Haki musirudi nyuma na musitengane tena just keep going tulikuwa tumemiss such songs heri murudishe nyimbo kama hizi zilikuwa zikituliza akili ya mtu ,waao aslay team bigul boys
Mawazonya kizama hata Katelatee ya koffi olomide ilivunjika, ni sawa na kusema Fally ipupa arudi kwa koffi haiwezekan washakuwa wakubwa kila mtu aendelee na mishe zake waje wengine wajitafute. Mnataka wakae pamoja hadi wazeeke unafkiri kufanya kazi kama group ni kazi rahisi? Leo umrudishe harmonize kwa Mondi haiwezekan
Haki musirudi nyuma na musitengane tena just keep going tulikuwa tumemiss such songs heri murudishe nyimbo kama hizi zilikuwa zikituliza akili ya mtu ,waao aslay team bigul boys
Piga mziki wa kibongo fleva.❤sasa murudishe hiyo bendi.vizuli sana my brothers.
BEKA,ENOCK NA ASLAY mnaweza Sana bila hata kumsubiria MBOSSO, hakika mkiungana tena mtafanya vyema zaidi kwa kuwa vichwa vimekomaa kwasasa sana
Hadi raha lakas za asly hapa to much love from kenya ❤❤❤
YAMOTO BAND, Msikubali kuachia, rejeeni kwa pamoja WA 3 mnaweza, mko vizuri Sana tena sana, njoooni tena
Pole sana Chiba Allah awasaidie kwa kila kijambo muludi kama zamani
Nimefulahi sana kuaona Tena yamoto band wakiwa wako pamoja ❤❤❤❤❤❤
yani huu upendo mulompa chiba mungu awazidishie ya moto for life
Nimeipenda iyo
You guys hav kill it without mbosso plzz mshkane mrudi kw game cz we hav a miss a live concert like this❤❤❤❤❤
Wow! Get back guys,we have missed you
I,m very very happy to see you again
Hata bila Mbosso..Hao wanangu watatu nizaidi ya Moto..Wasafi watajificha...itakuwa Bora Aslay,Enock na Beka wafanye kazi pamoja..
Pitia frm254💥💥
Mtafika mbali mkiamua kuregesha YA MOTO BAND... Barikiweni haki🙏
Three person on fire
From 254ke.Hat the band❤❤
Diamond ndo kamaliza yamoto msenge sana huyo
Mbosso nimezama katika kinakilefu yabahali yamapenzi
Waooo karibuni tena ❤❤❤
Pliz regesheni bendi
bora tu murudishe yamoto band yetu😭
Munapendeza sana kwanini musiikale muzungumuze murudi fazi moya ata kama mbosso haiko munatisha sana Kabisa 🇨🇩 Congo
Gostei de ver yamoto Band juntos. Parabéns Aslay, Enock Bella e flavor
❤naomba jibu yenu wasanini, kwanja ni-ni iliwatenganisha? Muwe hâta watatu ivi basi
Clouds mungu atawalipa siku moja kwa kulivunja hili kundi dadeki zenu
Mungu Yuko Bize.....
Nani alikwambia cloudz walivunja kundi😂😂😂😂
@@sakaraboy8951😂😂
@salymkingungo5229 kwa asilimia 100 nani aliekuwa anamzululisha na nandy kwenye matamasha uchwara baada ya kutoka ya moto band
Ujielewi dangote kavunja kundi la ya moto Kwa kutembea na tessy
Mbona kama wana mapokezi mazuri?
Kwanini wasifanye jambo baada ya hii show, I wish it to happen
Minakuona brother muenye Iko na voice basse
Good wadogo zangu da mlikuwa wapi nyinyi da sikaneni nyota yenu ni moja mkiwa karibu mtafanya makubwa
mnaweza bwana pigeni kazi mko vizul mi nawakubali
Aki awa warudi tena nawapenda sana ata jana nimesikiliza hizo nyimbo nikijiongelesha si awa vijana warudi kana zamani
Hawawezi kurudi
Kwakweli wanatutesa sie tuliowapendaga!
😢😢😢kabisa ata kama watakuwa watatu ya moto band bado iko hijavunjika
Mboso ndo anajiona star haezi jumuika na wenzake sio,
Am happy to see you again guys
Safi sana ❤❤❤
Mbosso atarudi kweli mumependeza
Diamond ndio chanzo cha utengano wao ,,ona mbosso hakuja😭
Huo wivu na chuki cjui kama ndo yawapa pumzi na pia ndo itakayowazika c elewii, mungu yupo lakini
@@metrineomega1635 😭😭
@@metrineomega1635 waambie ukweli ndugu wanachuki na diamond wakati mwenyewe hana baya ndo walimwengu hawo
Mwishoe ufe kabla ya wakati kwa kijiba Roho 😂😂😂😂😂
Yaani mngejua jinsi wengi tunapenda mrudishe kundi na hela mngeIpiga haswa! Sasa huo ujuaji wa peke peke ndo mnapoukosa ushindi shauri zenu! 😊
Ni Kama myoyo yetu inadanana aki,,wacha 2
I m happy walai na mzidii kua n iyo roho
Mbona wasirudi kama zamani ata hawa watatu wanatosha kurudisha yamoto
Exactly kabisa wanatosha ....
Bravo les garçons bien assuré 💪💪💪👏👍👍 ils et on mbosso ?
C'est dommage bravo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎩🎩🎩❤️❤️❤️❤️❤️❤️💥🎼🎤🎉🦹♂️🦹♂️🦹♂️🦹♂️
Umoja wa watu wenye kuthumia nguvu za kiza ndio walio vunja hili kundi wanajijua but I hope mthaludi wakali
Good brothers
❤❤ We miss yamoto band
Jamani hebu rudin Tena mfanye kazi Angalien mlivyopendeza mkiimba pamoja Rudini
Tunawapena saana mko mnapendana mnapendana saana
minahisi sony au rock Star wafanye jambo kwa hawa watu 🙏🏿☺️🔥🔥🔥
Jmn mungu nimwema siyamini mungu wabalik sn musitengene tena jmn ladi laha😅😅😅😅
💥🔥✊
Mbosso yuko wapi sasa
mboso cjui anakwama wapi jamani
Saivi vibonge wote😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamanii mbona mbosso hajaja amejitenga na wenzie,Hajui kabla ya kuwa kulee alianzia hapa.?😢
Mda ukipita umepita they can't be like they used to be
May god bless you natamani murudi kama zamani
Haki wakirudi nitalala viyatu😂😂😂😂🌹🌹🌹💕🇧🇮
My heart Hawa warudi walai
Hadi raha🎉🎉🎉🎉
Enock bela jamani rudi pammoja plz hata nyinyi watatu munatosha
Jamani sijui hasad ama uchawi uliwapata hawa vijana na band yao
Jamaa wanajua kuimba live band mpaka wanakeraa
mbosso a.k.a sele amegoma kuja kurudi nyumbani
Mbosso hajaja
Mawazonya kizama hata Katelatee ya koffi olomide ilivunjika, ni sawa na kusema Fally ipupa arudi kwa koffi haiwezekan washakuwa wakubwa kila mtu aendelee na mishe zake waje wengine wajitafute. Mnataka wakae pamoja hadi wazeeke unafkiri kufanya kazi kama group ni kazi rahisi?
Leo umrudishe harmonize kwa Mondi haiwezekan
❤
I love yamo band
Hawa watatu wanapendana sana lkn kuna mmoja anajiona sana
Hamna wote wako sawa
Mkataba unambana
Sio kujioni elewa kuwa chini ya Management
Ama kweli utengano ni udhaifu,,ona sasa wengine vyenye mmetokomea😭 heri mngebaki Ivo Tu,,sai tz hakungekuwa nampinzani,, lakini ona sasa😭
Good sana.yamoto
Imependeza
yani mziki ulikua kwao tu mungu awajalie
Kabisa yaan daaa 😊nawamiss❤️❤️❤️💪💪
Wapo vizuri Sana wapekee maua yao🎉🎉🎉🎉
Mkiungana ivyo mtafika mbari sana japo mboso ayupo kwa nafasi yake lkn nyie pambaneni tu
Fitna mbaya sna zmefanya band zinadharaulika ila duh
i love this
Rudin khaaa
Burundi...tupo pamoja nanyinyi...mfanye nguvu muludiane plz tunawaomba
Aslay rudisheni yametoka bandi mbona watatu tuu mnatosha
Aslaya alileta ujinga wakutenganisha hili kundi ety kila mtu ajitegemee kwa kua alikua kiongozi na alikua vizuri
Una uhakik au unalopok tu ili mradi nawe umecoment
Nani kakwambia? Ama umbea tu
Mlikuwa mnajuwa kunipa maraha
🎉
Safi dogo
Yamotoo band motto kabisaaa
mmoja ndio hayupo
Mnawadanganya
Kundi hilo lilikuwa nzuri sana rudini jamani.
Mbona seleman simuoni
Rudini jamani tumechoka nanyimbo zamatusi
Nawaenda sana
Hua mnatupa burudani had bas mulijua kujipanga yan raha kwenda mbele
Natoka Kenya kilifi county pamoja Sana naenda kwa jina mentally aka rough
Upande WA pili watawaletea usoro wao Hawa walivyo tu Wakikomaa watafika mbali
Acha akili za kijinga hao waliomsaidia kuandaa hiyo show huyo aslay ndio ambao waliivunja yamoto band
Wasanii wengi wa Tanzania ni wafupi sijui ni kwanini.
Wamekuwa wa kubwa
Band irudi hii
😢Tuna wapenda sNa
Kelele tupu..msanii ni mmoja Tanzania. Diamond platnumz
Sasa diamond anajua nini fala wewe
Diamond nyimbo zake hazina hata mafunzo hazieleweki kukata mauno kama taarabu za adija kopa
NDoto langu Lina timilika
Bigapu san
Warudishe kundi lao
Rudisheni kundi tuuu