WAKILI ANAYEWATETEA WATUHUMIWA KESI YA UBAKAJI AFUNGUKA KILICHOENDELEA NDANI YA MAHAKAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 891

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 2 หลายเดือนก่อน +29

    Mungu msaidie Binti apate haki yake maana washaanza kujitokeza mawakili mungu wetu tunakutegemea sana utatenda haki

    • @Segea696
      @Segea696 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu huyu aliweza kumsaidia asibakwe.
      Mungu huyu aliweza kabisa kumsaidia hata Maji.

    • @johnbenedicto8935
      @johnbenedicto8935 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wakili si anataka elaa tu

    • @SummymaddyMaddy
      @SummymaddyMaddy 2 หลายเดือนก่อน

      MUNGU atustir watoto wetu wasifanyiwe ubaya na wasifanye ubaya na wao daaah yle Binti atatakiwa apate aman moyoni

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 หลายเดือนก่อน

      Wakili hata km anajua hutoboi hakwambii yeye hio ni kazi

    • @salhamlanz9806
      @salhamlanz9806 2 หลายเดือนก่อน

      Mawakili wao uwape pesa tu kazi ya uwakili ni haramu sana ata wakijua ukweli wao hawawez kushinda ila wao shida Yao wape pesa ajifanye wapo upande wako

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ila ukimfanyia mtu ubaya mungu anakumbua wamerikod wenyewe na wametuma wenyewe warizan wanamkomoa uyo binti kumbe wamejikomoa wenyewe tunataka haki itendeke sio kuwalea mbwa hao na uyo madam wao ariewatuma afande akamatwe na wawiri hawapo hapo watumiwa wenzao mungu fundi jmn ukimfanyia binadam mwenzio ubaya mungu anawaukumu na mahakama itende haki

  • @irenlaurent9650
    @irenlaurent9650 2 หลายเดือนก่อน +61

    Mungu hamfichi Mnafki wap wenyewe wamejiumbua ,,Nyie kina nani muanze kuwaficha ficha waarifu ,,,jins Mungu alivyowaumbua hao mbwa vivyo hvyo atakavyo waadhibu ,,,ata Kama Nyie mkawatetea. Mungu yupo Nasi

    • @shakirashakira-gc2yw
      @shakirashakira-gc2yw 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen

    • @MerinaEnos
      @MerinaEnos 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen

    • @RoseMtupa
      @RoseMtupa 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nao walawitiwe tu

    • @giamogab2533
      @giamogab2533 2 หลายเดือนก่อน +4

      Mungu walaani hawa mawakili wote wanao watetea hawa wabakaji yani hawa walaaniwe mpaka wafe kwanza wakose mpaka nauli ya kwenda kwenye kesi wakipata lift hiyo gari igongwe kuwe na foleni wasifike mahakanani na wakifika wawe wamesha chelewa mungu walaani hata hao mawakili wote nawao wabakwe nawatu wajue wabakwe na kichaa hazarani yani wabakwe mpaka wafe😬

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@giamogab2533siyo kosa lako tatizo lako ni kutokuwa na elimu ya kukufanya uelewe kwamba awa mawakili wapo wamewekwa na nani na ni kwanini wamewekwa hapo,hao ni mawakili wa serikali na serikali ndiyo iliyowaajili na kuwaweka hapo kuwa upande wa washutumiwa waliokosa watetezi na yote ni kwasababu serikali iliishatambua toka miaka mingi kwamba si watu wote wanaoshitakiwa wanakuwa ni washutumiwa wa haki kunakuwepo na wanao onewa au kusingiziwa,hivyo kaz ya hao mawakili ni kuchunguza km ni washutumiwa wa haki au wa kuonewa wakat kesi ikiendelea na si kuwatetea tu moja kwa moja,na wanapotambua kwa ni washutumiwa wa halali bc hao mawakili wanalegeza kuwatetea ili wafungwe tu,hivyo hujui chochote na ndiomaana umeishia kuwaombea mabaya tu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi hawa wahalifu gata wangekuwa ndugu yangu nisingengewatetea wallah hata awe mwanangu wakumzaa nisingemtetea kwa kitendo kile unapota taka kumfanyia mwenzako kitu kwanza ufikirie mara 2 mpaka 3 ningekuwa mimi au mdogo wangu anafanyiwa hivi au ndugu yangu ningejisikia kitendo walichofanya hawa viumbe kimeumiza watu wengi sanq

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 หลายเดือนก่อน +11

    Duh ndo mambo ank Magu alikuwa hayatak sasa hamuon mnachelewesha mambo wakat kila kitu kilikuwa wazi jaman..😢😢

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 2 หลายเดือนก่อน

    Wakili fanya kazi yako iyo ndoo kazi ulio somea mungu akutangulie🙏🤗

  • @PachkoloMwasenga
    @PachkoloMwasenga 2 หลายเดือนก่อน

    Kesi ya mnyonge hakimu ni mungu tyu

  • @Officialwizzosun
    @Officialwizzosun 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hii ndio dunia bwana mungu pekee ndie anatujua nje ndan moyo wa mtu kichaka tukae chonjo

  • @DevothaMelkiory
    @DevothaMelkiory 2 หลายเดือนก่อน +65

    Mungu ibariki Tanzania wabariki watu wake utetezi duuu unatetea nini Jarbu kujifanya wewe ndo mwanao kafanyiwa hivyo ungewatetea

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kutetea ubakaji mungu asiwe nawe ikiwa kuna ukweli

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huna Elim afu unatukua unamajin😂😂😂😂

    • @daltonpaul5838
      @daltonpaul5838 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@liberatusjackson5045ukikosa cha kuongea si unanyamaza tu mtu mzima kuongea hovyo haipendezi

    • @daltonpaul5838
      @daltonpaul5838 2 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@liberatusjackson5045kama wewe una elimu inayoweza kukutetea mbele za Mungu hongera zako mana elimu haikupeleki popote ukifa haikufanyi Mungu akuogope utaogopwa na watu wenye fikra duni kama za kwako maana hata wenye elimu hawaropoki hovyo .....elimu na hofu ya Mungu inaweza kua na ladha kwenye maisha

    • @petronyereresaliboko4047
      @petronyereresaliboko4047 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sheria ni kipofu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi peke yangu ndo simwoni aliyewatuma ama na ninyi pia? vijana 5 wanaoonekana 4 boss wao ? HIVI NI KWA NINI ALIYEWATUMA NA ALIYETENDA KOSA MNAYESEMA HAJAPATIKANA ? Kizungumkuti ndo tulisubiri.

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 2 หลายเดือนก่อน

    Hao mawakiri watoke zao kwanini wasifungwe hawa jamni mahakimu wanini sasa na watu wamefanya unyanyasaji uyo wakili aondome zake uko wagungwe kifungo Cha maisha hakuna kutetea waalifu wakitoka wanaenda kufanya Tena uarifu hakuna kuteteana hapo naikiwezekana wavunjwe nguvu zao zakiume hizo iliniwe kikomo na fundisho kwa wengine

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 2 หลายเดือนก่อน +62

    Ushaidi wa nni sisi wote watanzania ni mashaidi

    • @crownvevo167
      @crownvevo167 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ww nanani

    • @marafikistation
      @marafikistation 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi sio shahidi sema wewe usiseme wote

    • @TidoThefuture-fh4gj
      @TidoThefuture-fh4gj 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kuma wewe itakua shoga

    • @zephanialuangwaeliatosha9723
      @zephanialuangwaeliatosha9723 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@marafikistation😂

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 2 หลายเดือนก่อน +2

      Lakini video ni ushahidi tosha km sura zinaoneka hapo akuna na shahidi wala nini video Tu ina tosha kupata hukumu

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli hii kazi haifai kwa mtu mcha mungu maanna unamtetea muhalifu wakati ukweli wote unaujua.

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ukaonekane.Wapate haki yao stahiki kwa uovu walio ufanya

  • @Cecydivaah
    @Cecydivaah 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyongwe aowakiachiwa wengne watakua wanafnyia hvhv wengne amn kutetea mtu Apo ule no ukatili mbay aujampendeza ata mungu wetu😭😭😰

  • @AbdulJuma-fd9il
    @AbdulJuma-fd9il 2 หลายเดือนก่อน

    Samahani sikupaswa nishiriki kwasababu sijasoma sheria ila. Hao ni ushahidi wao upo kamili ni wakufugwa maisha nifunzo kwa wengine

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 หลายเดือนก่อน

    Cku yakikupata utaelewa.... Mungu amekusikia...endelea n uwakili wakoo.

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 หลายเดือนก่อน

    Ni hivi. Kinachofanywa na hawa mawakili wa utetezi ni kutengeneza kipato kwa familia. Lakini pia kuifanya mahakama itakapoamua iwe ni baada ya pande zote kusikilizwa beyond any reasonable doubt. So,,, wako sahihi tuuu. Kesi iendeshwe washindwe maisha yaendelee. Ikumbukwe malipo ya wakili hayategemei kushinda tuu. Hata wakishindwa bado watalipwa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wahalifu wenyew wanacheka, sura zna furaha kama zoote😢hawa hawatohukumiwa chochote mana mama mjengo yupo serikalini na hii kesi wallah haitofanyika haki yeyote hapa, Ma askari woote wapo shirika moja na mama mjengo, lkn hii hali itapelekea wananchi wakifanyiwa uzalilishaji watajichukulia wenyew sheria mikononi kwa haya yanayoendelea.

  • @irenlaurent9650
    @irenlaurent9650 2 หลายเดือนก่อน +14

    Yaan nimefrahi Sana,,Nasubili na kutegemea wapewe kifungo cha Maisha ,,au kunyongwa au vyote kwa pamoja ,,,,mashetani WA dunia hao ,,hawafai kuishi

    • @victorkauki8974
      @victorkauki8974 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hata kama wamekosea, usijichukulie haki ya kuhukumu dhidi yao maana hata wewe unamakosa mbele ya Mungu wako.

    • @AishaMwarabu
      @AishaMwarabu 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda Kwa mangibkanywe soda 🥤 ybalidi ntakuja kulipa maingekua daaa hii watu wangefulika maakamani

    • @maryammussa2835
      @maryammussa2835 2 หลายเดือนก่อน

      C kwa Tanzania hii

    • @JenethFrank
      @JenethFrank 2 หลายเดือนก่อน

      Duuuu, Mungu akurehem mpendwa mkristo mwenzangu ambae una biblia Yako inayokufundisha kuwahukumu wengine Kwa vipimo vya kusikia kuona na kuambiwa. Ww huna dhambi mwenzetu? Umekamilika? Vitu vingine vipishe tuu mbona inawezekana? Kwani wewe unavyoona nani kakosea zaidi?? Maana hapo wote Wana makosa sijui mwenzetu umewamba Ngoma ukavutia kwako Kwa maslahi gani

    • @flova7022
      @flova7022 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu amewahi kukunyonga tangu umeanza dhambi mbalimbali ? Mfano kuzini, kudanganya etc...hujui kuzini na kubaka ni Sawa? Nini maana ya kifo cha Kristu msalabani?
      Kuna dhambi mbili ambazo Mungu hawezi kukusamehe.1. kukufuru roho mtakatifu 2. Kutokumsamehe mwingine.

  • @MbwanaMohamed-t9f
    @MbwanaMohamed-t9f 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh jamani uyo sio wakili uyo wakili gani anateteq warifu mama Samia au raisi wetu wa Tanzania tunakuomba hao wabakaji wanyongwe nahuyo wakili afungwe miaka 10 iwe funzo

  • @aikamkindi6006
    @aikamkindi6006 2 หลายเดือนก่อน

    Duuh, mungu atusaidie, hapo kwanza kulikua hamna kes ilikua nikuulizwa alie watuma bas, kama walirekon wenyewe wakatuma wenyewe kes yanini hao hukum tu ndio halali yao,

  • @MusaJastini-po8hm
    @MusaJastini-po8hm 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nina mashaka na police na mahakama pia kuna kitu kina fichwa walikuwa wa 5 na ukichanganya na aliekuwa anaitwa afande wanakuwa 6 ila sasa wapo 4 daaah umasikin mbaya

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 หลายเดือนก่อน

    Wakili upo vizuri

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 หลายเดือนก่อน +21

    Kazi Ya Wakili Kuwaonesha Watanzania Kujua Ubola Wa Mahakama Zetu

    • @nikkimbishiunju2402
      @nikkimbishiunju2402 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ubora sio UBOLA...

    • @Cute_mamuuh
      @Cute_mamuuh 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂​@@nikkimbishiunju2402

    • @hamoudcreator6343
      @hamoudcreator6343 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nikkimbishiunju2402Ubola Bhanaaa Unju 😂😂😂😂

    • @zenaibrahim2373
      @zenaibrahim2373 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@nikkimbishiunju2402

    • @AwaziRajab
      @AwaziRajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@nikkimbishiunju2402 Wewe Sio Msomi Ungekua Msomi Usingewaza Kuandika Kwasababu Faida Ya Usomi Ni Kuona Mbele Zaidi Kwakua Mbumbumbu Utawaandikia Wengi

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 2 หลายเดือนก่อน +16

    We wakili kweli ingekua mtoto wako ungekaa na kuwatetea watu kama. Hawo. Wakili wakili mungu anakuona

    • @suddytele3692
      @suddytele3692 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio maana selikali aina dini,iko ndicho kibalua chako

    • @sumaiyahmassawe6943
      @sumaiyahmassawe6943 2 หลายเดือนก่อน +2

      Yupo kazini,,hata ungekuwa ni wewe ungefanya kazi Yako ,,wamesomea Sheria ili wafanye kazi wajijenge kiuchumi,,,haijalishi utashinda kesi au utashinda kesi,,, kikubwa wanafanya kazi zao.

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo wakili yupo kwa ajili yakuwapiga hela tu hao washenzi , kesi ikikaribia namwisho utasikia wakili kajitoa kwenye kesi hapo jua kashajua kesi ngumu kishapiga mpunga waqke wakutosha tu🤣🤣🤣🤣🤣

    • @GlorryMariki-ee6dc
      @GlorryMariki-ee6dc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Anajali ela huyo

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 2 หลายเดือนก่อน

      Yupo kazini hata kama mtu kaua kisheria lazima atetewe mpaka apatikane na hatia

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 2 หลายเดือนก่อน

    Hii kesi mbona ilishaisha mbona watz mnapenda kuvutq mambo Maguful Mungu akukumbuke

  • @nicksonlyimofundivyunguvya6220
    @nicksonlyimofundivyunguvya6220 2 หลายเดือนก่อน

    Wa Tz lazima tueshim kaz zawatu wanawatoto wanatakiwa kusoma hiyo nikaz Yao wamesoma mnapo watus mnasahau wamesomeswa na familia zao Wacha wafanye kaz Yao MUNGU shiria Haina MUNGU Sheria inakata tuu pale inapo takiwa kukata na haikat pale panapo inapo takiwa kukata

  • @korogwegeneral7122
    @korogwegeneral7122 2 หลายเดือนก่อน

    Allah ndio hakimu wa kila kitu.

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 2 หลายเดือนก่อน

    Ushahidi wanini hivi mbona mna tuona mazuzu Sana et. Mawakili mashetani kumbe wapo Tanzania nawaona wakina shadil ack acheni njaaa hiyo niaibu

  • @Ikubho
    @Ikubho 2 หลายเดือนก่อน +3

    The best lawyer on interview

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 2 หลายเดือนก่อน

    Leah! Hii kesi itakuchakaza sana; ngoja tuone.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน +15

    Wakili analipwa na Mama Afande 😂

    • @JenethFrank
      @JenethFrank 2 หลายเดือนก่อน +1

      Haijalishi hata kidogo. Alipwe na afande asilipwe na afande huyo mtoto kapata fundisho ingekuwa fundisho Kwa watoto wanaochukua waume za watu na micheouko inayochukua waume za watu

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@JenethFrank Shetani wa kike wewe

    • @igotv9978
      @igotv9978 2 หลายเดือนก่อน

      umeona eeeee 😅🤣

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@JenethFrank Shetani wa kike

  • @Modey._.Staraxy
    @Modey._.Staraxy 2 หลายเดือนก่อน

    Ukitembea na mwanafunzi miaka 30 ukiiba kuna ukum pia , binti kadhulum haki ya mwanamke alitumia asila tu na wataendelea kuiba wame za watu cz skuiz mabinti wenyewe ndio utafuta wanaume hasa wame za watu hawana kazi zaidi ya kushinda bar kuvuta shisha na mabangi . Basi hata kesi za wanafunzi wafungwe wote mwanaume na mwanamke kama kweli mna thamini haki

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nangoja tuonge mpaka mwisho naukumu yake akimu akishindw kuwafunga maisha awajibike araka

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu wakili kwel ni noma sana..anawatetea majamaa wahovyo

    • @GlorryMariki-ee6dc
      @GlorryMariki-ee6dc 2 หลายเดือนก่อน

      Ona sura kwanza 😢

    • @stylishgenius9886
      @stylishgenius9886 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio wa ovyo kushadadia vitu usivo vijua kiundan Zaid yakuangalia video za ngono

  • @igotv9978
    @igotv9978 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani kisheria mtu yeyote ana haki ya kutetewa na wakili no matter what alichofanya hata kama ataua hadharani kila mtu anamuona , hiyo ndio maana harisi ya sheria sasa, kila mtu ana haki ya kuwa na wakili atakaeweza kumtetea mahakamani, lakini nachojiuliza nani yuko nyuma ya hao mawakili wanaotetea maana si inatakiwa walipwe, nani yuko nyuma yao ???
    ila daaaaah hapo ndio sheria inaponiacha mdomo wazi !!

  • @davibamwe6419
    @davibamwe6419 2 หลายเดือนก่อน

    hii nchi inalindwa kwanza na MUNGU , PILI na MH . DR SAMIA SULUH HASSAN NA JESHI LAKE TATU Wananchi wa tanzania wanafanya maombi sana kwa MUNGU na illi tutaomba sana haki itendeke

  • @uwezomayonko5101
    @uwezomayonko5101 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi siyo wakili wala mwanasheria! lkn ktk hali ya kawaida sikufikiria wala kudhani kwamba kuna wakili ama mwanasheria yoyote ambae angeweza kujitokeza hadharan kama hivi na kuwatetea hao wanyama na wauwaji wa porini! nadhani kuna haja ya kupunguza njaa na tamaa ya pesa! maana ukiendekeza njaa sana matokeo yake inaenda kichwani

    • @rehemamgata224
      @rehemamgata224 2 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @JuliethNgowi-n8f
      @JuliethNgowi-n8f 2 หลายเดือนก่อน

      Njaa haijawahi kumwacha mtu salama hivi wewe wakili huoni aibu hivi unawatoto wewe hivi una dada zakowewe? Hivi wewe nibinadamu wakawaida kweli?mpaka mashetani wamekushangaa ujue

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 2 หลายเดือนก่อน

      Sema huyo Yuko kazini😂😂 anatete tonge, uchanganye na hizi ajira zinavyosumbua hawezi kuacha pesa. Ila naamini kitakachotokea mbeleni anakijua

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu wakili Mambo Kama hayo angalifanyiwa mtoto wake wa kike Bado angaliwatetea wauaji Hawa ? Daah ! Njaa kweli mbaya mpaka ushahidi wa rekodi upo Bado anawatetea

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo lilianzia pale mawakili walipoanza kutumia neno "WATEJA" so tayari wakili kashapa wateja na biashara ndo inaendelea.

  • @CosmaMwale
    @CosmaMwale 2 หลายเดือนก่อน

    Kwhiyo huyoniwakili wanini kwani kipindiwanaendakumbaka yeye alikuwepo aundo njaatu jamani munguanawaona leo kafanyiwa huyobinti kesho atafanyiwa bintiyako ww inaejifanya wakilisijuiutafanyeje

  • @VicentCharles-zk1ky
    @VicentCharles-zk1ky 2 หลายเดือนก่อน

    Mbn wakili unaonekana kuwa na huluma xana hebu fikilia angekuwa mwanao huyo aliyebakwa ungejisikiaje?

  • @SharifaUluti
    @SharifaUluti 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa jinsi walivyo jianika,watanzania tutashangaa Sana Kama watuhumiwa wakishinda less,yaani watuhumiwa wakishinda,basi mbinguni tutafika tukiwa tumechoka Sana.

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du 2 หลายเดือนก่อน

    Iv ushahd ninwann wakat tukio lilikuwa wazi mbonq hii nchi inamambo ya kipuuzi na ww unae jiita wakili unatete nn uwogop hata mungu uwoni hata aibu ww wakat kila kitu kipo waz aisee kuna vitu vinatia hasra kwenye hii nchi ila wabak uko uko wasje kutokq kutakula nao sahan moja

  • @JJKitomary
    @JJKitomary 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo wakili angekuwa mtt wake kafanyiwa hayo angefurahi? Ila ipo siku yatamfika labda Kama Hana watt au Hana mpango wa kuzaa kabisa. Siku hizi malipo ni hapa hapa.

  • @Therapist_kicha
    @Therapist_kicha 2 หลายเดือนก่อน

    Naona iyo kesi iishe tu..maana angekuwa amebakwa mwanaume isingefika hapaa...

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 2 หลายเดือนก่อน

    Ktk kinachonifurahisha kwenye hii kesi ni namna inavyoendeshwa chap chap safisana...hii ikienda namna hii mpaka kufikia next week hao wasenge washanyoa

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn watu wagumu Sana kukataa Hela Sabu Uyu wakili anajua Matokeo Hila pesa inayomwendesha Sasa Apa unatetea Nini ??

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 2 หลายเดือนก่อน

    Upuuz waliofanya hao vijana unatetea? we. Kwan huna watoto wakike. Ama? Unatafuta rana tu kura hela yao ili uwatetee🙏

  • @MariamMbega-n1p
    @MariamMbega-n1p 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa nao mbona cwaelewi mnataka muwatete akinanani.ivi wangefanyiwa watoto wenu mnge watetea hao mbwa.Hakuna kuweka wakiri yyt wakuwatetea hao mbwa

  • @سعدههوام
    @سعدههوام 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani awan ata wasi wasi wana tembea wana vimba jamaniii kaone ako kafupi gis kana vimba yan ako unakakuta kwenye anga zako una katandika nyund ya kichwa kafie mbal

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน +23

    Kweli no one is criminal until he is found guilty 😂🙌🏾🙌🏾

    • @saidsalum6101
      @saidsalum6101 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ubakaji upi wale watano au ninyingine tena

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 หลายเดือนก่อน

      Yes

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 2 หลายเดือนก่อน

      Usishangae wakashinda kesi

    • @omarsalum2347
      @omarsalum2347 2 หลายเดือนก่อน

      CAB RANK RULE

    • @VeyraJayden
      @VeyraJayden 2 หลายเดือนก่อน

      Ee MUNGU wa mbinguni naomba haki ya yule Binti ipatikane

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wakatili sanaa wanambaka mtu mpaka anaomba maji wanamnyima kweli mna watetea kweli kweli ,sheria kweli msumeno hamna chenye mwanzo bila mwisho mungu anawaona hao wabakaji na yy ndiye anahukumu kwa haki tusubiri tu

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani watanzania duu,kazi ya kutafsili sheria ni ngumu sana waacheni watu wafanye kaz na haki itatendwa tutalizika binti yetu atapata haki zake.

  • @IssaAlly-d3e
    @IssaAlly-d3e 2 หลายเดือนก่อน

    Mawakil wenyew amna ki2 m2kafanyiwa unyam nyny mnajixhauli tendeni aki

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 2 หลายเดือนก่อน

    ila Jmn 🙌 Kuna Watu wana damu kali jmn 😢mabinti wengi TU wanabakwa ila Huyu msichana imegusa wengi

    • @FrankKajwaula
      @FrankKajwaula 2 หลายเดือนก่อน

      NA KUMBUKA IMEGUSA WENGI KWASABABU YULE ALIYEWATUMA YUPO HUKO NA ANACHEO

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mawakili kwan vip alafu kwan mnamtetea nani?

  • @RamadhaniHamza-w7l
    @RamadhaniHamza-w7l 2 หลายเดือนก่อน

    Chamsingi ni sis watanzania tubadilike tuwe na maamuzi kama Kenya,

  • @JanetyDaud-ts7ur
    @JanetyDaud-ts7ur 2 หลายเดือนก่อน

    🎉kwanzia wakili mpaka watuhumiwa jera maisha

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 หลายเดือนก่อน

    kweli pesa ilimuua hata masihi ,lakini kumbukeni nyinyi ni watanzania wenzetu kabisa ,mnakosea sana

  • @ImamHassan-v1z
    @ImamHassan-v1z 2 หลายเดือนก่อน

    We Kuma kweli unatetea nini angefilwa mamayako ungewatetea wafiji ao

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa 'Media binafsi ninaomba sana binti aliyebakwa siku akitokea mahakamani alindwe sura yake isije ikaonekana kwenye kamera Tumhrumie Nanyi watanzania mliosoma sheria naomba musaidieni hata kwa kujitolea, Mungu atawalipa kwa hili moja.

  • @jeromytz6267
    @jeromytz6267 2 หลายเดือนก่อน

    Mara ya pili namuona huyo jamaa mweupe mwembamba anaonekana akicheka what means

  • @DEVIKABALA-k6w
    @DEVIKABALA-k6w 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani uyo aliwatuma kwanza na yeye afanyiwe ili aone tam au chungu?

  • @hyy4114
    @hyy4114 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu wakili mungu atakupa adhabu ya hapa dunian mpk akhera ya nn kujivsha uwakili kwa hawa walomdhalalisha mdada wa watu angekuwa mtoto wako kafanyiwa Hivi ungepata nguvu ya kuifanyia kaz huo uwakili wako???

  • @OsmanDembele-z7h
    @OsmanDembele-z7h 2 หลายเดือนก่อน +46

    Wewe wakili mungu anakuona acha njaa unatetea nini xaxa apo

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 2 หลายเดือนก่อน +6

      😂😂mbona povu unajua kazi ya wakili

    • @NakkuAnderson
      @NakkuAnderson 2 หลายเดือนก่อน +5

      Wakili ni msenge Kama hao maafande

    • @FatmasaidhamesaHamesa
      @FatmasaidhamesaHamesa 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kama njaa kito kibaya

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 2 หลายเดือนก่อน +4

      @@NakkuAnderson 😂😂😂hapo ni wajibu wake sema ata yeye wakili anajua kwamba hao lazima wafungwe sema yeye anafuata pesa maana haji bule

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 2 หลายเดือนก่อน +2

      We jamaa ndo mambo ya sheria yalivo usitaharuki😅😅😅

  • @RahmaAlly-rk4xs
    @RahmaAlly-rk4xs 2 หลายเดือนก่อน

    Loooh unawatetea watu waliomjima binadamu mwenzao majii loooh so sad...😢😢

  • @BadrunHaidary
    @BadrunHaidary 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaan Wamemlawiti mtu alafu wanadundika na kutamba hawa walitakiwa kuuwawa ili kuwa Mfano kwa wengine

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanajesh gan mfupi ivo

  • @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
    @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 หลายเดือนก่อน

    hivi kweli hata weye wakili una hakili timamu kweli unakwenda kutetea wabakaji Kama hao anyway mkishindwa kuwahukumu waachieni waje uraiani mamae zao kifo kinawahusu

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyinyi mawakili wa utetezi mnatetea watu waendelew kubaka watu au😢

  • @abdulimecksoni2424
    @abdulimecksoni2424 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwani alebakwa yuko wapi aje atoe ushiadii watu wale kambaa basii mbona maelezo mengii duuu

  • @mariamibrahim459
    @mariamibrahim459 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni mm tu au hawa watuhumiwa wanaonekana km wameadiwa jambo maana hawana shida

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyongwe hadharani mambwa yasiyo na aibu. Hiyo siku mlipewa dili chafu na la kifedhuli kiasi hiki ni heri mngepata ajali mkafa kabla hamjafika kumfanyia binti mdogo kama yule unyama usiolezeka. Mnyongwe hadharani iwe fundisho

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 2 หลายเดือนก่อน

    Hii scandal kweli imempata wakili,jaman hata moyo wakibinadam hana?looo hata aibu Hana kabisa,babamzima macho makavu kutetea uovu wkt kila mtanzania kaumizwa na hili jambo.

  • @RahmahossseniMadandi
    @RahmahossseniMadandi 2 หลายเดือนก่อน

    Muulize yy anatetea nn apo tumwambie alete points

  • @mussamdoe4619
    @mussamdoe4619 2 หลายเดือนก่อน

    Nendeni zenu kwanza haotunataka kuona wamefungwa maisha we wacha maneno yako

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 2 หลายเดือนก่อน

    Ujana maji ya moto. Yani walikuwa wanaona wanafanya jambo la kawaida, ila inaweza kuwakost maisha jela😢

  • @soomoche
    @soomoche 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa ujumla Dodoma kuna shida. Watu wengi sana hutishiwa kufanyiwa maovu na watu wenye hivyo vinafasi. Taarifa zinatolewa polisi lakini hazifanyiwi kazi kwa watuhumiwa kukamatwa na kuwajibishwa. Mwisho wa siku hao waovu wanatekeleza maovu yao kama walivyokusudia. Ndio hayo matokeo yanaonekana sasa.

  • @happymollel4690
    @happymollel4690 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani Afande yupo wapii??tunaka uyo aliewatuma hao vijana nae akamatwe bilaivyo kitaumana

  • @ChristopherAmwago
    @ChristopherAmwago 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu atuepushe na unyama wa namna hii kwani tuna watoto wadogo wanakua ila tu kwangu mie kama nawakuta live nina bunduki nawaua wote kinachofata hata nikinyongwa sawa tu.

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 หลายเดือนก่อน

    Njaa tu. Unatetea nn?

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 หลายเดือนก่อน

    Sheria ni kitu cha ajabu sana, yaani anajitokeza mtu na kujitangaza hadharani kuwa ni wakili wa UTETEZI, hivi unawateteaje watu kama hao?

  • @anushkabarvat3924
    @anushkabarvat3924 2 หลายเดือนก่อน

    Vijana wa hovyo sana Hawa

  • @zainabsabas1807
    @zainabsabas1807 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba Anasura ngumu aisee 😂😂😂😂😂

  • @AgnethaKapinga
    @AgnethaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo mana nchi yetu haiendelei kwa sababu ya ufisadi

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mlishajipanga kitambo na mawakili. Mungu ingilia kati kuna jambo hapa

  • @AthumaniAmiri-fv5zp
    @AthumaniAmiri-fv5zp 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wengi wanamtukana wakili na kumlaumu bila kujua kama wakili ni mfanya biashara tu kama bakhresa na hapo yeye yupo kazini ktk biashara zake na pia hata kama uue uonekane na kila haiwi sabab ya wewe kutoweka wakili akuteteee
    Tanzania na watanzania tunahitaji pia tupewe elim ya sheria kwa ajili ya kuzijua haki zetu za msingi especialy hizi za kimahakama

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akamuadhibu kila mmoja atakae tete kesi hii

    • @JenethFrank
      @JenethFrank 2 หลายเดือนก่อน

      Ila wewe unaeomba wengine wakapatwe majanga wanao Mungu awapige watembee na waume za watu wapatwe madhila hata kulogwa magonjwa yasiyoeleweka tuone utafanyaje. Kwa nnmuangalie upande mmoja

  • @Niika870
    @Niika870 2 หลายเดือนก่อน

    Hiv hawa wasenge nao Wana wakili?

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu wakili angefirwa kidogo akaona uchungu halafu akaja kutetea hao mbwa 😢😢😢😢

  • @OlpaJoyce-sr4iq
    @OlpaJoyce-sr4iq 2 หลายเดือนก่อน

    Ushaid gan unatak akat wenyew wamejirekod nawatanzania wot nimashaid

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alafu ushahidi Gani unaotakiwa apo sasa😢😢 kila kitu kimeonekana alafu mnataka ushahidi Gani?😢😮

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 หลายเดือนก่อน

    Kwann watuwasiingie kwakuwa walichokifanya nichasiri sio mbona walijirusha kwenye mitandao

  • @JamilaSaid-we7rk
    @JamilaSaid-we7rk 2 หลายเดือนก่อน

    Jinga hiliii unatetea nn na kitu kiponwaz jmn mbona hivyoo

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 หลายเดือนก่อน

    harafu ninyi waandishi sisi hatutaki muwahoji hao wanaojiita watetezi mnawapeleka mjini kipuuzi waacheni wateteee wenye dhambi gizani

  • @omarry-x1z
    @omarry-x1z 2 หลายเดือนก่อน

    Yani hao mbwa bia wanakua na wakiri sasa huyo wakili anatetea Nini wakati kila kitu kipo wazi dah Dunia hii🤔🤔

  • @edsonleonci5113
    @edsonleonci5113 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa vijana wamepata wapi hela ya kuweka jopo la wanasheria takiribani 5 😮😮😮😮 dah au afade kaweka

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 2 หลายเดือนก่อน

    Mahakama ya UMMA inawasubiria . Adhabu yao tayari umma unayo.