TRA WAVUNJA REKODI YA UKUSANYAJI MAPATO, TRILIONI 3 NA BILIONI 587 ZAKUSANYWA NDANI YA MWEZI MMOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 4 วันที่ผ่านมา

    Safi sana TRA staff kwa kazi nzuri ya kiueledi Mungu awahifadhi.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 3 วันที่ผ่านมา +2

    Watakosaje kuvunja rekodi wakati wanatupandishia kodi kila siku bila taarifa yoyote na bila kuangalia kama tunapata faida au hasara.
    Tra ipo tayari kuona Tanzania anafilisika kwa kulipa kodi.

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kati ya Trilioni 3.587, ni percent ngapi ya hizo fedha ni za kigeni? ama zinahusiana na biashara za kigeni? Au ni yale ya Baba kuchukua finyango ya nyama kwenye sahani ya kila mtoto wake....

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 4 วันที่ผ่านมา

    Pia kauli zako zimechangia boss,unaongea vizuri huna baya mtu wa watu nao wamekuheshimu. Hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @bukuruyohane8119
    @bukuruyohane8119 3 วันที่ผ่านมา

    PAYE ipungue, walipa kodi wafanyakazi

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 วันที่ผ่านมา +1

    Siasa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 4 วันที่ผ่านมา +1

    mifumo ya mizuri na kodi iki shuka 18% mpaka 15%kama kenya mtakusanya sana

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 3 วันที่ผ่านมา

      Inapaswa kuwa single digit pengine 9%

  • @majariwabarasokoroza9701
    @majariwabarasokoroza9701 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona ata ishilini mnaweza kupata mkiweka mazingira bora na mkaaacha wizi

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania tumempokea Adani ambaye jirani zetu wananchi wa kenya walimkataa kwa mkataba mbovu wa Airport yao sasa sijui Adani yuko kwenye sekta gani Tanzania

  • @wilberforcewilpower3254
    @wilberforcewilpower3254 4 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni pazuri tunaomba ....mikopo isikopwe, sisi tunaweza wenyewe kwa kodi zetu.

  • @khamisomar889
    @khamisomar889 3 วันที่ผ่านมา

    Suala la kutatua kero za walipakodi hujalizungumza au lipo chini ya bunge lililotunga sheria

  • @Kingo1410
    @Kingo1410 4 วันที่ผ่านมา

    Sawa ndo wafanye mambo ya msingi, Maendeleo ya Nchi sio kujisifu alafu miundombinu ina dorola.

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 3 วันที่ผ่านมา

    Bado hamjakusanya pesa hiyo ni ROBO ya makusanyo target mliyojiwekea ni ndogo msijisifu bado pesa zipo mtaani wafanyabiashara wengi hawalipi kodi! Piteni kijiji hadi kijiji, Mtaa hadi Mtaa mvungu kwa mvungu hakika mtakusanya mpaka mseme basi!

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 4 วันที่ผ่านมา

    Nimwbwetu lkn utashanga ela nyingi inatumika kwenye misafara ya viongozi miradi mingi imekwama kwajili misururu mirefu ya misafara

  • @WakandaInk
    @WakandaInk 4 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo Si mtakuwa amkopi tena au ndo🤔

  • @joviangeofrey6918
    @joviangeofrey6918 3 วันที่ผ่านมา

    Kongole

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 3 วันที่ผ่านมา

    EMBU TUACHENI UTANI KUNA HILI TATIZO LINANISUMBUA UKIVUTA SHISHA AU BANGI UKAPATA MADHARA UTUMIE NINI ILI UPONE MAANA VIJANA WENGI WANAPOTEA KWA KUKOSA MAARIFA KWENYE HILI WANAVUTA TUU KWENYE SEHEMU ZA STAREHE HAWAJUI MADHARA YAKE

  • @HAPPYTADEI
    @HAPPYTADEI 4 วันที่ผ่านมา

    Mathematicians hio efficiency ya 104% imekaaje??😂

    • @deohaule98
      @deohaule98 3 วันที่ผ่านมา

      Yani wamepitiliza tageti walio weka, mfano kama waliweka target ya kupata mapato ya shilling 1000, basi wamepata mapato ya shilling 1040 sawa na 104%. Swali unalotakiwa kujiuliza, je hizi target wanazo jiwekea ni za kweli au ni danganya toto?

  • @deohaule98
    @deohaule98 3 วันที่ผ่านมา

    Kwanini kila siku kuna mifumo mipya kwenye taassisi za serikali. Na Kwanini hakuna mifumo endelevu au agile system approach.

    • @mohamedghasia95
      @mohamedghasia95 3 วันที่ผ่านมา

      kuu hapa unamaanisha nini? je unamaanisha wakitumia agile system approach hawatahama mfumo mmoja kwenda mwingine pale technology duniani zinapobadilika?

    • @deohaule98
      @deohaule98 3 วันที่ผ่านมา

      @ kunatofauti kati ya ku improve system (system upgrade) moja iwe ina fanya kazi zaidi na ku implement completely new system. Mfano simu tunazo tumia, huwa zina fanya system upgrade by adding or removing certain features to enhance performance and efficiency, just incremental (upgrade) changes, hawa ondoi mfumo mzima na kuleta mfumo mpya kabisa ambao uta gharimu kampuni hela nyingi na vile vile uta hitaji large amount of resources ku uwezesha kufanya kazi. Serikali yetu inacho fanya ni ku completely implement new system, kitu ambacho ni kosa kwasababu wanasabisha upotevu mkubwa wa fedha za kodi za wananchi. Na hii ina maanisha serikali ime shindwa kufanya research and development yakutosha kujua system gani wana hitaji na mwendelezo wake utakua vipi (upgrade) kukizi mahitaji ya nchi kwa miaka inayo kuja, ikiwemo kuunganisha mfumo mmoja na mwingine. Software system za karne ya 21 zina cho hitaji ni watu wa kitengo cha IT kizuri kuendelea kuzi develop kwa miaka inayo kuja na sio kila mara ku nunua system mpya.

  • @mugerajakatarama2144
    @mugerajakatarama2144 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kama makusanyo yameongeka asilimia %75 kwanini kipindi cha Magufuli barabara zilikuwa ninatengenezwa kwa mda mfupi tu mfano barbar ya Mpanda Tabora myaka 3 tu kms zaid ya 300 zilikuwa zimeisha
    Musoma mji mzima Mwezi 7 tu barbar zilikuwa zimeisha leo mji wa KAHAMA wametoa kms 3 tu ndani ya mji leo ni mwaka wa pili 2 hata kifusi hawajamaliza kuweka hizo ela mnaziweka wapi...? Ningedhani mambo yangekuwa mazuri sana kuliko wakati ule bac mtueleze nini shida...?

    • @HamisiKitalika
      @HamisiKitalika 4 วันที่ผ่านมา +1

      Barabara ya mpanda- tabora pesa ilitoka bank ya afrika ADB, walituma wasimamizi wao na pesa yote ilikuwepo alichofanya magufuri ni kuweka wakandarasi watatu kwenye bara bara moja,ndio maana iliwahi kuisha mapema angekuwa mkandarasi mmoja asingemaliza kwa miaka mitatu

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 3 วันที่ผ่านมา +1

      Fedha za afdb zile ndio zilijenga iyo barabara ya tabora-mpanda

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 4 วันที่ผ่านมา

    Hata mm mbumbumbu nimeiona iyo

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 วันที่ผ่านมา

    Ujinga mtupu kwa raia wa kawaida inakusaidia nini maisha magumu bado uko nayo huna unafuu wowote kama raia wa kawaida

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona tra mnalisha watu matango pori, wakati kandarasi hazikulipwa tangu mwezi nne 2024 mpaka desemba, mfike mahala muache sifa

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 4 วันที่ผ่านมา

      TRA wanahusikaje na wakandarasi😂😂

    • @bonosaugustine6545
      @bonosaugustine6545 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@NDEWARA kachanganya mafaili😂😂😂😂

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 4 วันที่ผ่านมา

      Kama ujui majukumu ya TRA kaa kimya sio lazima kuchangia hoja. Kajifunze kwanza mambo ya Kodi.

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 4 วันที่ผ่านมา

      @ShamteMohmed-ed2kk na kama uelewa wako mdogo so lazima ukoment kwangu unaweza comenti yako binafs

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 4 วันที่ผ่านมา

      Usikaze kichwa ukielekezwa elewa😂​@@ubunifulifestyle3492