❤stephano mange wa ngudu kwimba mwanza 🎉nyie watangazaji muwe munakumbuka mnavyotangaza watu wengi wanasikiliza muko kishabiki saana kwa Nini timu zingine tuwaeleweje ukiwa studio siovizuri mnachofanya angalieni yanayojumuisha pande zote siokukalia jambo kama hatujautazama m hezo❤🎉 Mimi simba
🎉❤stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba sombaya hatakidogo🎉 ❤ ila mazungumuzo studio muyabalansi ili wafatiliani tuwasikilize mutahali munavyofanya munajionyesha nyie u to oporo 😮kabisa mwishowe mtatukanwa🎉
Huyu anayechambua ndiyo anatuchanganya kabisa , kwanza anasema mwamzi wakati kasha puliza filimbi kua ni Gori ila alivyorudi hatua tatu nyuma akaona kipendere Kiko juu ndiyo naye akalikataa Gori, wakati mwanzo amesema azizi alifunga Gori wakati mwamuzi kasha puliza filimbi kua ni offside
Mchambuzi unatudanganya, matukio mengi unasimulia vitu tofauti.
Makolo mmecheza lakn mmechezea Haoooo
❤stephano mange wa ngudu kwimba mwanza 🎉nyie watangazaji muwe munakumbuka mnavyotangaza watu wengi wanasikiliza muko kishabiki saana kwa Nini timu zingine tuwaeleweje ukiwa studio siovizuri mnachofanya angalieni yanayojumuisha pande zote siokukalia jambo kama hatujautazama m hezo❤🎉 Mimi simba
Simba gani anaishi ngudu, nafikiri unaishi mwamashinba
Yanga bingwa tuuu
Endeleeni kumchukulia poa Duke Abuya 😂
Daah..! Jean Duke Abuya, kwng Mm anapaswa kupewa Kitambaa Cha Captain, Na Sina Shka.
Kujua kucheza na jitihada peke yk haimaanishi kwamba unaweza kuwa kiongozi mzr kwa wenzako
Wacha mbuzi ni mbuzi kweli kweli mbuzi
Yanga ni DUBWANA KUBWA SANA saivi.
Yaani kufa lazime tu ufe ila kuna kila aina ya vifo.. #YANGA
Yaan bongo bana kweli ni nyoso wachambuz wa bongo tyr mmeshaathiriwa na usimba na uyanga
🎉❤stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba sombaya hatakidogo🎉 ❤ ila mazungumuzo studio muyabalansi ili wafatiliani tuwasikilize mutahali munavyofanya munajionyesha nyie u to oporo 😮kabisa mwishowe mtatukanwa🎉
Huyu anayechambua ndiyo anatuchanganya kabisa , kwanza anasema mwamzi wakati kasha puliza filimbi kua ni Gori ila alivyorudi hatua tatu nyuma akaona kipendere Kiko juu ndiyo naye akalikataa Gori, wakati mwanzo amesema azizi alifunga Gori wakati mwamuzi kasha puliza filimbi kua ni offside
Ile ya Aziz ni penalty kaka, sema nyie wachambuzi nanyi mna balance kama waamuzi
Sasa matusi ya nini umekuwa lipumbavu mbwa wewe Yanga bingwa jibu unalo mpira bila makosa ulisikia wapi
Hakuna lolote mchambuzi mavi makosa ya kapombe kutengeneza mstari wake ni kosa la kapombe ni move ya kawaida