    @Oman-s7f8u 22 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana dugu najamaa kifo kimetugusa ote mungu ailaze roho yake peponi 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 22 วันที่ผ่านมา +9

    Inalillah wainailah rajioun Allah Tupe mwisho mwema turud nyumban salam 😢😢😢ila jaman hawa watu ni mtihan jaman tunawatetea ila ni ngum kumeza 😢😢mwanamvua mwanamvua umetuacha na majozi wapambanaji wezako,2 kuna muhidi alifariki kwa kujinyoga hawakumtoa mpka police wakafika ndio wakamtoa police hawa ni WA mshezi wamemuuwa hapo hamna kitu,sisi tunaishi kwenye nyumba za bait mama ni mtihan maan huwa una maboss wengi sana na kila boss na tabia zao

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 22 วันที่ผ่านมา +25

    Tatizo la Zai kila siku anarudia makosa anapenda kuweka emotions before Kupata uhakika wa habari 💯 alafu tabia mbaya SANA unamkatiza huyo mzee kuongea kisa katoa maoni yake usiyoyakubali( like yr Son)😮 why ulimuita hapo studio? Km haupo tayari kupokea mawazo ya mgeni? Umesha ambiwa subiri habari rasmini why unagomba after kuambiwa zaweza kuwa habari za mitaani yaani like unamsuta mgeni? Are seriously 😮
    Inalilahi Wainailahi Rajeehun Poleni saana wafiwa Allah awape subra

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 22 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 22 วันที่ผ่านมา +6

      zary apendi kukosolewa afu achelewi kukasirika anapenda yeye awe nasaut kuliko wengne sijui anashida gn

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 22 วันที่ผ่านมา +2

      Walkuja huku wakahoj upuuz wakaondoka yaan walhoj wa2 waliofankwa na wapo maofcn 😢.

    • @AbubakarAbasi-z8z
      @AbubakarAbasi-z8z 22 วันที่ผ่านมา +3

      Hamna nyinyi hamjui labda,,,,, kunataswira ambayo mie naiyona kwa mzee huyo wa omani kunakutetea fulani waomani wenzie kwani anajua wanamuangalia vp awaangushe sasa zari kashtukia hilo

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 21 วันที่ผ่านมา +1

      @AbubakarAbasi-z8z nikwer ila pia zar we mchunguze kwenye video zke utagundua ni mtu wa aina gn

  • @SalmaZuber-h5z
    @SalmaZuber-h5z 22 วันที่ผ่านมา +27

    Hapo ingekua mtt wa mwarabu kaachiwa mfanyakazi akatumbukia shimoni basi angenyongwa au angechinjwa😢😢😢😢

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 22 วันที่ผ่านมา +4

      Wewe nae unasema tu huku kunasheria yy kilimtumq nini kwenda huko ebu acheni uzushi mshaambiwa kaeni makwenu mmengangania tu nchizawatu acheni kuropoka ovyo

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 22 วันที่ผ่านมา

      Aje atumbukizie bila sababu unakua wap ww

    • @sarahrashidabdallah3109
      @sarahrashidabdallah3109 22 วันที่ผ่านมา +1

      Saingine nyamazeni tuu sio hao watoto Wa huku watu wazima wanatoa machoz kuhusu hao watoto ​@@RitbayRitbay

    • @ashuraabdulmaalik5319
      @ashuraabdulmaalik5319 22 วันที่ผ่านมา

      @@saleemadhiyabalkhatri7800weweachakusemahivyokunaleonakeshohebufikiriakamaungekuawewenimamamzaziwahuyobinti

    • @FayzaSultan
      @FayzaSultan 22 วันที่ผ่านมา

      Kabisaa umeongea point mm nakuunga mkono ingekua jini la kiarabu hapo ndio limekufa mana sio watoto ni majini

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 22 วันที่ผ่านมา +3

    SubhanAllah 😢😭💔inauma sana Mungu atusaidie sie wenye tunahitaji kwenda huko kutafuta maisha 😢

  • @PendoMaloda
    @PendoMaloda 22 วันที่ผ่านมา +10

    Daaah mama Samia tupia jicho huku😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @athumanisinga7128
      @athumanisinga7128 14 วันที่ผ่านมา

      Atupie machoo kweli jmn daaah 😢😢😢😢

  • @ScalaAal-vu4pq
    @ScalaAal-vu4pq 22 วันที่ผ่านมา +12

    Mungu nisaidie hata mim sielewani vizur na watoto wa madam wangu naninamiez kumi Oman

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 22 วันที่ผ่านมา

      Pole Mungu akupe subra🤲

    • @lailati6980
      @lailati6980 22 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana sehemu ukiona sio mzuri bora utafute utaratibu

    • @lailati6980
      @lailati6980 22 วันที่ผ่านมา

      Hinauma sana

    • @SikudhaniAdamu
      @SikudhaniAdamu 22 วันที่ผ่านมา +2

      Mungu naomba utulinde na Kila shari za Kila aina na atuludishe kwenye familia zetu tukiwa na uhai na uzima allahumma Amin 🤲

    • @zuberiismail2972
      @zuberiismail2972 22 วันที่ผ่านมา

      Kwani hamna ubalozi wa tz huko?

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 22 วันที่ผ่านมา +36

    Hilo shimo utakuta ndipo wanauwa watu Na uchunguzi ufanye hilo shimo ni shimo la kuua watu🤔😭😭😭

    • @aminaali792
      @aminaali792 22 วันที่ผ่านมา +3

      Subhanah Allah mpaka malaika yananisimama Allah awafanyie wepesi familia yake🤲🏽🥹

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 21 วันที่ผ่านมา +1

      Sahihi kabisa

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 21 วันที่ผ่านมา

      @@AfricaQueen kwahiyo umeshatia saini shimo la mauwaji ukiitwa ukatoe ushahidi utaenda?unakunya tu hapa nenda kawaambie polisi km ww hodari wakuropoka mengine muwaachie ubalozi ukweli utajulikana lkn midomo hiyo kiherehere loooh

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 21 วันที่ผ่านมา +4

      @ nyamaza kimya shetani kama hao wengine freedom speech 🤔🫵🏽wacha kubabakia waarabu pumbavu wewe Unajua kuchampa umenipata nyau wewe mtajua hilo shimo la kuua watu mbona unawatetea nyambavu wewe . Watanzania sio wajinga mtajua hamjui Tunataka kujua hilo shimo mmetumbukiza wangapi🫵🏽😏

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 21 วันที่ผ่านมา

      @@AfricaQueen sijibizani napunguani naukweli ukijulikana mtashushuka makauzu hao warabu ndio wanaekupeni mlo km wabaya mnakuja kufanya nn huko kwenu mnachinjana kweupe kila siku mpk wtt mnauwa bado hamyaoni na watu wa Oman wangapi wameuliwa Tz hotel mbona hamjayasema na ubalozi wa Oman haukuyakuza na wamezikwa huko natujuwa wametiliwa sumu kisa pesa zao acheni tamaa ndio mana mnaumbuka dhulma nyie

  • @NeemaJanga
    @NeemaJanga 21 วันที่ผ่านมา +5

    Poleni ndugu zetu inauma sana tumempoteza mpambanaji mwenzetu

    • @DevotaSamsohn
      @DevotaSamsohn 19 วันที่ผ่านมา

      imeniuma jmniiiii 😭😭😭😭 Yani natamani hta mazishi ya mpambanaji mwenzetu 😭 ningehuzulia

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 21 วันที่ผ่านมา +3

    Innalilah wainna ilayhi rajiuni mbele yake nyuma ALLAH atujalie mwisho mwema

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 22 วันที่ผ่านมา +3

    heeeh mungu ! hii dunia tunaishi inameng sn! icho kifo kina utata sn! mungu akawape faraja family

  • @JasiminJasimin-i5l
    @JasiminJasimin-i5l 22 วันที่ผ่านมา +4

    Inauma sana kiukweli mungu tusaidie sana wapambanaji turudi nyumbani salama 😭😭😭😭😭😭😭

  • @doriztanza8998
    @doriztanza8998 21 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana kwamsiba huu mzito mwenyezi mungu aenderee kutulinda masna pekeetu sisi atuwezi

  • @mshello4231
    @mshello4231 22 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi npo pmj na zali, seleyman anazingua, na hao ndio maajent wetu jmn mjionee wenyewe wanavyotudidimiza😢😢

  • @FaudhiaRajabu-u8p
    @FaudhiaRajabu-u8p 21 วันที่ผ่านมา +4

    kiufupi huku oman mfanyakazi WA ndani hauna samani ni huo umaskini tu unatufanya tuzidi kupambana huku mungu atutie nguvu inshaalah

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 22 วันที่ผ่านมา +9

    Ingekuwa mtoto warabu apo wangesimamia kucha😢😢😢

  • @aishaa2930
    @aishaa2930 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi huyu ajent nampenda sana anasaidia sana

  • @Salamajamshi
    @Salamajamshi 22 วันที่ผ่านมา +18

    mama samia ongea na serikal ya wajomba zako wanatumaliza 😢😢😢😢😢 ss ni watafuta ridhki kwann tuuwawe ss 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @HusnaMohamed-u3f
      @HusnaMohamed-u3f 22 วันที่ผ่านมา

      Point

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 22 วันที่ผ่านมา +8

      Tuombe mungu 2025 tupate rais wa kutujali huyu mama si chochote

    • @ElizabethNyabu-q1x
      @ElizabethNyabu-q1x 22 วันที่ผ่านมา +5

      Mama NAE hana msaada wallah

    • @FayzaSultan
      @FayzaSultan 22 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisaa hawa watu wanauwa watu sana sana sana na hamna wa kuwafanya kitu chochote watu wanakufa na sio kwa bahati mbaya waullah mm roho yangu yaniuma mno na ata ukipaza sauti huku hakuna wa kukusikiliza waullah daah ivi mungu una Miadi gani na hawa watu tujue mana kama wao ndio wenye haki pia tujue basi mana wanamambo mengi ya ajabu ajabu na mengi mno na yanaushahidi kabisa wa wazi wazi na bado wanasema wao hata wasipofanya ibada wanaenda peponi mmh eee mungu kuna nini Kati ya hawa watu kwanini wao tuu ndio watenda machafu yaliokithir na cha ajabu hakuna hatua daah haya

    • @GatekaFatma
      @GatekaFatma 21 วันที่ผ่านมา +2

      @@Salamajamshi Nimecheka km mazuri Eti wajomba zako😀Wallah ss Watatumaliza haki

  • @Mahfudha
    @Mahfudha 21 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Kurusum Alla ataleta haki na kama hamkuipata hapa basi kuweni na subra atakulipieni Akhera

  • @deborahamisi9294
    @deborahamisi9294 22 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani wamemuua mungu awalaani sana walio mfanyia unyama uyo dada😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 22 วันที่ผ่านมา +1

      Atakulaan wewe kwanza. Unaesema kitu bila kuhakikisha

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi mungu awape subra wafiwa

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu tusaidie tumalize salama mikataba yetu turudi salama makwetu.🤲

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 21 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢 Mungu atusaidie sana tuliopo nje ya nchi yetu

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 22 วันที่ผ่านมา +2

    Innalillah wainna ilaihi rajighun Allah atupe mwisho mwema atusameh waja wake na atufishe salama usalimin turudi kwetu tukiwa wazima wa afya😢😢😢😢

  • @timesaid5504
    @timesaid5504 21 วันที่ผ่านมา +1

    Innalilahi wainnailaihi rajiun Allah amlaze pahalapema peponi dadayetu nass allah atupe khatima njema inshaallah

  • @MagrethDally
    @MagrethDally 22 วันที่ผ่านมา +5

    Nyie hamuon langi moja uyo baba anatetea warabu dah apo mtoto wao unanyongwa jmn mungu tupe mwisho mwema

    • @OmanIbra-d6u
      @OmanIbra-d6u 21 วันที่ผ่านมา

      Bora wewe umeliona ilo

  • @herenaa1tann867
    @herenaa1tann867 21 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo boss achukuliwa sheria kabisa

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 22 วันที่ผ่านมา +6

    Masaa 2 bila kuonana sio point mbona watu wanakuwa busy hata amelala au ubize,lakin utata ni mwingi,kwenye kifo,ALLAH TUHIFADH

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 22 วันที่ผ่านมา +1

      ni point ndgu yngu maana huo muda ulikuwa muda wakupika nasio wakulala maana kulala unaanzia sa8

    • @Zahara-or3cf
      @Zahara-or3cf 22 วันที่ผ่านมา +1

      Mie hatuonani na bosi hadi masaa5 mimi nipo jikoni bosi chumbani hatuonani

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 21 วันที่ผ่านมา

      @Zahara-or3cf inategemea lkn ndo asikwite kbs atakukutuma waarabu hawa

    • @hakikahoman615
      @hakikahoman615 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@aishaibrahim5607kabisa iyo mida ni jikon wa wakae masaa yot mpk muda wakula sio kweli

    • @salhkiyagi
      @salhkiyagi 21 วันที่ผ่านมา

      Haaa me Kuna siku sikuamka asubuh hadi saa Tano ndo nikatoka nnje lakn hakuna hata dalili ya kuuliziwa Sasa masaa mawili kwa mwarabu ayo madogo San

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 21 วันที่ผ่านมา +2

    Allah amsamehe makosa yake na aturudishe salama salimini InshaAllah 🤲😭😭😭😭

  • @shamzone388
    @shamzone388 22 วันที่ผ่านมา +6

    Pongezi sana kaka abdallah wa japan umetueleza vizuri sana upo vizur sana kwa kutuelewesha

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wew ndiye anayejua turudishe salama makwetu,

  • @sadatsadiq5183
    @sadatsadiq5183 22 วันที่ผ่านมา +3

    Acha kutetea warabu ww mzee maanaa sisi wafanyakazi tuunajua changamoto tuunapitia😢😢😢

  • @ZamdaAli
    @ZamdaAli 22 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu Ampe kauli sabiti mwenzetu mbele yake nyuma yetu mungu aturudishe salam.watu wote tuliyokuja.kutafuta maisha

  • @KhadijaSalim-b8q
    @KhadijaSalim-b8q 22 วันที่ผ่านมา +12

    Huyo kauliwa hakuna mjadala

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kauwawa huyu walihy MWENYEWE MUNGU atawalipia

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 22 วันที่ผ่านมา

      Una uhakika unachokisema ww unadhani huku sheria ni za afrika kma mtu auliwe tu jamani hizi nchi zinasheria zke wala hawana kutetea sababu muarab ukienda uko jela waarabu wamejaa tele tena madam na watu wenye kazi zao kubwa na wapo jela itakua mtu wa kawaida tu wa nchi

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 22 วันที่ผ่านมา

      @@MiriamKhalid-z6ommmmmh hako kashimo mbona kanaleta sitofahamu. Mmmmh Kuna kitu

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 22 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@RitbayRitbaywanajisifu sana waarabu wanasema tutawauwa,tutawapiga,tutawachinja,na hamuezi kutufanya chochote tupo inch yetu

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@Fathasssane-vs2thkama kuwawa ni wengi xn sema hajawahi kufuatia labda unakumbuka yule wa Uganda alitolewa figo na kuwa kilema?

  • @MsFadhila
    @MsFadhila 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu atujaalie turudi kwetu salama ughaibuni baadhi ya watu wanateswa sana ila mungu tujaalie Allah tunakuomba turudi salama

    • @SikudhaniAdamu
      @SikudhaniAdamu 22 วันที่ผ่านมา +1

      Allahumma Amin thuma amin 🤲🤲

    • @AishaMtumwa-y9r
      @AishaMtumwa-y9r 21 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo sleman naye ndio haohao

  • @HadijaOman
    @HadijaOman 22 วันที่ผ่านมา +9

    Inawezekana kuto kuonana na maboss Maa saa mwili mm nikiamka asubuhi maboss wangu wanalala mpaka saa 7 mchana ndiyo wanaamka ndiyo tunaonana

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 22 วันที่ผ่านมา

      Wakwangu unaweza ukakaa masaa matatu Kalala au katoka tumemgomba asitoke tunaogopa hyo hyo wasje kusema kafa uwarabuni

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 22 วันที่ผ่านมา

      Acha tu nilikaa masaa matano chooni mlango ulikuwa mbovu yani ulijilock adi walipoamka wakaona hawanioni ndo wakaja chumbani kwangu wakanikuta choon na bado mlango ujatengenezwa hpa najilinda mwenyewe

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 21 วันที่ผ่านมา

      @@salmamlokela1987 mm sna mambo kutia loki milango kabisa hta nikiwa wap

    • @NeemaMwita-g1j
      @NeemaMwita-g1j 21 วันที่ผ่านมา

      Mimi wakwangu dakika mmoja tu ananitafuta ila wangu anawasiwasi nitamchukulia mume​@@salmamlokela1987

  • @vero57
    @vero57 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hao watu kwanini wanakua na vyumba ambavyo havifunguliwi??????poleni sana wafiwa

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 22 วันที่ผ่านมา +3

    Allah akupe kauli thabit mpambanaji mwezetu pole sana

  • @Fatmashilinde-nu4fj
    @Fatmashilinde-nu4fj 21 วันที่ผ่านมา

    uhakika ufahamu ndio inatakiwa kuelimishwa 🙏🙏🙏🙏🙏shukurani sana Abdullah

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 22 วันที่ผ่านมา +2

    Inaumiza sana 😭😭😭😭 Allah amsamehe makosa yake lakini tukirudi kwa Allah kufa ni lazima Allah Allah atunusuru jamani hawa watu siyo japo siyo wote wakiamua dakika 1wanaweza kukufanyia kitu

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 22 วันที่ผ่านมา +1

    funga kazi bahna unasoma km umeishia la nne la ukoloni khaaa jamani 🙌 ALLAH ampe kauli thabit mwana mvua

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi 22 วันที่ผ่านมา +7

    Wamemuua ndoo maana hawataki watu waende kumuona wameuaa hawa waraabu roho zao anazijua mungu alowaumba

    • @hakikahoman615
      @hakikahoman615 21 วันที่ผ่านมา +1

      nakubariana na we sababu kwa nin wakatae watu wasiend

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 21 วันที่ผ่านมา +1

      @hakikahoman615 na wakisema eti kadubukia kwenye chemba ni uongo chemba zilivyo ni fupi mno na hazikai na maji na hata ukikanyanga ule mfuniko huwezi ingia ndan maana ni imara mno hakuna mwarabu ana mazingira mabovu kiasi hicho kwa sababu wao wana watoto na watoto hawasikiagi so hawawezi acha mashimo wazi

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 21 วันที่ผ่านมา

      Labda wangesema kisima cha maji na sio chemba

  • @SamouOman
    @SamouOman 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu atulinde jaman huku tulipo dah mungu akulaze mahala pema dada angu

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 22 วันที่ผ่านมา +8

    Asizikwe Oman wamrudishe Tanzania watatuekeza kilicho mpata hilo shimo linaurefu gani 😢jaman mkiona sehemu mbaya torokeni tusipeane moyo wakutoana uhai

    • @ShufaaabubakariOmary
      @ShufaaabubakariOmary 17 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli ukiona sehemu unateseka huna amani toroka mpk ubalozini ukakae pale mpaka urudi tanzania bora urudi ata kam huna mia mbovu

  • @racheljoseph9402
    @racheljoseph9402 22 วันที่ผ่านมา +2

    😭😭😭😭 hiki kifo kina utata aseee inaumaaaa sana hiz chemba tu ukiziona mpk mt kudumbukia ni ngum
    Ila tu Allah amsamehe makosa yake sisi sote njia yetu ni mojaa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 22 วันที่ผ่านมา +7

    Kikubwa kufanya kazi kwa malengo waarabu sio watu wazur ukiendekeza shida ni hatari sana ata kiafya pia ni tatizo

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 18 วันที่ผ่านมา

      Unakosea sana hakuna binaadamu mkamilifu na ubaya hauna kwao, Wala kabila. Hapa kwetu Tanzania wabaya wapo pia. Timezoea akikosea mtu mmoja kuwaona wote ni sawa sawa. Kuna watu nawajua wapo huko miaka na miaka wanakwenda wakirudi. Kubwa ni kuomba Mungu kwa Kila jambo limpatalo mwenzetu. Allah amfanyie wepesi ukweli ujulikane. Kwa sababu tu hapo duniani kwa Allah.

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 18 วันที่ผ่านมา +1

      Haujanielewa nilicho maanisha ao wanao fanya kazi miaka Kwa miaka wamesha zoea utumwa nimefanya kazi Tz na nje ya nchi hanidanganyi mtu waarabu nawajua vilivyo tena Bora uteseke kwenye nchi yako unaweza saidika Kwa araka kuliko ao unao watetea tena kama haujui lugha ndo kabisa pole kama imekuchoma😆😆👈

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 18 วันที่ผ่านมา

      @@AminaLibisa Nimekuelewa uzuri sana , utumwa uliokwenda kuutafuta mwenyewe, nimekwambia hakuna binaadamu mkamilifu, yaliopo huko na huku ndio haya haya, kwani hapa watu ni wabaya kama ulivyo sema waarabu wote. Na wewe pole sana kwa kukuumiza . Hizi ni nafsi . Kilakiumbe kinafsi yake. Ukimuona mwenzio mbaya na mwingine humuona mazuri, kwa sababu huwezi pendenza kwa wote. Hii Dunia ajuaye zaidi ni Allah. Allah atupe mwisho mwema , kwa sababu ya kutokujielewa kufanyia ubaya mwenzio.

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 18 วันที่ผ่านมา

      Huna lolote 😀

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 18 วันที่ผ่านมา

      Sema Sina mda wa kubishwna na watu mtandaoni umejileta mwenyewe Kwa heri 😀🤪🤪au na wewe upo uko

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 22 วันที่ผ่านมา +2

    Helen mwenyezimungu ajudumishe dada update pepo yako ya dunia na Akhera Ammeen

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 22 วันที่ผ่านมา +7

    Halafu kuna mtu amekaa tu Tz anaomba pesa kumbe watu tunarzk maisha

    • @NeemaJumanne-h5d
      @NeemaJumanne-h5d 20 วันที่ผ่านมา

      Akiomba usimpe sio lazima 😂

  • @zulphamushi3700
    @zulphamushi3700 22 วันที่ผ่านมา +1

    Subhanallah innalilah Wainailaih Rajiun na Allah aturudishe nyumban tukiwa salama utujaalie mwisho mwema😢😢

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 22 วันที่ผ่านมา +5

    Kuna watu wanawatetea waarabu duuh utumwa shikamoo 😢😢😢

    • @Fahema1013Alsenaid
      @Fahema1013Alsenaid 22 วันที่ผ่านมา

      Marhaba kwa niaba yao🥹🥹

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@Fahema1013Alsenaid😅😅

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 22 วันที่ผ่านมา +1

      Mjitasmini Kisha mchukue atua 😂😂😂

  • @HgGg-i6l
    @HgGg-i6l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Inaumiza sana kihukwe mungu hawalinde mliompo glg

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie 22 วันที่ผ่านมา +3

    Innalillah wainna illah rajioun, 😢.najiuliza hawa watu walivyo na kinyaa walimtoaje kwenye shimo la maji taka

  • @TumaZenji
    @TumaZenji 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekupenda Baba

  • @HbbMkhl
    @HbbMkhl 22 วันที่ผ่านมา +2

    Innallah wa innallah rajiun Allah ampunguzie azabu za kaburi watanzania tupaze sauti hapo angekua mtoto wa mwarabu kufanyiwa ivo wangemuua hiisio haki tupaze sauti allah tenda hakikwa hili😭😭😭

  • @Oman-t7q
    @Oman-t7q 21 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana ndugu na jamaa mwezi mungu atulinde wamba aji wote inauma sana😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @KhadijaAhmada-vl3hs
    @KhadijaAhmada-vl3hs 21 วันที่ผ่านมา +3

    Waarabu watu wabaya sana tunaishi nao tu kwa njaa ,mimi wangu kuna siku mlango wangu wa chooni kitasa changu ni kibovu mlango ukajikomea na mlango wa nje nilikua nimefunga basi alinijibu hawezi vunja mlango wa maana kitasa chake ni kipya heri nifie uko uko chooni .kama si watoto wake kuwepo ningekufa maana dirisha la chooni lilikua halifunguki nusu nipoteze maisha

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 22 วันที่ผ่านมา +2

    Innalillah wa inna ilaihi rajiuun ya Allah tulobakia turudi kwetu slm yarabb 😢😢😢hiyo kwel km mimi ninavoitwagwa km mwehu watakaa muda wote huo hawajuwi uko wapi mi ni mburundi jmn inauma sn poleni wa Tanzania mi ni mburundi tupo pamoja

  • @FayzaSultan
    @FayzaSultan 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ukifa Oman sio kifo kilichopangwa na Mungu amini ivo waullah wabillahi huku vifo wanavitengeneza wenyewe na sio mungu waullah

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 22 วันที่ผ่านมา +2

    Wamemuhuwa tuuu huyo😭😭😭😭😭😭😭atuwezi kupata haki wanasikilizwa nchi yao

  • @JamilaMoosa-y2m
    @JamilaMoosa-y2m 22 วันที่ผ่านมา +2

    Inauma sana walahi mtanga mwenzetu mpaka tuliobaki huku tunakua na sinto fahamu

  • @ZaituniOmary-k2l
    @ZaituniOmary-k2l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ina lilah waina lilah rajiuun mwenyezi mungu ampe kauli thabiti

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o 22 วันที่ผ่านมา +7

    Warabu ni washenzi xn MWENYEWE MUNGU tulindie ndugu zetu wanaotafuta riski kwenye family zao🙏

  • @ZaituniOmary-k2l
    @ZaituniOmary-k2l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Itakua wamemuuwa kwanza mtu sehem kama uingiagi uwezi kwenda wametuulia mpambanaji mwenzetu mwenyez mungu Ata waukumu inshallah 😢😢

  • @AishHassan-p8l
    @AishHassan-p8l 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa madam zetu hawawezi kukaa masaa mawili bila ya kumuona mfanya kazi wao hilo tukio tuna mashaka nalo Ila Allah ndo anaejua zaidi ikiwa wamemzurumu mfanyakazi mwenzangu inatuuma sana

    • @athumanisinga7128
      @athumanisinga7128 14 วันที่ผ่านมา

      Hii ni kweli kabisa wakikupa masaa 2 ya kulala huwa hazidii hata dakika kumi

  • @NasraSaidiYusuph
    @NasraSaidiYusuph 22 วันที่ผ่านมา +2

    Nipigie na Mimi Nina mengi ya kukuambia nimeumia Sana kifo cha mwana tuliokuwa nae group

    • @Saumu-p8v
      @Saumu-p8v 21 วันที่ผ่านมา

      Nipo omani naomba uniunge na group lenu dada

    • @shufaa8921
      @shufaa8921 21 วันที่ผ่านมา

      Nami naomba niunge kwenye hilo group 😊​@@Saumu-p8v

  • @Salamajamshi
    @Salamajamshi 22 วันที่ผ่านมา +8

    tunaiyomba serikal ya tanzania iwe inasimamia kesi kama hizi tunaumia sn😢😢😢

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kma yule mfiliphino serikali yake ilivyokuwa kidedea

    • @MwasitiMatari
      @MwasitiMatari 22 วันที่ผ่านมา +3

      serekali ya tz is isimamie oman wakipew kahawa wanywe maesapu yameish

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 22 วันที่ผ่านมา

      @MwasitiMatari kwanza kwa Tanzania serikali ipi itasimamia kwa mfano

    • @MwasitiMatari
      @MwasitiMatari 22 วันที่ผ่านมา +1

      @Ayuminchasi inauma sana

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 22 วันที่ผ่านมา

      @MwasitiMatari mm niliwahi ambiwa nitakuchoka kisu na mmama mwenye nyumba mm nikamwambia mtoto wake wa kike juu ya mama yake wakaniomba sana niendelee kufanya kazi nilikataa nikamwambia mm siwezi kuishi na huyu mama yako bac yule dada akanielewa maana niliongea kwa hasira hakuamin alinitafutia kazi kwa mtu mwingine nikaondoka

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka 21 วันที่ผ่านมา +1

    Inaumiza cnaa tena cnaa unaenda kutafuta maisha unarudi maiti eee we mola wtu tujalie tulioko hku turud nyumbni salmaa watu wa omn hawna ujirani wla nini kila mtu na jambo lake Ila uyoo baba hatowi ushirikiano mzur jman inaumiza 😢😢😢😢😭😭

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ndo mwenye kujua wallah Allah atupe mwisho mwema kwenye Kazi zetu na nchi za watu 😥 mungu amsamehe makosa yk 🤲🤲🤲

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h 22 วันที่ผ่านมา

      Amiin Allahumma Amiin

    • @rahmamct
      @rahmamct 22 วันที่ผ่านมา +1

      Amina

  • @Niabebewamor413
    @Niabebewamor413 22 วันที่ผ่านมา +1

    Innallillah wainna llillah rajun Allah akupe kaur thabit mamy 😭😭😭Allah atuludishe makwetu salama 🙏Jamani da zari Mimi hapa boss zangu wako iko da sekunde tu nitatafuta hata Kama nipo bafuni naoga nitasemesha sasa yeye lisaa lizime amemkosa na hajamtafuta so kweli na hiyo mida alotumbukia humo kwenye shimo ni muda wa kupika chakula Ila mungu ndo muhuku kwa kila kitu 🙏🙏🙏

    • @Zahara-or3cf
      @Zahara-or3cf 22 วันที่ผ่านมา

      Mi nyumba kama yangu napika namaliza hata masaa 5 hatuonani

    • @ElizabethNyabu-q1x
      @ElizabethNyabu-q1x 22 วันที่ผ่านมา

      Her wewe wanakujal ila cc ni mbwaaa yan

  • @umranim5854
    @umranim5854 22 วันที่ผ่านมา +3

    Zari hujui sheria za huku ndio maana humuamini subiri upewe habari na ubalozi

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 21 วันที่ผ่านมา

    Allah amrehemu inshaaallah🤲🤲🤲😭😭😭inauma sanaatusaidiye nasisi tuliyopouku turudi salaàm nchini kwetu tukutane na familia zetu hao kunakitu wamemfanyiya siyo.bule tumuachiye mungu afanya kazi.yake

  • @FatmaTzdodoma
    @FatmaTzdodoma 22 วันที่ผ่านมา +4

    Innalillah wainah ilaih rajiun!!hebu chukueni mfano kdg angekuwa mtt wao kadumbukia wangemtoa au wangesubir polis??msichukulie poa hili suala ss tuliopo nje tunaomba kusikiliza maaana ubalaoz wetu hauna kabisa msaada !nakama mama Samia kalisikia hili tunamuomba atubadilishie hawa viongoz kwanza tukija kwenye suala la mishahara hatulipwi kama makubaliano ya sheria yalivyo nakwakuwa tunatoka kwenye shida tunaamua kufanya kazi t maana hata ukifikisha ubalozini hakuna wanachosaidia wafanyakaz wengi nivilio vitupu

  • @PendoThomas-jz6cp
    @PendoThomas-jz6cp 19 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana familia 🙏🙏

  • @AishaIsmaily-p5f
    @AishaIsmaily-p5f 22 วันที่ผ่านมา +3

    Minaona huyo dada yupo sahihi kabisa maana hawa warabu hawana utu naubinadamu kabisa tunaombat serikali itusaidie kabisa tunapitia shida sana😢😢

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 22 วันที่ผ่านมา +2

      Hata waswahili hawana utu matukio ya kutisha tele kwa wafanyakazi juz hpa mtoto kapindwa chooni na damu juu ni muarabu yule si muafrika muwe na shukurani kote wabaya wapo

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 22 วันที่ผ่านมา +1

      Iwasaidie mnatakiwa mtulize mikunduyenu kwenu hakuna lazima mwende uarabuni huko kwenu sizipokazi zandani kaeni kwenu acheni kelele wacha yawakute mnataka wenyewe kazi hamuwezi mkifika mnaendekeza umalaya huku sio sinza

    • @sarahrashidabdallah3109
      @sarahrashidabdallah3109 22 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@saleemadhiyabalkhatri7800mungu akusamehe ndugu maana sio kwa mitusi hii subhuhanaallah

    • @AishaIsmaily-p5f
      @AishaIsmaily-p5f 22 วันที่ผ่านมา

      @@saleemadhiyabalkhatri7800 Asante kwamatus Allah akuongezee kipaji chakuwa mtukanaji bora

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@saleemadhiyabalkhatri7800Akili zako ziko sawa??? Wewe utakuwa mwarabu wa sangilwa ndo mana mitusi imekujaa na utakuwa mnyanyasaji wenyewe orijino hata hapa hawapo nyie nusu nyani ndo mnabweka hapa hata aibu huna

  • @AishaIsmaily-p5f
    @AishaIsmaily-p5f 22 วันที่ผ่านมา +1

    Yarabi tupe mwisho mwema napole kwa family ya mwamvua ndugu yetu katuacha wabambanaji wenzie pumzika kwaamani pele yako nyuma yetu😢😢😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 วันที่ผ่านมา +4

    Innalillahi wainnailahi rajuun. Allah amsamee makosayake ndugu yetu amuingize peponi. Allah awaited subra wazazindugu na watoto. Naawaxidi shie iiman

  • @MARIAM-q1r4w
    @MARIAM-q1r4w 21 วันที่ผ่านมา

    Inalilah Wain lilalih lajjiuni Allah atajibu kwa hili hapana tumeacha watoto Familia leo hii mtu analudi maiti subuhanna Allah

  • @SalmaOmary-b8v
    @SalmaOmary-b8v 22 วันที่ผ่านมา +3

    Ubaloz wa omani ovyo sana😢😢😢

    • @florahrugemalila9304
      @florahrugemalila9304 22 วันที่ผ่านมา +2

      Ni wajinga sanaaa na wanatetea waarabu kuliko watanzania wenzao

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 22 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi msiseme ubalozi wa omansemeni ubalozi wakwenu ndio wajinga waondio wasimame nanyie wao hawanahabari huku kunasheria sasa mnataka warabu waache kazizao wawafate nyie hebu kaaeni kwenu mpigwe mmwagiwe majiyamoto uchawi tu ndiomnaujua naumalaya nakusema msicho kijua yy kilimpeleka nini kwenye makaro fungenikumazenu kaeni kwenu hatuwataki jamani mbona mnakero kwanza wote wametoroka kwa maboss

  • @omanquine3770
    @omanquine3770 21 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢Inaumaa mnoo allah ajibu Hili dam ni nzito kuliko maji mm naomba ubalozi ukazie hili