Mfumo wa usajili wa magari nchini Tanzania unafuata mfululizo wa herufi ili kudhibiti idadi ya magari yanayosajiliwa. Kila herufi inawakilisha kipindi fulani cha usajili. Kwa mfano, magari yaliosajiliwa mwanzoni yalikuwa na herufi “A” na baada ya idadi fulani ya magari kusajiliwa, mfumo ulipanda hadi “B”, kisha “C”, na sasa "D". Mfumo huu unasaidia kuweka rekodi sahihi na kurahisisha utambuzi wa magari. herufi “I” na “O” hazitumiki kwa sababu zinaweza kuchanganywa na namba 1 na 0
Plate namba hizi hutumika kwa magari ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Magari haya ni ya kijeshi na hutumika kwa shughuli za ulinzi na usalama.
Mabasi ya abiria nchini Tanzania yanaweza kuwa na plate namba zenye rangi ya njano kwa sababu tofauti. Kwa kawaida, plate namba za njano hutumiwa na magari ya serikali, viongozi wa serikali, na taasisi za umma. Hii inajumuisha magari yanayotumiwa na Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, na viongozi wengine wa juu. Kwa hiyo, kama mabasi hayo ni mali ya serikali au yanatumika kwa shughuli maalum za serikali, yanaweza kuwa na plate namba za njano badala ya nyeupe.
Magari ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yana namba za usajili zenye herufi RAC kwa sababu hiyo ni namba maalum inayotambulisha magari ya shirika hilo1. Herufi RAC inasimama kwa “Railway Corporation,” ikionyesha kuwa magari hayo ni mali ya Shirika la Reli Tanzania. Kwa upande mwingine, namba za usajili zenye herufi SU hutumika kwa magari ya Serikali ya Tanzania kwa ujumla, lakini sio maalum kwa shirika la reli.
Thanks you and carefully for job
Good knowledge
asante kwakutupatia elim
🙏
Una content nzuri lakn angalia jifunze matamshi ya maneno ya kiswahili kwa usahihi sio Hafya sema Afya! Unachanganya sana "H' mahali kusipifaa!
Shukrani sana
Asante sana kwa Elimu kubwa hii, -💪💥💥💪
Ahsante endelea kutufuatilia zaidi
Elimu nzuri sana ahsante sana
Ahsante pia
Hongera umetoa elimu bora
Ilikua napata maswali zina maana gani ila sasa nimejua
Karibu
well done
Thanks
Hii nielimu kubwa sana asanten
Karibu
Asante sana bro
Pamoja
Asante nimejifunza sana
Ahsante
Ubarikiwe sana 🎉🙏
Amina
Ujifunze na kiswahili vizuri, sio hafya ni Afya,sio maakama ni Mahakama.
👍
🎉Sawa kaka
🙏
Asante leo umenisanua 🙏🏼
Karibu
Nzuri kaka jpo imekaa for beginners, ungeingia deep kidooogo, the rest kazi nzuri keep learning na kupambania unachokipenda
🙏
😅nice one#
🙏
Hapo kweny UT umetupiga sasa sijui n uwoga wakusema au haujui mana umesema ni uhamiaji wakati sisi tunajua n usalama wa taifa
😄
Usiseme ‘sisi’ sema ‘mimi’ 😃😃. Maana yupo sahihi
@@rubaramarando8263 are you sure
Ukiwa hujui kitu upunguze ujuaji😂😂
Big time
🙏
Kwa Zanzbr ni tofauti kidogo. Rangi nyekundu ni za biashara kama abiria. Njano mizogo. Nyeupe ni binafs haitumiki kibiashara
Ahsante kwa elimu hiyo
❤❤❤❤
🙏
Asante
🙏
DFP ni Donner Funded Project na sio Founded Project
Ahsante sana kwa marekebisho
Nimelewaa
Shukrani
Unatengezas kwa shilingi ngapi
Fika ofisi za TRA watakupatia maelezo
🙌🙌🙌🙌
🙏
Elimu kubwa hiyo
👍
Hizi ndo channel za kufatlia, haya ndo mambo tunahitaji
Shukrani sana
Kumbe SM sio Skia mama
😃
Mi nilijua sigara sweet menthol
Ongea kawaida usivute herufi za mwisho
👍
@@Fmbtv255 unaongea kama joji marato, sauti za wazee wetu, hii n 2025 ongea kama gen z kwa energy
Ssafii
Ahsante sana
Review kuhusu STK tena ?
Sawa
Umenifungua ubongo 🎉
Shukrani
Wangeondoa huo mkanganyiko namba zimekuwa nyingi na hazileti maana, Rais, Jaji Mkuu na Speaker ndio wanastahili.
Wao wameona ni sawa
Hujatueleza maana ya T inayotangulia kabla ya tarakim.
Nimeelezea mwanzo
Mwandishi tusaidie pia kwann magari mengne yana herufi A B C D na E kigezo kipi wanatumia kuzipa hizo herufi, na kwann hamna herufi zaidi ya Hizo🙏🙏
Mfumo wa usajili wa magari nchini Tanzania unafuata mfululizo wa herufi ili kudhibiti idadi ya magari yanayosajiliwa. Kila herufi inawakilisha kipindi fulani cha usajili. Kwa mfano, magari yaliosajiliwa mwanzoni yalikuwa na herufi “A” na baada ya idadi fulani ya magari kusajiliwa, mfumo ulipanda hadi “B”, kisha “C”, na sasa "D".
Mfumo huu unasaidia kuweka rekodi sahihi na kurahisisha utambuzi wa magari. herufi “I” na “O” hazitumiki kwa sababu zinaweza kuchanganywa na namba 1 na 0
@Fmbtv255 🙏🙏
Utaratibu kwenye usajili TRA zilianza namba A,zikafuata B,zikafuata C na D,sasa inafuata E
KWANINI HAKUNAGA HERUFI "i" KWENYE MAGARI AU VYOMBO HYOVYOTE VYA USAFIRI??
Mwanzo,kati au mwisho?
DFP sio donors founded project........ ni Donated fund project
Ahsante kwa marekebisho
Namba zenye herufi JU za kijani, nani hao
Misitu na TANAPA hai,kirefu chao ni JESHI LA UHIFADHI (JU)
Plate namba hizi hutumika kwa magari ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Magari haya ni ya kijeshi na hutumika kwa shughuli za ulinzi na usalama.
JU ni Jeshi la uhifadhi. Km TANAPA, TFS, TAWA
m sisemagi kitu 😂😂
Alaa kumbe
Ndio hivyo
Vp
Poa
Mkn
Pamoja
Mbona mabasi ya abiria mengine yana plate za njano?
Mabasi ya abiria nchini Tanzania yanaweza kuwa na plate namba zenye rangi ya njano kwa sababu tofauti. Kwa kawaida, plate namba za njano hutumiwa na magari ya serikali, viongozi wa serikali, na taasisi za umma. Hii inajumuisha magari yanayotumiwa na Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, na viongozi wengine wa juu.
Kwa hiyo, kama mabasi hayo ni mali ya serikali au yanatumika kwa shughuli maalum za serikali, yanaweza kuwa na plate namba za njano badala ya nyeupe.
Hujasema zenye namba zinazo anza na JU
Ahsante kwa kunikumbusha
JU ni MALIASILI
Au jeshi la uhifadhi
Jeshi Usu
Kwa nini Magari ya Shirika la reli nI RAC na sio SU ?
Magari ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yana namba za usajili zenye herufi RAC kwa sababu hiyo ni namba maalum inayotambulisha magari ya shirika hilo1. Herufi RAC inasimama kwa “Railway Corporation,” ikionyesha kuwa magari hayo ni mali ya Shirika la Reli Tanzania.
Kwa upande mwingine, namba za usajili zenye herufi SU hutumika kwa magari ya Serikali ya Tanzania kwa ujumla, lakini sio maalum kwa shirika la reli.
Helufi JU ni jeshi la uhifazi yani kama tanapa tfs tawa
👍
Kuna vitu unasahau Incharge
Vitu gani?
DFP(Donor Funded Project)
Shukrani kwa marekebisho
Na MMM Je!?
😃
Ngoja niifanyie utafiti
Asante
🙏
Asante
Karibu