EARLY GRABBERS l 05.07.2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙌

  • @happykweka25
    @happykweka25 3 หลายเดือนก่อน +14

    Bwana Yesu asifiwe, mimi wakati naanza kazi nilikuwa na vita kubwa saana ofisini, ilifika mahali sitamani pakuche, nikifika getini moyo wangu ulikuwa unachoka saana, nilikuwa nikifika natamani muda uende nitoke, nilisimama sana kwenye maombi, nilimlilia Mungu usiku na mchana, hakuniacha. Mungu alinipigania saana na alinishindia na kunipa kibali mbele ya wakuu. Hadi leo kwangu imebaki kuwa USHUHUDA. Hakuna jambo linalomshinda Mungu

  • @bakarinanjanga8045
    @bakarinanjanga8045 3 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @MariaDastani
    @MariaDastani 3 หลายเดือนก่อน

    Amen