@@najlaskitchen1572 ndio sukari inayeyuka kama inatoa jasho wakati zikiwa ndo nimezitoa jikoni sukari inakuwa kavu adi raha ila tu baada ya masaa kazaa ndozinaanza kuwa hivyo sijui ni kwangu tu au uwa nakosea na kama nakosea mbona nikipika vikokoto vinakaa hata siku 5 sukari bado kavu haiyeyuki
Kwasababu unazifunika za moto ndio zinakuwa hivo tafauti ya vikokoto na kaimati ni unga wa vikokoto ni mgumu na kaimati ni mwepesi so usizifunike ziweke sehemu ya hewa
mashaAllah....perfect shapes and look inviting...would love them with coffee/gahwa
Mashallah very nice to share 👌 like video 👌👍
Thank you dearest
wooo🎉
Mashallah ,kaimati zimetulia vizuri 😋😋👌🏻hapa na cha tu
Yes habibty 😋👌
@@najlaskitchen1572 nazi ngapi habibty
moja ndogo
Wow they look so good will definately try this recipe out 👌👌
Walai zathamanishaaaa.... Asante dada kwa upishi huo wa kaimati.
Asante mpenzi 😘
mashaALLAH recipe nzuri, ila hukutuonyesha unavozikata kaimati ukizitia kwa mafuta
Video ilinicheza hapo next time in sha Allah ntaonyesha🙏
@@najlaskitchen1572 inshaALLAH dear
Mashallah best kaimati
Mashallah mashallah nazipika sasa hivi
Shukran sis♥️♥️
Ahsante
Mashaallah thanks for sharing
Shukran maa
Mashaallah ni mependa sn
Nimeitafuta sana recipe hii Wajukuu zangu wazipenda sana Sasa nitazijaribu Shukran sana 👌
Shukran aunty.. jazzakallahu kheir ❣️
Maashaallh ahsant
27 like👍👍 very nice dear
MashaAllah kaimati zimetokea vizuri 😋😋, Ila sijawai jaribu kutumia nazi kwenye mapishi ya kaimati.
Jaribu habibty
Waleikum Saalam
mashaallah vyaonyesha tamu sana
Kaimati zimetikea vizuri mno. Lazima nijaribu recipe hii rahisi. Asante!
Asante dear
asante kipenzi kwa kutufundisha nitazipika
In sha Allah
Mashallah
Great Video. I'm here with full watch and support. Well done !
You haven't subscribe
Mashallah Mashallah love! Hzi kaimati zanitia kiroho😩😋
🤣🤣🤣😋😋😋
mashaallah mimi nazipenda sanaaaaa
🥰
Wow they look so good... mashallah 🤗
Masha Allah
😋😋 yummy
MashaAllah dear,nimependa sana ,na hilo tui😋😋😋😋
Shukran kipenzi changu ♥️
MaashaAllh sis ,nimependaa
Nice. 30 like.
Thank you
Yummmmm💝🥰❤🥰❤💗🍫🥰🍫🥰
Nice video
Love u najla's shukran habbty
Love you too habibty.. shukran ❤️❤️
Woow ila sasa ya kuonja nitapataje apo
I want this😍
😋😋👌👌
Duuuu😋😋😋😋
Watched
Zavutia, nizipate Na chai😋
😋😋
Aa mbali na kutumia tui la nazi waeza tumia nn habibty majii
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Masha'Allah zimetokea round vizuri 😋👌 mm natumia kijiko, mfuko na bado sipati round nzuri🙈
Kujaribu tu m mwenyewe ni mara kwanza 🤣
Naenda kupika sasa ivi 😂😂❤
Woow ivi ni Tui la nazi ama
Ndio
Sis mbadala wa tui ni nini Kama cna naz
Kama sina tui nieke nn?
Mbona mimi nikipika zikikaa masaa kazaa zinayeyuka sukari inatoka
Inatoka vipi dear? Inayayuka?
@@najlaskitchen1572 ndio sukari inayeyuka kama inatoa jasho wakati zikiwa ndo nimezitoa jikoni sukari inakuwa kavu adi raha ila tu baada ya masaa kazaa ndozinaanza kuwa hivyo sijui ni kwangu tu au uwa nakosea na kama nakosea mbona nikipika vikokoto vinakaa hata siku 5 sukari bado kavu haiyeyuki
Kwasababu unazifunika za moto ndio zinakuwa hivo tafauti ya vikokoto na kaimati ni unga wa vikokoto ni mgumu na kaimati ni mwepesi so usizifunike ziweke sehemu ya hewa
@@najlaskitchen1572 asante sana umenifunza kitu mungu akubariki
Je kama sina tui naweka nn
Na kama ulipo hakuna Naz waeza tumia mafuta na Maji ama
Wow nice and yummy recipe. My mouth is watering. Jn me dear. I joined you dear.😃🥰
Tui nini
Mashaallah ni mependa sn
Mashallah
Mashallah