Naomba tuelewane vzuri,kuna mamcee wanachana ila Kuna dizasta Vina ambae hahitajiki kabisa kutajwa kwenye sentensi Moja na Hao wachanaji wengine,Hadi hivi Sasa tupo kwenye process ya kutafuta sentensi itayomzungumzia Yeye pekeake bila kumchanganya na wengine. Most valuable poet
Dizasta, ni mmoja kati ya wasanii wachache sana wa hip hop ambao wana uwezo mkubwa sana wa uandishi mashairi yenye relevance ya kutosha, discovery na yenye kufikirisha. Sjui anaandika mistari akiwa na mood gani ila jamaa ni smart sana. Anasoma sana vitabu, harudii mistari, Ana Flow nzuri.. kasikilize ngoma zake zote halafu njoo tuzungumze Natumia sana mashairi yake kwenye kufundishia watoto poetry na wanafunzi wanaelewa sana.
Ukwel ni kwamba kuchambua ngoma hii inaitaj kusom kama miaka miwil iv ili uweze kuimaliza kwasabab INA references nyingi sana kias kwamba umu kuna history sayans geograph novo pamaj na vitabu Vingi vilivyochambua dunia na sili zake so hawez kuchambua kumaliz hawa wote respect kwa D
Kabisa hii nimeyilewa saana hongela saana kwa ulichokifanya ili fans wa Dizasta tupate madini yaliomo ndani ya diss hii Hakika ni zaidi ya uwezo wa kufikilika. Fans wake tunaomba hii kazi iendelee ili tuzidi kujua yaliomo ndani ya vibao vya hip hop ya Dizasta🙏🙏🙏
Naomba tuelewane vzuri,kuna mamcee wanachana ila Kuna dizasta Vina ambae hahitajiki kabisa kutajwa kwenye sentensi Moja na Hao wachanaji wengine,Hadi hivi Sasa tupo kwenye process ya kutafuta sentensi itayomzungumzia Yeye pekeake bila kumchanganya na wengine. Most valuable poet
Asanteni kwa support, Uchambuzi zaidi kuhusu kazi za Dizasta unakuja
Naomba contact zako bro
Nangoja uchambuzi w the lost one
Ewaaah ndio kitu natamani kusikia
Yan huyu Vina kumuelewa paka uwe umesoma vitabu vingi sana vyenye mambo mbalimbali ya duniani kote 🙌🤲✊
🔥
Dizasta, ni mmoja kati ya wasanii wachache sana wa hip hop ambao wana uwezo mkubwa sana wa uandishi mashairi yenye relevance ya kutosha, discovery na yenye kufikirisha. Sjui anaandika mistari akiwa na mood gani ila jamaa ni smart sana. Anasoma sana vitabu, harudii mistari, Ana Flow nzuri.. kasikilize ngoma zake zote halafu njoo tuzungumze
Natumia sana mashairi yake kwenye kufundishia watoto poetry na wanafunzi wanaelewa sana.
facts
Aiseeh Dizasta vina ni zaidi Ya rapa Kabisa jamaa anajua vibaya mnoh
Ukwel ni kwamba kuchambua ngoma hii inaitaj kusom kama miaka miwil iv ili uweze kuimaliza kwasabab INA references nyingi sana kias kwamba umu kuna history sayans geograph novo pamaj na vitabu Vingi vilivyochambua dunia na sili zake so hawez kuchambua kumaliz hawa wote respect kwa D
Hapo kwenye heavy element iliyozaliwa baada ya star kufa maana ya pili🤯🤯🤯
Oyaaa dizastaa😂🔥🔥🔥🔥🔥 we jamaa gineus sanaa
2pc kumbe hakufa yuko huku bongo
Namtambua Kijana Dizasta.
Oya weee...mwamba anajua
Baada yakuusikiliza huu wimbo kwamienza mitatu nikajua nishaauelewa kumbe ilikua introduce
This is analysis we wanted
🔥🔥🔥
My best Rapper🔥🔥
naomba uchambuzi wa mwanajua
Dizasta vina wewe ni nondoo🔥🔥🙌
@Dizasta mkali sana jamani
Mwanamzki Bora wa hip-hop bila TMA
That's how yhu narrate Vina's barzzz!! 🔥🔥🔥🔥
thanks
mwamba huyu hap
Mind Blowing emcee 🔥🔥
🔥🔥🔥
Kumbee Wimbo ni liubaka Ani Mwaka mzima nilikuwa sijakuelewa Kama @rapcha Tz Najua nayeye agi now ajauelewa
Single sentence unai analyze full chapter 👍
uyu jamaa uyuu 😮
Dah Yan mi bila kutafsiriwa apa nilikua naomba tu sielewi asanteni sana 😊
🎆🔥🔥🔥
Uchambuzi Uliyotukuka 💪🏾
MTU mwenyewe anaitwa janga....ni balaha
Please tuletee uchambuzi wa mwanajua
Hakika
Kila Mstari Wa D Unautafiti
Brother we ni noma unaweza sana huyo lapcha kajichanganya
Fundiii mmoja
Great analysis
mnachambua vizuri mtu unaelewa kundani
@vanny isikaka njoo uone uchambuzi ulio tukuka huku
Kabisa hii nimeyilewa saana hongela saana kwa ulichokifanya ili fans wa Dizasta tupate madini yaliomo ndani ya diss hii Hakika ni zaidi ya uwezo wa kufikilika.
Fans wake tunaomba hii kazi iendelee ili tuzidi kujua yaliomo ndani ya vibao vya hip hop ya Dizasta🙏🙏🙏
Fasihi ya kiswahili 🔥🔥
Kama haujasikiliza toka mwanzo mpaka mwisho hivyo hauwezi mwelewa
Good good good
Mimi ni mwalimu ila nawaambia waalimu wajifunze kwa Huyu Dizasta Vina. Ada yao nitalipa Mimi. Dizasta ni dizasta la hatari 😂😂😂
Daah huyu jamaa unaweza ukawa unaskilza nyimbo zake kula sk ila usizielewe... Katika wachambuzi woote hyo nime muelewa sana
Teacher DIZASTAR VINA
More than that
U are the best at all❤
Bongo hana mpizani huyu mwamba
mpaka naogopa ...huu uwezowa huyu jamaa ni best of all times.....hakuna kama DIZASTA VINA...we sio malaika we ni mungu wa rap haleluyah
Oyaa nyiee dizasta Vina anajua bwana
🔥🔥
Huyu jamaa nyoko sana wewe ni zaidi ya pele mwamba
🔥🔥🔥
Kwa uchambuzi huu elimu nimepata
Deep sana
Depth Analysis❤
🔥
Tafadhali ni mwaka wa pili mwanajua sija ielewa ulimaanisha nini Tafadhali kaka D nitue mzigo huu kwa uchambuzi w MWANAJUA
Hiki kichwa
Kuna Uwezekano Mkubwa Ķusije Tokea Dis Track Kama Hii Kabisa na ikabaki History
Alien
Illuminati
Mwanajua. tunashindwa kuielewa ndugu tuchambulie
Mwanajua ni magufuli
Dizasta vina 🔥
🚦
Dizasta mwalmu wa kiswahili
Naomba ulete uchambuzi wa nobody is safe 4 tafadhali..
Kumammamammaamamakkkkekekekekekeekekeke DIZASTA ni mchawi
🔥
🔥🔥🔥🔥💪🏾
Huu jamaa ni kicha kimoja ila akili za mtu kama 1000
UMETISHA SANA
Sio Tanzania ni Duniani
NAITWA RAPCHA NIMEKUJA KUSIKILIZA REVIEW MANA SIKUELEWAGA
😅😅😅😅😅
🌹🌹🌹🌹
True
Fasihi tamu saana
🔥
Disaster ni mchawi
Nakubal l
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yah huu ndio uchambuzi wa hii ngoma
🔥🔥🔥
Ule wa sky vip😂
Wa sky sio mbaya ila amepwaya
NIME IPENDA SANA II
🔥🔥🔥
WAPENZI WA HIP HOP ASA YA DIZASTA KUNA TEMBEA KIFUA MBELE
🔥
Hana bahati huyu dogo 😆
🎆🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
Uchambuz makini
🤍🤍🤍
Mchambuz makini
share
Nobody like him
Oya weee...mwamba anajua