Ujio wa MALCOM X Tanzania 1964 (SizPod 1 ep 8)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Moja kati ya mdahalao uliowahi kufanyika kwenye chuo kikuu cha oxford ukabaki kwenye historia ya wengi ni ule ambao alishiriki Malcom X tarehe 3 Dec mwaka 1964.
    mdahalo ulienda kwa hoja ya siasa safi katika kudai uhuru sio nzuri, siasa kali katika kutafuta haki ni poa.
    malcom x alishiriki katika upande wa kutetea, lakini licha ya umahiri wake wa kuzungumza aliishia kushindwa kwa kura kadhaa na mtu aliyekuwa anashindana nae...
    harakati za Malcom X ni moja katika ya masimulizi yanayofurahisha sana.
    #history #malcomx

ความคิดเห็น •