BREAKING: PUTIN NUCLEAR LAZIMA ITUMIKE, AYAONYA MATAIFA YANAYOIPA SILAA UKRAINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Check more here: bit.ly/3yrpH70
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 16

  • @habari-24
    @habari-24  4 วันที่ผ่านมา +1

    Kutazama Video Zaidi Jiunge Whatsapp Channel yetu apa👇👇 whatsapp.com/channel/0029VaCS0RC84OmDyyoduI0S

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakukubali urusi nawewe ndie kiongozi unae jielewa piga mashoga hayo

  • @ByaombeMwami-d3o
    @ByaombeMwami-d3o 3 วันที่ผ่านมา +1

    😂😊

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 3 วันที่ผ่านมา

    Kinukishe usiwe mnyonge😊😊😊😊

  • @conradjunior5940
    @conradjunior5940 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mikwara 😂

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw 3 วันที่ผ่านมา

    Safi Putin baba

    • @LAZAROSEBASTIAN-j8p
      @LAZAROSEBASTIAN-j8p 3 วันที่ผ่านมา

      Ukweli uko wazi hii vita anapigana nato kwa kumtumia zelensyk na serikali yake na zelensyk aliwekwa makusudi ili baadae aje aende tofauti na urusi ndomaana kakomaa sana coz nyuma yake kuna nguvu kubwa! Urusi anapigana vita ngumu sana na poa hataki kutumia nuclear ila ana uwezo wa kifanya ivo na sema anaogopa madhara yake ata wao wanakuwa kama na huluma pia nuclear ni raisi kuitamka lkn ni silaha haribifu sana kwa maisha pia itazuka vita kubwa sana! Na nato lazima watimize mission kumzima mrusi ambae ndio mbishi alietayari kutetea anachoamini.

  • @patrickJosse-t7h
    @patrickJosse-t7h 3 วันที่ผ่านมา

    Siye yetu macho

  • @EshimaelKenguje
    @EshimaelKenguje 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huo ni woga

    • @steveanthon5523
      @steveanthon5523 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Marekani alipopiga hiroshima na nagasaki alikuwa nishujaa?? uwe unafikilia kabla ya kuongea, Nato unaweza kupigana nayo kwa silaha za kawaida ukaweza? nato wapo wengi na marekani ikiwemo, ingekuwa ni nchi nyingine tayari tungeongea mengine maana Nato ni tishio, alafu kama ni uwoga kwahiyo walitengeneza nyuklia ili wazitunze? nyuklia inatumika kama taifa lako lipo hatarini kuangamizwa, Nato wanaipa Ukraine kila aina ya silaha kuiangamiza Urusi, je unataka Urusi akae wamuangamize yeye na hizo nyuklia zake? inakuwa namaana gani sasa kuwa na nyuklia ikiwa watakuangamiza bila wewe kuzitumia?

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl 3 วันที่ผ่านมา

    Apime ata jioneya mwenyewe urusi ita poteya katika ramada ya ulimwengu

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂hvi unajua vizuri urusi au

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 2 วันที่ผ่านมา

      hao nato wanajua ndomana hawatki kuingia moja kwa moja

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 2 วันที่ผ่านมา

      hao nato wanajua ndomana hawatki kuingia moja kwa moja

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 2 วันที่ผ่านมา

      hao nato wanajua ndomana hawatki kuingia moja kwa moja