Umri gani sahihi kwenda Ulaya, Canada, USA? Je, nimechelewa?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024
  • Je, umechelewa kwenda nje? Au umri wako ni mdogo kila mtu anakwambia subiria? Je, kuna umri sahihi wa kwenda ughaibuni?
    #ebmscholars #ebmswahili #ughaibuni

ความคิดเห็น • 42

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  2 ปีที่แล้ว +6

    Umri gani sahihi kwenda Ulaya, Canada, USA? Je, nimechelewa? Je, umechelewa kwenda nje? Au umri wako ni mdogo kila mtu anakwambia subiria? Je, kuna umri sahihi wa kwenda ughaibuni?

    • @londoninc
      @londoninc 2 ปีที่แล้ว +3

      Na je ? kama hauna elimu ukienda ughaibuni / Ulaya, Canada, USA kwa ghalama zako unaweza kupata kazi ya kufanya ?

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog 2 ปีที่แล้ว +1

      @@londoninc Ukishika hukosi cha kufanya. Kazi kama za kusafisha, waiter zipo nyingi

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 2 ปีที่แล้ว +9

    Me nilienda Canada nikiwa na miaka 20. Nilikuwa naenda chuoni. Kwakweli naweza Sema isingekuwa kuwa na malengo kwanzia mwanzoni kutoka kwa wazazi na Imani yangu nahisi nisingeweza kufanikiwa. Umri usiwe kikwazo sana, uwe tu na lengo. Umeelezea vizuri sana.

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea vzur sana kaka EBM

  • @festongonyani152
    @festongonyani152 2 ปีที่แล้ว

    Sawa kaka...
    Asante Kwa ushauri mzuri

  • @martinbarasa3442
    @martinbarasa3442 2 ปีที่แล้ว

    Getting information dats very nice

  • @EliasKimpwi
    @EliasKimpwi 11 หลายเดือนก่อน

    Habari kaka nakuelewa sana

  • @youtub8320
    @youtub8320 2 ปีที่แล้ว

    Ktk mazingira na maisha yalepale. Nakukubar sana mwamba

  • @movingwheels26
    @movingwheels26 2 ปีที่แล้ว

    Asante saana, ujumbe mzuri

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda video zako: Nyingi zao ni fupi and then they make alot of sense

  • @djksevenmovies
    @djksevenmovies 2 ปีที่แล้ว

    Elimu nzuri sana kaka mungu akubaliki

  • @bensonculture2947
    @bensonculture2947 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipo Ndani Mkuu

  • @augustineswai5174
    @augustineswai5174 2 ปีที่แล้ว

    Your more than a teacher! Live longer brother!

  • @OckendenMkandawire
    @OckendenMkandawire 2 ปีที่แล้ว

    Bro asante sanaaaaaaa... Yani Mungu akubariki mnoooo

  • @amirykingoto9123
    @amirykingoto9123 2 ปีที่แล้ว +1

    Noted

  • @sultanseifu2555
    @sultanseifu2555 2 ปีที่แล้ว

    Thanks bro

  • @Akilihq
    @Akilihq 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nakuelewa sana

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 2 ปีที่แล้ว +1

    Shida kuondoka apa tz

  • @jumasaid7643
    @jumasaid7643 2 ปีที่แล้ว

    KAKA safi san

  • @EastAfricansexclusive
    @EastAfricansexclusive 2 ปีที่แล้ว

    Hello, please share the link for Dv lottery, Google zipo nyingi za kitapeli

  • @hellenwanjiru1296
    @hellenwanjiru1296 2 ปีที่แล้ว

    Basi maelezo haya kweli yanasaidia kutwelekeza kiisawasawa sisi tulio makwetu Afrika nchi tofauti tulio na ndoto za kwenda ulaya na kujifaidi pamoja na famili zetu .Twaomba na kusihi Jalali ayaskize maombi yetu sisi wanawe tunao subiri Dv Lottery 2024 tushinde

  • @da2jamhuri418
    @da2jamhuri418 2 ปีที่แล้ว +1

    Ebm vipi mlejesho wa Canada?

  • @laughtv8464
    @laughtv8464 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tunaomba Utufanyie videoclip nyingine jinsi ya ku apply green card ili tusije kosea kujaza wengine tuli download lakini zime futika na ukijalibu kuuitafuta tena hakuna zinakuja za watu wengine please before ifike tareh usika

    • @daprince7545
      @daprince7545 2 ปีที่แล้ว

      Angalia video zake za awali utaona maelezo kamili, jitahidi kufatilia video zake Kwa umakini za mwezi Jana na mwezi huu

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 2 ปีที่แล้ว

    🙇🙇
    .
    🇹🇿

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว

    Wiwachu.

  • @barakanathan_official
    @barakanathan_official 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupata

  • @da2jamhuri418
    @da2jamhuri418 2 ปีที่แล้ว +1

    Kimya kuhusu shabani

  • @joycemalisa2686
    @joycemalisa2686 2 ปีที่แล้ว

    Hi kaka nakuelewa saana,but pls namba unijibu sms zangu nilikutumia via what up

  • @hellenwanjiru1296
    @hellenwanjiru1296 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kifupi Bwana EBM Scholars ningetaka kuwasiliana nawe kwa njia ya rununu if ni sawa nawe nipo kenya

  • @sakinahamza5325
    @sakinahamza5325 2 ปีที่แล้ว

    Vp kuusu Canada ebm

  • @mmbondofilm6229
    @mmbondofilm6229 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nakufuatilia sana ila naitaji kuzungumza na wewe binafsi unaweza kunipa mawasiliano yako

  • @lameckcheloti6998
    @lameckcheloti6998 2 ปีที่แล้ว

    Nina masters, je naweza pata scholarship ya PhD.

  • @mumewangu9307
    @mumewangu9307 2 ปีที่แล้ว

    Wewe unataka tu viewers umekosa kazi za kufanya njaa tu ndoo inakusumbua tu talk no sense to much

    • @alexchungu6263
      @alexchungu6263 2 ปีที่แล้ว +1

      Bora ungemalizia kwa kiswahili tu

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog 2 ปีที่แล้ว

      We nae umetumwa uangalie😂😂😂. Ukiona haikufai usiagalie ila Kuna wengine itawasaidia. WIVU tu

    • @berthatz
      @berthatz 2 ปีที่แล้ว +1

      Umri umekutupa mkono nini ngudgu yangu??🤣🤣🤣Nenda hata Mwanza 😂😂