Asante mtumishi wa MUNGU mahubiri hayo hakika yananiondoa kwenye maombi yenye ubinafsi na choyo ya kujifikiria mimi tu na familia yangu. Amina sana. Sifa na utukufu tumrudishie MUNGU peke yake ambaye ameweka vipawa vyema ndani yako mtu wa MUNGU.
Zaidi Mungu mwema,azidi kukupa ujasiri, dunia ya leo inahitaji wachungaji ambao wako tayari, kufadhaika,kuumia na kuteseka au kufa kwa ajili ya Yesu. Mungu akupe miaka mingi
Paul Semba, Pr of my choice.Hakika unanena manenobyatokayo juu,Kwa ujasiri Tena bila kutetereka, KWELI LAZIMA isemwe. Natamani tu one day nikuone na kukusalimia live. Nakuombea daima,barikiwa sana
Asante mtumishi wa MUNGU mahubiri hayo hakika yananiondoa kwenye maombi yenye ubinafsi na choyo ya kujifikiria mimi tu na familia yangu. Amina sana. Sifa na utukufu tumrudishie MUNGU peke yake ambaye ameweka vipawa vyema ndani yako mtu wa MUNGU.
Barikiwa Sana Mchungaji
Zaidi Mungu mwema,azidi kukupa ujasiri, dunia ya leo inahitaji wachungaji ambao wako tayari, kufadhaika,kuumia na kuteseka au kufa kwa ajili ya Yesu. Mungu akupe miaka mingi
AMINA
Mchungaji nimepata Imani kubwa sana kwa some hili Nami nakuombea mema
AMINA
Amen
Ubarikiwe pr Paul Semba, 👉 katikati ya mashaka waweza kupata imani.
AMINA
pastor hua unani inspire kua mchungaji kwasababu hua unazungumza ukweli mpaka raha
Mungu azidi kukubariki mtumishi
AMINA
Nimebarikiwa na somo hili
Amina Mungu akubariki mchungaji
Mungu akubariki pastor.
Ubarike mtumishi wa Bwana
AMINA, NA WEWE PIA
Natamani jeuri hii niwe nayo yan jeuri ya iman kwakuwa huwa ni zaidi ya chochote haitishwi
AMINA
Nami natamani, Bwana na aniwezeshe
Spiritual pr
Ameen
Paul Semba, Pr of my choice.Hakika unanena manenobyatokayo juu,Kwa ujasiri Tena bila kutetereka, KWELI LAZIMA isemwe.
Natamani tu one day nikuone na kukusalimia live.
Nakuombea daima,barikiwa sana
MUNGU WETU ATATUJALIA SIKU MOJA, BWANA WETU YESU KRISTO AZIDI KUKUBARIKI
Bwana awe pamoja nawe pastor.
AMINA, IWE HIVYO NA KWAKO PIA
Amen.
Amina
Be blessed Pr.
Pastor Mungu akubariki nabarikiwa sanaa
AMINA
Amen pastor.. I'm following
AMEN