HARMONIZE ampa SHAVU aliempeleka IBRAAH studio kwa MARA YA KWANZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2020
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
Mansh'allah hamo nakupenda buree kaka unavyo shika mukono watu kama ulivyo shikwa nawewe allah azidi kubariki kazi yako🙏🙏🙏
Harmonize unanifurahisha sana kwa kuwashika wenzio mikono hakika na mwenyezi mungu atakuzidishia sana
Mungu abariki kazi za mikono yako
Fresh Sana harmonize
Bless interview
Nashukuri konde uko vizuri mungu akuzidishie
Jamani Mungu akubarik conde boy
Noma
Nice konde boy jeshi
Safi Sana KONDE GANG FAMILY
nasubiri sana kumuona huyo kijana aliyepiga mistari ya singeli
Will poul
Ibraah
Aminia sana konde
Kapew ofa ya pombe
Dah blooo resspect
huyu dada fani ya utangazaji awaachie wenyewe bana anaboa hajui chochote
harmonize nakukubali ila timiza ahadi zako, jamaa arecord kweli maana maranyingi ahadi zako mmmhhh
Harmoniz jeshi
harmo bana😂😂😂😂