Ujamaa gani na kila kitu tunawapa sketa binafsi kusimamia na wao kupata faida..Serikali inashindwa aje na watu binafsi!!..Yani serikali inashindwa kusimamia vitu vyake na watu binafsi wanaweza?? Acheni kujitukana TZ...watu wawajibishwe na rushwa ipigwe vita kweli... mbona hii haileti maana logically?
Msemaji mku wa Serikali yuko vizuri anatiririka vizuri na kajiandaa vyema
Mbona mwandishi wa habari wa kiume anachelewa kuelewa?